Kumtegemea Mungu I

January 05, 2026 00:51:13
Kumtegemea Mungu I
Pastor Neema Tony Osborn
Kumtegemea Mungu I

Jan 05 2026 | 00:51:13

/

Show Notes

Kumtegemea Mungu ni kuweka tumaini letu lote kwake bila hofu wala mashaka. Ni kukubali kwamba nguvu, hekima, na mwelekeo wa maisha yetu vinatoka kwake, si kwa uwezo wetu wenyewe. Tunapomtegemea Mungu, tunapata amani hata katikati ya changamoto, tukijua hatuachiwi peke yetu. Utegemezi huu hujenga imani thabiti na hutufundisha kusubiri majibu yake kwa uvumilivu na shukrani.

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

View Full Transcript

Episode Transcript

[00:00:00] Speaker A: Shalom mpendwa wabwana, this is Mama Piti na leo na kukaribisha tena kule isikeleza neno la mungu. Bible nasema maneno yangu ni roho na uzima. Neno hili, hina wezo kufufua tumaini na kuleta faraja moyoni. Wenda upo kwenye doruba au mawingu mazito, lakini kuna neno la mungu li lo hai li naloweza kutuliza mawimbi na kukuletea amani leo. Mambu enyakati wapili sura ya kuminane, basi Abia akalala na babazake. Mambu enyakati wapili sura ya kuminane, basi Abia akalala na babazake, wakamzika mdini Mwadawudi. Abia ni babake Asa. Akatawala Asa mwanae mahali pake, katika siku zake nchi kastaree miaka kumi. Mstari wapili, basi asa, hakafanya ya rio mema, ya rio ya adili machoni pa buwana, mungu wake. Chukwa tunasoma kule wa falme wa kwanza sura ya kumnatano. Tumerudi hapa mambo enyakatu wapili, sura ya kuminane. Nataka tumoni asa kidogo na namna ya kumtegime ya buwana. Hallelujah. Bibia inasema hivi, basi Abia akalala na baba zaki, Abia likuwa ndiyo baba laki na mfalme Asa. Waka mzika mgini Mwa Dawudi, akatawala Asa Mwanawe mahali paki. Bada ya Abia kufariki sasa, Asa mtuto waki akatawala kwenye semi yaki ya kawa mfalme. Bibia inasema hivi, Katika siku zake, nchi kastaree miaka kumi. Katika siku za utawala wa Asa, Asa was a very loving king kama nilibo semu. Ninfalme mzuru mwenye kupenda amani, nchi kastaree. Yani nchi kawa na amani kwa muda wa miaka kumi, mstari wapili. Basi Asa, akafanya ya lio mema, Yalio ya Adili machoni pabwana mungu wake. Halikuwa mtia mungu asa. Tofauti na babaki yabia tumemisoma kwenye wafalme wa kwanza sura ya 15 pale. Mstari wa tatu, maana aliziondoa mathabao za kigeni Na mahali padyu za babaki, aka zivunja nguzo, aka yakatakata maashera, nene. Aka waamuru yuda wa mtafte buwana. Wote elida. Kiyongozi uyo, ana waamasisha watuwake wa mtafte buwana. Ndumena nini kumbia balikilogo za followership. Followership. Imagine kiongozi hapa asa. Anayiamuru Yuda. Nchia lukua anayiongoza kwa wakatuwo imtafute buwana. Aka wamuru Yuda wa mtafute buwana. Mungu wa baba zao. Na kuzitenda toorati na ambri. Kitaru watano. Tena, aka undoka kutoka migi yote ya Yuda mahali pajiu na sanamza jua. Ufalme ukastarembele yake. haka ujenga migi yenye maboma katika yuda kwa kuwa inchi ilikuwa imestare. Turudia hapo, mambo nyakatu wa pili sura 14 mistari wa 6 haka jenga migi yenye maboma katika yuda kwa kuwa inchi ilikuwa imestare. Ndiyo mwana nimesema iviniwe, tunamaiwako ondo mnajua Tanzania ni inchi ya vita. Lakini sisi tunajua ni inchi ya amani. Na nikuambie mahali kupote penya amani, ujienzi ni raisi. Mstari Wasita, haka jenga mijie nye maboma katika Yuda. Kwanini haka jenga? Kwa kuwa inchi ilikuwa imestaree. Kuhuku kilo kuna amani na utulivu katika nyumba, katika ndoo, katika wiyashara, ujenzi ni raisi. Wala hakuwa na vitami ya kaile kwa sababu mbwana hami mstareesha. Naya haka wambia Yuda, na tuijenge mjihi na kuhizungushia maboma na minara na malango na makomeo. Unchi bado ikalipo mbele yetu kwa kuwa tumetafuta buwana mungu wetu na tumetafuta nae amesareisha pande zote. Basi wakadyenga wakafanikiwa. Ukiwa na amani kwenye ndoa ni raisi kujenga. Kila watu wambao hawana maendeleo kwenye ndoa ni watu wambao wanamigongano na vita. Tatizo wakati mgini la vita ni kusababisha maendeleo ya nakua mbali. Ndiyo manazile ni vita kama kongo, apikule, hata shule ni kazi. Kwa sababu mnokati mnajenga msingi wa shule. Mpandisha boma kidogo tu. Kuna boma mtaliri, melusho, mafundi wa mekumbia. Kwa hiyo ujenzu umesimama Kwa hiyo kama siyo lazima sana kwenye maisha uspiganevida Kama siyo lazima sana Kama siyo lazima sana kulizungumzia hilo jambo kwenye ndoa ya kusilizungumzie Kwa sababu misiguano mingi inasababisha ujenzu nachelewa Kama hakuna aje sana ya kusutana kwewe na rafiki yako Wewe na business partner mwenzio Wewe na mtu mwenzio po kwenye department Kama hamana, yani kama si jambo halita leta effect sana Do not even talk about it Yani kuna vitu mimi hata sivi zungumzi, kwenye ministry, kwenye kazi, nyumbani kwangu. Nikiona hili jambo, hali nithoro sana sili zungumzi. Na hata kama lina nithoro nitali zungumza kwa namna ambayo, hali italeta madhara. Kwa nini? Kwa sababu eneo lenye vita na mapigano mengi, ujenzi hakuna. Uwezi kujenga kwenye nyumba mpomu nagumbana kila wakati. Manakila ukirudi nyumbani, uwe na mwenzi yo muna pishana, saangapi mutazungumuza abaliza mafundi, bai ya cementi imepanda na kushuka. Hallelujah. Na'e haka wambia Yoda, asa oyo, na tujenge mjihi, kwa sababu kunikua kuna amani, na tujenge mjihi na kuhizungushia maboma na minara, na