Hekıma ya Kukusaıdıa Kufanya maamuzı

July 22, 2026 01:03:56
Hekıma ya Kukusaıdıa Kufanya maamuzı
Pastor Neema Tony Osborn
Hekıma ya Kukusaıdıa Kufanya maamuzı

Jul 22 2026 | 01:03:56

/

Show Notes

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

View Full Transcript

Episode Transcript

[00:00:00] Speaker A: Shalom mpendo wabwana, this is Mama PT na leo na kukaribisha tena kule isikeleza neno la mungu. Biblia inasema ma neno yangu ni roho na uzima. Neno hili inawezo kufufua tumaini na kuleta fara jamwayoni. Uenda upo kwenye doruba au mawingu mazito, lakini kuna neno la mungu lilo hai li naloeza kutuliza mawimbi na kukuletea amani leo. Karibu. [00:00:23] Speaker B: Mambo ya nyakati wapili, sura ya kwanza Mstari wakumi Basi sasa nipe Hekima na marifa Ameitua wapi, Mstari wasaba, tukiluka nyuu yake pali Mstari wasaba Bibi ya nasema usikuhule, Mungu aka mtokea Sulemani, Aka muambia, omba utakalo nikupe Point ya kwanza, usipo omba, Mungu hakupe Hekima ni lazima uombe. Usipo iomba Hekima, Mungu hawezi kukupa. Hekima pia inakuja na package ya vitu vingine. Lakini kwanza yenyewe kama yenyewe unayomba kwa Mungu. Nduguzangu, usipo iomba Hekima, kutoka kwa Mungu, huwezi kuanayo. Hekima ya nini? Hekima lazima uwenayo kwa sababu wewe ni mtu ambaye unafanya maamuzi kila siku, kila wakati, kila sekunde, kila dakika. Umoona ini saatisa usiku na umeamka. Umeamua kuamka. Ungeweza kuamua kuto kuamka. Now, kinacho umetofautisha alilala na aliamuka ni Hekima. Hekima inakupeleka kwenye kutendea kazi maarifa, lakini upumbavu unakupa kwenye kuya kusanya na kukana yo. Kwa hiyo tunahitaji Hekima kwa sababu tunafanya mamuzi. Saati sai ni lale au ni yamke. Ni mamuzi hayo. Niyewe au nisiyewe, ni mamuzi ayo. Mbele yangu kuna wadada wengi, mbele yangu kuna wakaka wengi, katika awa wengi, ni mchukwe nani? Ni mamuzi ayo. Ambayo, ndugu zangu, mamuzi siwa automatic. Haba tuanzia hapa leo. Mamuzi kwenye maisha ya mtu, siyo automatic. Usiseme hivi, nilijisikia tu kulala. Hujisiki tu kulala. Something in the spiritual. Kuna kitu nani ya ulimongwa rao kina kusukuma wewe kulala na kina kusukuma wewe kuamuka. Nani yambe muli wake uje choke? Niwambia nduguzangu, hakuna mtu nafikiri ya naifanya kazi yaki kwenye wazingina magumu kama mimi Tangia siku ya kwanza nafanya amka na mamapitiki, pindichangu ucha kwanza Mpaka hapa leo, hakuna siku ambao nimejisikia kufanya Kila siku niina sababu ya hiyari na ya kweli kabisa kwa nini saatisa ni ue ni melala. Kwaza ni na familia, ni na muenza, ni na watoto wadogo, mpaka hapo siyo vigezo. Piri, watu kila wakati mama umepunguwa, inabidi urare, unenepi, hivyo nafo siyo vigezo. Tatu, na iyo sasa, mchana kutu na majuku mbengi, ilibidi saatisa ni ue ni melala, ila ni meamua. Katikati ya kuchoka kwangu, katikati ya majukumu yangu, katikati ya kuwana familia, na uluma, na mume, na ndugu, na watoto, bado Satisantamka. Mamuzi siya automatic. Mamuzi, nyuma ya mamuzi ya kila mtu nyuma yake kuna hekima. Na nyuma ya hekima kuna marifa. Weka vizuri ikweshe niyo. Ibalansi vizuri uyelewe. Maisha ni mamuzi na mua niende disco au niende kanisani. Na mua, niende kanisa gani. Ma kanisa yako mengi. Hata hii saatisa, ukienda YouTube, unakuta live programs za maombi. Ziko nyingi sana. Why I am Karma Mapiti? Kwa nini nisisikilize mtu mgingine? Ziko nyingi. Saatisa hii, wewe go out ya YouTube yako channel. Nenda, utakuta kuna channels and channels. Nakule pia, sio kama kuna mbuzi. Nakule, sio kama kuna nyani. Kuna watu, kama wewe. Kwa nini umeamua kwa mkana mamapiti? Ni mamuzi. Maisha ni mamuzi. Ni wapeleke wa tutuwangu shule gani? Unaamua. Au ni kaina wa nyumbani ni wafundishe mwenyewe, muandiko. Naiza kuhandika mimi. Sii, haa, mpaka uu. Basi nitafundisha. Ni mamuzi. Ni mamuzi, maisha ni mamuzi. Ni zini? Ha mama hapana. Mimba unavoyona ini kwa nao. Ili ingia batimbaya? Hapana baby. Hai kui ingia kwa batimbaya. Ulijua venu, umtakayo enda. Na ulijua kabisa kule mna koenda, hamwendi kuhongea, right? Ngungea ungele ya kanisani, mpaka umechagua venu, mbweni. Mpaka mpesema tunakuenda Kivule, Matembele. Mpaka mpesema tunakuenda Vingunguti. Kaka muja yuze likuwa na niyadisiana, ananyeleza namna. Yamii, namna mbabu anaweza akatenda Tukio na mtu yote asione wala asijue. Namna ya kufindi guesti sinyui nyumba, sakulala wageni bila kukamatua. Namna ya kutoka chumbayiki konda chumbayiki usiku. Haaa, nikazima isina mba na kuzini kazi, mista mba. Haaa, mba mba, sita aweza. Ni mamuzi. Pia hata uko kuzini. Ni zini na nani? Wakuwingi. Ni mchagwe yu pile wa kuzini nai. Wa fupi, wa refu, wa mbamba, wa upi. Una chagwa mamuzi baada ya kuzini. Ni rie au nifuraye. Ni mamuzi yako. Maisha is all about decisions decisions, lakini decisions, mtu anazuamua, suya automatic, something within you kinazungumza. Usiende kanisani, walokole ni waongo, usiamke saatisa, una usingizi, kwanza muli wako mechoka, kwanza we mfupi, lala kidogo urefuke, kwanza kichwa kinakuuma, wao kisiki wao panda wakushuto unauma, lala kidogo, kwanza kesho unakazi, kesho unavikao, kesho unameetings, kesho wewe suniwinga, utaenda kuimba kariya kosi kunzima, hembu lala kidogo, Ni mamuzi, ila ni mamuzi yambayo kiangalia vizuri mamuzi yako Nyuma