Episode Transcript
[00:00:00] Speaker A: Shalom mpendo wa wabwana. This is Mama Piti na leo na kukaribisha tena kule isikeleza neno la mungu. Biblia inasema maneno yangu ni roho na uzima. Neno hili ni inawezwa kufufua tumaini na kuleta faraja moyoni. Wenda upo kwenye dhoruba au mawingu mazito, lakini kuna neno la mungu li lo hili na loweza kutuliza mawimbi na kukuletea amani leo. Karibu.
[00:00:24] Speaker B: Fungua epa moja na mimi kitabu cha warumi.
Sura ya nane.
Wanayeswa sfiwe sani.
Warumi sura ya nane, mstari wa ishirini na sita.
Kadhalika roo nae hutusaidia udhaifu wetu.
Kwa maana hatujui kuomba, jinsi itupasavyo.
Lakini roo mwenyewe hutuombea, kwa kuubua kusiko weza kutamukwa.
Nime waza andiko hili nikasema.
Wakati mwingine tukiwa tunataka kujifariji kwenye upumbavu wetu.
Tukiwa tunataka kujifariji kwenye mambu ambayo siyo ya maana.
Tunatumia statements mbali mbali. Kila mtu na udhaifu wake.
Hakuna binadamu ambaya mekamilika.
It's such a perfect God. Such a perfect God. Kila project yake, it is so perfect. Kwa hiyo kila wakati unaposikia kawuli kama hatunjua kamilika buwana.
Kila mwanadamu anamapungufu ni kawuli ya mtu wa mbae anayajua mambwana yotenda.
Na hayupo willing kuyachia, kwa hiyo anatafuta statement sentesi ya kumsaidia. Uthaifu mwanadamu alionau peke ambao mimi na ufahamu ni uthaifu wa kushindwa kuomba ipasavyo.
Sio kuzurula. Usiseme, aaa mimi uthaifu wangu, umbea. Ni kiwaona tu watu lazima ni wachonganishi. Mimi uzaifu wangu bana, kina baba wehupe, mama, mama, mama. Kila nikiona yani maafika. Huo siya uzaifu, hiyo ni tabia mbaya.
Ambayo mwenyewe kwa kupenda, kwa komwenyewe. Unaendelea kuhilea, mpaka siku ikutende jambu. Uthaifu siyo kushindu wa kuwacha kuzulula, siyo nini, siyo kupambana na matendo ya mwili, hapana. Mbibye nasema matendo ya mwili ni thairi wa sherati, uongo, uchafu, uuchawi na mambu ya naufanana na hayo. Lakini watu wa kiwa wanaungozo na roha, wakotena chini ya sharia. Kwa yu uthaifu peke ambao mimi hua na unotice Na mbao unatoka na naneno la mungu na nimewambia nduguzangu maranyingi, Biblia ni kitabu chakweli. Lazima ifike mahali, tukubaliane. Kwa iyo, kama Biblia ni kitabu chakweli, kila kitu ambacho ki meandikuwa kwenye neno la mungudhikuweli, maandikuwa nasema halika thalika. Roho nai, hutusaidia udhaifu wetu. Mimi nilikuwa nikisikia udhaifo. Nasema labda uzhaifu wake uvivu. Waka sumui, hawezi kufanya shuli ngine kwa hiyo uyu. Labda mgonvi, uyu mkorofi, uyu mchafu, uyu anahendikeza mambo ya mwili. Huyo siya udhaifu. Hayo ni matendo ya mwili Ambayo wewe mwenyele kwa kuamua kwako, umeamua kuyachiria ya endele kwenye maisha yako. Na eventually baada ya muda tu yata kupa matokeo.
Mtu yoyote yasikudangani.
Maandiko yanasema katika mambo yote, yata kayo pita. Nyakati ama manyira ya kupanda na kuvuna, yana remain constant kila wakati.
Na tulivyo sisi leo na tutakavu kuwepo kesho ni matokeo ya kupa. Yani hapo lipo it's either unapanda au unavuna.
Na ndiyo maana kutokea hapa, kuenda mbele, njitahidi panda ya lio mema.
Usiwe na visingizio vingi vya kwanini unayafanya, unayafanya ambayo deep down in your heart you know kabisa this is wrong.
Hii siyo sawa na kama in case unohona kabisa hii menilemea na siyo sawa. Kila navu ujitahidi kuwacha kukumbanisha watu na shindwa. Ni kiyona tu watu wako sawa.
Razima tu nita chip ini kanyambo tu wangombani wa farakani. Una tenga muda wako. Tukiwa tu naomba kama hivi, unaomba, una mambia rumi takatifo nisaidie. Niboreshe hapa, niboreshe hapa, niboreshe hapa, niboreshe hapa, lakini huo siya udhaifu.
Uthaifu ni nini? Maandiku wa nasema katharika, roo nae utusaidia uthaifu wetu. Uthaifu gani?
Wa rumi nane, ishirini na sita. Bibi wa nasema katharika, roo nae, utusaidia uthaifu wetu, mimi ni kajua uthaifu huu ni kuabali ya mambo ya muilini, haka sema hapana.
Kwa maana hatunyui kuomba jinsi itupasavyo.
[00:05:18] Speaker A: Wow!
[00:05:19] Speaker B: Kwa hiyo huo sasa, generally, niyo udhaifu wetu sisi kama wanawamungu. Bass!
The rest izo ni mambo ya mwili ambayo wewe mwenyewe unamua. Ya kwa mba mm-mm, nimesha fanya sana mpaka hapa.
Kutokea hapa ni kiendelea ni itavuna vitu ambavyo siyo sawa.
Kwa kaji ambavyo, mchidu mupo.
Magira ya kupanda na kuvuna.
Hayata koma. Kuyo tutaendelea kupanda na kuvuna. Hapo olipo onduguyangu. It's either unapanda au unavuna.
Na sisi tunajua.
Kwenye kuvuna, siyo lazima mvunaji awe ndiyo yule yule aliepanda.
Na wezi kana, walipanda wazazi wako, walipanda muenza wako, walipanda mtu mgini, Lakini wewe ndo unavuna ila pia na wewe ndugu yangupo kwenye nafasi nzuri ya kupanda saizi kwa sababu baada ya muda kidogotu, jana nili wambia baada ya mudakidogotu utayangalia maisho yako utasema wow Haya sasa ndiyo mavuno. Haya ndiyo mavuno ya kuwepo kila siku saati sa macho. Kumbe nilikuwa sipotezi muda. Kumbe nilipokuwa na sema hivyi. Alaye asile tena kwenye maisha yangu kwa jina la yesu. Yule muizi asibe tena kwenye maisha yanguu kwa jina la yesu. Na kata kuibiwa. Na kata kuibiwa. Na kata kuibiwa. Kazi yangu waita ibiwa. Na fasi yangu waita ibiwa. na fasi yangu kwenye mioyo ya watu wa muimu kwa my destiny helpers haitaibiwa kwa jina la yesu afya yangu njema haitaibiwa watoto wangu hawataibiwa kwa jina la yesu maandiko ya nasema muizi haji ila haibe na kuchinja na kuaribu nina kata kuibiwa, nina kata kuchinjwa, nina kata kuaribiwa Kwa jina la yesu, hakuna kitu changu chochote, kita kacho waribika Kwa jina la yesu, hakuna kitu changu chochote, kita kacho chinjwa Kwa jina ya yesu, hakuna kitu changu chochote, ee kazi yangu imelindwa, nyumba yangu imelindwa, watoto yangu imelindwa, afia yangu imelindwa, biyashara yangu imelindwa Bada ya mda kidogo Utahangalia maisha ko, utahuona ulinzi. Kama shetani, anawezwa kuhona ukigo kwenye maisha ya ayubu, anawezwa kuhona kabisa this is the frame, this is the security, why aimewe kuhapa? maana yake ue mwenye bada muda utasema asante yesu wao niliomba niliomba, niliomba na sasa naona kabisa nyakati zime pita miaka miwili, miaka mitatu, miaka mine, miaka kumi, ya amani na fura wao haya sasa ndiyo mazao ya maombi yangu katika jina la yesu muda utafika, una wangalia watutu wako, una sema wao wao mimi ni mzazi mwanyepu mziko aaa watoto wawenzangu unaskiliza tu stories au unaskitika pamoja na au unawaombea tu unambea usijali mama Joji usijali mama fulani aaa ayo ni mambu ya kawitha tubwana atakupitisha salama lakini muayoni moku unasema wafadhali nilipokuwa kijana mdogo sana nikiwa bado sina watoto au watoto angu walipokuwa wadogo kabisa hawaelewe kitu chuchote nilikua na waombea lakini kwa sasa Naona matunda, hallelujah.