malango, na makomeo, unchi bado ikalipo mbele yetu, kwa kuwa tumetafuta buwana mungu wetu, na'e tumetafuta, na'e memstare'esha pandezote, basi, wakajenga wakafanikiwa mstari wanane. Na'e asa. Alikuwa na jeshi. Imagine. Ndiomona nimekuambia hivi ni tabia mbaya. Askari kufanya mazoezi siku ya vita. Huyu ni asa. Hapo juhu kidogo tutu memsoma. Kapigana na miungu ya baba ke, kamaliza, kafanikiwa. Bibe nasimaa hivi, kukawa kuna amani kwenye mjia lio kwae kama kiongozi miaka kumi. Tena juhu tutu kidogo hapo anawambia watu wake, kuna amani hapa. Imutujenge, tufanikiwa. Lakini, anajeshi. Ni wewe tu ambayo kipata buku bukumbili usalimi watu. Uwombi tena. Tukikono umefunga ni kwa sawabu tu ya umitaji. Lakini asa, a king ambayo likuwa taali ya naendesha projecti za ujezi kwenye inchi ene amani, badu ya na jeshi. Jeshi la nini? Ndiyo mwanasema kila wakati usijitengeneze kwamba hali ya uwoga, uavita za kiroo kila wakati. Haa, hila jitengeneze like a comfort zone kwamba mimi hapa duniani ninaishi wakati wote kitanuka. Jeki kitanuka, ni kusawa. naweza kupigana, au itabidi nipigie mamamchu, nipigie piti, nipigie sijui nani, mstari, wanani. Nae asa hali kua na jeshi, waliochukua ngao na mikuki katika Yuda, miatatu elf. Weka miatatu ofu ungeza elf mbele. Koyo asa pamuja na mani yote hali kua nao, bado hali kua na askari. Kwa hiyo pamoja na amani yote uliunayo, pamoja na mtaji, pamoja na connections, pamoja na wategia, na vitu vyota mabu katika alianjyo na viyo na kokoe unaweza ukavitegemea. Pamoja na hivyo vyote, bado akikisha, jeshi lako kunyurumungu waro liko imala. Halleluja. Na hai asa likuwa na jeshi, walio chukua ngao na mikuki, manake walikuwa na sila. Katika Yuda, mia tatu elfu. Na katika Benjamini, wene kuchukua vigyawo na kupinda upinde, mia mbiri na semanini elfu. Hao wate walikuwa mashuja. Njizungushia mashuja kwenye maisha yako. Hallelujah. Watu hamba wunaweza ukakusanyika na nao, ukafanya nao mambo utano ya fanya usikuwa wa manani. Hakikisha katika marafikiza kwa 4, wa 5, wa 3 ni waombaji. Hamba wunajua hawa kikinuka munda waote nikipata changamoto yote kwenye maisha yango naweza nikaomba pa moja nao. Kwa hiyo amani utulivu, feather, mari, kushinda, kujenga, kuwa na amani pandezote. Hakufanyi mkristo kukosa kujitengenezia jeshi. Asa uyu hapa, kisha pigena vita hapo juu, ya babazaki. Kamaliza. Maashera na antena za babazaki zote miungu ya kigeni yote hamesha toa. Maashtoresi yote hamesha toa. Hamebakia piki yaki. Yuko vizuri. Na yuko sawa na Mungu. Lakini bado alikuwa na jeshi. Hallelujah. Mstari wakumi. Mstari wa tisa, mana tumitoka suma mstari wa nane, mstari wa tisa. Kisha akatoka nyuhu yao, zera mkushi. Mwenye jeshi elfo elfo na magari mia tatu, hakaja maresha. Ndiya lio kuwa anakaa Asa. Haka toka Asa, I'm lucky. Ukisoma kwa kiswaili, utaona kama I'm lucky kama vile, you know, I'm poke, au wamukumbatie, no? Msteli wa Kingereza hapa nasuma Biblia mbawe, ina Kingereza na kiswaili hapo hapo. Chini yaki haka sima hivi, then Asa went out against him. Kwa hiyo, wakati Asa ana amani, Anafuraha, anajenga ndoa yake, anajenga kazi yake, anajenga biyashara yake, anajenga mahusia no yake na bosi wake vizuri, mahusia no yake na majirani, mahusia no yake na watu wengine zera mkushi. Somewhere, somehow anamuangalia, nasimaa maliza kujenga, nijani kupingi. Njomana bibia imeweka wazi, imesema hivi, dunia ni nayo thiki. Njenga konyakili yako. Kuamba, dunia ni nayo thiki. Sitakiu kuhiyo gopa, sitakiu kuhishika na kumba na mashaka. Kumba eh, nini kita nipata kesho? Mamchungaja misema lune entu na yuthiki kwa hiyo, niishi kwa osiwasi. Kesho nini kita nipata? Kesho kutuwa nini kita nipata? Naa, usishivu. Hila tu ishi, very well equipped. Kumba in case of anything, hapa tasikia mtoto angu wanaumwa, najua exactly nini cha kumuombea. Hapa ni kembo ni mifukuza wakazi, I know exactly nini cha kuomba au nini cha kufanya. Wakati ya saa na njijenga na kujitengeneza vizuri, hakawa na njieshi raki, wakati uo bibye na sima hivi, kisha from nowhere tu. Ndiyomana saile nika sema hivi, ukiyamuka asubuhi wakati mungine, kuna ajia kuhisi kama mujiwaka umechoka, au watu wame kutembelea usiku, ndo useme eh, au watu walekuja. Kila ukiyamuka unasema hivi, kila siraa. Itakayo fanyika juhu yangu leo, haitafanikiwa. Ndiyo umeyamka tu. Ni maisha kila siku. Kwa nili? Kwa sabu hujui ni saa ngapi zela mkusha na kutembelea. Biblia inasema hivi mambu wa nyakatu wa pili sura ya 14, mstari wa 9. Kisha, haka toka njuu yao zela mkushi. Mwenye jeshi elfu elfu na magari miatatu, haka jamaresha. Kumi. Haka toka asa, I am lucky, waka panga vita. Asa hakua hata amipanga kupigana vita sikuyu. Ni kama wewe tu. Unalala mzima, unamka unaumu. Unahala tu vizuri na mayiwako a subui from nowhere tu. Kisirani kina mpata. She is just starting to misbehave. Kuyo huna haja ya kusubiri. Kama ngoja ni subiri kwanza, mkiaungwa kianza kune subu atu na anza program ya maumbi sasa. Na mnaia utachoka, utashino mistari wa kumi. Haka toka asa amlaki, wakapanga vita. Imagine what if kama? Asa hangikuwa haja jitengenezea zile silapale juu, hali hingikuwa nji. What if hangikuwa na hile mentality ya kusema tu, mi na amani, mi na fura, mi ni mtu wa watu, by