yanasauti, nyuma yanamaelekezo, inaito Hekima. Hekima ya Mungu. Lakini nyuma ya Hekima ya Mungu, kuna marifa. Ndiyo jana, nika wapa mfalo, nika wekia mavitabu yote haya. Nika ambia unawazaje, kwanini mtumishwa Mungu atuandikia mavitabu yote haya? Kwanini unawaza Mungu atuandikia nenolake, tusome? Mambo ya nyakati wapili sura ya kwanza mstari wa saba Usiku ule mungu waka mtokea Sulemani, haka muambia, omba utakalo ni kupe, point ya kwanza, you must pray. Show that you are in need, mungu na itajie kima. Naitaji ekima. Na hakuna mtu ambaye haitaji ekima. Usume vi, mimi nmezaliwa moka sabini, ninaekima. We call it experience. Uzoefu siwa ekima. Wahenga, wengitu ni wasela. Wengitu. Wengitu wawahenga, ono mtu anayo kuneviunga vya chipsi, hame shusha suluhali ipo. Kuna waza, we baba mbaka saisi bado unavaa mlegezu. Hana kumbia mtoto mzuri mambo. Una mwambia wewe sibabu. Shikamu ona kumbia, shikamu onataka kuninyimani. Kwa hiyo kuwa mwenga, kuzaliwa miaka ya 40, 50, 60, 70, 80, 90, hai kufanyu ukawa na ikima Usema uyo mezaliwa zamani yana hekima, we call it experience. Uzoefu kwenye maisha, siyo hekima. Hekima unayomba kwa mungu. Hekima ni nini? Uwezo akupambanua, mema na mabaya. Una liangalia jambo, unasema apana njia, hii siyendi, hii apana, hii siyo salama, hii ni salama. Unawasikiliza watu, unatakiwa kuwa hukumu, kutolea maelezo yao pali, unasema apana. Huwi wame kusea, huwi wame patia. Hekima ni wezo wa kustayimili. Nita wasomea apa kidogo. Ndiyo mana alipoomba Hekima. Mungu wakasima apana Sulema ni umeomba jambo zuli sana, lakini pakeji hii imekaa tenge kidogo. Ngoja ni inyoshe. Lazima upate maarifa, lazima upate akili, za kupambanua mema na mabaya, Lazima upate moe wa ushudia wa kuweza kua hukumu wa watu, hallelujah. Mambo ya nyakati wa pili, sura ya kwanza mstari wa saba. Usiku ule mungu wa kamtokea Sulemani, haka muambia, omba utakalo nikupe, you must pray. Sio seasonal, sio ukijisikia, always, kila wakati, kwanemambo yote. Na usitumia ekima ya juzi na ekima ya jana kusofu jambola leo. Tunaomba ekima kila siku. Buwanasufuye sana. Kwanini tunaomba ekima kila siku? Kwa sababu uchangamoto na mapigo na mapitu ya dunia hii. Mapia kila siku. Kwa yo kila siku, unaitaji njia mpia. Jana njia ya kunyamaza ili kusaidia kwenye jambo fulani. Leo, njia ya kunyamaza, haita kusaidia. Mstari, unaufuata. Sulemani yaka mwambia Mungu. Umefanyia babayangu Dawdi, fathili kuu. Na ue umenimilikisha mimi badala yake. Basi sasa, mstari, watisa. Basi sasa, e buwana Mungu. Nalimiakinie babayangu Dawoodi nenolako maana umenitawaza ni uenfalme juu ya watu wengi kama mavumbi anchi mstari wakumi. Basi sasa, nipe hekima na maarifa ni juu we kutoka na kuingia mbele ya watu. I love that sentence. Mbele ya watu. Tumeokoka, yes, lakini hatuishi pekedu. Tunaishi na watu. Tunaishi na watu. Nduguzangu, tunaishi na watu. Hatuishi peke etu. Utapata stresi wewe, utapata msongo wa mawazo, utachoka, utapauka, utafananiya umri wako kila wakati ukianza kubadilisha watu wengine. Siyo kazi yako kubadilisha watu, siyo kazi yako. Chukua iyo, nendana yo, ita kusaidia. Vizazi na vizazi. Siyo kazi yako kubadilisha watu. Ni kazi ya Mungu. Wale watu wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, siyo kwa sura na mfano wa Rachel. Punguza stress. Baba, na kupokea wewe, ue buwana na mokozo wa maisha yangu Nina mkata shetani, na kazi zake zote, na mambo yake yote Na kupokea wewe, eh yesu wangu, ingia nani yangu sasa Fanya makau ya kudumu, ue buwana na mokozo wa maisha yangu Nina mkata shetani, na mambo yake yote Buwana na kuomba Futa jinalangu kwenye kitabu cha hukum Katika jinala yesu, handika jinalangu Kwenye kitabu cha uzima wa milele Hile hili siku ya muisha ukija, huni chukwe pamoja na mimi Na amina kuomba baba, zawadi ya rom ta katifu Husi ni pungukie, huni patie huyo, haingenda ni yangu sasa Aniongoze, anisaidie, aniwezeshe, anifanikishe, amen Una kua umeokoka, ukimaliza, upo upo upo goba Uko wapo wapo Millennium Towers na watu ambao wenyewe iyo sala waliisikia ila wakuipenda kwa iyo hawakuongozwa iyo sala. Uko na watu wa makabila tofauti. Wenye Mira na Desturi tofauti, wamezoea, wamelelewa tofauti. Kuna nyumba nyingine watu wanelelewa. Baba kiwa anaongea, mama kiwa anaongea, watoto wana tulia na mnaiyi, wanasikiliza kila pointi. Ndiyo baba, ndiyo mama, tutafanya hivo. Huyo wamelelewa hivo. Mungina wamelelewa kuna nyumba ambayo baba anakula pekeyake. Hanakiwa wali pali na kuku, mapaja yote ye ye, vijuya paja yote ye ye, mafigilisi yote ye ye, anakula pekea. Ivi nifirigise ufigilisi. Anakula azote nyema pekea ki. Watoto wako kule pembeni na mama na vipapatio ndo wana pambana. Ni katiye ni katiye kule. Huyo hamelelewa pekea ki. Wengini hamelelewa baba hakimona hakiwa hanakuja kama vile mtoto mbiyo. Kujificha na kutubu makosa ambayo hajafanya. Lakini wengine wamelelewa kisela, hata nyumbani ya wasalimi. Baba kifika pali anawapatano, anampatano mama, anampatano FestiBoney, mpaka LastyBoney, mpaka dada. Baba msela. Suruli hipo huku chini. Baba msela. Mama pia msela. Kuna upande ya mesuka na kuna upande ya menyua. Japa unikichu ujucho kimoja. Tumelele wa tofauti na ote ya watu tunafanya nao kazi. Malesi tofauti. Wengine wa