Episode Transcript
[00:00:00] Speaker A: Shalom mpendo wabwana, this is Mama PT na leo na kukaribisha tena kule isikeleza neno la mungu. Biblia inasema maneno yangu ni roho na uzima. Neno hili inawezo kufufuwa tumaini na kuleta faraja moyoni. Uenda upo kwenye doruba au mawingu mazito, lakini kuna neno la mungu lilo hai li naloeza kutuliza mawimbi na kukuletea amani leo. Karibu.
[00:00:23] Speaker B: Halleluja. Fungu wapamuja na mimi kitabu cha wa Ibrania.
Kitabucha wa Philips. Yes, tuanzia kwenye wa Philips sura 4, mstari 18. Tuko mwishoni sana.
Mwa series yetu.
Eh, leo inaiza ikawa ni ya kumina moja sasa.
Tangia tu meanza kujifunza kwa bari za Unpolluted Prayers.
Nipende kukaribisha wewe yambaye ndiyo mara yako ya kwanza kabisa. kushiriki vipindi vietu vya amka na mama piti.
Ivi ni vipindi ya mbabo vinalushwa kila siku saatisaka milu siku mpaka saakumina moja. Lengo na nia na mathumuni ni kuomba. Kwanini maandiko ya metuambia bila kupesa pepesa macho ya kumba imetupasa kumuomba Mungu siku zote bila kukata tamaa. Maandiko maali pengine ya nasima ombeni bila kukoma. Maali pengine maandiko ya nasima ivi kila mtu mtaua Na kuombe wakati unapopatikana.
Ili ya kwamba majimakui, anapofurika basi, hata esi mfikie yeye. Malipengine, kasema kwa sala zote na maombi. Mkiyomba kila wakati katika roo. Kwa hiyo ni maombi, ni maombi, ni maombi. Sukumoja, tukasoma hapa. Kitabuchi ya Zechariya Sura ya Kumi, mistari wa kwanza.
Maandiko yanasema hivi muombe ni buana mvua wakati wamasika. Nikashangamu. Yoni mbongo nikashema hapana. Huu ni wakati wa masika, hmm?
na ikiwa wakati wa masika mana yake mvua ni automatic hata haina aja ya kuomba lakini inawezekana ikawa ni masika yako inawezekana kabisa ni season yako kwenye maisha yako kupata jambo fulani lakini bila kuomba hulipati unajua kwanini? Kwa sababu kanuni hizi kifuatua basi hakuna kabisa mashaka juu ya matokeo Yani ukiyona kanuni fulani, ukaifuata.
Matokeo lazima ya tokeo. Kwa nini? Kwa sababu matokeo ya naitegemea kanuni. Kanuni inasema hivi.
Ukilusha hii peni nyuu, ni lazima hii peni itadundoka chini tena. Vipi kama nikilusha alafu nikatetemeka, wakati unatetemeka, utaikuta peni chini. Vipi kama nikilusha juu alafu nikanuna, ukimaliza kununa utaikuta peni iko chini. Kwanini? Kwa sabu peni haifuati mnunu wako, peni inafuata kanuni. Kuamba, kanuni ya uvutano inasema hivinita kapo ilusha juu, inalazimika kuvuto haila kuvuto kuelekea chini. Kanuni vivohivyo ziko kwenye ulimuengu waroho pia.
Ndugu zangu, ulimuengu waroho ni ulimuengu wa kanuni. Na kanuni sipo fuatwa, uwezi kuona matokyo. Kanuni ni nini? Kanuni ni kama barabara, ndugu zangu. Ukiambiwa ifuate hii barabara.
Hii barabara ifuate inaelikea yombo vituka.
Ukienda barabara nyingine, uwezi kufika yombo.
Utafika ila utafika mahali pengine.
Kanuni inanilazimisha mimi kufuata barabara fulani. Yani kuna kanuni ndugu zangu kwa mema, hallelujah.
Kuna kanuni ndugu zangu kwa mema na kwa mabaya. Ukifuata hiyo kanuni. Unafika kule kule kwa mfanu, zipo, kanuni, zau, masikini.
Ukiwa huna cha kufanya, ukiwa ufanyi lolote, kazi yako ni kulalamika, tukikuazima mtaji wetu unaula, tukikupa sasi elazetu, unakuwa na mademu, au vijana wengi. Yani eventually tu, taratibu taratibu, lazima mwishu wa siku, utakuwa. Ni masikini.
Likewise, hata kunyeninu la mungu mungu wa metuekea, kanuni za kubarikiwa, kanuni za kufanikiwa, kanuni za kuwa tajiri, ni ue wetu. Kwa hiyo moja wapo kati ya kanuni za kunyuli mwengu waroho, ni kuamba hivindu guzangu, huwezi kupewa kitu chuchote mpaka uhombe. Hiyo ndio kanuni. Kwa niflanya na umba, kuna potion, Bibye inasema wakati mwingine mvwai na wanyeshea, wema na wawuvu. Misi zungumzi hivyo. Kuna portions zanyumla ambazo Mungu wa nazitua kwa watu wate.
Hizo ambazo hata mwizi ya kisema hivi, Mungu wa nisaidi, haka matu kwenye vitu wa rivu viva. Misi zungumzi hivyo. Lakini yako baathi ya mambo kwenye maisha. It is until you pray, ndo una yaona.
That's why it is either you pray or you don't have it. Yani huna option, kuna mambo. Lazima, lazima wea ombe.
[00:05:24] Speaker C: Lazima.
[00:05:25] Speaker B: Siku moja mungu bila kuuombwa, ali msaidia wanadamu. Ndiyo mana ni vizuri hata wakati tunasaidia binadamu unzetu.
Usi assume.
Do not pre-assume kuamba fulani anashida ni msaidia. Hata kumbia unakierere.
Soberi mbaka mtu hakuweleze jambolake, then kama hikondani ya wezo waku kumsaidia basi, msaidia siku moja, mungu wane pitapita zake. Nisikirize tu kwa makindugu ya ungu otanihelewa siku moja kwenye pitapita zake.
Mungu wakapita kamaona jamaa mmoja hamekatu, hana uzuni, hana raha, hana kila kitu. Hana bustani, hana wanyama, alafu hana akili. Na nikuambie, halikuata haitaji yela, haitaji connection, haitaji mitaji, bustani haida nilikua ina kila kitu, yeti halikua hana raha. Mungu halipo muangalia, kasana, hmm, sivye mamtuyu.
Hamikuwa peke yake sana, sivya mamtu yu peke yake. E munguja tu mutafti ya msaidizi. Hakuomba. Hakuomba kabisa. Hakumombi ya Mungu nataka msaidizi. Alikuwa zake ya misinzi ya kama unavosinzi ya wewe yako. Hakua hame muomba Mungu kabisa.
Kwa bali ya msaidizi. Hila Mungu tu mwenye yaka samo.
E munguja ni mutafti ya. Bwana mpweke? Bwana kama hivo?
He mwenye ni mtafutie mtu walau wa kumpiga piga mgongoni ya kipaliwa na mate usiku Basi ya kamtafuta, haka mpalivo mpakuma wakusamu walamuke ya naongea kwenye mpaka naongea nanyoka Kinadenda tu punguze midomi Yani unohumbwa na mungu, unohongea, unohongea, mpaka kawongea na nyoka, unohongea na nyoka, akala tunda mungu wakaja. Haka muuliza yule yambea limpa magizo, unohompea adam shida ni ya sema mungu. Nilipa kuwa mwenyewe, uliyona nimekura tunda? Uliyona nimewongea na nyoka? Uliyona nimefanya kitu jote? Ni hoyu mtu lonlete ya mungu wakasema safi. Sambu wapu, siruri tena kukupa kitu until you pray.
Kwa sababu unakupa vitu halafu vikienda tofauti unanirodhia yes, hapo ndio yishida ilipu wanzia nukuzangu, tungeko tunapewa maela bule, tungeko vitu tunapokea bule, kuna mtu walituponza haka ambia mungu sikiliza na wanadamu kwa kuwa tumeumbwa kwa sura na mfano wa mungu we can even argue na mungu watu monye haka adamu wakasema mungu chonde chonde mzee wangu tangia umeniumba hapa kazi gani ulinipa ikapata shida mungu wakasema apana hie deni mimi sikuitunza vizuri na kuhilima uliweka vizuri ehe hawa wanyama walikua wengi wengi wanyama otewa ukasema ni wape majina Nikaita mnyama mmoja baada ya mungine bila kurudia.