the way nimesha pigana vita ya baba zangu ni mimaliza, kuna amani pandezote, hangikuwa mipumzik. Kila unapo maliza prayer point moja. Kwako yuwe ni platform ya kutengeniza prayer point nyungini. Kila unapumaliza mfungo mmoja, unasema nime maliza tatu kawo. Kwako yunatakia yuwe ni platform ya kutengenizia mfungo mungini, msari wa kuminamoja. Nae Asa, wakati wa kumia nasema hivi, haka toka Asa Amlaki, wakapanga vita, maresha, bondeni mwa sefata. Kwa kiingereza mambu ya kati wapili sura ya 14, sura wakumi nasema hivi. Then Asa went out against him and they set the battle in a ray in the valley. Manake uamesha pangavita, walipo pangavita, tayari, zera mkushi na wanajeshu wake. Asa na wanajeshu wake gafla. Asa akajishtua yeye mwenyewe. Ukiwa una the story ya kuyafanya mambo ya Mungu kama the story, kuta itaji mtu mungine ya kushutue kwenye mambo ya msingi. Nafikiri tuombe, siomba kapitia tangaze. Nafikiri mfungo, mwenye weni nifundisha mara ya mushu kwenye Mission for 6. Nikasema evi prayer point hazitoki njie kwenye vitu vya njie vina vya unikana. Prayer point unazidizain. Unaziona kutokia ndani. Imagine, wakati vita vimesha pangwa, vya Asa pamoja Nazera Mkoshi, msora wakumna moja. Asa haka nchituwa, haka sema hivi. Nae Asa, haka mliria buwana, mungu wake. Haka sema, buwana, hapana kuliko wewe alia wakusaidia. Kati yake yeye alia hodari, anajijua kabisa. Katiake yee alie hodari na yee asie nanguvu, utusaidie ebuana Mungu wetu Kwakua sisi tuakutegemea wewe. Hallelujah. Pamoja nakomba mimi ni Asa, pamoja nakomba kuna vita nime shinda uko juhu, pamoja nakomba ni Nageshi, tumesoma Asa Nageshi. Anajieshi elfu elfu, anajieshi mia tatu elfu, na kule Benjamini anajieshi mia mbili elfu. Lakini anasema hivyi, mambo nyakati wapili sura wakumna ni msura wakumna moja. Nae asa akamliria buwana. Tayari wakati vita vimesha pangwa, Zera mkushi na wanajieshi waki wako hapa. Asa nae yuko hapa na wanajieshi waki. From nowhere to. Tena kwene vita ambayo haku itegemea. Mtu wa mungu do you? No. Vita nyingi tunazopigana ni vita ambazo hata hatu kuzitegemea. Yani umilalazako tu na mani, from nowhere kesho kina nuka. From nowhere tu. Watu wengi tungekua tunajua mtu wa mungu. Vita tukazo kutananazo. Wiki ijayo, wiki ii tu ngejitegemeza vizuri zaidi. Wiki ii tu ngejipanga. Light ungejua, siku hile ofisi ni ngeenda, boss ya ngenuza kitu falani ni kamjibu vibaya, probably usingejibu kabisa. Awata unge suma tuu na imeje sisiji. Light ungejua ile barabara unayo ipita. Awambo ungeipita wiki hiyo, ungepata ajali trust me. Hata usingepita ukwa. Light ungejua, yule boda uliye request. Sukuhyo mtangiane uvunguni kwenye hari ya msa wewote. Gafla ulikua unamungu. Gafla itunajikuta moe kuna chuma, dhani ya chuma, dhani ya chuma. vitu vingi minavotu kuta watu wa mungu ni vita mbazo hatu kujipanga. Light wangejua watu kama miaka mitatu mine kutokea leo ondoa mbao inasign ye unapokea dada ue, unapokea awe, unapokea piti ya mefungisha ondoa. Jumamusi lopita ni kua naangalia bibi ya Rusia na vajibu haraka. Nasema hivyo we dada, unajua unachokionge wenda kuhishi na binadamu wenzio huyo, kuna sana koroma, unajua kama anakoromaga. Unajua kama anatafuna chakula bibapiti, hamefungisha andoa jumamusi ili opita. Dada alikuwa alajibu kwa mbwembe, piti atajamuikia kitabu vizuri kishasoma. Mimi Jessica, nakupokea wewe, muna nasema dada tulia, nakupokea wewe, kakadani. Malacheke kaskati ya Kiapo. Light watu angejua. Zile ndo, do you know? Siku ya arusi ni moja kati ya siku ya mazo mtu anafura sana. Kutapale biarusi anasaini kwa Mikogo na kuambia. Kabusi nyunyuka liweka hapa, nguonye upe, makucha kwangu natania, anasaini. Hey, saini apa mrs. Zidani? Mweme anasaini. Light yangejua. Bada muda kidogu atasaini ye uyo uyo divorce. Trust me. Siku ye siku ya arusi atange jidaya na umu atumbu. Lakini vita nyingi zinazo tukuta ni vita ambazo hatu kuzitegemea, hatu kujua. Light tu ngejua tutachana, probably tu singe wawana kabisa. Light, watu angejua kama watafia kwenye vitanda siku ya kujifungua ni amini mimi, hata yu mimba singebeba. Light angejua Hiyo barabara anayo pita, ngenyuwa tu kama wezi wata mkaba waondoke na iphone yake mpya, trust me asinge pita. Light wangejua kama saatisa saa kumi usiku wezi wata kuja nyumbani, wata niimia TV yangu, nimenua LG mpya. Ndiyo kwanza nime kusumia mshayarangalau basi ni yone dunia kiganjani, nimenunuwa i TV. Laiti mambo yote yanayotupata mabaya. Tungenyuwa sisi, tutafiwa. Tungenyuwa sisi, tutauguza. Tungenyuwa sisi, tutafilisika. Trust me. Tungeomba bila kutiwa moyo. Tungefunga bila kuambiwa mifungo. Lakini mambo mingi bibi ya nasimaa kutabuchi wa Thethaloniki ya mefichwa. Kwenye macho yetu ya meficho kuhu hatuoni, hatuoni kuharaka, hakujua kabisa asa, hakujua, kwa mba ataamuka kesho kuna zera mkoshi, hakujua, na ndiyo maana ni meanza mda mbrefu sana. Kwa introduction indefu kabisa, kukuvuta kwa mba mtu wa Mungu kwa sababu, wakati mungine hatujui ya lio mbele tu lazima, ujue kuna maali pa kutegemea na kuna maali pa kuegemea. Akiliyako haitoshi, inge kwa inatosha, inge kuambia wikijau kuna ajali. Akiliyako haitoshi, inge kwa inatosha, inge kuambia nonono. usiolewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewewew Kuna namna una behave tofauti. Kuna namna una fanya tofauti. Mimi kwa sababu naliuwa watoto wangu wadogu wana nitegemea. Kuna vitu sifanyi kabisa. Kuna vitu sifanyi kabisa. Hata kama wenzangu wa umri narika kamalangu wanafanya sifanyi kabisa. Do you know mimi kwa umri wangu kabisa? Kuna watu kama mimi saisi wako disco. Wamevavi ngubia watoto. Nani watu wazima? Ukimuangawa saini ngubia kambio ngaki. Kwa hivyo mtosha kuweli na hanaangayika kuhipandisha na hanaangayika kushuka. Kwa kati ya mfufu hanaipandisha njuu, ndiyo kali kanude kanavoshuka. Do you know yuko mtu saizi? Hanaaliwaya refu li natuwa moshi yanavuta. Mutuwa umri wangu. Lakini kwa wale watu wanao nitegemea, miso huzi kufuta ule moshi? Kwa sababu mapafuwaya. Ninaitaji kweli yani, nataka kuwepo siku ya arusi wa tutoangu. Kitu tutuchamu kidogo kabisa kinamiaka mini, na bini nataka niyone ni mtugani atakai mkwapua au kumchukua mtutoangu. Kuyo natamani niwepo siku ya arusi wa tutoangu, kwa hiyo inanilazimu mimi kuyangaria afyangu. Kwa huli lilio moshi lile siwezi ni kalivuta alafu moshi mgini uamue tufutoka huku au utoke uku au utoke mdomoni siwezi kwanini kwa sababu kuna watu wanategemea Kuna vitu kisha muonesha mungu kama unategemea kuna vitu atakufania hallelujah Kuna vitu hato kufania, hato kuacha uhayu wako kwenye mikono ya aduizako hallelujah Ata kusaidia bibe ni nasema hivi nae asa Kwa hile introduction yote nilikuwa na kufuta mahali pa kujua hivi, lazima umetegeme mungu. Kwa nilimetegeme mungu, ilimu kuna mahali haikutoshi, ngekua inakusaidia we, unajua. Do you know? Juzi. Siku kama 5, 6 nikuwa na safiri kuna mahali. Sasa usafiri ambao nilitumia. Ndiyo nikasema ukasema na jidayi, lakini haina usafiri yambo ni ikuwa natumia kuhu kukawa hakuna namna naweza kupata internet. Then gafla nikakumbuka kuna makala flani roy kuidownload nikaisoma. Nikasoma kumba do you know mji amba unaungoza wanawita aduniani the city of love. Paris mji wama love itafi mpenzi mausiano. Ndiyo mji yambo unaungoza number one kwa jiri ya divorce. Yani indomuji yambo watu wanachana kuliko kijijini kwenye. Babu yangu na bibi yangu walitengana. Sio kama uko France andugu yangu. Unawaza kwa kaji watu, apa nasema aji? Kwa kaji watu anapo zidi kuwa wasomi, ndivyo vitu vinavu zidi kuwaribika. Kwa kaji watu anapo zidi kuitegemea science na teknolojia, ndivyo vitu vinavu zidi kuwaribika. Kwa kaji watu anapo zidi kuzitegemea akiri zao, ndivyo anapo zidi shinduo kuhishina bila damu mwenzao. Unishayikuwaza, professor. Chuwoni, anawezo wa kuatend, wanafunzi kunyadalasa mia, mia msini. Haka wasaishia mitiani yote. Haka kuambia weo umepata A, wewe utarudia umetiani, wewe ini supplementary, profesor mmoje. Lakini nyumbani anamwana mke, hui moja, anamchekecha, anamchanganya. Profesor anamuke na utotu wa tatu, hawezi kuahendu. They are all drug addicts. Ukuchuwoni, Ya hindi umtawala. Anagawa tu supplementaries na ehe. Manaki ya kiri ya itoshi ya kiri ya kuendesha wanafunzi darasani. Nitofa uti kabisa. Na kiri ya kuendesha mamamdjengo hukunyumbani. Uja wa hikuona. Mwanaki haki, na nilimuna tumesoma sana na kuhumia mrefu mithali sura ya 3 musali wa 5. Nikuanda katofike yapa. Akili haitoshi. Usiamini sana akili yako. Kila akili yako inapukuskuma kwenye kuwanzisha biyashara. Rudi nyuma kidogo, fanya kama asa. Bibiye na sema hivi asa, haka mlilia abuana. Kumlilia abuana, haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa haaa Ukiona maali popote kwenye Biblia, imiandiku haaa evina wana wakamlilia haaa buwana, haya kuwa machozi. Wakaomba, prayers. Nae Asa akamlilia buwana, mungu wake. Haka sema, wakati uo vita imesha we kwa pali, zera mkushu na jeshi laki wako pali, Asa yuko pali na jeshi laki. Lakini kambila vita, lakikambili 3 kambila vita, haka sema evi, Nae Asa akamlilia buwana, mungu wake. Haka sema, buwana, hapana kuliko wewe alie wakusaidia. Nina jeshi sawa, nina connectioni sawa, nina mtaji sawa, mayi wangu wana nipenda sawa, ananipa kila kitu sawa, buwana umeni bariki, chombo cha usafili ninacho sawa, nyumba kuhishi nayo sawa, lakini hakuna wakusaidia, wewe alia wakusaidia, kati yake ye alia hodari na ye asiena nguvu, utusaidie e buwana mungu wetu kwa kuasisi tuakutegemea wewe. Imagine a king, wu ni mfalme, sijajua nduwe nguwe ni mfalme wawapi ya pobonyo kwa samani. Sijajua, lakini wu ni mfalme, a king, praying to God. Nini wewe sababu ya kuniuliza maswari kila siku? Kwani tunahomba mama piti? Kwani tunahomba? Hivyo itafika lini itutapumzika? Kila nikiangare pejia kwa muka na mama piti, muka na mama piti. Lini itatokia lala na mama piti? Kwa mtu mmoja na menitumia DM ni kama shangaa. Nikaishe tu kumuliza, my dear how old are you? Probably ni mdongo. Hala mbe mamapiti, kila siku ni yamuka na mamapiti. Lini sasa itakuja lala na mamapiti, ni mechoka kuamuka. Imagine a king. Mfalme, mfalme anamajeshu na usafikia likuwa anamajeshu, hawakua wawili. Wewe tunumarafikiza kuhu wa tatu watu wa saliti. Wate wana kusnitchi. Ukigyoza tukijoka kusema mshepu yenye bati. Ukigyoza tukijoka kusema mshepu yenye bati. Ukigyoza tukijoka kusema mshepu yenye bati. Ukigyoza tukijoka kusema mshepu yenye bati. Ukigyoza tukijoka