melelewa, baba ki rudi nyumbani, ana wakumbatia. Nini kuwada shangaa. Piti ya ki rudi nyumbani, ana wakumbatia watotu. Ana wabusu watotu. Mimi na sema upote zefu wa mabusu. Anafanya nini? Kwa nini? Kwa sabi unyumba niri okulia. Tafakwa kuna msiba, hai kuhai kutokea siku. A true story. Kwa hiyo tunalilewa tofauti. Mimi nyumba niliyokuwa. Nyumba mimi yambo ni mekulia ndani umu. Hatuwezi kukumbatiana. Kuna nini? Hata msiba ukitokea, unalia kule, mgela nalia uku, mgela nalia uku, maru, fukumambaza kukumbatiana. Inatokea incident mmoja, within a minute kemto nashituka. What's going on? Kuna nini yapa? Lakini I see baba, anakumbatia watoto comfortably, vizuri kabisa na anawabutu. Tunakuwa kwenye mazingira tofauti. Kwa hiyo wewe kusha malitha kuongozwa, sara hiyo yatoba, unaenda unafanya kazi, unaenda unaanzisha biyashara, unaenda unaanzisha kazi, unaanzisha uluma, unaanzisha mausiano na mtu ambaye hana malezi ayo, tofauti. exposure tofauti, elim tofauti, malezi tofauti, bibi, naseba hivi, Mungu wa kawahumba wale watu kwa sura na mfano wake, siyo mfano wako. Kwa hiyo kila wakati ukiwa unastruggle, kwenye kubadilisha watu wengine, ndo yuko tunasema kukosa hikima. Ambako, nduguzangu, kuna waumiza watu wengi, kuliko unavofikiria. Ni yomana mfalu mimi na mpenda kwa sababu alipopewa na fasi ya kuomba Hali jitanguliza Ni kilio changu kila siku nduguzangu, jitangulize Unajua wewe ukitoka, baba ako hametoka, mama ako hametoka, nduguzako hametoka, biyashara yako hemetoka, kazizako hemetoka, watutoko hametoka, athi yako hemetoka Yani wewe ukitoka, umetoka wati Lakini wewe ukibaki nyuma, kila kitu kimebaki nyuma Kwa hukuenemambo ya rohoni, unajitanguliza wewe kwanza Kwa yosisi tunachokosea, tunapuanza kazi, tunapuanza ndoa, tunapuanza mausiano, tunapuanza biyashara, tunapuanza tengenenza chochote Tunaanza kubadilisha watu, watu fananiesis against even the scriptures Wapi watu waliwai kubadilika wakafanana na binadamu nzahu? Bibi inasema Mungu haka waumba watu kwa sura na mfano waki, ndio mana the greatest gift. Unaweza kumpa humpendaye ni kumsogeza karibu na alie muumba. Stress itainiria kukusumbua kwa sababu every time unapomwangalia uyo mke, unapomwangalia uyo mweme, unatamani kumbadilisha kwa viwangovi yako ambavo havijuu ipo kone kichochaku. Wawuna pose masiyo vizuri mbwana, unachelewa kuludi usiku baba George Kule kwa ho, uamesha zoe ya nyumbani kwa matters of blood Wanaingia mtuto saa 6, baba saa 8, yani nyumbani ni kama machine ya kusaga Kila mtu wanaingia mdawake Kwa hiyo mezoe ya domana nakuona weu na mdomo, kwa nini? Kwa sababu hiyo kwa ho, mambu ambao unahuna weu siyo ethical Kwa ho ni vitu vya kawaida Mtu mingi unamambia baba Joji, tafuna vizuri, unanikuwa, zamana kienza kutafuna, wali unadondokea huku Malagi yanatokea huku, hame zoea Nakule kuhu mama ake, halikuwa, anamuangalia tu, hamuwelekezi Sasa umekudia, unayarimuwelekezi ukubwani, diyo mana stress ya ziishi Kila wakati unda kubadilisha watu wakufananiye ue, mfalume sulema na kasina baba sikiliza Ninaelewa mazingira ambayo babayangu walitamani kufanya kazi hii Ninacho kuhomba hame isha undoka Hame niachia watu wengi sana waku waungoza Optioni nilionayo kukuhume sema ni kuhombe Ningeweza kukuambia wabadilishe wale watu ila haita wezekana Wale watu hame umbo kwa sura na mfano wako Kwa iyo wewe utawabadilisha wale ila mimi kwa sasa Naumba unipe mimi Hekima, mimi Ili mimi niweza kuhishi na watu. Hekima ni kwajili ya kuhishi na watu. Kwanini biashara zetu zinapata shida? Kwa sababu tunataka tuwawuzia watu weni tabia njema. According to our standards. Do you know tabia njema is according to your standards? Kitu unachokiita weni tabia mbaya. Kwa mungina ni vitu vya kaida. Kwa kiu, siyo tabia mbaya. Wafalme wa kwanza. Sura ya tatu. Mstari watano basi? Mstari wane. Basi mfalme ya kainda Gibeoni ili yatoe thabi huko wafalme wa kwanza sura ya tatu mstari wane. Basi mfalme ya kainda Gibeoni ili yatoe thabi huko kwa kuwa ndipo mahali pagyu palipo pakuu. Sulemani ya katoa sadaka elfu za kuteketezo Juhu ya mathaba wile, na huko Gibeoni, buwana haka mtokia Suleman Katika ndoto ya usiku, Mungu haka mwambia, omba utakalo nikupe Suleman haka sema, umefanyia mtumu hako Dawudi babayangu fathiliku Kadi halivoyenenda mbele zako, katika kweli, na katika haki na katika unyofu wamoyo Pamoje nawe, nawe umemwekea na fathili hii kubwa maana umempa muana wa kuketi kiti nipake kama hivyo leo na sasa e buwana mungu wangu menitawaza ni ue mfalme mimi mtumu wako badala ya Dawudi babayangu na mini mtoto mdogo tu sijui jinzi inipasavyo kutoka wala kuingia na mtumu wako yu katikati ya watu Uliyo wachagwa siyo mtu kati kati ya watu guys. Hekima ina tusaidia kuhishi kati kati ya watu bila stress. [00:19:51] Speaker A: Amen. [00:19:53] Speaker B: Wengi wa siyo weza kuesabiwa, wala kufaamiwa idadi yao. Mind you, anayomba Hekima hapa ni mfalme. Imagine, wewe na mimi hata siyofalme wa maali popote. Lakini imagine a king asking for wisdom. Wisdom ya kuhishi na watu. Kwa kuwa ni wengi kwa hiyo, nipe mimi mtu muako, moyo wadili ni waukumu watu wa pigia mstali. Moyo wadili. Strong heart. Strong heart. Inaitaji moyo mgum sana kuhishi na watu bila