Ila nilifo sinsia na mka ni na mtu.
Nani ya liya kumbia unipe? Ni huyu mwanamuke uliya mleta wewe.
Ndiyo wa mleta na ilo tunda. Manake ni kumba usinge mleta mwanamuke huyu. Nisinge kula tunda. Mgwa wa sema sawa. Ainashida. Kwanzia leo.
Nitawapa vitu baada ya kuomba. Isha kwa kanuni?
[00:08:42] Speaker C: Hallelujah.
[00:08:43] Speaker B: Kwa hiyo ulimuengu wa roo, piti uwa nafundisha.
Pastor Toni Kanisani ya nasema ulimuengu wa roo ni reactive. Manake uwe unafanya kitu kwanza, ni uewe ndo unaomba, ni uewe unakua na maitaji, halafu ulimuengu wa roo ndo unaprovide indiyo mana. Kama ue ni msomaji wa biblia.
Kuna baathi ya maene ukiwa unasoma, unakutana na Mungu, wana mambia mtu, ni yombe mataifa.
Niyombe, yani ya nasima hivi natamani nikupe.
Naona kabisa hichi kitu nichema kwako nikupe. Naona kabisa uu maskini umezidi natamani nikuvushe. Niyombe.
Johanna 16-24, Yesu wa naangaria akiba za vitu wali vionavyo. Naona kabisa mpona sto yangu imeja? Ni kama vile ndugu yangu ufike nyumbani kwako ukute msichana wako wakazi au kijana wako wanyumbani. Ufungu mlangu wa store, ukute maaragi yapo, mchele upo, unga upo, kila kitu kipo. Then unamuliza dada, mbuna hamuli?
Anakumbia mama tunakula?
Baba, tunakula saa? Haa, hamli. Kwa nini? Kwa sababu usto yangu hii meja. Kwa hiyo, yesu wanaombia tupele Johanna sura 16, Mistari Kwaishina nyanaombia, hmm hmm, hata sasa, hamjao mbabado. Kwa nini? Sinaona vitu mezani muangu.
Sasa fanyeni hivi, ombeni.
Nanyi mtapata? Nye uko nje hamna furaa, hamna amani, hamna utoshelevo, hamna ujiazo, you are so empty and dry. Umna maitaji, na nduguzangu wala usikisikevi baya. Kuwa na maitaji, it's okay kwa kwa weni mwandami. Hata mimi saatisa inikomacho nisikudangani. Kuna mambo yangu bali unambringa na mbungu katika hayo. Kuna mambo yangu bado nina muomba mungu. Kuna vitu bado nina muamini mungu ya kuamba. Hata nitendea tu. Hivyo inanipasa. Kufanya je? Kuomba. Kwa hana simebi hata sasa. Hamjaomba bado. Hembu fanyeni hivi.
Hembu ombeni ili basi. Kama hamna furaa kwa sababu ya hivi vitu ambavu hamna ombeni. Mkisha omba mitapata. Mkisha pata furaenu. Itakua imetimia.
[00:11:06] Speaker C: Amen.
[00:11:07] Speaker B: Kwa luga nyingine nasuna hivi vitu ni navyo lakini kanuni inanikatalia Kwa hiyo kuomba ni kanuni na usipo ifuata kanuni uwezi kupata matokeo nduguzangu Ndiyomana nimeona kwa mkwamkwimi ni muhimu na afunisha probably kini kipinchangu chakumia uchakumina moja Why? Lazima uombe. Usipo omba, wezi kupata. Maandiku wa nasimafi, ombeni. Nanyi mutapewa?
Vipi kama tusipo omba, vice versa is true.
Ombeni, nanyi mutapewa. Usipo omba, hampati. Kwa hiyo kuomba, duguzangu. Kuomba ni lazima.
Kuuomba nilazima, na kuuomba nilazima kia skwamba Mungu wa me uchakacha Mchakato wa maombi Ame upiga piga, ame uraisisha Mpaka umetokezea Kwenye maneno Akaona haitoshi Aka uchakata zaidi Ukatokea kwenye vitu unavotafakari Kana kuuomba hautoshi zaidi Aka uchakacha Mpaka ukatokea mawazo Mladi tu, yani anachokitafuta Mungu Ni kutufanya sisi watoto wake Tue satisfied Tufike kwenye mahali pa pumziko Tufike mahali pa kurithika Tufike mahali pa kutulia hallelujah Tufike mahali pa kupumzika Mungu kwa kweli anatamani Do you know Mungu anapenda kutupa sisi vitu? Mungu anapenda kuuongea na sisi sana Kuliku hata sisi tunofio penda kuuongea na e Ndiyo mana anatuongelesha Apiti, alikuwa anafundisha Siku mbili, kalibia, siku tatu zote zimepita Anazungumza kwa bari ya doto Siku moja nika mauliza nyumbani, nikamambia Kwa nini mpaka mtu waote, haka sima ukiona unahota Yani ue we mpaka unahota Mungu kisha kuongelesha sana, usikii, au unasikia, uwelewi Kwa hiyo inabidi ya kusubirie wakati umelala, umetulia, ndo wa kusemesho zaidi Kwa hiyo, Sainte Sio inatupa kuwelewa kwa mba mungu anapenda sana kutuongelesha, sisi, anapenda kutuambia.
Na Sio tukomba kutuambia tupige story noo. Mungu anapenda kutupa vitu. Anasima hivi, ombeni nyani mtapewa. Kuna mali anasima hivi, basi, acheni kuomba. Njoni tusemezani.
Kama mnaona shida kuomba, njooni tusemezane, asema buwan. Kambla mjajibu anasema msiwe na wasiwasi. Hata kama dambi zenu ni nyekundu, mbuni nikua paniko tayari kuasafisha ziwe nyeupe kabisa kama thelugi. Manake nini? Yani as much as he can, anapenda kutengeneza mazingira. Rafiki ya watu kuzungumzanai. Unajua kwanini? Kwa sawu anai propel, anai chochea kanuni ya kuomba. Anajua kabisa uwezi kupata kitu. Hata kama ya na taka kukupa, ulimuengu wa roo utazuiya usipo omba. Kwa hiyo kuomba ni lazima.
Hallelujah Kuuomba ni lazima Hallelujah Kuuomba siyo iari Kuuomba siyo kujisikia Kuuomba siyo moods Siyo marazote tuna kutanika studio Tukiwa tunanguvu za kututosha Au tukiwa tupo kwenye moods Au tukiwa tupo kwenye attitude right now Sometimes we are here so sad and down and broken Me ili yenye ina tukataria ina kuambia umesha afanya siku zote Embu kumu mzika kidogo lakini bali unasima Maani kwa nasima walipo lala, adui akajia kwa upendo kabisa, akapanda magugu. Na probably walipo lala wakiwa na sababu zote za kulala.
Ndiyo lugu zangu? Sio kila unayemkuta amelana ni mvivo.
Mkila yamechoka.
Yes, ni kuulikalia koo.
Yani wakianza kushusha vyazi, kutoka kwenye semi-trailer.
Ili vyende sokoni, hua wanaapitishia kwenye mgongo waki.
Ye ni mtukati.
Anabeba viyazi Kwa hiyo kwa hali ya kawahida ilitakiwa hivi ulimungu alo umuelewe jamani Rachel ni winga kwa mfano Anafanya biashara zote Anauza mbaka makopo ya hali ya ndoe ya kuwagia choni Hila bado pia anauza na viwanja Mungina kasama nauza mpaka chipsi. We mpigie tu simu. Chipsi ya nazo. Kwa hiyo imagine. Kwa nasa mimi nimeshinda siku nzima nafanya kazi. Kwa hiyo, inatakia ulimogu walo unielewe kwamba nimechoka. Au nimechoswa. Au nina-stress. Au niko down. Pamuhunya na hayo yote.
Buenas Fiosa. So, series yote hii me tupeleka mahali wapipa kuelewa umuimu wa kuuomba. Lakini ndugu zangu, unapokuwa una watoto, wawili nyumbani. Wote wanaitaji chakula. Kajja mtuto wa kwanza kasema mama.
Ninanjia sana, samani. Kama kuna chakula jikoni, naumba unisaidie.
Halafu ukona mtuto mungina kasaye, mama, minanjia abana, nipe chakula nile.