kusema mshepu yenye bati. Ukigyoza tukijoka kusema mshepu yenye bati. Ukigyoza tukijoka kusema mshepu Musalimie ni shiemu, yani kwenye akiliza wanasikia hivi, mchukuwe ni maiwawu. yenye bati. Uk Mana ujua wakati muwe kwenye uwanatu, watu ni waju wajisan. Hapana mimi, tunakundiletu, mapitisha na mka satisa. Sasa tunakundiletu, inaituwa mka satisa daka 25. Tupo hivi wadada, tunajita Soul Sisters. Soul Sisters ni kundiletu wa mbea kuliko wewe. Asa likuwa na jeshi. Anawana jeshi wakumtosha. Asa alikuwa na CV na ujitosheleza King Mtulivu. We ata ututulia Mtulivu. Mbibye ni nasema hivi lakini halipo yonavita mbele yake. Ha kusema hivi konexionsangu hapa sasazi nisaidie. Hapa feather hangu nisaidie. Wateja wangu wanisaidie. And it was two person. Wala haikuonekana kama Asa. Haliomba na mtu yote. Hallelujah. Mbibye ni nasema hivi. Tina imeandika kwa umoja. Asa akamulilia mana kia likuwa piki yaki. Maombi ya mtu moja na wezo kuhita ushindi kwa ukomzima. Nivila tu ujiyamuwa kuomba kwa kumanishi Unaomba leo kesho umesusa Unaomba leo kesho umekata tama Unaomba leo kesho umekuazika Unaomba leo kesho unazini Unaomba leo kwa iyo mda watoba unakua mlefu E shangambu na kila siku yu dada Akianza kuavisha uimbo kwa budu anatubu Shida inakuani nini? Yana alitubu na leo tena Fita inakua kali kwa sabi ya dhabi Hallelujah Tuzifike yuko, tutanziyo yuko kesho Nae asa akamlilia buwana mungu wake Akasema buwana, imagine Mtu mwenevita, mtu mwenesila, lakini badu wanapata muda wakumomba muu. Mtu wamuu. Kwa kwenye nini ni excuse? Chakuto mwomba muu. If kings can pray, kings in the Bible, the true book, in the Bible. Nini weki nakuzuhia, na kuhadha like you are so special, you can't even pray. Ukia mbombo na saa, minabantu niombe chakula. Awu tuko tuna kikawa pa nyumbani kwenye mbida wa kufungua na kufunga ndo wanichanguwa. Nasalaza kufupi sana. Utaki shida na mashetani. Naae asa akamliria buwana. Mungu waki akasema buwana, hapana kuliko wewe alia wa kusaidia. Mtu wa mungu kila unapo ingia kwenye vita. Vita aki uchumi, vita aki mausiano, vita aki afya. Kabla ujachukua kidonge uka ni pray. Mambia Mungu nisaidie. Hii kidonge hii ni kazi ya mikono ya watu. Lakini uenu unayijua tumbolangu, uvimbe wangu, HIV nili unayoi, sukari uenu unajua. Nakula hiki kidonge, lakini hiki kidonge hiki, ni kazi ya binadamu mwenzangu. Kama asa kabla ya kuenda kupigana, alimuomba Mungu, mimi ni nani kabla sijafungua duka langu ni siyombe. Ukifika pali duka nusenza kwa sababu ninaoda, ninaoda. Akaambla, don't be too quick. 5 minutes, 10 minutes. Omba. Humbie baba katika jina la yesu. Nisiku nyingire iu menipa nisaidie. Asa hakaomba, haka sema ivinaye, asa haka mlilia buwana. Mungu wake haka sema, buwana, hapana kuliko wewe alia wa kusaidia. Duma nasema ivinutu hakitege mewa, anakamu, kawo mzuri. Hata mimi kuna vitu sifanyo kwa sababu unajua wewe unayangalia. Lajua huu na nitegemea. Na mimi natamani kwa kweli birthday. Kwa hivyo mimi mbelo kijena mwenye na huu na nionayi. Hey guys, do I look old? No. Kwa huu lazima unyue. Na mina muli wako unapo kupelekesha hivyo. Uku kwa huu ndo pro max. Lakini kuna vitu suwezi kufanya. Kwa hivyo kwa sababu unajua we una nitegemea mimi, nitakulisha saatisa usiku. Kwa hivyo kuna vitu siwezi kujichanganya katika hivyo. Vivo ilivyo mungu wakitegemea wana. Come, come, wakomba nategemea wana. Kwa hivyo kuna vitu lazima hatakufanyea. Mutegemea mungu. Mithali sula 3, mithali 5. Wala untumaini ibuana kwa moe wako ote. Just be humble. Just be humble na mtegemea ibuana. Just be humble na untumaini. Na asa kamiliria buwana, mungu wake yaka sema, buwana, hapana kuliko wewe ya liya wakusaidia. Kati yake ya liya hodari na ya siya na nguvu, utusaidie. E buwana, kwa kuasisi, tuwa kutegemea wewe. Na kwa jina lako, tumekudia jiu ya jamii hii kubwa. E buwana, wewe ndiwe mungu wetu, asukushinde mwanadamu. ungekuwa wendio mungu, hivita asa angeshinda asingeshinda angeshinda kwa sababu wamekutegemia wewe, kila mahalu unapumambia mungu ni saidiye hapa siwezi, mungu wana kusaidia mungu nakutegemia wewe, hapa mungu nakuegemia wewe mungu ni saidiye, inawezekana na mungu wata kusaidia hallelujah, hallelujah kwa hiyo usiwe na ujiasiri kupitiliza, chocho tona cho kifanya mungu kuanza Unafanya biyashara mungu kwanza Unaoana kuolewa mungu kwanza Kuhishu na miada mwenzio ni kazi Mta mkuliza mungu kwanza ata kusaidia Hallelujah Mstari wakuminambili Basi imagine Buwana aka wapigia wakushi bele ya asa Just a simple prayer Kwa sababu kiunganisha uwa mstari utabundua hivi Uwe mtu wakuumba tata 20 Simple prayer mungu wakasikia Hakambe mungu kati kajeshi ili. Wewe ndiwa kutegemewa. Tusaidie. Mana sisi, sawa tunasiraa. Sisi sawa tunamitaji. Sisi sawa tunaconnection. Sisi sawa tunawafianjemi. Lakini inapofika kwenye kutegemewa. Egemewa na tegemewa, tuna kutegemewa wewe. Buwana, asukushinde mwanadamu. Tusaidie. Musatu wa kuminambili. Basi buwana, akawapiga wakushi mbele ya asa. Na mbele ya Ayuda. Wakushi wakakimbia. Simple prayer, wakakimbia. Msele wakuminatatu. Asa na watu walio kuwa pamoja nae wakawafuata mpaka gerari. Yani Mungu wakawatia anguvu kiaskwamba wakati maaluhiza wanakimbia, wakapata anguvu za kuwakimbiza. Nao wengi