kuhathirika. Ndiyo, ndiyo, ndiyo, ndiyo, ndiyo, ndiyo, ndiyo, ndiyo, Kiyo ki mefika karibu na jiwe au jiwe ni mefika karibu na kiyo. Lakini mama kwa matendo halio ni tenda hukijana. He has trained me. Jana dada moja kanembia ni this man. Ame evolve. Ame toa the vampire side of me. Nduguzangu mnamisamiati chachamuko, unasamajia kasewa mama nimi nimeonewa nikiwa binti mzuri kabisa sina tabu na nilisharithika mwili wangu kwa jili ya bebi wangu tu basi mama huyu diyama hamenipiga matukiyomu paka siku moja nikasema iweze kani. Nikali tafuta andikoli nalo support uzinzi, nikasema wow! Neliyomba, haka nisomea, siwezi kukusomea na kujua nita kukotezi. Kanyimbia mama nikajitafuta, nikasema I don't want to sin, true story, without a scripture Kwa iyo mama, nikaanza kusoma biblia, una suma nisomu biblia? Nikasema sawa, nikaanza kusoma biblia until I found a scripture ili okuwa inasupporti kwamba kisasi siojuhi ya mbwana Kisasi nijuhuyangu mimi, nikasema nionesha, nikasema wao, sija wai kuliona. Ningekupa ilo andiko? Ningekupa. Ningekupa dada magi. Lakini nikikupa, nimekupoteza. Kasema now, mama unajua kilti utokia? This man has treated me bad to the level Ame mtuwa the vampire version of me Sikuwai kuyua kama na mimi I can have multiple sexual partners Na kuwa comfortable bila wasi wasi kama yene Na sikuwezi mama ha nipigi Kama rikuwa na kupigia, ha rikuwa na nipigia lakini sa izi Haki ruditu, nikaona anamood ya kutaka kunishulike na mambia subiri Nivangu tu pigane Nimechoka, kwa hiyo saisi mama mimi unavo niyona hivi Ninasiraza vitavetu, vyarohoni na zamulini, hanipigi Kwanye sasa a a a a a, kwa hiyo akisatu mama njoo Kwa mama saisi unavo niyona mimi true story, kupigana na pigana uongo, nadanganya kama livu kua nadanganya e and I have multiple sexual partners kama e, yadi mimi ame kuwa role model wangu, anachokifanya no nachokifanya. Nikasema wow, what a version, nakalemba yes, yani this man na mshukuru sana, hame viimbua, hame vitoa, hame viibua, vipawaviangu livu kua vimejificha. Nikasema wow, If you are not careful, watu anawezwa kukubadilisha, ukawa mtu mgingine kabisa, na ndivyo wengi wa tulikuwa sisi watu wazuri kabisa, until tulipote ndo mabaya. Tulikuwa wazuri kabisa, wengine hata uongo tulikuwa atuongei. Hata wizi tulikuwa atuibi, vitu vinyanichakali tulikuwa atuvuti, vinyuaji vinyanichakali tulikuwa atunyui. Mpaka tulipo tembea, mpaka tulipo ongozana, mpaka tulipo ishi na watu, tukashindo badala ya sisi tuwaathiri wao, wao wakatuwaathiri sisi. Ndivyo ukosevu wa hekima na marifa unachokifanya. Ukisoma hosea, sura ya ne mistari wa sita kuarakaraka, utafikiri mama hua na usoma huu mistari. Ili kuuza vitabu, nduguzangu. Sumoona kwa sasa hivi siyongai sana vitabu. Utajua mwenyewe. Unataka kusoma soma, hutaki kusoma lala. Hosea sura ya ne mistari wa sita. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa na tumesoma kwenye mambo ya nyakate. Hakaomba Hekima, hakaomba ne maarifa. Anasema watu wangu wanaangamizwa, siya wanaangamia. Kuangamia na kuangamizwa ni vitu viwili tofauti. Kuangamizwa unakua, yani out of your control. Huwezi kukontrol kabisa. Ni kama ue hapa, halafu djengo likudondoke. Una kua huna namna. Ndivyo maisha etu ya livyo kila siku. Na anasema hivi, watu wangu wanaangamizwa. Sio kwa kuwa wanarogwa, sio kwa kuwa ni wafupi, sio kwa kuwa hawana mitaji, sio kwa kuwa hawana connections. No. Mbae zaidi, hawa ni watu wangu. Nyamani, hawa ni walokole. Kama sisi, ila inawezikana kabisa. Mlokole asiena maarifa, hakaangamia. Inaweze kana kabisa. Na uhekima, tuna iomba kwa Mungu sawa. Marifa, tuna yatafuta sisi wenyewe. Unataka ndugu yangu ni kurize, Mungu, hakusomei hivi vitabu vyote. Marifa ni nini? Marifa ni tarifa. Tarifa zilizo sahihi, hili ziku saidiya kufanya mamuzi. Trust me, huyu alia mua ku develop the vampire version of her. Kuna tarifa hana. Kuna marifa hana, hajui kama maambu anayo yafanya. Ama kisasi anacho mlipizi ya muenza wake, anayo ya thirika, shio yule kule, ni yeye. Haa, haki fanya hivi na minafanya, wewe! Njia nzuri sana. Hila ni wewe ndo unayathirika. Ni wewe, sio yeye. Kwa ni mambo ya roni, jitangulize maisha yana mamuzi. Kila siku tutakiuwa kufanya mamuzi. Lakini haya mamuzi, it's not automatic. Lazima ndani yako kuwe kumedia marifa ya kutosha. Marifa haya yana kusaidia kuhipata ikima ya Mungu kwa wepesi. Kwa nini? Kwa sababu kila wakatu tutakiuwa kumake decisions. Mfalme! Alipo maliza kuomba na mungu wakamombia nimekupa hekima, nimekupa marifa, na nimekupa moyo wadili, a strong heart utaweza kufa. The following thing, akapata case. Tuisome hii case leo. Wafalme wakwanza hiyo yio, sura ya tatu mstari wakuminasita. Nipo wanawake wawili makahaba. Wafalme wakwanza, Sura ya 3, Mstari wa 16. Bwa na Yesu wa Sifio. You need wisdom. Usipuze, you need wisdom. Maamuzi yako yanaitaji uwe na Ekima. Unaweza ukafanya amuzi moja tu. Ukatobo wa milele. Unaweza ukafanya amuzi moja tu. Amuzi moja tu, Rachel. Amuzi moja. Lakuenda guest. Tari, uwe ni mua Thirika. Wabi rusi via Ukimu. Ndipa wanawake wawili makahaba Wali muendea mfalme, wakasimama mbele yake. Na muwanamuke mmoja kasema, e buwanawangu, mimi na muwanamuke huyu tunakaka katika nyumba moja. Mimi naliza nilipokuwa pamoja nae