Woti hawa wanacho itagi ni chakula kutuko kwa mama yaw. Lakini namna walithioomba chakula, itamfanya mama, either ampe moja, mungine ya sipewe, wote wapewe, au wote wa sipewe. Tuna kubaliana. The way you pray matters a lot.
[00:16:45] Speaker C: Amen.
[00:16:46] Speaker B: Ndiyo maana lazima tunjifunze, manake kuna polluted prayers. Nduguzangu, Rumta Katifa walikona nisemesha, jambo hiri mchena, kanembia, do you know any polluted prayers? Lazima zikae zaidi ya isia, zikae juu ya emotions kwa sababu, sometimes you are praying out of your emotions.
Sometimes unaomba kwa sababu ya hisia either za chuki au za upendo juu ya mtu. Lakini maombi iria we sahihi haya yaangarii hisia zako au unavojisikia. Maandika naseme vimungu uliangaria nenolake Apate kulitimiza, mahali pengine kwenye sala babatwa kasa baba, tunakuomba mapenzi yako ya timizu, siyo isia zangu. Kwa sababu iko so obvious wakati mgini isia zangu, zinakaachini ya mapenzi ya Mungu. Yani mimi na kuwa natamani ya aduyangu afe wakati huo mapenzi ya Mungu ni kwa mba aduyangu aishi, aone na mna mbabo Mungu wa nanisaidia, Mungu wa naniinua, Mungu wa nanipigania, Mungu wa nanipa amani, Mungu wa nanipa kupendeza, Mungu wa nanipa kutulia, na hea jifunze kutoka hapo, aokoke na hea mjue Mungu.
Kwa hiyo ukiwa unaomba kwa sababu ya isia, unaomba chini ya kiwangu. Kwa hiyo namna mtu wanavia omba.
Ina maana kubwa sana kuliku ata wakati mwingine anaomba nini.
Ndiyo mana tukapita huko kote kwenye mlongwa mabomengi amba usitapenda kuyarudia. Lakini yote hiyo likuwa ni kukuelekeza kwa mba kwanza kuomba ni lazima. Lakini pili namna unavo muendea mtu unaye muomba kitu. Hata wewe dugu yangu. Hei, mtu hajia kwa mbiye hapo, hei. Haa, dadamagi, nipe bukubasi. Na mtu wakija kwa mnye nyekevo.
Nachangamotu napitia. Daga nimeesha nonoa, na nyanya nimeesha nonoa, na limau, bado mkaa naunga. Kwa hiyo mkaa naunga, nimejumlisho, nikaona kama na hii buku. Kama unweza buku anasaidia, lakini momba kinendea vizuri, nitakurudishia. Ndiyomana matapeli wa skuizi. Hawa kabi watu, ni wewe tu ndo una wavamiya watu usiku, una wakaba kuwa kama ilo kupa hafu 15.
Ni wewe tu, matapeli wa skuizi. Wamesha jua namna ya kuwainge. Kwani wawalipataje mimba fa mtu?
Hiliku waji? Hiliku waji mtu anapata mimba form 2? Hiliku waji? Kuna mtu alimuongelesha kitu.
Haliungia vizuri.
To the level mtoto mwenyewe. Hakubakwa. Dadangu. Hakubakwa. Hakavua mwenyewe. Mwenyewe. Hakamombia Chris.
Karimu kwa ngu. Karimu ndani.
Ndani yao. Irikuwa jimanaki Chris kuna maneno wali muambia uyu dada. Na yote ni yao ngu.
Na nikuambia kakangu wawu siisikevi mbala kwa sababu Ukimueleza huyo dada ukweli Hato kukubalia hata mungu mwenyewe Hakutuambia ukweli Halisema ndugu zangu na watoa nchi hiapa ya utumwa Na wapeleka kwenye nchi ilio jama ziwa na asali Mtakula watoto nye waroho Mtakunwa ila hakusema chochote Juyabari asha? Hakuambia Juyajangwa? Hakuwambia komba iti mutakosa kabisa kitu Hakuwambia komba kuna mali kutakuwa hakuna maji Hakuwambia, aliwambia haka aliongea short kama olivo Samaraisi Ukamwambia tu dada, yani ukithipo huo mwili wako Kama thabi utakatifu ya kunipendeza mimi dani Na kuwahidi kukubadilishia maisha Mpaka sasa ni mwaka wapili, uje mbadilishia hata simu Hata nguo bado ni zile zile Kwanini ili weze kumpata, mungu angetuwambia hivi na watawa Nchia utumwa na wapeleka nchi ilioja maziwa na asala lakini hamta fika mbali sana ata wakimbiza farao ungekubali? Singekubali. Kuna luga ya kumuendea mtu.
Njoni tuseme zane manakejua namna ya kuchekecha luga yako mbele za mungu. Weka point mahali pengea asme vitoeni hoja zenu. Zenye nguvu. Yani jieleze vizuri.
Ndiyo mana kaka na kueleza vizuri. Hana kumbia follow me. Sita kubadishia tu surname.
Mimi ukija kwangu. Utaacha kusafiri. Kuenda kujisaidia usiku kwangu.
Kuna cho chandani. Unasema wow.
Hanaenda eh a bit further. Hana kumbia hivyo unajisaidia. Ukiwa umeka.
Hachana na vio vya shimo Nita kubadilishia maisha Huta suka tena nyuele hizi za mkono tatu Na kueleza Kuna wasusi, kuna marude kutoka Kongo, Somalia Ukimwona mtu yuko na mtu Wajamani wameleza na maneno Mwangi tuya wongo Wakao pamogia, lakini the approach matters Wauje waikuona Dada mzuri, amenioka Mrembo uye mtu wake sasa Unasema hivi mungu, jamani.
Hivi yawo mekutana wapi, eh? Sukumoja, nikua nasoma Ketabuchi ya Samueli wa kwanza, sura 25, mistari wa 25.
Nikakutana na abali za Abigail, pamoja na nabali. Walivo na CV mbili, tofauti. Nikasema lakini nabali. Ali mtuwa api Abigail ihi? Okay, nikasema, mhm, Abigail ihi. Ali kubarijia nabali. Nikasema nabali hupu mbavo. Tumewona tu hukumu shoni. Hila hukumu wanzoni, ali kuwa na wezo wa kujieleza.
Hallelujah. Kwa hiyo namna unafia umuendea Mungu.
[00:22:45] Speaker C: Matters ya Lord.
[00:22:46] Speaker B: Kwa nini? Ukikosea do unakuta sasa maombi ya nadosari.
Ukiwa kama muombaji ndugu zangu, hakikisha waza yako iko sahihi. Una waza sahihi. Hakikisha fikra zako. Hakikisha your imaginations.
Things that you imagine ziendane na desire ya muwe wako. Mwali pengine bibi ya nasima hivi mawazo ya moyo wangu na maneno ya kinwa chango ya pate kibali mbele zako Kwa hakikisha mawazo unayowaza ya nafanana kama muombaji na maneno ya kinwa chango Usiwe ukaja, isiwe ikatokea unawaza unasikini, unaomba utajiri Usiwe ukawa unaropoka kushindwa alafu wa maombi na umekakamana ushindi, hapana Kwa hiyo kama mwombaji, jambo la msingi la kuzingatia ni kiwa nina winding up a series yangu. Ni mawazo. Hakikisha mawazo yako, yako vizuri. Mama mchungaji mimi. Natamani kuwaza vizuri. Natamani kuwaza mema. Natamani kuwaza mambo ya msingi. Lakini siwezi. Kulingana na changamoto ni vizo nazo na breakdowns ni nazo pitia kila siku. Najikuta tu, najikuta tu, na wazavibaya. Yes, na dawayako. Dawayako ni moja tu ni neno la mungu. Soma neno la mungu. Soma neno la mungu walafu jivu milie. Waombaji wenzangu, jivu milie. Jivu milie. Take it easy on yourself. Do not put too much pressure. Usikose kidogo tu, uka kaa bench. Usikose kidogo tu, uka jilani. Usikose kidogo tu, ukayafuta maneno ambaye umejizungumzisha kwa mbida mrefu.
[00:24:33] Speaker C: No, no, no, no.
[00:24:34] Speaker B: Njivumilie. Njivumilie. Hala fujipe muda wakukuwa. Usiwe kama vile vile vituoto eki riku. Kime toka popo kinaanza mama, shangazi ukuapi?