Huu tunawafanya hapa ni uweke zaaji.
Sisi atupotezi. Lakini biblia nasema hivi.
Kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo. Kumbe, huu ndiyo wuthaifu. Hatujui kuomba jinsi itupasavyo. Kwa hiyo tunafanya aje. Lakini ROOM WENYEWE HUTUOMBEA KWA KUBUA KUSIKOWEZA KUTAMUKWA KWA IYO TUNAPOZUNGUMZA KWA BARIA MAOMBIA SIOKOMA TUNAPOZZUNGUMZA KWA BARIA KUOMBA BILA KUKOMA HALLELUJAH TUNAPOEZUNGUMZA KWA BARIA KUOMBA BILA KUKATATAMA TUNAPOOZUNGUMZA KUABARIA KUOMBA BILA KUACHEACHA KUOMBA BILA KUESKEPO ESKEPO KUALUGA NYINGINE HATUWEZI KUMUEKA ROOM TAKATIFU MBALI NA HAPO Nita kueleza kwa nini. Mwanadamu anayo milango mitano ya faham. Kama hume soma walao mpaka dala salatatu, si some sana. Kama humesoma tu mpaka dala salatatu, utakua unajua. Mwanadumu anayo milango mitano ya faham, ambayo kwa hiyo inamletea tarifa, inamletea informations, hallelujah.
Kwa mfano, mwanadamu ana macho. Kwa hiyo akiwa anatembea barabarani, na tukashauli wa nakuambiwa jamani, unapofika barabarani. Kabla ujiavuka, husi seme ya mina alaka na wai kununua mandazi. Kabla ujiavuka, embu, tazama, upande wako wako shoto na upande wako wako liya. Ye, hakuna magari, au vyombo vyovyote vya usafiri, vina vyokunja kwa kasi ili usigongwe. Uka sema basi haina shida. Ndiyo mana hua unatulia uki fika pali makumbusho. Unaangalia huku na huku na huku. Wakati mwingine kwa jiri ya uoga, hata gali liko mbali mbali onalisubivi.
Unasema mbu nisubilia kwanza haka, nisijie nikaundoka.
Why? Kwa sababu ya macho. Macho yana kusaidia kwa yu mwanadamu anamacho.
Kama mlangu waki wafahamu, mwanadamuu anapua ya kunusa. Harufu wanasema, mm, mm, ini dagaa pana.
Mm, mm, ipilau. Ndiyo. Au, mm, pona nasikia harufu ya mananasi?
Mbona nasikia kama tikitimaji? Lakini tikitimaji winakua ni metulia tupa. Halisemi Jojo, lakini mwanadamu anamasikio. Haya hapa. Haya hapa masikio wae. Ehe, umesikia? Umesikia nini? Baba Jojo na mama Jojo wamepigana. Mimi sikusikia, sikusikia saute. Mimi sikia tu tuk.
Tuk. Nikasema hii itakua ngumi au nini.
Masikio wae ando anayokuponza aye. Aye.
Tafuta plaster kunja weka.
Usiwa, unasikia mambo ya sio kusu. Masikia. Hii ote ni milangu ya fahamu. Kwa hiyo tunamacho, tunapua, tunamasikio, lakini pia tunahulimi kwa hili ya kuonja. Maana muhingini ni muongo. Tuanakanga vitungu samu, vitungu samu, vitungu samu, wako anayeka bamiya. Inakuwa atio filau.
Hei, ujifu kwa kone nyumba ya kupanga. Unaumia lo? Ananza bizu maamonya nyumba. Anayeka kitungu pare.
Naweka nyanya pare naiva nini, mazaga kaloti hoho nini. Anataka kutuhumiza majilani, aneka viyungo vya pilau. Kiyungo kina nuki ya shemeji. Aneka bamia.
Kwa hiyo wewe ukiwa kwenye chumba kina chofuata, unaanza kuteseka na kumsumbua mungu wetu. Uko hapi baba? Uko hapi nateseka? Nakula ugali tunachainizi. Una majilani yangu, kumbe siyo pilau.
Alibatha ya kuweka bila viyungo. Watu ni wabunifu. Ndiyo mana imi lango ya famu. Usiitege me. Ni ya uongo. Mtu anakahanga kitu ngu saumu wa kimaliza, anaeka bilinganya. Magi?
We uko uliko unaindelea kuteseka mcheleana.
Kwa iyo bilinganya ni narufu ya bilangu. We uko uliko unateseka kwa bali ya uongo. Ndiyo mana, mm-mm. Ulimi, ukasema hapana? Hapana. Naomba nionje kwanza.
Anaonja, kume ni bilinganya, minilijua pila mlangu wa farm. Kazi yake ni kukuletia talifa. Baada yapo kuna ngozi.
Mlangu wetu wa muisho kabisa wa farm. Ngozi, mala imesikia baridi, mala imesikia joto, mala imepata vipele, mala imepata nini, mala imepata... Ndiyo mana ngozi yako itunze ndubu yangu ni mlangu wa farm. Unauchanganya.
Ukiupaka vitu vingi sana mulangu wako wafahamu, unachangani.
Unakutuwa umevahama kote, ninasikia balidi haa itunze ngozi yako. Kwa nini? Kwa sababu ni mulangu wafaham kwa iyo. Mwanadamu anayo milangu yake mitano yafahamu. Mwanadamu anamaskio, mwanadamu anamacho, mwanadamı anapua, mwanadami wanaulimi, mwanadamyu anangozi, lakini mbaya zaidi. Hivi vitu vyote hivi, vina mfelisha kwenye kumpa tarifa ili osahihi. Kwa sababu, kuomba ni kazi. Ndubu zangu, mimi yapa nilikuwa naomba, umilikuwa mna niangaliatu hivi, wengine haka mtakishida, unatayi pitu amen.
Amen. Unajua kwa nini? Kwa sabu ni kazi.
Kufundishwa juu ya maombi ni kazi nye pesi sana. Kusoma vitabu vya maombi sasa bina ambili za ushindi. Raisi. Muongozo wa maombi ya kufungua muaka na baraka za kila muezi. Raisi sana. Si kitabu, unasoma tu. Lakini yapa mtumishwa Mungu. Ame tuandikia kwa bari ya maombi. Ila hiki ni kitabu cha maombi. Huku sio kuhomba.