wakaanguka na wakushi hata wasiweze kupona kwa sababu waliangamizwa mbele za mwana. Sio mbele za asa. Ukishampisha Mungu vita inakuwa ya kwambi. Mbele za buwana na mbele ya jeshi rake na hao wakachukua mateka mengi sana, msarokumna nene. Wakaipiga mingi yote kando kando ya gerali. Maana hofu ya buwana ikawajia. Ni moja kati ya sila kubwa sana ambao Mungu waneza kawasaidia atuwake. Ni kuatia maaduiza kuhofu. Kila wakati naisi kama nakimbizo atuwa. E ni kama unamuangali ya kumba unamuangali. wakai piga migi yote kando kando ya gerali maana hofu ya buwana ikawajia na wakaiteka nyara migi yote kwa maana zilikuwa mondani yake nyara nyingi uno wakazi piga pia hema za ngombe wakachukua kondohu wengi na ngamia bonus ya vita halleluja halleluja mtege me buwana mambo ya nakua ni mpesi Hallelujah, wala usizi tegemei akili zako monyewe. Katika njia zako zote, sio mbili. Sio njia tatu. Sio njia moja tuya biasha. Njia zote. Njia zote mtegemei buwana. Kumtegemea buwana ni nini? Ni kuomba. Ukisikia mahali mtu na kumbia kumtegemea buwana. Sio kumuachia buwana kwenye akili yako. Kwa mba buwana, kama hali kusama mapiti, mimi nalala. Sasa, Na kumtegeme abuana ni kuomba. Ndiyo mana tumesoma kuna mistari wakumi na mmoja, Naye Asa akamlili abuana. Yani Naye Asa akaomba. Kuomba kwa tafsiri nyingine ndiyo kumtegeme abuana. Amuka na mamapiti leo inatuwamusha kwa mbakatika njia zetu zote tumtege meye buwana. Akili zetu hazitoshi tumgekua mbali sana. Kwa sababu wengi wetu sisi ni wasomi. We we oni maisha ko. Yangaya tu maisha ko na voice. Utagundua maisha ko na ilimu uli wasoma mko mbali sana. Mbali sana. Ani we ulipo hapa. Ulitakiwa kuwa mbali. Mana ake ni kua mba. Akili ya mtu ya darasani haitoshi kumusaidia kupiga na vita. Na do you know, hata vita zandoa zina wa shinda wa somi kuliko watu wa vijini? Watu ambawa wajesomo. Vijini watu wanaendelea vizuli. Kila mwaka ukenda kumsalimia babu yako, bibi yako ni yule yule. Hajiabadilisha bibi. Hi-end wengu naendelea jihapo sinza. Unapractice divorce, hata udiyawa umeshe acha wadada, uengi sana, uengi sana, practical divorce. Yani ukiingia kwenye nduha divorce 15, kwa sababu umesha kuwa mbobezi. Tangia mwaka ume yaza, tunasema uni mwaka wanuru, basi ue na fikiri ino ue ako. Sijui miangazaji, unapractice divorce kwa nini? Zahidi sana mtu anavyo zidi kuwa msomi na kuwamini elimi yake, na kuwamini nguvu zake, na kuwamini kariya yake, na kuwamini connections zake, na kuwamini vimitaji vidogo vidogo alivyo na vyo. Ndivyo mungu anavyo zidi kusogea. Mungu wetu ni mungu wa mbae uki muita kwa sentesi moja tu hui wapa Kumtege mea buwana manake ni kuomba Kumtege mea buwana si okunyamaza Kila unapo nyanyuwa mikono yako ujua subuhi Ukambia baba kati kajina la yesu Ninaikabithi siku ya leo Nina kuomba buwana kati kajina la yesu Kama tulipo ujifunza leo na mtumishi wako Kwenye yamuka na mamapiti, yakomba tukutege mea Baba ninaikabithi siku ya leo Kwenye mikono yako, bariki biyashara zangu, bariki kazi zangu Bariki ndoa yangu, bariki watutu wangu, kati kajina la yesu, kazi ya mikono yangu, ninaamuka asubuhi wana, naelekea kari ya koho. [00:35:07] Speaker B: Naelekea sokoni, naelekea mahali kata mkala, kutifuta kibote, baba, na kutegemea wewe, na kutegemea wewe, na kutegemea wewe, kwenye kazi zamu, na kutegemea wewe, huta nisaidia, huta nisaidia, sawa nina akiri, sawa nina connections, sawa nina mesoma, Sawa kabisa ninafanya kazi sendui kabisa, lakini nafakudza kataya masaya Rikuza kataya masaya, yandarabuze kataya masaya, Rikuza kataya masaya, kati kajuna yandarabuze kataya masaya, Shetirebuza kataya masaya, ekarabuza kataya masaya, yandarabuze kataya masaya, Shetirebuza kataya masaya, Reku za kataya masaya, rebu za kataya masaya Sheke rebu za kataya masaya, yanda rabu za kataya masaya E sheki ribuza kataya, rekuza kataya masaya Rekuza kataya masaya, rekuza kataya masaya Rekataya masaya, yanda ramazi kiti, yanda rabuzi kataya masaya Sheki ribu zangataya, sheki ribu zindaya masaya Rekataya baba, sheki yanda ramazi kataya Reku zangataya, reku zindaya mali yanda rabuzi kataya Sheki ribu zangataya, rekataya mali yanda rabuzi kataya Rebu zangataya, ramandaya mazi kataya Rabo za kataya, rabo ze naya masaya, rabo ze kataya masaya Sheke reko za kataya, reko ze naya masaya, reko ze kece yanda ramasaya Sheke revo za kataya, revo za kataya Zakataya masaya, ya ndarama zekete, ya ndaramo zekataya masaya Revo zakataya, revo zendaya masaya, shete revo zakataya, shete revo zendaya masaya Heka ravo zakataya, heka ravo zendaya masaya, ya esha tara baba, zekete ya ndarama masaya Kachara maza daya mazaya, shatara woza katnaya, reko za kachaya, reko ze kachaya mazaya, reko za kachaya mazaya, chepi reko za kachaya, yandara mazlepeche, yandara woze kachaya mazaya, reko za kachaya mazaya Kwa hivyo kwa hivyo kwa hivyo kwa hivyo kwa hivyo Masaya, revoze naya masaya, revoze kachaya masaya Oza kachaya, yandara masekeche, yandara voze kachaya masaya Cheke revoze kachaya, cheke revoze naya masaya Cheke revoze naya masaya, cheke revoze naya masaya Shatara oza kachaya, yandara masekeche, yandara voze kachaya masaya Shatara oza kachaya, yandara voze kachaya masaya Weko za kataya, weko za ndaya