Haa haa utatisha watu, jivumilie, uvumilie uku waji waku, ukiwa unakua kwenye mambo ya Mungu, jivumilie, jipunguzie pressure. Haa mimi mamapiti mbona amisha hiza kufungua wafilipi, mimi halifosima tufungue wafilipi, ndo kwanza nipo kwenye wamuzi, usishindane na mtu, kama hakudhulu kwa chochote biblia inasema. Naenda kwa muendo wako. Naenda kwa muendo wako. Jipe muda. Soma neno. Taratibu. Soma neno tu. Soma neno la mungu. Kama utani vile. Soma neno la mungu. Kwa kumanisha ukiwa kwenye muendo kasi. Tua simi ya koto. Weka kile kindege pali kama hauna mambo mengi. Jitahidi nusu saa zima. Soma neno la mungu tu. Taratibu wala halita kuambia kama linaingia lakini ndo linaingia Kuo yuli kiuwa linaingia Taratibu lina tuwa mawazo ya kujinyonga Taratibu lina tuwa mawazo ya kukata tamaa Taratibu yani linaundo bila kuwaga lakini baada ya muda Unajikutambula nilikuwa na hali za kuwaza waza, kufa kufa, nikuwa nataka kama kukimbia hii ndo wa. Anza kwa kusuma Nenu la Mungu, taratibu mamchungaji nianzi ya kitabu gani? Kitabu chochote, bibili ya kila Nenu la Mungu, kila andhiko lenye pumzi ya Mungu. Lafao kwa mfundisho, uendo unamua, uanzia gano jipya wewe, uanzia gano lakali, amua atuwe mwenyewe, ukiamua mataye wewe tu, ukiamua nemia, kila andiko utakalo lisoma, linao uwezua kukusaidia, kila verse, kila chapter, kila kitabu, Anzatu kwa kusuma neno. Kama story vila wawesoma tu, wala unaajia kusuma, ya ngoja nisome yuli nikamuubiliye sasa baba Jojo ya pana. Ngoja nisome mkiwaungwa na mdomo, ngoja nitafute andiko sasa chikecheo la wanawake wenye mdomo, hii haaa haaa haaa usisome kufundisha mtu. Usisome kwa jili ya majigambo. Usisome uonekana unasoma. Be selfish. Somo kwa jili ya kumunyeo. Mombaji asie soma neno. Yuko very very drained.
Uye ondo anasumbuliwa na isia. Hakika kidogo anasema scatter them. Wakate baba migu. Kina nani? Hapo kamuaza mama mkwe. Hapo kamuaza baba mkwe.
Kwa hiyo unatakiwa usue mwambaji yanayenda kwa isia Kwa sababu kui unayenda kwa isia, shetani atakusaidia Atakupa dipu feelingi Atakupa mafeelingi Hutamini Kwa hiyo start, kwa kuklia mawazo mabaya. Kwa kuklia. Bibe inasima vijinsi gani kijana ai safishe njia yake. Wao, kumbe njia inawezo wa kuchafuka.
[00:27:24] Speaker A: Aha!
[00:27:25] Speaker B: Kama inawezo wa kuchafuka, manaki inawezo wa kusafishika. Njia ni ipi. Njia ni mawazo yako. Manaki ukisema naamka asubuhi, naenda gongo lamboto. Kabla hujia anza gongolamboto kuenda, gongolamboto iku wapa kichuani. Manake unapo safisha, uwanzi kusafisha mgu ulio piga atuwa, na na na na na na, unahanza kusafisha kichuani kwanza. Kuyo don't worry, don't be in hurry. Hushindani na mtu, nenda kwa muendo wako. Soma neno, mladitu, isipite siku uja soma neno. Jisaidie tuwewe mwinyeme. Na usisubiri mtuye ote ya kwa masishe. Kwa ni saa ya kula. Nani uwa na kuambia? Dada Rachel, Hembu umeza ilo tongila kwanza, hembu utafuna vizuli, hembu utafuna iyo soda dada. Haya, ukijisikia kuchoka, ukamua kulala. Ndani uwa na kwambia ehe, haya chukua iyo shuka, hembu mchukua ilo duveti la drafti, hembu ujifunike dada, jipige pige mgongo.
Siuwa inatokea tu, yani shapu-shapu, uewe mwenyewe. Uewe mwenyewe, unachukua mkono, unatuombia, sisi nje ni masista duhu, lakini unajifungia kwenye kachumba, tonge unalokata. na maalagi unayokula, watu angekuwana unakula hivu, wasingamini. Mwenyewe! Self-driven!
Likewise, usisubiri mtu yote hakwambia, hemu usoma neno, hemu usoma neno, leo siku inaisha, hapana, suma wewe mwenyewe, kama ambavyo, hakuamasishi mtu yote kula kwa hiyo mwombaji, maneno yake, mawazo yake, vitu walevu vitafakari, vinatakiuwa viwe aligned, viende sawa sawa.
Sawa sawa na maumbi yaki.
Mara ya muisho nimezungumza kwa bari ya imani. Ndugu zangu, kwanini kuomba?
Kwa sababu kila mtu ni muombaji.
It's just, it's just a matter of time.
Kila mtu ni mumbaji. Na diyo manasio vizui kurash na kuwanza kuwasema watu. Unajua hawa mumbaji yawa. Wa saa tisa, wana changamoto hii, wana shida hii. Wa saa kumi, wana changamoto hii, wana shida hii. Wana wambia mara nyingi na sima hivi. Shida na changamoto kwenye maisha hazi gongi odi. Zingekua, laiti zingekua zinagonga odi. Probably tungekua tumesha jiandaa. Kwa hata ya mbayo la unajiwana mimi mambo ya kusuma neno wala siyo mambosangu. Ipo siku, you will need that scripture. Ipo siku, utalihitaji ilo wandiko. Mtoto hako hatakapokuwa hameota andoto mbaya. Hameota nalawitiwa. Mtoto huyo hameota hamebakwa. Mtoto huyo wanambulishuleni. Na kila siku mtoto hako hanakuwa wakuminatisa na daesari na wanafunzi isheri.
Kila siku.
Na iyo shule mualimo nasuma ripoti kwa nzia nyuma kwena mbeli. Kwa iyo kienza kusema mtuetu waishirini, mtuto hako lajua kabisa. Namba kumina tisa kwenye zile tatumbovu nimu. Kwa iyo neno la kumtia moyo mtuto hako huna. Huna hata ujui kama kwenye biblia kumeandikuwa, yakomba sisi ni vich wa tu, sisi ni watu wajiu tu, sisi chini atupa jui, chini siyo mahali peto Kwa hiyo kila mtu ni muombaji, kila mtu ni msomaji wa neno, ila kikubwa usijicheleweshe, ilo neno ilo, utalisoma tu You will need that scripture. Kwa jili ya mtuto hako wa subuhi kumumbia hivi, si nani, si yu nani. Wewe nani kare ni wewe ni kichwa na si omkia. Naenda shuleni mwanangu ukiwa unajua kabisa. Yakomba wewe si omkia, wewe ni kichwa. You will need that scripture one day. Kina chota kiwa nduguzangu. Ni kuwa na akiba. Mtu yoyote mwenye ya kiba, hallelujah Mtu yoyote mwenye ya kiba ni mtu mwenye pumziko Hata mwenye ya kiba ya neno la mungu Hata mwenye ya kiba ya maombi ni mtu mwenye pumziko Ni kama vile ndani, mafuta koriye ikuishie Gafla dada anasema evi mama, tunomba fikumnatano, yanini?
Na F15 ukute, umambia mama ye F15 di kwa njiri ya mafuta kori ya nasema reserve that money, emu ingia chumbani kwa ngu, kuna mafuta pali. Ndivu alivu maomi na neno la mungu. Ni ya kiba yako binavzi.
Kwa hiyo usi entertain ha tabia ya kusema hivi, mimi hizi siyo mambo zangu. Ndugu zangu vijana, kwa waze millennials, kwa Gen Z, neno la mungu ndiyo mambo zetu.
Kwa nini ifike wakati ambao Wewe ndio wanze kustraggle na kwa kati ya mbafo umbili unazili kwenda Mambuhaya unazili kuwa mzigo Koi ni mbola ufanyi mapema Koi unikawambia nduguzangu Kila mtu ni muhombaji Kila mtu ni muhombaji Kila mtu ni muhombaji Ni suara mula tu Na pia hata kama kwa sasa Wewe unajiona binti mdogo au unajiona nikijana mdogo Huombi ila ni amini mimi Huombi mungu ila Pako mahali unaomba. Hakuna mtu ambaye hamekaa nyutro. Hakuna mtu ambaye vitu vinaambia automatic. Hakuna.