nyumbani. Nendeni hospital Jamuna Chain kuzalia nyumbani. Kisha, siku ya tatu, baada ya kuzaa kwangu, ikawa muwanamuke huyu nae, akaza wakapisha na siku tatu. Makamba waliyamua wakawana mimba. Kwa nini unatoa lakini mimba wa makaba wa nazaa? Na sisi tulikuwa pamoja, hapa kuwa na mtu muingine pamoja na sisi nyumbani. Isipokuwa sisi wawili tu? Makaba wa narongu, mbali jifungulisha wenye makofi kwa ho. Mstari wa kuminatisa. Na mtoto wa mwanamuke huyu, hakafa usiku, mana alimlaria. Ndugu zaangu wa muka na mamapiti, usilare usiku. Dada Maggi, amka tuombe utalalia watoto watakufa Kufangwa kwanza sulatatu msali wakuminatisa, kuna watu ni walalavi, analala kona hii Akita kuamka yupo huku Mala yupo huku Ndiyuma ninasema, kwa, aaa mimi Mimi na mewangu tumea chana lakini sababu uzakuwa chana kwetu atuwezi kusema, sababu nyingine zinakuwa, zinachekesha. [00:29:44] Speaker C: What? [00:29:44] Speaker B: Awatuli Kitandani. domana ni vizuri, kama unajijua unahisi changamotu, hamka saatisa tuombe ili kifika saat 19 unasinsia tu kidogu apo kwenye kochi unakafresh, hii mambo ya kulala kwanjia saat 9 paka saat 12, ndo unalalia watoto kahaba, biblia inasema, kwanini mimi? biblia inasema apa? wafalmu wa kwanza sura ya 3 msalo wa 19 na mtoto ya mwanamuke uyu akafa usiku, mana alimlalia na inaonekana likuwa mzito sana, unamlalieje mtoto mpaka alaku Anakufali, basi okey, apate hata ule mavu basi, mlalia mkono. Inamakana hui mama hali mlalia... Inamakana hui mama hali mlalia mtoto puwani. Hali mlalia mtoto puwani. Mama hali kua overweight kitoto kidogo. Najaribu kuimagine. Na mtoto wa mwanamuke ulu, hii kesi hili kua ningumu sana. Kiso mimi nawaza tuningenza maswali mama, huli lalaje? Na unamlaria mtoto, diya mani? Okay, mpaka abano na pumzi kidogo, sawa. Basi unlaria sana kidogo, hapatu ule mavu, sawa. Mpaka anakufa. Haa, sitaweza. Na mtoto mwana mkeuli, hakafa usiku. Maana ali mlalia, laleni vizuli wanaduwa, mita uwanu Mauna ukuta wengine, anasema mkiva mkoje ni sinje topa kwene kochi Naangalia angalia sahibi sunajua kuna mechi, hakuna mechi Afcon bado ajanzi, hakuna mechi ila anaugopa wewe ni mlalavi, unalalavi baya Mbala ume mlari atumboni, mbala ume mnyanganya shuka. Mwingine mnayala bizuli, tu mbejifunika kapa moja. Bada masama wii, shuka oto unalope kiako. Haka ondoka kati ya usiku, haka moondoa mtoto wangu bavuni pangu, mdianja. Mimi mdia kazi wako nilipokuwa usingizini, haka muweka kifu wanipake na mtoto wake mwenyewe alie kuwa hame kufa, haka muweka kifu wanipangu. Manaki hawa likuwa na kanyumba moja hapa, huyu chumba kimoja. Huyu na mtuto wake wamilala kitanda hiki. Huyu na muanae wamilala kitanda hiki. Halipo shtuka na inakana huni muwaji hamezoea. Kwa sababu unajuwaji mtuto wako hamekufa afkimia kime unamuamisha muza. Hata upigi kelere hamezoka na maiti uyu. Kwa hiyo, haka mnyenyuwa mtoto wa mwenzi ya haliya kufa na nanafikiri Na wazza kwa kili yangu pana. Alipo shtuka kawangalia mtoto wabariri ya mekufa. Alicho kifanya chakuanza, akamchukua ule mzima, akamvuanguo, akambadilisha. Akambadilisha uye mba ya mekufa, akamlaza kwa mama huko. Harafi ya akamchukua mzima. Haka hondoka kati ya usiku, 23, haka monoha mtoto wangu, ubavuni pangu, mimi mdia kazi wako nilipokuwa usingizini, haka muweka kifu wani paki na mtoto waki mwinya liyokuwa mekufa, haka muweka kifu wani pangu. Mathara ya usingizi otu nakubadlishia vitu usiku, usilale ya mka tuombe. Nilipo ndoka asubuhi ni mnyonyeshe mtoto wangu kumbe hame kufa. Hata asubuhi nilipo mtazama sana kumbe siya mtoto wangu nilie mza. Kesi hipo mbele kwa mfalme alietoka kuhomba ekima. [00:33:12] Speaker C: Kwanini? Life has issues. [00:33:14] Speaker B: You need wisdom. Ndipo yule mwanamkia wapili ya kasema siyo hivyo bali mtoto wangu ndia alie hai na mtoto wako ndia alie kufa na mwenzake ya kasema siyo hivyo bali mtoto wako ndia alie kufa na mtoto wangu ndia alie hai Ndivyo walivyo sema mbele ya mfalme mfalme ya kachokwa kila mtu wanasema mtoto alie mzima ni wakuwake Mfalme ya kawaza, kasema hapa mawazo ni divine hekima ni divine inatoka kwa mungu juu ila inatusaidia hapa duniani kwenye kuhishi na wenze tu nakuamua sahihi ndipo mfalme ya kasema huyu anasema mtoto wangu yu hai na mtoto wako hamekufa na huyu anasema sivyo hivyo bali mtoto haliya kufa ni wako na mtoto haliya hii ni wangu mfalme ya kasema nileteni upanga Mfalme kachoka sasa. Nileteni upanga. Wakaleta upanga mbele ya Mfalme. Mfalme yaka sema mkate mtoto alie hai vipande viwiri kampe huyu nusu na huyu nusu. That is wisdom. That is wisdom. Ndipo mwanamuke yule ambaye mtoto alie hai ni wake, haka mwambia Mfalme kwa maana Moyonimu hake alimuonea mtoto hake huruma. Haka sema, e bwana wangu, mpe huyu mtoto alihai wala usimuwe kamwe. Lakini ule mungine haka sema, asiwe wangu wala asiwe wako akatwe. Imagine. Mfalme Akawaza, hii kesi unayamua vipi? Hawa watoto wamezaliwa kwa kutofautiana siku tatutu. Kwa iyo wanafanana. Siku tatu siyo nyingi kwa vichanga wana fanana. Huyu wa nasema huyu ni waku wangu na huyu ni waku wangu. Haya mambo tunakutana nayo kila siku kwenye maisha yetu. Kila siku. Tunadangani wa sisi. Wana apa kuna biyashala ya matikiti ya huko kilosa. Biyashala inalipa. Mtaji