Sasa bina mbili za ushidi, mama piti, utaweza. Masasa bina mbili, bila kula, wala kunywa.
Next retreat ya utarudi mondo kati kajina la yesu.
Next retreat ni three days.
Sabini na mbili.
Bila kula, wala kunyuwa.
Tuwane kama utakuja mahiwa ngu.
Ni rahisi, vitabu vya maombi ni rahisi. Mazungumzu ya maombi ni rahisi.
Hamasa nyamani tuombe, tuombe. Tukutane wapa tuombe. Hila kuomba kwenyewe sasa, ndiyo kazi.
Ndiyapokua ukifanikiwa. Hata kama ni dakikatatutu, ukaomba, utashanga.
Kwa nini? Kwa sababu maombi ya nafanya kazi. Ya nafanya kazi maombi kama tu mtu wa kiyomba. Point ya kwanza. Point ya pili. Akiyomba maombi ya rio sahihi. Kuomba siyo isho. Unaomba nini?
Na hapo ndipo tulipo kwenye mtego mkubo kwa sabu ni kazi.
Ndiyo mana, nasema hivyi, usiitege me milangu yako mitano ya fahamu kukuletea tarifa.
Kwa mba katika hizo tarifa, ndiyo uende.
Ndiyo uende kuombea hizo tarifa. Sio kweli kwanini? What if?
Unategemea, mlango wako wafamu wapuwatu kwa kuwa umenu sarufu ya pilawo. Unaanza kuomba maombi ya nayofanania pilawo kumbe jirani ya napika biringani.
Na nikaona mambia dada mmoja, siku cheche zirizopita, nika mambia shetani ya kisha kuona.
Wewe unapenda maombi. Nisikiritha kwa makini sana. Hii usikate tama.
Shetani akisha kuona unapenda maombi. Akisha kuona hawezi kukurudisha tena kwenye maombi.
Hawezi kukurudisha tena nyuma. Hallelujah.
Kwa bari ya maombi. Anacho kifanya, anakuwacha uwe muombaji.
Anakuwacha unaomba. Hakusumbui.
Lakini anakikisha maombi, anayokupa kama prayer point. Ni vitu ambavo avipo.
Kwa hiyo unaenda hours and hours kuombea hewa Kuombea hewa manake ni ni kuombea mambo Kulingana na milango ya komitano ya faham Siku zote, siku churches in Zopita, tumesoma ayubu tu kwanza Kama our case study, na uniambia mimi mtu wa mungu Ya kwamba kama maombi ayubu, ya nategemea tu mambo anayo yaona Ni yo maana, ni lazima ndugu zangu Tuwe na room takatifu. Tunyai na room takatifu Kwa sababu maandiku wanasema harika tharika. Lonae huyu room takatifuu. Hutusaidia sisi uthaifu wetu. Uthaifu wetu sisi siyo uzinzi. Uzinzi litabia mbaya. Uliwamua kuimbress. Baada ya kupata wa tutu wengi, utatulia tu. Utatulia tu, hatuna haraka na wewe. Wewe utatulia. Cliff utatulia Kutatulia tu. Yani hipo siku utasema hivyi, Yamani, ni mechoka.
Lakini utasema hivi mbele hako, King Swati. Una watu wengi, ukimuangalia mtuto, umkumuuki, eh eh, we na we ni mwanangu.
Aaa, mama ko nani?
Aaa, nyeni, yeni wabagamoe. Ukula tulia henda konya retreat. Yani, tutuko konya retreat, kuna mdada ulimuona, ukabitanae.
Pane amina mbona utakaa tu sawa. Yuu tabia ya kudokoe dokoe yu. Kuna mali siku utadokoe yu, watakunyakua, utarudi. Ndugu uzaku watahomboleza, bimbu vya bari jamani atu moni, atu moni. Ali imba this time wakamnyakua.
Halika thalika, roo nae hutuombea. Uthaifu wetu ndugu zangu, siyo kushindwa kupika. Ayo ni malezitu.
Uthaifu, siyo kuongea sana. Njamani, uthaifu angu, minaongea. Hapana, wetu umeachiriwa, ujalelewa vizuri. Mama ako wakua mkali.
Sisi, kwa tuwezi yata kumsalimia mgeni marambilu. Ukishia sima tu shikamo, unabia, okay, unapotea. Hila weo wana kuwatia, eh wageni, mpaka unawashika, devu. Mgeni anakombia achia toto, yani mtoto niache.
Nionge na mamako, mtoto wa undoki, na we mamamunyu unachekia pale. Musalimia aunty mbebe mwanangu. Yani sasa inafuwa shidha yani.
Wewe wala sio komba unawuthaifa kuungia sana, you had a cool mum, mi malezi tu, wali kuachili, wali kua na kuuogopa, wali kuuogopa kukuwaza, mgini mkumu na kuuazika sana wakati wadogo, mtuto mdogo kwa hiyo wazazi wali kuuagopa kukuonya, mgini tumelewa kuna nyumba hazina baba, baba haliwai kufaliki.
Mambo ya likuwa mingi, MV Mukoba. Baba lipita, kaaondoka. Kwa utu mekaa kwenye nyumba ambazo, tu melelewa na mamazetu tu. Kwa hiyo wakina mamazetu, wana tukumbatia tu. Tuna kusea, wana tukumbatia tu. Wana ogopa kutukuwaza. Kila ki takaa kugombeze, anasema atajisikia vibaya. Malemi baba aki ngekuwepo, ange mnunuulia boflo. Ule mukati unajitua ajale?
Anga mnunuulia mkate kuhumtoto na misbehave simply because baba hayuko nyumbani kama mama unajisikia vibaya, unasema si mgonbezi, si muulizi. Asinja akajisikia vibaya, asinja akaona kukua baba kia yupo, asinja akaona kukua mama kia yupo. Uo siya udhaifu. Hizo ni changamoto tuza ki malezi Maandiku wa nasema udhaifu wetu sisi Ni kwa kuwa hatu nyui kuomba, nisi itupasavyo Iko namna tunatakiwa tuombe Na yako mambo wambayo kweli tunatakiwa tu ya ombe hayo Lakini hayo mambo, sisi, hatu ya nyui Kenuhi manji, tunatakiwa uombe kitu amba cho kiju Ila room takatifu, ndaniyako ananyua Ndiyomana nasema milango yako mitano ya faham itumie lakini usi itegemee ni kisema usi itegemee manayake usisubiri milango hii mitano ya faham ikulete tarifa ndipo uanze kuomba hallelujah watu wa mungu sijui kama mnanyelewa changamoto ya kusubiri mambo yaje kwanza ndipo uanze kuomba Changamoto yake unaomba from a panicking state Yani unaomba from a panicking point of view Kwanini? Kwa sababu Usha wai kupato na jambo liko kwenye meza yako Liko mbele yako Halafu hunyui Ili jambo hapa nikeme Au nilie Waka muombolezea buwan Au nilie Au niandike signs and token.
Au ni mshukuru tu mungu. Kama mikate mitano na samaki wawiri. Au umiwe wangu ni mnyanyue tuju.
Niseme baba na kushukuru. Au kiri wawezi kumultiply.
Kesho nigiamuka nijikuta ni nai mwingine.
What can I do?