masaya Weko za ndaya masaya, weko za ndaya masaya Weko za kataya, weko za ndaya masaya Sheke weko za kataya, weko za kataya Weko za ndaya masaya, sheke weko za kataya Yandara bababa, yandara masaya Yandara boze kataya masaya, yandara boze kataya masaya Yandara boze kataya ba Zakataya, rabo zakataya, remandaya masaya, remandaya mazekataya masaya, remandaya mazekataya masaya Erebo shakataya, zeke tenyandara masaya, zeke tenyandara masaya, sheke rebo zakataya, sheke rebo zendaya masaya, sheke rebo zendaya masaya Ashete reko zendaya masaya, reko zakataya, reko zendaya masaya, reko zendaya masaya, reko zakataya masaya, shata rago zakataya, yandara masaya, yandara masekete, yandara masaya, rago zakataya, rago zakataya masaya, yandara masekete, yandara masekete, masaya, rago zakataya, yandara masekete, yandara masekete, yandara masekete. [00:40:29] Speaker A: Yandara masekete, yandara masekete, yandara masekete, yandara masekete, yandara masekete, yandara masekete, yandara masekete, yandara masekete, yandara Hallelujah. masekete, Kwa hukia ambiwa kumtegemea buwana, manake ni kuomba. Kila wakati, kwani utukisema hivi, ui mtu anantegemea mimi kwenye kila kitu, manake kwenye yada anayambia. Kwenye kodi anayambia, akitaka garama sa matibabu anayambia. Huko ondo kunaitua kumtegemea buwana. Hallelujah, yani kumtegemea mtumine, kuhu kumtegemea buwana ni kumuomba, wezi ukasema unamtegemea mtu kama umombi, hatuwezi kusuma unamtegemea, mimi unamtegemea tu buwana, hapa ni manyamaza zangu kimia na muwasha buwana, kunya maza kimia siyo kumtegemea buwana ila kuomba kulitia jina la buwana, ndiyo kumitegimea buwana. Ndiyo mana asa bibiye na sema hivi, asa haka mlilia buwana. Na hakulilia atuwa kai sheku, haka muambia buwana, utusaidie. We buwana ukawe muamuzi, katia mtu alia odari hapa na alia mnyonge. Sisi kama sisi, hatuwezi, msaada unatoka kuhako. Sana ilikuwa fuku sana, bibiye na sema, mstari uliofu atatu. wakapigwa wakushi mbele za mbwana. Kwa hiyo usikai kimia. Nini wenye kumkumusha mbwana usikai kimia? Kwa nini? Kwa sababu kikika kimia tu, unasendi signal kwa mba everything is fine. Everything is fine. Hie ndiyo kwanini tunaomba? Tunaomba kwa sababu sauti zetu zikiwa zinasikika, zinafika mbinguni, zinafika kwenye umongu waro, zinatoa alam kwamba something is wrong. Hebu tusikirize kwania nasema aji? Kwa sababu unajua kama mtoto haongei, au kama mtu haongei, let's say rafiki ako, business partner, mkeo, meo. Do you know it is very hard kujua anataka nini? Until haki-communicate, until haki-ongea, kwa hiyo kuna wale ambao kiwambia, haa, kumtege mea buwana, base nasema hafadhali. Kutia mamapiti ni kua nasubiri kweli ufundishe ilo somo ni pumziki. Hapana mtu wa Mungu. Kumtege mea buwana, mana yake ni kuomba. Kila unapo fumba macho yako, ukanjenyuwa mikono yako, juu na mna ii. Ukamambia Mungu, na umuwa. Nauna, daktere kanebe na uvimbe. Wame sema na kansa, wame sema na utiai sugu, malaria iponi. Mala nina kichakidogo no kinaanza, mungu nisaidie. Huko ndiyo kumtegemea buwana. Kuhutu liko suma kwenye mithali sura ya 3, mithali ya 5, mtumaini buwana kwa moe wako hote. Wala usitegemea kili zako mwinewe. Kwenye njia zako zote, nambala pali menikua? Katika njia zako zote, mkiri. Mkiri manaki ukiri mfanya, ni kukumbali, kualayi na Mungu kwa mba Mungu kwenye jambo hini nisaidie, kwenye biyashara hini nisaidie, kwenye ndoa hini nisaidie. Mtu wa Mungu, tuumeumbwa kuto kunyitegemea. Kila mtuto na nijitegemea ni mtuta wa mbemu nishida. Ndiyo manabiwe na sima hivi hata mwana mpotefu. Kwanza hali tuwa mpotefu kwa mba jahundoka. Hata mwana mpotevi, hali toka vitu vile vio mshinda hali rudi kwa nini maisha yanamna ya kutegemea na sisi sasa tu meumbwa kwa sura na mfano wa mungu, hatuna kingine cha kutegemea, hatuna kingine cha kutegemea sisi tu na mtegemea mungu, 2 verse Tubas. Ukimona mtu lategemea mtaji wake, connection, uzuri wake, feather yake, something is wrong. Sisi, kukua tumeumbwa kwa sura na mfano wa mungu. Tumeumbwa kumtegemea ye alietu mba. Kumtegemea ni kuomba. Hallelujah. Hallelujah. Kumtegemea mungu ni kuomba. Ukimuona mtu anaomba, hata kama haja kuambia, kwa luga nyingine anakuambia hivi, namtegimea mungu. Ukiona mtu anafunga vifurushi viake, anaenda kwa mganga, anakutumia signo, anakuambia mimi tumainilangu, lipo kwa mganga huyu. Ni vile tuwa haja kuambia, uki muona mtu wa mbiba kipochi, ana kadi hospitali, hami panga fuleni, hata kama haja kuambia, ana communicate na wana kumbia hivi, tumaini langu ni kua kuhu ya daktari. Mtu wa munguwewe ni shahidi, wakati munguwe tuna uudumiwa na madaktari, wazinzi kuliko sisi. Waongo kudiko sisi. Wakati mguni wamelewa. Daktari ana-prescribe dawa. Hakia wamelewa. Ndiloe kutuwa mfano hapa, tunamzewe tu tunduma pale. Alifanyua operation na madaktari bingu wa huko alikoenda. If you know what happened? Waka chukua vile vifa baada akumaliza. Magozi yale na mapamba waka ingiza ndani ya tumbo, wakafunga. Imagine uwe ndiyo mali ambako unatege mea. What a risk kumtegemea mwanadamu mwenziru. Hamba yei mwenye tuwa kiliza kia zimtoshi. What a risk kumtegemea mwume, kumtegemea mke. Ni changamoto. Kwa hiyo sisi tunatakiwa kumtegemea Mungu tuu Zaburi ya 34 Mstari 