lakinetu? Yali hizi nakumbe tukiziuza matikiti ya menda mipata unamishuka hizi hoho hizi kiuza. Tuna milioni mbili. Umejia. Unakopa lakin lina toka tikiti kama ngumi. Tikiti kama ngumi mdewa wangu. Unyui ni tikiti ya uninyanya. Kukurupuka. Huna wakati wa kumisikiliza room takatifu. Na kama room takatifu wa hupo nani? Hekima hamna. Mfalumi haka wangalia, haka sema hivi, naomba panga. Ni yekima ya hali ya juhu sana. Haka sima hapa nita mjua mwinyena utu. Naomba panga, sasa, mtoto hakae hapa. Ana sentimitangapi mtoto, u mtoto hui ni mlefu kwenye nalagafa na babaki. Mbabaki, mwinye mna mjua mbaba mtu, haka sema hatu mjui. Haka sema sawa, msiwe na wasiwazi. U yu mtoto naomba tukate nusu kwa nusu. Kwenye kiuno, hapa mpaka hapa kitovu. Mtoto inaonakana sika vila gani, itakua vila kinarechu. Hapa mpaka hapa, mtoto hui m Kwa kupima na uzi, naumba tukatie hapa maeno ya kitovu kwa nyuu kidogu. Kila mtu achukua kipande chake. Yule ya mbaisi yu mtu, haka sema woo! Afadhali, mini peni migu. Huyu mpeni kichwa kainaa cho Mfami ya kasema hakuna mama dunyani ambaye atakubali mtoto haki alihai, akatwe, eti ya apewe tu migu, mwingine apewe kichwa. Hapana, huyu mtoto lazima, siyo kwa kia kasema haaa haaa. Huyu ambaye ambe sema mtoto akatwe, siyo mwanaye, mchukweni mtoto, mpeni uimama, nendazaku. Bibi ya inasema inchi katetemeka, watu wakamishangaa kwa ekima hile, ndi hivu ambavu watu nabidi watu shangae, namna ambavu tunafanya biyasharasetu, kati kati ajamiza watu ambavu hawajawokoka na hawatuwathiri. Wateja uengya silimia kubwa ya wateja ubiyashara zetu. Sio marafiki zetu, uengya unajua. Jisi ambavyo marafiki zaku wana kukopa. Jisi ambavyo uengyi unashanga kabisa. Mbona mimi nauza Vaseline? Akini lecho unapaka Vaseline na ajanua kwa huu. Amitua wapi? Do you know most of our friends? Hata hawanunui biyashara tunazauza. Total strangers. Watu wange kabisa ndo wateja wetu. Now, hao wange, hao wajewukoka, hao wange, hao wasalim kuyuni, hao wange, hao amkina mamapiti, hao wange, hao aneni kwa luga. Wezu kamaona mteja wako, kamaombia mbona ujo [00:37:57] Speaker C: chomekia shanda raba sata, kerebo sanda na [00:38:00] Speaker B: kutanua, kwa jina laisu chomekia kwanza no ni kuuzie. Hapana, naiteji mguo sanda ni mpe. Mpe, mwambiye Mungu ni saidiye na umba Hekima. Mimina uza nguo zandani, na umba Hekima. Siyo nienza kuchukuza maungo hibi. Kwa mpona mnena hibi? [00:38:16] Speaker C: Nivya xxliye tunazo kweli. [00:38:19] Speaker B: Dada pungua. Dada pungua. Hapa tumebakiwa na... Tuna small tu. Amidele number 2 ondoki. Halafu punguwa, vinguwa vidogo vidogo vikutoshi. Kwanza unamuangala mtu, unamuambia wao. Amazing body. Mwili wakazi. Mwili wanyamanyama. Nyoto lote liko hapu. Dada siku ni kifanikiwa kunona, kama wewe ni metobuwa. Nguwo tunazo, lakini saizi yako, kidogo na umpaka wikijayo, nitakua ni meipata. Chakufanya hapa tu wacha namba yako na jinalako hapa. Mimisitaka pukunja tu X5. Bass! Unapata. Usiwe na wasiwasi. Ye mwenye hindi wanajifunga. Lakini mbelesa nopo mpia noo wala, uo mwili wakazi. [00:39:07] Speaker C: Nanyataka kimba mbono? [00:39:08] Speaker B: Na uki mkuto mtu mbombamba usiyeze. Huli! Huli! [00:39:12] Speaker A: Huuu! [00:39:13] Speaker C: Huuu! [00:39:14] Speaker B: Huuu! [00:39:14] Speaker C: Huuu! [00:39:15] Speaker A: Huuu! [00:39:15] Speaker C: Huuu! Huuu! [00:39:15] Speaker B: Huuu! [00:39:15] Speaker C: Huuu! Huuu! [00:39:15] Speaker B: Huuu! Huuu! Huuu! [00:39:16] Speaker C: Huuu! Huuu! [00:39:16] Speaker B: Huuu! Huuu! Huuu! Huuu! [00:39:17] Speaker C: Huuu! Huuu! Huuu! [00:39:18] Speaker B: Huuu! [00:39:20] Speaker C: Huuu! [00:39:21] Speaker B: Huuu! Huuu! [00:39:23] Speaker C: Huuu! Huuu! Huuu! [00:39:26] Speaker B: Huuu! [00:39:27] Speaker C: Huuu! [00:39:27] Speaker B: Huuu! Mwambiye Mungu na umbayikima, mimi nafanya kazi na watu ambao wajawukoka na umbayikima, baba mume Huuu! wangu mke wangu na mzungu Huu mzisha jambu omoja kila siku, ndiyo hii ambayo unahona Kwenye wafalme wakwanza, sura ya ne, mstari waishirini na tisa, biblia inasema hivi, mungu akampa Sulemani Hekima na akili nyingi, siyo chache, akili nyingi, akili nyingi, akili nyingi, mambia mungu naumba unipe akili Nipe akili, nipe akili, za kuhishi na watu wa siyo na akili level yangu Nipe akili, mbume wangu ni mblevi, mbume wangu ni muhuni, mbume wangu ni muhungo Baba, umesema doa hii mpaka parapanda, yes Sasa nikiacha huyu jamaa, na kumpenda na mpenda, nikimuacha mwanamuke huyu, yeah Baba, na yomba tu akili, akili kutoka mbengoni Akili kama ya malaika, wewe ni mungu mmoja, unaweza kuhishi na sisi wote Katikati yetu kuna waongo, katikati yetu kuna wazinzi, katikati yetu kuna wapigaji, katikati yetu kuna watu, lakini wote unaishi na sisi Ndugu zangu, mungu aka watuwa watu Kutoka inchi ya Misri, aka wapeleka inchi ili ojea mema, na bado aka mgeuka Who do you think you are? Mungu ali wakuta watu wapo nchi ya utumu, haka watuwa. Tena wakati na watuwa, nawepa angalizo kwa wakatuwa. Koso mkubukumbla tulatia na wambia nyei kwa nafu waona. Mnapena sana chakula. Mkila na kushiba msini saa, wakasema saa Godi. Una wazi wazi na mimi. Ni kuhache wewe niende kwa nani? Haka enda mbila, haka ambia sikilize ni. Mkijenga nyumba. Na