Kwa hiyo changamoto ya kusubiri mambo yaje Una kua kwenye mtetemo Na kitu yetu ya kwa sababu una kimbizana Na deadline ya lile jambo likae sawa Kwa sababu mambo yanapokuwa Ni kama mtu anapoumwa Una kua uko kwenye frustration mode Thank you Jesus Una kua upo kwenye frustration mode Ndiyo maana mtu yoyo Sijui nyiye ndugu zangu Labda wazazi uenu uko nyumbani ni wazima sana Wakati mungine mamangu anaweza akaumwa Kwangu bimi naona ni kitu kidogu, probably kukuo ugonjwa siyo wangu. Maybe pressure tu, magonjwa ya kizeka waida, ama sukari ya uchochote. Lakini anaboxi zadawa.
Ana kumbia hui unidokta Matembele. Jana anayuzi 2 or 3 days. Baada alitute anayambia kuna dokta mmoja yanitwa dokta Abduli.
Dokta Abduli anasema anakupa kwanza dawa, unapona, ndio unamripa. Nikawambia, mama, mama, unangwa nini?
Kwa hii utakuta, mtu ujei kuona mgonjwa, anapewa dawa.
Let's say ama inda hospitali.
Amepewa dawa, dawa hile kaitumia dozi kidogo tu.
Ameacha, anatumia miti shamba, kidogo tu.
Hana ule uvumilivu wa kusubilia, hajepona hile, amena hupo kwenye chiba mbadala. Kidogo tu, haja maliza, kambo kuna doktari mwingine uko bingu wa siju wapi. Kwa hiyo akikaa hivi mbele yaki, anaona kontena, yani kama fungwe fama speke yaki. Hana madawa mengi ya kienyejina yaki sasa. ya kujitungia mwinyawu kuna satu wanaka mwinya natunga au ni changanye hii mabenda zulu au ni changanye hizi mbili ninyue. Unajua kwanini? Kwa sababu tatizo likisha kupata linakuweka kwenye modi ya stress na tension na depression unakua unakituetwe chaku recover mape maa. Yani huko tahari kufanya lolote, tatizo liishi mape maa Lazima utakose atu. Lazima utakose atu. Changamoto inapokutokia kwenye kazi, kwenye biyashara. That patience ya kuseme mkwanza nitulie. Iri tatizo limetoka wapi? Iri tatizo linayenda wapi? Litakaa kwa mdagandi yomana nilisema siku za nyuma zilizo pita ya kwamba ningumu sana kumkimbiza muizi na kumpata akishia kuhibia. Ningumu sana, ntokuzangu. Nibora.
utengeneze ukigo, utengeneze wigo, muizi mwenye ya kifika pare anasema apana siyo uyu, siyo uyu siyo uyu. Uyu si mwibi. Kwa grilli hizi zilizofungwa, kwa haina ya kita saiki, kwa haina ya mlango uu, kwa haina ya maumbihaya, kwa hana ya mfungo uu, haaa, hii nyumba apana siingi. Hawa watotu apana sigusi. Nigarama kweli, duguzangu.
Ni garama kupita kawaita, kumkimbiza muizi. Kwa nini? Kwanza hujui, wezo na nguvu zake za kukimbia. Uwezi, yani hujui.
Na wengine sisi tuna vitu vietu, ni kweli vya 80 garama, lakini tumenenepa.
Ni wanene.
Mungine tuna sauti za chini ya tuwezi kufoka.
Mtu wana kuibia kitu chako. Unasema muizi.
Yamani, muizi.
Mkamateni, muizi! Uko kitu wani pala, umeshika simi yako na ungea na Rachel. Hello, Rachel. Mtu wamei kwa pua.
You must be sharp. Kupigia kerela. Yamani muizi! Muizi! Wewe sauti yaitoki.
Kwanza polipo umesha choko. Kambla ujeibia wa simu, umesha choko.
Dala dala nyeli mechilewa kuja, ubechoka manambili.
Mwili wako nyeli umekuchui, uwezi kukimbia ndungu zangu wangami. Tunaeza kukimbia.
Marathons ile. Dodoma.
Tunaeza kukimbia, unamkuta mtu amenda kwenyi marathon ila anatembe.
Wangapi tunaweza kukimbia? Siku mwja nikaona barebara ya koko kule kila siku ya Jumamosi, watu uwa, wanafanya mazoezi. Kukuda tumtuka kadu. Ansa ya minasubili bajaji zianze kupita zinibebe. Sikubebe? Sikubebe zikupeleki wapi?
Wiki kama 3, 4, 5 nyuma nikawamshi wa totoa ngu wa subi ni kambia, sasa tunakimbia. Walikuwa na ari kweli. Watu wakavaa pali nguwa za mazoezi atali.
Rabakali wakajifunga vibwe, wetu kahanza mdogo mdogo. Ah!
Mtuangu wakatikati kwa jili ya kiusalama nisimutajia jina lake, hakufika mbali sana.
Hakaniambia, mama, nikasa atu siitane, tukimbia kwanza. Lengu walau, tufike pali dalajani. Hakasama, mama, samani. Dalajani tunafika lakini unamaji. Kama, maja nini?
Maji ya kunyo, nika sema amna, hatu kufika mbali sani. Alisema please call daddy. Baba wanini?
Haka henda katoba sababu unyingi, ni mtoto mdogo. Haka sema anasikia maumivu makali, maeno ya mgongo. Haka sema maamu I think I have a terrible headache. Yani pali kwenye headache, haka weka terrible. Iri ni muwoni, anaumwa. Hatu kufika mbali. Unawaza, muizi, haki kuapua kitu chako chuchote saizi unaweza ukakimbia Kwa hiyo uthaifuwetu sisi, siyo uzinzi, uthaifuwetu sisi, siyo uwezi, siyo uizi, uthaifuwetu sisi, siyo kushindo kunyizuia, kununiana na wengine, no? Hizo nitabia mbayatu na jangamoto ya malezi ambazo tumekuanazo lakini uthaifuwetu sisi hatujui kuomba jinzi itupasavyo na ndiyo mana kwenye kuomba bila kukoma you cannot ignore na faasi ya rom takatifu wakorinto wa kwanza sura ya pili mistari wa tisa mpaka wakumu Hallelujah!
Buwana Yesu wa sfiwe sana.
Buwana Yesu wa sfiwe sana. Wote tuna okoka. Kisha maliza kuongozwa sara ya toba. Kwa mfano unakua wewe huya okoka kabisa ujampa Yesu maisha yako. Kuokoka ni jambo raisi sana. Unafuatiza tu maneno. Maneno tu. Maneno tu unakuenda mbinguni. Maneno tu kwani uliondokalia nyumbani kwenu. Ni maneno tu wali kwa ambia ni fuwate mimi, ni fuwate utakula Mary Brown kila siku huwamini, kama Brown yali okuwa na izungumzia ni mabiringanya. Ndugu zangu kuokoka ni nini, kama ujampa yesu maisha yako. Mana yake wewe Rom Takatifu, hawezi kufanya kazi na wewe Rom Takatifu ili kwanza haweze kuwa effective undaniyako Yani inatakiwa uwo umekaivi Kila kitu kiko sawa, kazi yiko sawa, nyumba yiko sawa Watoto yako sawa, hathi yako yiko sawa Then Rom Takatifutu undaniyako wana kuambia Wikihi inayokudia, hembu funga na kuomba Sikuzako tatu, ombe ya juu ya afiya yako Uhayo sasa ndio maungozo ya Rom Takatifo Maandiku anasima wangu, zuahu naro, hao ndiyo wana wa mungu waru 18-14 ye, uewe ni mtoto wa mungu, kama siyo mtoto wa mungu kua ufupi sana, fuatisha maninu haya, muambia tubwa na yesu Wana Yesu, nakuja mbele zaku.