Kila mtu anaomba. Ndiyo mana. Hata tunapuandika barua za kuomba kazi. Kuhu wa tunafanya nji? Tunaomba. Tunaomba nini? Tunaomba kazi. Tunaomba nini? Naomba kazi ya ulinzi KK Security. Unaomba. Kwa hiyo kwa namna moja ama nyingine. Kwa nzia mtoto mpaka mtu mzima. Kila mtu ni muombaji.
Hila utamua ni saangapi uwache kuomba umba watu na saangapi ujifunze, kujitegemea na kumuomba Mungu.
[00:33:18] Speaker A: Amen.
[00:33:19] Speaker B: Buwanasufuwe sana.
Msi jisumbuwe kwa neno lorote. Moja nasamama matangia umeanza, tuja soma, tupeandiko haya wafilipi 46.
Be anxious for nothing.
Wafilipi sura ya 4 mstari wa 6.
Wafilipi sura ya nne mstari wasita na amini umefika ndugu yangu.
Maandiku ya nasima hivi, msi nyisumbue.
Msi jisumbue. Kuna kusumbuliwa, kuna kusumbuka, kuna kujisumbua.
Mwandishi hapa na tuombie hivi msi jisumbue. Manake ilijambola kusumbuka. Kwa wakati huu likondania uwezo enu. Sasa msi jisumbua. Watu wa mungu sema amina kapa unanisikia. msi jisumbue manake usiwe troubled msi jisumbue kwa neno lorote msi jisumbue kwa jamba lorote manake kuna changamoto, kuna shida, kuna vitu unapitia, kuna vitu unavyona, usi sumbuke. Wacha tusomi, anasema msi jisumbue kwa neno lorote Bali katika kila neno kwa kusali na kuomba.
Kwa hiyo ukimuona mtu oyote ambaye hasali wala haombi. Huyo ni mtsumbufu.
It is either anasumbua sumbua wengine na yeye mwenyewe anajisumbua.
Msi jisumbue, tusome pa moja ndugu zangu. Msi jisumbue kwa neno lolote. Lolote, hapana, juzi niliwambia, nika sema hivi, hile mingine tunuzungu umza ni kama msemo tu.
Pali ngufu zako zinapoeshia ndiyo Mungu ananzia. Mimi wanaona muda wote sinangufu. Mungu ndiyo ngufu zangu, Mungu ndiyo kibiliolangu, Mungu ndiyo kila kitu. Mgini nakombi haka kaa ugonjwa haka, kaa kumusumbua Mungu wapana. Hafunye walokole muwe makini. Yani walokole ibana. Kila kitu, Mungu tu. Hamna, yani mtu anaukoka. Au mtu anambiwa iki mala, ameachia dawa. Alikuwa nakunyo stu dawa zanini, ameachia. Mimu enyewe, ndugu zangu. Nisuala la imani huko na koelekea.
Kama umekwisha omba na ukaona mwenye onimu wako, you have, yani kumesha kuwa highly convinced.
Imani yako imeka vizuri inakuambia.
[00:35:52] Speaker C: Acha dawa. Acha.
[00:35:54] Speaker B: Duguzangu, imani, faith is loud.
Imani inasauti.
Imani inaonekana. Ndiyo mana watu waliokua na imani, walionekana.
Tulisoma juzi wa Romans 10-10.
Tusome warumi sura ya kumi, mistari wa kumi.
Halafu tusome wa hebrani ya kuminamoja.
Then tumuombe mungu.
Leo tunamuomba mungu ni tunambea mungu. Tusaidie tukuamini.
Tunaishi kwenye dunia ambayo maendeleo ya science na teknolojia. Ukiatiria sana maanani yanakuvunjia imaniyako kwa mungu. Ndiyo mana mtu yanawezo kuichallenge imaniyako. Anakombia amna. Yani mtu unahumwa, unahamini, tuwa uwa, unamwamba tu mungu. Kunyu wadawa, msiwa wajinga. Mtu unakuta suni muathirika wakitugani. Eti anachadawa. No, in case umeamini.
Mpaka mahali pa kuwacha.
[00:37:02] Speaker C: Acha.
[00:37:02] Speaker B: Maa hindi kwa nasimaa hivya Ezekia hali umwabwana. Na Ezekia hakuwa mchovu, hakuwa napiwa dawa zabuli. Ezekia hikuwa ni mfame kutibiwa abroad kwa madaktari wenye vituviyao, wenye ilimzau hikuwa ni jembo dogo. Maandiku anasima halipu wa mdua ezekia uo ugonjwa unakua Hakusima jamani, ni taftieni, daktari bingwa Jamani, hali yangu itaku waji? Mbona kama naugopa? Mbona kama anakua nauna shida? Mbona kama kitu gani? Maandiku anasima ibiakiwa anaumwa, akageuka ukutani, akamombia Mungu naomba uniponye, tena miaka uniongeze, Mungu nakutegemea wewe, kuna vidonge sawa, kuna madaktari sawa, kuna matabibu sawa, lakini baba nakutegemea wewe Ezekia alipona Mwanamuke lakua anatoko na damu, hangi kwa rafiki yako unge mambiaji. Huko kwenye makusanyo ya ulokole wewe kuwa makini, kuwa makini, mimi na kushauli Dubai wanaziba matundu, yanahotu ziba sana, yanahotu adamu sana. Unge mpushauli, kuna gaino, namjua hapa.
See? Maandiku ya nasima yule mwanamuke haka jisemesha moyo Ndiwa na kwa biv 2026 inapo tokea matters of the spirit Usionge na mtu Be selfish Be selfish Ukianza kusoma bibliako Usienze kuhita watu Jamani jamani tunabible study wadode wawamsho No, no, no, no, no Kabla ujawamsha wengine Kabla ujawamsha wengine Tafuta muda ndugu yangu Soma wewe kwanza Kabla sija wambia kwa bari yama sasa bina mbili sasa bina mbili za ushindi niliakikisha na ziweza niliakikisha na zimudu niliakikisha nimezifanya si zaidi ya maratano, si zaidi ya marakumi Hata badwa kuandiga kitabu badu nikaenderia nazo nigasema no no no no no mimi kama muandishi lazima niwe number one beneficiary lazima ni muone mungu kweli kwene siku tatu kwene cha kwanza, cha pili, cha tatu kikienda vizuri mwingine ndo watafuatu Kwa hiyo mambo ya imani ni mambo binafsi Romance 10-10, warumi kumi, mstari wakumi, mandiko ya nasema hizi?
Romance 10-10, kwamana?
Kwamayo mtu huwamini, hata kupata haki Aha, imani, unambia mungu tusaidia kuwamini Tunaishi kwenye AI, tunaishi kwenye chart GPT, tunaishi kwenye chart DPT pro maxi tuunaishi kwenye mindwea science na teknolojia ukiiangalia simu yako na namna inafoweza kufanya namna kitu kinafoweza kuhandi kwa shua na kinaweza kikafutu wa shua namna ambava unaweza ukaiambia AI Hembu mtoe mamapiti hakiwa hamesuka yebo. AI hina nyohosha. Hina nilambisha mpaka vimalaika vya mbele. Hina nichonga. Una yambie vii AI. Hembu mfanye mamapiti. Awe bongenyanya.
[00:40:03] Speaker C: Haaa.
[00:40:04] Speaker B: Dakikambili nyingi. AI hina nifanya nakua hivi. Haya. Inasmevi. Muoneshe mamapiti hakiwa namchumba wake mzungu. Huta amini kumbe. Haaa. Nita pata picha kali. Nikiwana mtu ukali ila mue upe.
Can we imagine? AI kwa hiyo maende leo ya science na teknolojia kwa sana na kwa karibu ya nazirikuwasogeza watu mbali na imanisao.