18. Lakini tuanzia Mstari 18, tutailewa vizuri. Zaburi sura 34 Mstari 18. Na ali mtafuta buwana, haka Nijibu. Mungu ni muwaminifu sana. Kila unapu mtafuta ata kujibu. Nalimtafuta buwana, aka nijibu. Aka niponye na hofu zangu zote. Waka muelekea macho wakati wa nuru. Wala nyuso zao hazitahona hae. Masikini huyu alita, buwana akasikia. Kuhusu mimi ni masikini sana siwezi kuomba? Hapana. Masikini huyu alita, buwana akasikia. Aka muokoha na tabu zake zote. Malaika wa buwana ufanya kituho. Aki wazungukia wa mchao na kumuokoha. Mstari wa nane, onjeni muone ya kuwa buwana yu muema. Heri mtu yule anae mtumaini. Tumaini lako wa subuhi ya leo mtu wa mungu. Lisiwe kwenye kazi ulionayo, lisiwe kwenye feather ulionayo, lisiwe kwenye connection ulizonazo, lisiwe kwenye mume au mke wako, lisiwe kwenye wategye ulio kwa mbiya leo ulatakuja kununuwa, lisiwe kwa daktari amba nakupa izo dawa kila wiki za sukari. Tumaini lako kwanzia leo uliwe kwa buwana. Kila unapuamuka asubuhi, mambiye buwana na kutegemea. Buwana na kuangalia. Kwa jili ya afya yangu na kutegemea. Kwa jili ya data ya tutuhangu na kuangalia. Kwa jili ya afya yangu ni wewe tu. Kwa jili ya amani nyumbani kuangu ni wewe tu. Ili nile chakula leo ni wewe tu. Ili niwe mzima ni wewe tu. Buwana na kutegemea. Siyo kwa mawili, siyo kwa matatu. Kwa kila kitu. Siku inapuanza leo buwana na kutegemea. Na kutegemea utanilinda. Kila nyavu wambazo nimeandariwa, za kunikaba, za kunichosha, kila mashimu yalio chimbwa kwa nyiliyangu, buana na kutegemea. Utaurefushia mgu wangu sana, utavuka, sita numbukia kwenye shimu hilo. Buana na kutegemea, utanitoa. Kwenye dhiki na tabu wambazo nimepangwa, kuingizwa siku ya leo, buana utanitoa. Uta nisaidia. Mimi na nawa penda. Katika jina la Yesu. Baba katika jina la Yesu. Jina lako baba libarikiwe. Wewe ni mungu muema na mungu mzuri. Yomba pamoja na mimi mtu wa mungu. Wewe ni mungu muema na mungu mzuri. Tuna kushukuru. Kwa jili ya wema na fadhili sako. Kwa jili ya uzuri na uwaminifu wako. Asante kwa jili ya somo la leo ambalo umetupa kujifunza kukutegemea. Buwana, tuna kutegemea. Kwa nzia leo hii, tuta kutegemea. Kwenye kazi zetu, kwenye biyashara yetu, kwenye maisha yetu, pati kajina la yesu. [00:48:18] Speaker B: Hallelujah. [00:48:21] Speaker A: Wache niombe kwa jili ya nduguzangu na watu wate amba wame ni amini na kusima mama piti tuna wamuka leo pamoja na wewe baba katika jina la yesu Asante kwa jili ya siku ya kwanza kabisa kwenye msimu umpia wamuka na mama piti Jina lako baba li barikiwe Na kushkuru kwa nduguzangu hawa uliwa panafasi ya masaa haya ya kuomba na kujifunza pamoja na mimi Baba neema ya kukubwa ikawe juhu yao wakajifunze kukutumaini wakajifunza kukutegimea katika hali zote. Baba ukayanyoshe mapito yao. Kila kwenye shida, kwenye tatizo, kwenye changamoto, kwenye kilima na bondi Baba ukasawazishi. Iwe ni kwenye afya, iwe ni kwenye kazi, iwe ni kwenye biyashara, iwe ni kwenye mausiano, iwe ni kwenye malezi ya watoto, iwe kwenye kila jambo Baba ukatusaimu. Katika Jinala Yesu, tuka jifunza kukutegemea, tuka jifunza kukuegemea Katika Jinala Yesu, nina wabariki, dugu zangu wa wakike na wakiume Siku ya leo ya Jumamosi, ikawe ni siku iliojia baraka za buwana Kwenye kila jambu atakalo weka mikono yawo kufanya, alikabarikiwe Kati kajina la yesu, wanebiyashara ndogo ndogo na biyashara kubwa kubwa. Wenye kazi za chini kabisa paka wenye kazi wanazozio na nizanyu kabisa. Baba baraka yako ikatambaye pande zote. Uka wape amani pande zote kama olivu mpamphalme asa. Waka weze kujenga na kufanika. Kati kajina la yesu, wakajenge ndoa zao na kufanikiwa, wakajenge biyashara zao na kufanikiwa, wakajenge afya zao na kufanikiwa, kati kajina la yesu. Jumamusi ya leo itakuwa ni moja kati ya jumamusi bora sana wali zo wa hikuanazo. Kati kajina la yesu, uka wabariki wato kapo, uka wabariki wato kapo wanaingia apia. Kati kajina laesu, umikono yao, itakapo jiingeji kwene kutafuta chochote, chama pato siku ya leo buwana, uka wajibu. Kati kajina laesu, uka wabariki, bariki vyombo vyaho vya kukandia unga, bariki biyashara zao, zinaza waingizia vipato. Kati kajina laesu, wabariki mtu muja muja na tubariki kama kundi ambalo tunawamka saati sai kukuomba. Kati kajina laesu, wanao itaji uponyaji wandoa zao, baba uka waponyi. Wanao itaji msaada kwene biyashara zao, baba uka wasaini. Wanautaji ya mani kwenye maisha eo, baba uka wapi. Kina mmoja mmoja sawasawa na uitaji waki, baba uka mbariki, uka msaidi. Katika jina la yesu kusumu ana munga leha. Hallelujah. Asante kukua pamoja na mimi kuanzia muanzo mpaka mwisho ibadahe. Usiache kuhomba, usiache kumitafta mungu. Na kama umebarikia na maninohaya, unaweza kutuwa sadaka yako kupitia nambazifatazo 0659 68 75 69 au 0753 08 57 89. Shalom.

Other Episodes

Episode

October 25, 2025 01:30:11
Episode Cover

Watu kama Malaika IV

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

Listen

Episode

October 10, 2025 01:37:06
Episode Cover

Kumjenga Mtu Wako wa Ndani III

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

Listen

Episode

September 08, 2025 01:15:30
Episode Cover

Strengthening Your Inner Man I

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

Listen