Mimi ni mwenye dhambi. Mimi ni mwene makosa. Na kuomba unipokehe. Kama nilivyo. Katika jina la Yesu, unibadilishe. Mimi na roo yangu, mimi na nafsi yangu, mimi na kila kitu ni itionacho. Nina kupokeha wewe.
Yesu Christo, ue buwana na mokozi wa maisha yangu. Kati kajina la Yesu. Kwanzia leo hii. Ingia nani yangu. Mi tengeneze kwa upia. Mi fanye kwa upia, mi elekeze kwa upia mi fundishe kwa upia kati kajina la Yesu. Baba na kuomba. Futa jina langu kwenye kitabu cha ukumu Baba na kuomba tena uandike jina langu Kwenye kitabucha uzima wa milele Katika jina la yesu Na zawadi ya roha ko mtakatifu Usinipungukie Katika jina la yesu Na siku utakapo kuja kutuchukua Mara ya mwisho Niende pamuja na wewe Katika jinala yesu Amen Iyo ndio salafupi ya mtu kumpokea yesu. Mpaka hapo unakuo meokoka na nandukuzangu ni wambie.
Kila ambaye hameokoka, anarom takatifu. Mbona si mhisi yu ayusena feeling.
Let a see ya. Kila mtu ambaye kutoka ndani ya muwe wake kabisa, hamempokea Yesu kuwa buwana na mukozi wa maisha yake. Hanasema na mkata shetani na kazi zake zote na mambo yake yote. Nampokea Yesu kwanzia leo hii, kwanzia dakika hii. Awe buahana na mwokozi wa maishae hangu katika jina la yesu. Ukimaliza sarayu, unaromu takatifu. Warumi nane kuminane kabla tuja soma wa Korinto.
Warumi nane, mstari wakuminane.
Maandiku wa nasema hivyo kuwa kuwa.
Wote wanao ongozwa naroho wa mungu. Hao ndio wana wa mungu, wanao ongozwa naroho mtakatifu kufanya nini wa korinto wa kwanza sura ya pili mstari watisa. Tusome pali.
Wakonitwa kwanza, sura ya pili, mustari wa tisa mpaka wakomi. Lakini kama ilivuandikwa, mambo ambayo jicho haliku yaona. Ha!
Kumbe yako mambo buwana jicho halioni.
Kweli mtu anamacho, kweli mtu anamasikyo, lakini maandiko anasema hivyi, yako mambo ambayo jicho hali kuyahona kwa hiyo. Kama wewe prayer pointsi zako, hallelujah.
Duguzangu naungia jambola msingi sana.
I hope unanisikiliza na kufatiria. Kama wewe, mambo unayo yafanya, mambo unayo yaombea, miyale mambo tu unayo yaona, Na wakika unafanya mambo chini ya kiwangu. Kwa sababu Biblia inaacknowledge ya kwamba yapo mambo ambayo macho hayajawai kuona. Sasa what if ni mambo yangu? What if ni mambo yanayo ni husu? What if ni mambo ya hatima yangu? What if ni mambo yanayusiana na hatima ya watoto wangu? Halafusi yaoni nafanya je? Vipi kama mimi ni ayubu, ni meenda zangu kutembea, kuangalia mifugo yangu mingine, kusalimia ndugu zangu wengine wadogo zangu na kakazangu na dada zangu. Vipi kama mimi ni ayubu, lakini yako mambo yanarendelea macho yangu ayaoni, dugu zangu tunakubaliana.
Yako mambo, mengi sana noo yendelea kwenye maisha yetu. Yaki mwili tu kwanza, kabla tutuyeza maruhoni. Ambayo macho yetu, hayaoni.
Kwe uko hapo, meka hapo nyumbani. Keshwa subuhu utaamuka, utaindaza kwa kazini. Wewe unafanya kazi. Poster.
Mtoto wako anasoma, mempeleka boarding, St. Matthews, St. Mary's, mempeleka wapi.
Mambo ya nayo ya indelea shule. Nazungumuza ya kimwiri.
Story ya nazopiga na watoto uenziye.
Story anazopiga na wenzie, shule ni mtoto wako, unazisikia.
Mazungumzo ya gafla.
Ambayo mwenza wako anazungumza na mtu kwenye SGR. Kamela nikuze ni wanione vizuli ni wakwazi.
Bebi wako anakuenda Dodoma na mkutano wachama. Sijajua ni chama gani.
Yuko pali kwenye SGR alafu kusha nikuza kusha niona unanirudisha moderate.
Mam, wale watu wanao kutana nao kwenye sijiyara na kuzungumza nao, jai unawajua, jai umewaona, jai umejua mazungumzo yao, wanazungumzia nini?
Kaka angu na mke wako amazing, yale mambu ambayo mke wanaafanya kwenye vikoba Kwenye michezo, mazungumzo, manamkia ondio kijumbe, anawazungumza, yeye na wajumbe wenzia, na wachezesha, manakijumbe sindo anachezesha. Ye unayasikia kwa iyo, au kuyaona, kwa iyo tunakubaliana.
Milango yetu mitano ya faham, ya muilini, milango hii iko very, very, very limited.
Ina tuletea wrong information kwa iyo. Ina tupa wrong prayer point.
Kwa nini? Kwa sababu wakati uko kazi ni kwa kwa poster. Mwanau yuko shule.
Anatukana, anapigana na wenzie.
Wewe huko huna tarifa, huna tarifa chocho. Anakua buldi at school, anapigwa, anafanyuo matendo katha wakati, macho heko, hayaoni. Hii yote inatupelekia maali ya komba. ili tuweze kuomba, the right prayer point, lazima tuwa tuna informa muingine, hallelujah lazima tuwa tuna informa muingine, anaye tupa sisi, tarifa ya kweli, ili tu kiyomba tu yaone matokeo, hallelujah na uo ndiyo udhaifu, mandiko nasema halika thalika, roho nae Hutusaidia, huthaifuetu, hupi! Ndiyo mana ro mtakatifu anatakiwa aombe ndaniyako. Now, sasa, kama hayupu, ata kuombe aje?
Wakorinto wa kwanza sura ya pili mstari wa tisa.
Lakini kama ilivu andikuwa, mambo ambayo jicho hariku yaona. Even the Bible acknowledges kwamba yako mambo ambayo jicho harioni.
wala sikio hariku ya sikia wao wakatu wana science wame tuambia na tumiamini na wame tuaminisha ya kwamba sikio ili sikio langu ili ni mlangu wafahamu yani sikio ilinanipa tarifa sasa biblia inayambia hivi yako mambu ambayo Huya sikii, siyokomba sikio lako ni bovu, siyokomba ngoma ya masikio ya meziba, siyokomba nita zimejea sana tu kutoe. Masikio ya yako limited, kuna vitu husikii.
We uko tu apo chumbani na mwume wako, yanayu uzungumzwa na mfanya kazi wako tu andani na simi yake. On the other side tu, husikii na kuna watu watalamu, yuko tu na simu anaungena.
Pua, pua.
Yeah, yeah. Fish.
Yeah, nime kusuma.
Safi kiongozi.
Haina nauma.
Unasema, unasema anje?