Mbali na imani zao, jambu ambalo ilikuwa ufunge na kuomba na kumlilia mungu katika hilo, saizi unagugo tu, unahisi kama umepata majibu. Jambu ambalo ilikuwa ufunge safari, uende wapi, ukamune mchungaji wapi na wapi, saizi unawezo kuangalia Hallelujah Challenge, kwenye kiganja cha mukono. Ingekua ni jambola kusema kutembea, basi ndugu zangu ungekua saa hivi, ndo unaingia Lagos. Lakini yapana. Ndani dakika 13 kwa kifurushi chabu kujero. Okay. Sina kifurushi. WiFi ya kugongea. Unawezo kuangalia. Umtu kutoka Nigeria yuko hapa. Kwa usipokuwa makini unaweza ukaisi hata mausiano yako na mungu nayo yanaweza yakaenda ivo ivo. Ndiyo mana mtume Paolo. Haka sima, hapana, hapana, nduguzangu. Imani inalindwa sawa sawa na moyo. Haka sima, nduguzangu, kwa nnavi yonampaka hapa, mwendo nimeumaliza. Lakini pia ukiangalia folda za imani yangu, imani nimeilinda. Kwa nini? Kwa sabu maendeleo yanatabia ya kuathiri imani.
Ndiyo mana nikikuuliza wewe kwanini huso mineno? Huna sababu. Hila sababu unayijua ni hii apa. You can take your phone and scroll, and scroll, and scroll, bila kuona kama maasaya naenda kabisa. Hilikuwa ni saa sita, inafika saa saba, inafika saa nani, inafika saa kumina moja. Hupo tuna ujui, ni hii. Do you know hii? Singe kuwepo. Inge kupamuda kabisa. Wa kupige magoti na kuomba Mungu. Do you know that?
Kama isinge kuuepo, lazima mwingine toki mwambia biblia kama iu Nile. Hana sima, hii, kwa ni bado uzipo, mimi Nile ya kwenye simu, hizi mnazitua wapi? Zina putika na ofisi biblia, au ni zile za fujijini mnazo wa gari ya wakulimu. Maendelewa sasa na tuknojia. That's why you should protect your faith.
Imani ni jambo la kulindwa na nita kuambia kwanini imani nalindwa Kwa sababu muombaji, muombaji anamuomba nani? Muombaji anamuomba Mungu, hila omba omba anaumba watu tabia mbaya kujifetheesha. Nyama ni nisaidie ni ni ni ni ni. Naomba, naomba iki. Naomba, naomba iki. Ukitaka kujua kuomba nivibaya, tusingajua kama umeomba jambo fulani, wakisha mariza kukusaidia, wanakuanika. Kwani tulijuaje kama hame kulipia kodi? Tulijuaje kama hame kusumesha mtoto? Tulijuaje kama hilo shati siyolako? Tulijuaje kama hilo wigi siyolako? What happened?
Ni kwa sababu baada ya kukupa na ukatinga iyo kanzu, ukapendeza, ulivu upendeza kuliko e. Haka sima msimone vile mama piti hile nyole inacheza cheza. Nirimsuka bule ni muambia nimefungua salooni mpya.
Nile uigini langu, si niyo mathara ya kuomba-omba watu Lakini kumuomba Mungu ni salama. Maniko nasima hivi Kwa moyo mtu huwamini Kwa iyo imani inanjia moyo ni haya Ukisuma hivo hivo warumi kumi kumina saba Warumi kumi kumina saba anasema hivi Basi Imani chanzo chake ni kusikia. Kama kwa moyo, mtu huamini.
Manake imani inakamoyoni.
Imani haikai ya kilini.
[00:44:01] Speaker A: Amen.
[00:44:02] Speaker B: Ndugu yangu tulia and connect ya maandiko mawili. Maandiko nasima hivi kwa moyo, mtu huwamini. Hata aka pata haki. Lakini ya kisongea mbele kidogo kwa Kenywa kakere, anapata huko ven, kumi kumi na saba. Anasima hivi basi, imani chanzo chake ni kusikia. Kwa hiyo tunakubaliana. Imani Kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa Imani ni observable. hivyo. Yani mtu kwenye imani, anaonekana.
Namna ambavu anaipambania.
Ndiyo mana, nando mana mtu Mpolo wakasema, jamani, mimi imani, mimeirinda. Mitu wakiuwa anaipambania imani yake, unaona, unaonaji. Sini kama muna mke?
alia kua natoko na dami miaka kuminambi, unaoona mapambano alionayo kwene jambo laki alio liamilikotu kisema hivi, jamani mungu tunakuomba utusaidie sisi, utusaidie kutulindia na kutusaidia na kutusababisha sisi mambo yote maovu, vitu yote vibaya, visiingie kwene mioyo yetu hapo ndugu zangu atulindi tu moyo, aaa, tunailinda imani ukiambiwa hivi, linda moyo wako Kuliko yote uya lindayo, kwa maneno miengine unambiwa hivi linda imani yako.
[00:45:36] Speaker C: Sio moe? Amen.
[00:45:38] Speaker B: Kwa sababu imani inakaa kwene moyo. Imani ya ikai kwene kichwa. O ndugu zangu, kichwa kina reason.
Kichwa kinaleta logics Kichwa kita kumbia hivi Under normal circumstances Huyu mama alikuwa taali ya mekuisha bleed sana Kichwa ni huku kwenye kuna reasoning Kichwa ni huku ndo tumefundishwa biology Huku kichwa ni huku Ndo kuna balance equations Kwamba kwa damhi hiri otoka Hizi units inatakiwa Ndani ya miaka kuminambili Huyu mama ya mekuisha kufa Na kuzikwa kabisa Kwayo tunaposema hivi Mungu Unisaidie, niulinde mwyo wangu. Mwyo wangu ni nakulinda. Katika jina la yesu, hau utapokea tarifa zote mbaya, ukaziingiza umo. Mwyo wangu ni nakuamuru, toa tarifa zote mbaya, tapika, tema vitu vyote vibaya. Hapo unakua huusemeshi moyo kama moyo, unakua unaisungumzia imani yako. Na ndugu yangu, kwanini unatakua uitunza imani?
Kwa sababu muombaji ana muomba mungu. Omba omba ana omba watu. Lakini huyu anaye muomba mungu. Kila muenda ya mungu. Kuminamuja sita waebrani.
Waaebrani ya kuminamoja. Watu wa mungu na amini mnanielewa.
Waebrani ya kuminamoja mstari wa sita. Anasema hivi.
Lakini Pasipo imani hayuwezekani kumpendeza mungu kwa mana mtu amuendeae mungwa.
Kwa hiyo kuna mtu, kuna imani, kuna mungu.
Imani nakaa katikati. Imani nakaa katikati ya mtu na mungu. Pasipo imani huwezekani kumpendeza.
Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza kwa mana mtu amwendeaye mungu lazima amini kwa mba yeye yuko. Lazima amini.
Kwa hiyo imani ni lazima.
Imani siyo swala la kujisikia.
Imani siyo kusema au au siyo au. Imani ni lazima. Ni lazima, na ndiyo mana ni lazima kuulinda mwe waku. Ni lazima kuchagua aina ya tarifa za kukufikia. Ni lazima. Usijiisi komba wewe. You are strong enough. Kwa mbawa nyeni ya DCN itu, niambi eni itu umbea wate. Mimi ntachuja. Haaa, haaa. Wewe huchuji.
Huchuji chujio huna.
Nibola. Kinga nibola kuliko tiba. Ko nibola.
[00:48:21] Speaker C: Aaaa.
[00:48:21] Speaker B: Kuna bathi ya tarifa siangali kabisa. Kuna bathi ya tarifa sishiriki kabisa. Kuna bathi ya mazungumzo sizungumzi kabisa. Kuna bathi ya same siendi kabisa.
[00:48:33] Speaker A: Haaa.
[00:48:34] Speaker B: Usisema hivi. Mimi naenda tuba. Saaf.
Minaangalia, au nasimabi, minaenda tu disco.
Lakini chezi mamamchu, mimi si chezi. Naenda tu pali na smama.
Utaseke... Utachezesha kichu.
Utachezesha kichwa. Utasema unguje basi nipigyo za kantani, ni unekani laba, sichezi huu. Bada ya munda kidogo, utoyeka mabega.
Zaki masai. Zaki masai, tulokuona kumbe kiyuno, tunakua kama mbiki mbiki kamaa, lakini kumba kinaweza kikaenda mashariki na magalibi in one second.
[00:49:13] Speaker C: Gafla unacheza.
[00:49:14] Speaker B: Lakini unasema, mungu wanangaria nia. Nilikuenda pare, sio kwa nia ya kutia.