kuhishi nani? Mkao wawake, mkaole, jamani msinisa wakamambia wapi. Wewe, haiku chukua dakika mbili tatu. Tayari wamisha tengeneza mungu wawo. Wakachangisha na wanyepo vithabu vio vili vitatu, [00:41:33] Speaker C: wakatengenza wakasuma hui ndiyo mungu wetu, hamitutua misli. Haaa! [00:41:37] Speaker B: Mungu wakasema kwanini unashanga bebi wako anapoku saliti? Kwanini unapata sonono maewa mkulecho? Mama mimi isi kutegemea. Sasa ulitegemea nani ya saliti walecho? [00:41:47] Speaker C: Kukutaka mimi ni saliti? [00:41:49] Speaker B: Yani mimi si kutege mea kama ata ni zulumu. Kwa nini si kuzulumu? Mimi si kutege mea mama kama ata ni danganya. Kwa nini ya si kudanganya? Mimi si kutege mea mama kama angeni fanyia hivyo. Watu anamtenea munguwa. Munguwa kafanya kuhandikia. Kumitu! Kumitu za kuesabu. Basi Musa pande kule, hazi chukua ludinazo. Musa anashuka, nakuta kuna sanamu imetulia hivi. Haka sima ndugu zangu, hini nini? Wana waiseri, bila woga. Wakambe Musa, kusona hazi wasi, huyu ni Mungu etu. Hame tutuwa misri. Musa haka sema nye, nye endomana Mungu anataka kuawawa. Ha, siwezi. Siwawezi. Una Mungu mpia. Mungu anabebeka. Munguenu unawezwa kumfungja fungja mikamunga kwenye shangazi kanya tukambe but huyo ni mungu bala. Kama watu wanawezwa kumbitrayi mungu wawo, kwa nini unajipa wanestresi? Mimi siku tege mea usaliti, kwa hiyo ulitaka wanisaliti mimi, s'ndo evo? Who do you think you are? Stress will kill you. Kwa sababu Biblia inasema dunyani mnayo thiki, mnayo. Kwa hiyo tufanyi, we manage. Manage. Ndiyo kitu kinaitua moyo mkuu. 29 wafalme, wakwanza. Anasema Mungu akampa Sulemani Hekima, akampa. Hekima, ehe, na akili nyingi sana. Tunamuomba Mungu yambea Mungu na umba akili. Na umba akili. Akampa akili nyingi sana, ehe. Na moyo mkuu. Moe mkuu, moe wakustahimili. Mamuzi yako personal lawyer achukua. I am a 100%. Born again Christian. Kuna vitu sifanyi, na sita fanya. Na hakuna kitu kitakacho nifanya nifanye. Mbuna anaungia wongo utaungia wewe, lakini mimi misimamo yangu na mungu wangu. Sita, ayo mambo sifanyi. Huyo na unahitua moyo mkuu Ni umana kuna wenze tuwa kasima skiza mfameba na imbu tuwachi Kwanza mungotu wanaweza kutuokowa Game over, wakashuwa saa Hata sipo tuokowa Baby undoka na sanami yaku Moyo mkuu, kusimamiya maamuzi yako siyo raisi. Kwa kuwa nilianza kwa kusema wengi, tunaishi kwenye mambo ya ujiamaa na kujitegemea. Tunataka kutengeneza ujiamaa, kuna vitu tunafanya. Hatta miyo yetu aitake, lakini hatta jisikiaje rafkiyangu. Hatta nionaje, hatta nionaje. Hulu wakabisa ulipo, hukui kiro, huongezeki, inabidi ujifichefiche, unajibe usalim kuyuni ila unasalim kuyuni. Unaenda kule, unatiki tuka Maroko, ukirudi unaweka earphone, unamskiriza piti kwa tabu. Why? Simamia misimamo yako ya imani. Sasa inaitaji moyo mkuu. Ndiyo tuna uomba leo. Lakini pia inakutaji uwe na akili. Nyingi sana kuhiti na wadu. Nyingi sana. Nyingi sana. Nyingi sana kuhishi na mume wa inayako ulienaya po nyumbani bila wewe kujiletea mathala. Wengine tunapressure, wacha nijuweke kwenye kundilenu, nisikevi bala. Mama Piti katusema mwaya leo wenye pressures wa umezeti. Kuna wengine basi, tunapressure. Tuna visukari kama vinatamikwa kwa wingi. Tuna matatizo ya moyo. Kaniba juzo nyo mama umona umshonwe. Nii liwai kudondoka na boda. Buda nikuwa na mkimbiza baba jeli. Na nyeba na kazi minaweza. Asima likuwa na inda kazi lakini nisikuwa mini kama sikuwa na inda kazi. Ukatumia mbinu. Ganimu nipe iyo mbinu. Haka nipia livu ondoka na gari. Mami nikapanda boda. Kwa sabati mba ya boda, nshuwa, nshuwa, nshuwa, mtaroni Ndoona una alamai, unamombia baba Jojo ulikuwa wapi Matatizu ya kujitaftia, huwazi kumbadilisha mtu Watu wanajua exactly wanacho kefanya Wanajua, watu sawajinga Hata wanapo mkosea mungu wawo, wanajua kabisa Hapa, hapa tuna mkosea mungu wetu, hapa tuna mkosea Yet, wana mkosea, amia kwanza nasima mimi Nibwana mungu wako, Rachel. Usiwe na miungu mingine ila mimi. Wakatengeneza mungu mungine. Kwanini wau nataka ichoki hapu wakisimamie? Hali sema anta kuwa na mimi, tu hali sema wapi. Umilikua wapi ahadi, unapeana wawili. Ndwa unajifungisha mwenye. Yani mama, mimi ili jambo. Afubana mimi staki wiki kiasi za mausiani. Pata ili somo laikima li kusaidie katika juna la yesu. Master kuhishi na mtu asie na akili kama za kuhaku. Acha ngonjera, acha mafundishu. Wosio mzazi waki. Mimi nimekuambia kuru liapasa. Akuani bebi wako sahana. Hajui kama si sawa kuingi nyumbani sasa 6, sasa 7. Hajui. Bwana ni msomi mwenziyo huyo? Hajui madhala ya kuwa na extra marital affairs. [00:47:03] Speaker C: Haelewi. [00:47:04] Speaker B: Kwa ma kuna maambukizi ya virusi vya ukimwi, kuna sonono, kuna kasuende. Juuzi pitiyali kua latifundisha kuna homa ya ini kukumbatiana. Rachel, kukumbatiana. Una mkuta tu mtu, mm. Una mkuta, mm. Loneliness, huki wawo. Kwa huna tumanikia mtua kukumbatie. Yamani mni ni mtua tutio mtua watu. [00:47:26] Speaker A: You are lonely. [00:47:28] Speaker B: Speaking tongues, suma neno inaondwa loneliness. Kwa huna kumbatia nyo kumbayatu, muisho huna homa ya indi. Fine. Hasala kwa nani? Hasala ni kwako kwanini upete homa ya indi? Kukumbatia watu, kukumbatia loneliness, huki wawo. Mambye Mungu nisaidie nipe