Wujayi kuna upo na mtu upo kalibu. Una muza, unasema anje?
Mana yake masikio yako limited. Yanasikia kidogo to now. What if undugu yangu? Ili wewe uingie kwenye maumbi.
ili wewe uingia kwenye maumbi inategemea tu mambo unayo ya sikia ni yaminishe mimi usiku ya komba maumbi yako hukose lazima utakuwa unakose ato mandiko yanasema mambo ambayo jicho haliku yaona wala sikio haliku ya sikia ehe wala haya kuingia katika moyo wa muanadamu kitu icho paka moyo wa muanadamu wajengia kwanza mandiko yanasema moyo ni muongo Mwoyo mwanyadamu ni mdanganyifu. Ndiyo mana wiki ii, unapenda mkeo wiki jeo, unapenda mutu wa mwenzio, baada wiki unapenda tutofu ya shule, baada miyezminu uvitake vitoto, unapenda wana umenzio, baada mdala mwenzio uapenda, unapenda wa bibi. Mwoyo ni mdanganyifu, mwoyo umuongo. Mwoyo umuongo ndiyo mana neno moji, unawambio dada atasita. You are the only one. Ukimuona mgina unasema, no I didn't mean it. You are, you wewe sando the only one.
Moyo, haya, huo moyo, mambo, haya jai ingia huko, anasema.
Wala haya kuingia katika moyo wa mwanadamu. Mambo ambayo, mungu, aliwaandalia, wampenda wu. My God!
Mpaka tumiamuka saati sai, wana sisi tunampenda mungu.
Sisi tuna mpenda Mungu. Mimi na kuambia. Mpaka saati sai huko macho, wewe unapenda Mungu Maandiku wa nasema mambo ambayo Mungu ali waandalia. Emusoma tensi vizuri. Ali waandalia, awa ata waandalia Maandiku wa nasema ali waandalia wampenda au. Manake mambo haya yalikuisha aandaliwa. Yapo tayari. Ya po, huyaoni lakini ya po, hujaanza kuyatumia lakini ya po, huyafuatiri kwa umakini lakini yapo, na unampenda Mungu. Mstari wakumi anasema lakini Mungu, ehe, ametufunulia sisi, ehe, kwa roho, ehe, maana roho.
Uchunguza yote, roho wa mungu undani ya mtu, anaenda juhu ya akili zake, anaenda jhuhu ya mambu anayo ya sikia, anaenda jhuhu ya mambu anayo ya ona, anasema hivi maana roho uchunguza yote, hata mafumbo ya mungu Kwa hiyo mtu yoyote, anayo ungozu wa naro, prayer points zake ni tofauti kabisa. Mtu huyu hasubiri aibiwe ni wahanze kumkimbiza muizi. Utachoka, utachoka ndugu yangu, utakua very frustrated. Utaenda kituocha polisi, utaenda kulipoti maali na maali, vituvia kwa vita rudi. Maandiku anasema lakini haya mambu, mungu wa miwafunulia wale wampendao kwa roko iyo room takatifu, dhani yako. Ndiyo anataki wa kuambia m-m-m. Pamoja nakuomba nyumbani unohona kuna magonjwa, nyumbani kuna wagonjwa, we utakiwi kabisa kabisa kabisa kuombea mambo ya magonjwa. Ombea kitu kingine kabisa. Haya ondo tunaita maungozo ya room takatifu. Ndiyo mana maandiko yanasema hivi warumi nane kuminane nasema wale wanao ungozo wa na room. Nyiulize, ninapo anza kuomba mambo haya. Na ungozo wa nanani?
Hili usikose. Hili usikose. Ndo mana biblia kuna mawali a biblia inasema mtu anenae kwa luga.
Hasemi na watu. Unapo kuwa unasema na watu. Manake ni kwamba utakuwa unaomba tunasema related issues. Related issues. Mambo ya nayo usiana, you know. Related issues kwamba wiki hii ni meona, nyumbani kwangu kama kuna mgogoro, kama baba Joji Simoerewi wiki hii, unaingia kwenye maumbi hayo. Hallelujah.
Ukitegemea tu.
Yale mambo unayo yaona.
Yale mambo unayo ya sikia, yale mambo unayo ya feel kwene muli wako, yale mambo unayo ya hisi hisi, wale waze waisia wale.
Na hisi kama, na hisi kama uwezi kwena mbali. Kwanini? Na nimeseba, shetani ya kisha kuona wewe ni mwanama ume.
Anakikisha, anakupa mtu, anakusumbua.
Anakupa uyo mume anakusumbua. Mwaka wa kwanza unaombea mume tu. Mwaka wa pili unaombea mume tu. Mwaka watato unaombea mumeto, nyumbani hapo una watoto, huja wa hiku waombea atasikumoja. Kazizako haziendi vizuri, biyasharazako haziendi vizuri, wazazi wako anamikuamo, hujienzia hujamaliza, hudumayako imesimama, kazizako zimesimama, we unakoma na jambu, unaroliona moja to. Kukua melewa, basi kila siku ni baba joji tu, baba joji tu. No, kuna saatu unamuangalia, unasema rom takatifu. Tuonge mambo mengine, tuonge mambo mengine. Hembu nipe mchakato, wiki hii niendaje, mandiko nasema mambo hayo, rom takatifu. Alafu unikuambie, mandiko nasima rom takatifu? Uyachunguza yote, yote, yote, hata mafumbo ya Mungu Sembuse mipango ya shetani, juu ya maisha yako Una mwambia tu baba katika jina la yesu, ni saidiye, ni siyongozo kwa nayo yaona Na ndiyo maana mambo ya kianza kuwa mengi kwenye maisha yako Smama steady, usi jipanikishe, oh baba ana umuha, ah bibi suka fanya jee Una kimbi, una mbiya romu takatifu ni saidiye Ni yende ni siyende, ni uthulie ni siyuthulie, hapa ni yelekea u nitulie auni yombe ya jinda iya uni ya chaninami Kwa sabu wakati muingine, unaweza ukaretewa mambo, uanze kukimbiza na nayo. Mambo ya kukupotesea muda. Nduguzangu kuhomba ni kazi.
Hile tu kumambia, janda rabasa, ni kazi. Kiaskomba ata kama nilakikambiri tu, hakikisha una hiti, right? Yani ni kama vile mtu mwenye karisasi kake kamodya tu. Kamodya tu. Isi eka unatumia kukarisasi, kuhombia wazazi, kuhombia wazazi, wazazi tu, na aliza ungumu. wakati wewe ni yu mzazi wakesho kumbe reo mtakatifu libidia kufunulie mambo unaraona kwa wazazi wako yiombe wewe monyewe kwa kuwa baada ya miaka mitano, mine, sita, saba wende utakuwa u yu mzazi sasa Kuyo unakazana tu, baba wangu wapa uwe mwaka u, baba tuweke madilisha aluminium, baba tuweke madilisha aluminium, mambo mingine yote utake, baba baba wangu wana umwa, sisemi kuombe wazazi nivibaya, mimi nasungumza wanao, ongosu, anaroho Usiongozo na matendo ya nje, usiongozo na vitu unapoviona, shetani atakuletea muke msumbufu Kwa hiyo una watoto, wanine watano, na nawambia ndugu zangu kila siku, ya kwamba sisi watoto wetu anatutegemea kwa kila kitu, imagine kama weni baba au mama pali nyumbani Hili dada wakazi ya weze kupika ana kuuliza wewe. Sijajua nyumbani kwa ko, laba unauru sana. Hila mimi nyumbani kwangu, mtoto, awezi kuniambia tunapikani. Kwanza usiki.