Kwa hiyo usiende kabisa. Usiende kabisa Michelsu ya kusema hivyi. Tunavua tunguo afu tunakaa. Tunadiscussi neno. Sio kweli dan. Sio kweli.
Sio kweli. Simevi. Yani mama mimi na msindikeza tu. Kisha fika saambili, mwili ufanya kazi.
Ya mani. Huu mwili uu uacheni hivi hivi.
Huu mwili atali ulimponza kaka Samsoni. Samsoni manawa. Unafahamu Samsoni manawa. Kamtafudu kukone wamuzi 5, 6, 7, 8. Tamkuta. Samsoni alikuwa nampenda Mungu na wanawaki.
Hali wapenda wote wawii. Kazi ya Mungu wanafanya na kazi za wano wakya wanafanya. Pizuli kabisa.
Haa kamuona dadadi.
Mwili uka mwambia Sam tulia.
Haa mwili uka mwambia Sam tuende. Sam wakasema naenda. Haa kaenda.
[00:50:19] Speaker C: Sam!
[00:50:21] Speaker B: Giants, Jabali, Sam, alikuwa na uwa lion, alikuwa na uwa Simba, anamchana na mnais, Simba alisikia maumifu mpaka alitua asari.
Suma kwa wakatuwa kitabu cha wamuzi, siku modia Samsoni Manoa alikuwa na wazazi wake wanakuenda maalivi.
Halikuwa hameuna demu huko mwari ya kambembu wazazi wangu tundemi mkaule kuna dada nime mua. Hila Samsoni jamani hapaan. Wazazi wakaaenda. Walipu kuaenda, haka pata wazazi wakasima, njambu utangurieni mbele, minakuja kwa nyuma. Wazazi wako mbele, nyuma, anatokea simba. True story. Kasome, mandikuwa nasema hivi, Samsoni, haka mshika yule simba, haka mrarua.
Yule Simba alisikia maumivu makali, aliganda pale Mpaka katoa asali, aka chukwa ili asali Samsoni, aka ibebaka na kumpa duu wazazi wake Mdema ni baba Samano metembea sana, emutu lambe asali kidogu Wazazi wakala asali, ila muili Muili ukampeleka kwa dada Dee, Dee stands for Delilah Haa hakuwamini Hakuwamini So mwili unamambo yake, mwili uki uendekeza unakuaribia imani yako na ndio mana imani haikai kwenye kichwa, imani haikai kwenye akili, imani inakamu yoni. Muombaji bila imani haiyoezekani. Maandiku ya nasema kila amuendeaye mungu ni lazima aamini ya kwamba mungu yupu na uya mungu Huwapa thawabu wale wanau muendea, muambie baba kwa kuwa imani, ni kuwa na wakika na yale mambo ni nayoachalajia ni saidiye, ni saidiye chochote Kitacho kujia kwenye maisha yangu, kudistract Mambo niliyo ya amini kusu wewe, mambo niliyo ya amini kusu nguvu zako Zina, hee, hee, baba katika jina la yesu kristo, mwana wa mungu alihai Baba kwa moyo mtu huwamini, hata kupata haki.
[00:52:27] Speaker C: Kati kajina la yesu. Moyo wangu uko salama. Moyo wangu uko salama.
[00:52:31] Speaker B: Moyo wangu nishamba jema.
[00:52:33] Speaker C: Uitapokea maneno ya Mungu. Oomba pamoja na sisi indugu yangu. Tukiwefna yiombea mioyo yetu. Kwa sababu huko ndiko zinakotoka chenche mzauzima. Na huko ndiko inakotokea imani. Kati kajina la yesu. Mahalia mbapo imani yako inakaa. Ni maali salama sana. Ni maali pa msingu sana. Now pray for your heart. Zisye zikatokea disappointment.
Yasi ya katokea mambo. Ya kukukatisha tamaa. Ya kakufanya. Usimuamili tena mugu. Baba katika jina la eso. Moe wangu kawe imara. Mwenye wangu ukawe imara, mwenye wangu ukawe strong, nisije nikapitia jembo lolote, nika doubt, ahadi, ambazo umeniambia, nisije nikapita, kwenye njia yoyote, nika sema hapana, mwenye mungu kama hayuko, baba katika jina la yeso, watu wabaya Kwa I pray for my heart. I pray for my heart.
hivyo.
Kunisaidia, katika madaifu yangu, katika jina na isu, mahali toposu, moe wangu, ulipa unia, kupitiliza. Kerebo sanda rabashata, kete rebo sanda rabasete, mandere konda rabasata, maka rabaso rabasata, nenda rabaso nda rabaseka, kerebo sanda rabasete, hera mashoka rabasata, Kwa kwa kwa kwa kwa kwa Kati kajina la yesu, hakuta toka dautsu huko, hakuta toka mashaka huko, hakuta toka hoko huko, hakuta toka kutoka wanini huko. Mana mtu mwene mashaka, wala asitaragiye, ya kamba atapokea, chocho te kutoka kogwana. Kati kajina la yesu, yisili ni kawa muambagi, ambaye ni sitapokea. Chechote kutoka kwa buwana Naine ramashota, hepe nda rabasota Maa nda rabazi ramasete, henda ramasho nda rabasete Ke ramasota ramahane, he ramasho ramasata He ya masoka rabasete, maa ndareko nda rabasata O rabashanda rabasete, harabaso nda rabasaka Ke rabasaka rabashora, he ramasata rabasata Kwa kwa kwa kwa kwa kwa Rambla. kwa kwa kwa kwa Mwenye wangu, udongo mzuni, ke raba shota, eta raba sata, manda raba sata, e ramaso na raba sika, ka raba so raba sata, anda raba sota, raba sete, vote rebosa na raba sata, haka raba shora mane, na kataa, kwa mwambadi, milieja wa mashaka, kati kazina laeso, na kataa, kwa mwambadi, milieja wa hofu, eka raba sata, Kwa hivyo.
Ndinda rambasunda rambasata, ika rambasata, nda rambasuti, ya nda rambasunda rambasata Ndanda Rabasata, nakatakuwa mumbaji, mili ojawa na mashaka. Nakatakuwa mumbaji, mili ojawa na wasiwasi. Nakatakuwa mumbaji, mili ojawa na hofu. O Rabasota, Rabasata, haka Rabasota, onda Rabasata. Oka raba sata. Lata raba sata. Hakuna jojote. Kita kato tokea. Kita akiri. Mausiano yangu. Na imani yangu. Nilionayo kwa buwana. Oka raba sata. Naka rama sete. Nakata mashaka. Nakata wasuwasi. Nakata ofu. Nakata doubts. Kwa jila la yesu. Oka raba sora mane. Enda rama sata. Anda raba sata. Nitaomba na nitajibiwa Kwa china la yesu Nitaomba na nitajibiwa Kwanzi ya leo hii Hakuta kuwa Naombi lorotu Nita kalosema Hili nimeomba lakini sigejibiwa Kati kajina la yesu Okal Rabasati Enda Rabasati Anda Rabasati Kina raba sata, uta raba sata, eka raba suta.
Mande nebu sata, kina raba sata ramani. Araba so rama sata, eka raba so rama siti. Irama shunda raba sata, eka raba sata rama sata. Irama shunda raba sata, eka raba so rama sata. Ena raba suta, eka raba siti. Nakaraba hiramani. Araba shunda raba sata. Hallelujah!
Hallelujah!
[00:58:44] Speaker B: Hallelujah! Baba kari kajina la yesu. Tunaomba kwa jiri ya imani zetu.
Lisije lika tokea jambo loloti.
Lika distabu imani zetu. Kati kajina la yesu. Tunaweka mpaka. Tunaweka mpaka.
[00:58:59] Speaker C: Tunaweka mpaka, mpaka wakuone kana Katia matatizo na imani zetu Katia changamoto na imani zetu Katia shida na tabu za lunia hii na imani zetu Hakuna kitu chochote, ambacho kita tutokea Kita tutufanya tu doubt,
[00:59:19] Speaker B: imani tulio kuekea wewe Hatuta pita, kwene jangalo lote, tuka doubt Imani zetu, kwa ko mungu wetu.
[00:59:28] Speaker C: Hallelujah.
Useme ya mina mtu wa mungu. Hatuta pita. Kwenye jamba ulolote. Tuka sema hapana.
[00:59:34] Speaker B: Mbona mungu wajani saidia? Katika jina resu. We are praying for our faith. Baba tuna yombe ya mioyo yetu. Tuna yombe ya mioyo yetu.