Hata kua likuwa nafanya nimi ya kaja kunichilikesha abaliza mapishi.
Manake mimi ndiyo na umuamulia.
Nasema hizi, dada e, wewe leo pika ugali. Kwa hini mayamuka na mabiringanya.
Hita kua kuna shidagani. Okay. Dada pika ugali na mabiringanya.
Kama ambavyo nawezo kumuamulia mtoto wangu, yu ya chakula chakula, chakimwili. Ndiivo ivo ivo ninavu mkatia na vipande na matonge ya rohoni.
Kwa hiyo atakupa mke msumbufu, atakupa mume msumbufo, atakupa marafiki wa sumbufu. Wote wamekununia. Unaanza kuangaika nao, unaangaika nao, unakimbiza na nao. Then at the end of the day, mume anakaa vizuri sasa kisha choka kuzini. Mke anakaa vzuri sasa kisha choka kuzini. Lakini ukiangalia watoto, you invested nothing kwa njiri au. Kwa nini? Unaunguzwa na yale unayo yaona. Nduguzangu, ili uweze kuomba bila kukoma, uweze kumuacharo mtakatifu mbali. Ukiyomba kwa unayo yaona tupeke ake, ukiyomba kwale unawasikia tupeke ake, kuna namna utachoka. Ndi yo mana unakutana na watu, unakambia mamchungani. Miskia juhu saatisa wuonaomba ni mini mechoka, yani kuna mambo na yaombe ya moda mlefo, haya badiliki, haya wezi kubadilika kwa sabu we pre-pointizako, unazitua apu apu wa subui. Nani kaninunia subui? Rachel. Baba na mpiga Rachel, na mpiga. Una muandika sign and token. Kesho, ana kuchekia, una muacha.
Ana kununia mungini.
Utakeshe unafanya. Na Avita Zaroni zilivu ungumu.
Lumana unuona wawambaji uengi kana kwamba, pumzi inakata, nachoka, shetani yanakuletia, wrong, wrong, enu naomba kitu wakipo kabisa. Maandikwe nasema waungos wao naro, hao ndiyo wana wamungu. Tunaomba na kika church tu, mambie mungu, nanyua umeni zawadia vitu vingi sana, lakini naomba sasa zawadia koe ya Rome Takatifundaniyangu. Rome Takatifundaniyangu, awe so active. So active, so active. Nisiingie mahali popote ambapo Rome Takatifu haja nielekeza hapo. Nisionge na mtu yoyote ambaye Rome Takatifufu haja nielekeza hapo Zahidia yote nisiingie kwenye any program ya maombi ambapo Rome Takatifu haja nipa prayer point. Rome Takatifu nisaidie, nisaidie udayifu wangu. Siwazi kuomba ipasavyo, nisaidietu. Bimi hua naomba, nilayo yaona kwanje. Rom, takatifu wewe, huchunguza yote. Hata mafumbo ya Mungu, hata mafumbo ya Mungu. Niombe o mbandani yangu kwa kugua kuchiko weza kutamukwa, nisaidie. Lakini kama ilivoandikwa, mambo ambayo jicho haliku yaona, wala sikio haliku yaskia, wala haya kuingia katika moyo wa mwanadami. Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao, lakini Mungu ametufunulia sisi kwa roho, maana roho uchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu. Kuminamoja, maana ninani katika binadamu, ajuwae mambo ya binadamu.
Una kaa na watu, ndoi una kuta mtua na mshtuko, jamani ya meniibia, lakini mpona alikuwa rafiki yangu, wamaondoka na mtu wangu, mpona alikuwa rafiki yangu, mpona nani zungumza vibaye Maandiko, ya nasima hivi, maana ni nani, kati ya binadamu, ajuwae mambo ya binadam, hakuna Mwoe wa mtu huko mbali.
Tunaweza tukawa tuko pamoja, lakini kinacho endelea kwenye akiliyako, kwenye mwoe wako, concerning mimi, concerning kazi yangu, concerning biyashara yangu. Siwezi kujua, wauja hii kuwasikia watu. Ana kumbia, biyashara buwana, uwezi kukuta rafikiyako, ana kusupporti kwenye biyashara. Kwanini? Uwezi kujua kinacho endelea mwoe ni mwoe.
Mwoe wa manadamu huko mbalyi, lakini bibiye ni nasema hivi. Hila roho ya binadamu, iliyo ndaniyaki.
Kwa hiyo kwa kawaida, muanadamu kwa muanadamuu Wezi kujua mambo ya nawe ndelea kwenye akili ya mtu Wezi kujua, people kwenye pretend People kwenye pretend Kujia nakuangalia pale, eh umejitahidi jamani Biashara nzuri, ah kukuli munguwa kusaidie Ifike mbali maoni ya nasema baba kama hii Kama hii, kama hii hii Kwa na wachekesha watu kwenye retreat Bibi ya inasema verse 8. Yapo mimi?
Na yamini dioneno la mungu sasa.
Bibi ya inasema verse 8, haka itua na bebi wake mfalme ahasuelo, kitabu cha Esther kwa wakati wako soma. Halivo itua, eh, bibi ya inasema verse 8, haka sema, haka.
Siji.
Halafu haka kataa kuenda.
Baada haku kataa kuenda, Wale watu ambao mfalme alikua amewatuma mana mfalme ya hindi monyewe. Mfalme yanatuma watu. Nyue tu napanda basi ku mfata mimeo mpaka bukoba. Uteko utume mtu. Wana kamchukuli mki wangu babati ublet. Basi.
Bibiyei nasema wale watu wakamrudishia Mphalme reporti siyo sayi. Wakamuambia hivi, mimi na aminia hikuwa sayi, kwa sababu, duguzangu, mimi ni... Haji haja. Bibiyei nasema Mphalme hakaambiwa Vashti. Vashti hamekataa kujia. Jambolile likamuhuzunisha sana.
Bila kujua ni kweli au siyo kweli.
Nisahii ya mekata awa likuwa na emergence.
Maana ukisuma kitabu cha Esther kwa wakatu wako suma. Kina sura chache sana. Siku mojo nukuwa mekimaliza.
Bibye nasama farm ya Asuelo likuwa meanda Sheree.
ya kufulai atu ufame wake kwa wakao mearika evi ongozi wake kutoka majimbo balimbali wajewafulai pamoja na'e. Halafu on the other side pia vasti mkewe halikua meanda asholeza zamani wanaume peke a'o, wanawake peke a'u hili tustianganya kuanza kuchangia mada za mpira. Amna, amna ilikuwa faulo, faulo. Wakaona sasa wanaume tuatenge peke a'a. Amna ile goli la mkono, kapewa, kapewa. Unakuta mke wako sasa pali anachangia mada. Paka unaugopa we monye mbape, unjui. Sijuu pogba gopa, unjui, sijuu inani. Unakuta mama pali anachangia. Watu wazamani wakasimafan. Shereza wanaume wanawake wasiende. Kwa hiyo mfalme aswero, aka wamejitenga, anasherekea wanaume wenzie. Vashtinae, anasherekea wanawake wenzie.
Bibliya inasema mfalme kakumbuka, mkewangu ni mzuri, ngoja ni muite, ni jibrandi kwa wanaume wenzangu, hakaita pari. Vashti aje? Bibliya inasema, majamaa waliotumwa, wakamrudishia riporti mfalme, wakasema vashi ami kataa. Kwenya kili angu mimi nawaza, no. Ni nani yambaya ataituwa na mme wake mfalme ya katae? Probably alisema tu nakuja, ngoja kidogo nijueke vizuri. Mbaba nimevatu mavazi yambayo ni kona wanaakeweza. Kuja nijistiri kidogo na kuja mtukati ule. Alishindwa kubalance maelezo vizuri. Mungu wa kuepushe na watu wabaya. Watu wanaweza kuexagrate majibu yako. Una kua umejibu tu vizuri, anasema amna. Kwanza alisema we mfupi.
Biblia inasema mfalme asuelu, wakasema what?
Vashti yamekata? E, yamekata. Bas, akawawuliza watu wali wali. Haa mungu wakulindi.
Katika jina la yesu. Hakulindiye na fasiyako. Haka wawuliza watu wale wale walio mletia majibu kumba vastia mekata. Haka wambia tu mfanya je mtuuyo. Haa memu kaa na kasema tabia mbaya kabisa hii aswe.
Huu takua ndo mfumo sas. Wanawaki watatupanda kichuani. Watafanya mambuhaya kama kawaida ya destuli zao. No, lazima tuikomeshe itabia. Malki ya fukuzwe. Mawatu wanasubiliya kiti chako kuliko wanavofikilia.
Hata tu kusema jamani siyo vizuri, jamani kuingilia nyumba za watu. Mimiesa tu ngoja Mungu wa nibaliki na mea udi wangu mwingine. Haka, ue ue ue asuelu. Tena kafika mbele tu kidogo anasema, aaa, ngoja nipambani. Nifunge tatu kavu, nipewe eta nusi ya ufangu.
Kwa hiyo mambo ya nayo endelea kwenye miyo ya watu uwezi kujua. Kila wakati unaitajiro mtakatifu. A kufanye kitu kimoja kinaitua kufunua, a kufunulie, a reveal, a kuambia apana, huyu siyo sahihi. Huyo ana kuambia huyu, huyu wa uwezi kuwa muenza sahihi. hula na kuweleza mfanye biyashara pamoja huu ata kusumbua mbele katika jina la yesu nduguzangu tu siombe maombi yote ya kupapasa katika jina la yesu nina waombea nduguzango na mimwenye na jihombea katika jina layesu tu siombe maombi ya uongo tu siombe maombi ya kupoteza muda tu siombe maombi ya kudanganyana tu siombe maumbi ya kudanganywa rom takatifu Awe so active, awe so active, so active nani yetu. Kila tukitaa kupige hatua, usisao kumuliza Rom Takatifu. Mwambia Rom Takatifu unasemaje. Niendele mbele, unismame ya papa. Rom Takatifu atusaidia. Tusi pige hatua yoyote, iwe ya kibiyashara, iwe ya kimawusiano, ambayo Rom Takatifu, hayuko pamoja na sisi.
Dugyangu kila unapuamuka asubuhi, Kila unapopanda, usafiru wako kwenda kazini, unapopo kuwa mbele yako kuna proposal ya kazi, ya mausiano, taka kuanzia jambo fulani.
Usifanyidu, usemi alakalaka, msha alashingapi?
Mambia reo mtakatifu unasema aje.
Nyeingie kwenye hii biyashara unisiingie nifunulie Kwa masikyo yangu, kwa macho yangu naona hii inafaa Lakini sijui kama kweli inafaa Siku moja mtu mmoja na ndugu yake lutu Walikuwa wamekao, mungu wamewabariki mjuu, mejaa Mifugo yao Maa ndikuwa nasimu wafanya kazi wawo wakaanza kugombana Wafanya kazi wa Lutu na wafanya kazi wa Abram Wakaanza kugombana Bibi inasema Abram wakamambia Lutu, mimi na wewe ni ndugu Hawa wafanya kazi wetu watatugombanisha Lakini mifugo yetu na mali zetu zimekuwa nyingi sana.
Mungu wa metu bariki. Basi tutengane kidogu. Nisaidia kitu kimoja ndugu yangu wa wechagua. Unapotaka kuenda. Ukienda kaskazini, mintaenda kusini. Ukienda mashariki, mintaenda mangaribi. Maandiku wa nasema lutu, wa kasema wala usifike mbali yanko. Miminataka pale, niende pahe.
Bostani abuwa hana kumependeza niende palimandiku, hanasema baada muda mchache to. Mali ambapo lutu walienda na mifugo yake. Akiwa mebarikiwa, usifikiri halienda akiwa melaniwa. Mali ambako walienda akiwa na mifugo, anamali, anamuke, anawatoto, anavitu viyote kwa naunda ya kushikika. Kesho na kesho kutuwa. Kukawa ndiyo Sodoma na Gomora. Mali palipotisha, mpaka mungu mwenye kajja na kiberiti. Yani mungu kambiwa hivi, Sodoma wanatenda thambi, haka sima hapana.
Si amini. Yizi thambi mlizo ni ya DC ya too much. Ngoje nishuke mwenyewe niende. Mandiko nasema mungu wakashuka, wakasema ah!
Watu wanatenda thambii.
Watu anatenda thambi. Mpaka mungu wa mejigewuza pale kama maraika wa tatu. Watu wa Sodoma wakawangalia wali maraika wakambe vinye maraika munajua mnafaa kwa kito weo. Lutu wakawambia nyiacha nani na mambo ya kuhusu ya utalatibu. Awa jamani ni wageni wakasema tunapendaga wageni. Wakawambia jamani isikilize ni msi waingiria. Jamani yawa maraika.
Sodoma watu wanakula mithi. Mpaka maraika!
Lutu wakawabembeza kasema ivinina mabinti zangu.
Hawa apa wachukueni. Watu wakasema hatutaki.
Hatutaki mabinti.
Nunataka nini?
Tunawataka hawa vijana.
I say.
Lakini hungi haukua mbaya hivu. Day one. Day one ya hukua vile. Day one hulikuwa unapendeza. Una kila kitu. Mpaka lutu wakamua kwenda kole. Kwa hukishika peni yako na mnayi. Hunataka usaini mkataba. Usiangalie tu zile digitsi. Usiangalie tu hulu mshara. Usiangalie tu utakaweapata pale. Mwambie romu takatipu nisaidie. Nisijie nikawa na ondoka leo hapa. Naenda kwenye nchi yambayo, kesho na kesho kutuwa, diyo soduma na gomora. Nisaidie, ro mtakatifu nisaidie bibe, nasimaa kuna kitabu chawamuzi, hakaondoka mtu mmoja ilimeleki hakaondoka, hakaenda muwabu kwa sababu tu kulikuha hakuna mikate Bethlehem. Mikate ilipungua kidogo, utuwa kasema naacha, naondoka. Naenda zangu muwabu, baada yamda nchi alioenda kutafuta mikate, do nchi alioenda kuzikuwa yeye na watutuwake. Usidia ukaingia kumkopo leo, kesho ikawa ibu yako. Una mambia ro mtakatifu nisaidie. Ukweli ni kuamba ninaaraka, ukweli ni kuamba ninauitaji, lakini ro mtakatifu nisaidie.
[00:57:25] Speaker A: Asante kukua pamoja na mimi kuanzia muanzo mpaka mwisho ibadahe. Usiache kuhomba, usiache kumjafta mungu. Na kama umebarikiwa na maninohaya, unaweza kutuwa sadaka yako, kupitia numbers