[00:59:43] Speaker C: Tarifa zozote mbaya, watu wa wote, wana okuja na tarifa mbaya, za kutukatisha tamaa, za kutuchonganisha na imbani yetu, za kutuekea hofu, za kutuekea wasiwasi, za kutuekea mashaka,
[00:59:56] Speaker B: juu ya mungwetu mwenyewe.
[00:59:57] Speaker C: Katika jina la yesu, tuna zikataa. Tuna zikataa. Tuna zikataa. Tuna zikataa. Kwa jina la yesu, baba umetuambia kwenye
[01:00:06] Speaker B: neno Ya kwamba tulinde miyoyo yetu, tulinde
[01:00:10] Speaker C: imani zetu, mana uko ndiko zitoka kochemchem za uzima. Tuna kataa kukosa uzima wakazi yetu. Tuna kataa kukosa uzima wamaisha yetu. Tuna kataa kukosa uzima wakazi zetu. Tuna kataa kukosa uzima wandoa zetu. Tuna kataa kukosa uzima wamausiano yetu kwa kueka mashaka. Tuna katama shaka, tuna katama shaka, tuna katama shaka Kila roza ofu, kila roza wasiwasi Eka raba sota, anda raba sete, e rama shata Aka raba zoramane, enda rama sata Mande rebo satam, ke rebo shanda raba sata Katika juna la yesu, oka raba sota Anda raba sata, hatu ta kuwa na wasiwasi Hatu ta kuwa na wasiwasi, hatu ta kuwa na hofu Hatu ta kuwa na mashaka, hatu ta kuwa na kusita sita Eka raba sota, enda raba zete Onda rama saika, riakonda raba sata Manda raba sota, eka raba shata, lete raba sota Kati kajina la yesu, hatu takuwa na wasiwasi, tutaomba haja zetu, tutaleta haja zetu mbele zako, nazi tajibiwa, hatu takuwa na wasiwasi, kwamba mungu etu watatugibu, mungu etu watatusikia, kati kajina la yesu, kwanzia lehi idwana, kila mahali, tuta kapo paza, sauti zetu, baba utatusikia, baba utatusikia, baba utatusikia, baba utatusikia, Tuna kata hofu, na wasi wasi zandani. Tuna kata hatia. Tuna kata kuchoka. Tuna kata kipatia ta maa. Maa ombiotu wenyewe. Daka raba sota mande. Mderebo sota. Manda raba sota. Mderebo sota. Mderebo sota.
Mderebo sota. Mderebo sota.
[01:02:03] Speaker B: Mderebo sota.
[01:02:03] Speaker A: Mderebo sota.
[01:02:03] Speaker B: Mderebo Mderebo sota. Mderebo sota.
[01:02:04] Speaker C: Hallelujah!
[01:02:04] Speaker B: Mderebo Kwanzia leo ndugu yangu. Kila utaka po viti ya chocho te, sota kidogo au kikubwa, jiuulize tu, hmm, kabla uja paniki, kabla uja jisikia vibaya, kabla uja gairi kwenda kanisani, kabla uja katiza uwa mfungo, kabla uja sema haa imetosha, jiuulize tu hili suala, hili suala, hili jambu hili. Sio kwa mbali meitua au li mekujia au li mejileta kwa jili ya imani yangu. Unapuambiwa, unapopata tarifa, mtoto wako anaumwa, umefukuzwa kazi, kuna changamoto ofisini, kabla ujia paniki, kabla ujia wanawasuwasu wate, jiambia tumonye, hmm, hili jambo, Sio kwamba li nataka kwenye kucheza na imani yangu? Sio kwamba imani yangu pando inapimu? Haa, unajiambia tu monye ya pana. Simo miongoni mwao, simo miongoni mwao walao sita. Simo miongoni mwao, haka rubber shorter, anda rubbers iramande, bente ewebosa aramande.
[01:03:00] Speaker C: Hukarabasho ndarabasata. Manto rabasa ndarabasike. Kerebosha ndarabasika. Korramasota ramahanda. Lekirabasho ta. Harrabasho ndarabasika. Korrabazere kundarabasata. Andaramasendo rikoti ndarabasata. Karrabasho ta. Harrabasoro kundarabasata. Katika jina la yesu, sitaona mashaka. Katika jina la yesu, nitae ameni baumbiangu. Okal ramasata, lanta rabasata, sitaomba jengololote, alafunika amini sita nipata. O ramasani ramasaka, kere basota ramasika. Mante ramasanda rabasika, koro ramashanda rabasata, kere bozi ramasota. Lekena masota mande, lekena mashonda la basa, Ndengere muzira masota, karabashonda la basata.
[01:03:54] Speaker B: Hallelujah, hallelujah, hallelujah. Pray for your faith. Kikisha ndugu yangu, unayombea imani yako. Hata kama sioma, umbea boi yako fomo, ukishia maliza kusoma neno, mbiye neno, la mungu lisiibi, uendani yangu. Kesho tutahona neno la mungu wali naibiwa ndani ya mtu. Kwa nini neno li naibiwa kwa mtu? Kwa sababu li naibiwa? Kwa sababu neno li kika diyo imani yenyewe. Maandiku wanasema mungu hujia na huliangalia neno lake iliapate kulitimiza. Kwa huli tunaposema imani. Sema za ukweli tunachokizungumzi hapo ni neno la mungu dani ya mtu. Na maandiku wanasema wakati mungine ibilisi wana kujia anariiba neno. Wambia mungu neno ni lilo ulisikia. Juhu ya uponyaji wandoa yangu Halita ibiwa Neno nilo li isikia Juhu ya uponyaji wafya yangu Halita ibiwa Neno nilo li isikia Juhu ya amani ya moe wangu Halita ibiwa Katika jina la yesu Halita ibiwa Kama ni moe kusikia neno lolote Yakomba nitatoka Kwenye umasikini huu Halita kujia neno jingine Amba lita niambia Na nikamini ya kwamba Nitabaki kwenye hii ya lingumu Nina kata ni mulangu kuibiwa Nina kata Nina kata Sita lala usingizi wote waroho ni utakau usababisha ni weni maibiwa Ndiguzangu do you know kuna watu wanaibiwa na hawajui kama wanaibiwa? Hasa wale watu wenye nguo nyingi, ulisho yikuwa na nguo nyingi chafu alafu kaita mtu ajakufuli wale mna ufuliwa kwa fmbidi Anafua nguo nyingi, anakombia dada, nimesha zianika, unasema sante mdugu wangu. Alafu ukirudi, unathiangalia nguo, unasema wow, zimeta kata. Bila kuzikagua wala kunyua. Siku fulani, utakapu kua, unaitafuta nguo fulani, ili uivai, ndo utagundua kwa mba. Ili kusha ibiwa. Kwa hiyo siku utakapokuwa unatafuta neno kwenye moyo wako linalousu uponyaji, unakutalipo. 06 5 9 68 75 69 na 07 53 08 57 89 ndiyo nambazetu za sada. Kama ndikwa nasema kila mwenye moyo wakupenda na wa mtolebuwa na 07 53 08 57 8, 9, 26, 5, 9, 6, 8, 7, 5, 6, 9. Ndiyo namba zetu za sadaka. Na amini kabisa neno la leo. Ndugu yangu limekuvusha na alina kusaidia na alifanye kazi. Amini ya kuamba. Aduhi anawezo wa kuiba imani ya mtu. Unajikuta mbona mi siyamini? Mbona mi siyamini? Mbona mi siyamini? Limeibi wa ndugu yangu. Kila sila itakaufanyika. Juhu yako leo hii haitakuja kufaniki wa milele.
Kwa jina lake, kwa ina yake, kwa iliko toka, haita kuja kufanikiwa. Na mahali popote, ya napota muko maneno mabaya juu yako, maneno hayo, ya namrudia lia tamka. Katika jina la Yesu, mabaya hata kupata wewe, wala ualibifu siofungulako. Katika jina la Yesu.
[01:06:58] Speaker C: Amen.
[01:07:01] Speaker A: Asante kukua pamoja na mimi kuanzia muanzo mpaka mwisho ibadahe. Usiache kuuomba, usiache kumtafta mungu. Na kama umebarikia na manenohaya, unaweza kutuwa sadaka yako kupitia nambazifatazo 0659 68 75 69 au 0753 08 57 89.
Shalom.