akili nyingi hile package ya akili nyingi. Akili nyingi ya kuhishi na wenzangu wafisini wasio amini sawa na mimi. Kwanzia siku ya kisho tutanza kuona, Hekima, ziko saba tu amazing. Tunazipata kitabu cha Isaia, sura ya kumna moja. Ocha nikupe kionju hapa walafu nifunge kwa maumbi mafupi kabisa ya kukuombe upate ya kilinjema. Anasema Isaia sura ya kumna moja tutanzia hapa kisho. Anasema naro wa mbwana atakaju ya keroe ya Hekima na ufahamu. Ni roo hizo. Unaomba, umbea Munguwa ireceive the spirit of wisdom Na ipokea roho ya Hikima Katikajina la Yesu, sita shindu wajamba lolote Haya, anasema roho ya Hikima na ufahamu Roho ya Shauli na uweza, tutaziangalia kwanzi ya keshu Roho ya Shauli, mambo ya kusima hivi, naumba unishauli It is within you. Roya ushauri na uweza. The spirit of mighty. Kufanya mambo makubwa ya siyo kuwa ya kagida. Mambo makubwa ndugu zangu. Siyo tu kufungua makamponi. Hata kuhisi. Na uyo nyama unayishi na ino ni nyamba ukubwa umerifanya muaya. Roya marifa na kumchabwana. The spirit of knowledge. Marifa. Mbiya Mungu nisaidie mimi, niweze kutulia na kusoma kitabu. Ndugu zangu na uambia tena, kama Mungu akampa Suleman Yekima na Marifa, Mungu hakumsomea Suleman. Mafundisho au vitabu. Kwa wakati wa koembu suma wiki Kitabu Chotu cha wafalume wa kwanza, Suleiman anamkoti babayake neno kwa neno. Anamuambia Mungu, weo babayangu wali kuambia, ata kujiengea hekalu Lakini uwe uka mjibu, uka mambia hivyo usinijengge kalu mikono yako imejia sanadamu lakini muanawakwa ambaye atatoka kone viuno vyako atanijengge. Yale mambo haya kuhoneshwa mahali popote siku ya kikau Dawudi alikuwa meka na mtuto wake Suleman alamombia no, never. Kwanza muzeo hatu alihumwa, alichoka, aliugua. Hata siku ufalume ya napewa Suleman ni bahada ya kuhani na thani kuenda kukumbusha batsheba mamake. Hivyo mamamtu, umekaa tu wapa. Mungu wangu, jamani kule kuna mfalme muengine, hamejitangaza ufalme, wakati mtutu wako Suleman donataki wawe mfalme, Ndobe Sipa kasi maa kumbe, saa niifanya kama mbiya nienda kwa Suleman, Suleman ni mzee. Hakuna mali popotu lakini Suleman yalikuwa ana sech marifa. Mali mpufu baba haki yalikuwa kimaliza kupiga na vita. Hanaandika, hanaandika, nime pige hapa, nime shinda hapa, nime pige hapa, nime shinda hapa, nime ongea na mungu leo. Hame niambia iki, hame niambia iki. Kijana hana nyemelea kwenye dokumenti za baba ke. Hana soma na mlea ya sema, haaa, kumbe muanawako ulie mpeto kwa osheba. Na mtu munye ni omimi. Kwa hana kaa, hana jitune, hana jianda. Come and follow me. Hakuna mtu hatakai kusomia hivi vitabu. My dear, tune yourself. Mwenyewe. Ndiyo mana tunaomba Mungu nisaidie, nisaidie mamchu nganyapo wame souma kuna kitu kinaitua roo ya maarifa, nisaidie Activate the spirit of knowledge Activate, roo ya maarifa nanyangu nisaidie, nituulia, nikishika hivi kitabu, niweze kuhizima simi yangu, masata, mawili, matatu, nisome baba nisaidie, baba nisaidie, fungu wakilizangu Fungua roho yangu, fungua kilisangu za rohoni, fungua kilisangu za mwiline, fungua masikyo yangu ya rohoni, fungua masikyo yangu ya mwiline, lipero ya utulivu, rom takatifu, tulia andani yangu, nisaidie, humu undani kuna majibu ya kunisaidia, mimi na watoto wangu, mimi na mume wangu, mimi na mke wangu, mimi na biyashara yangu, mungu nisaidie, nikisoma hai ando nimetoka, Mahombi ya naanzia andaa ni kuenda nje. Mungu wa namombia Yeshua sikiliza kitabu hiki chatolati. Kitabu! Minsi juu kusuma wana kuaandika wazazi wangu wa alifariki vita ya kagera 6. Sasa ni kusaidiaji na memkuwa? Ni kusaidiaji. Tafuta mtu wa kusome. Lakini by any cost ya kikisha unasoma. Anamombia sikiliza Yeshua. Hutoboi bila kitabu. Hawa watu ni wengi. Na hii siyo kazi yangu, minakupa magizo na ondoka, ni uwe na utakai watuwa watuhawa kuafikisha nchiyawa. Kwa hiyo nivadya kambia kitabu hiki chatolate. Kisi ondoke kinyuani, kitatokaje kinyuani ya kiji ingia. Get some time. Soma vitabu. Soma. Soma kwa kumaanisha. Baba kari kajina na Yesu na kushukuru kwa jiri ya ndugu zangu. Asante kwa jilianenu lako umetulisha usikuwa leo. Jina lako baba libarikiuwe, jina lako baba liinuliwe. Mungu mwenye nguvu, mungu mwenye mamlaka yote. Tunapokea reo hii akili nyingi, akili nyingi, akili nyingi, akili nyingi. Kama mchanga wapwani, tunapokea akili nyingi. [00:53:14] Speaker C: Katika jina la yesu, hatu takuwa wajinga, hatu takuwa wapumbavu, tu takuwa na akili njema, tu napokea akili njema, tu napokea akili nyingi. Kwanzia sai, hakuna jambo lolote, litakalo letu ambele yetu, tu kashidwa kulitatua, iwe kwenye ndoa, iwe kwenye kazi, iwe kwenye biyashara, iwe kwenye malezi. Tu naiaweza mambo yote, katika wewe ututiae ngugu. [00:53:37] Speaker B: Akili njema, akili nyingi, akili nyingi, ya [00:53:41] Speaker C: kuyaweza mambo yote, na kuhishi na watu, wanamu na zoti, hila kuwathirika. Katika jina la yesu, baba tunapokea, roo ya ikima, roo ya ikima, roo ya ikima, roo ya ikima, roo ya ikima, the spirit of wisdom. Katika jina la yesu, hakuna jambolo loti, [00:54:01] Speaker B: Litakao tu inamisha mioyo. Hakuna jambo loloti. Yes. [00:54:05] Speaker C: Litakao tu fanya. [00:54:06] Speaker B: Amen. [00:54:06] Speaker C: Tuka inamisha. [00:54:07] Speaker A: Yes. [00:54:08] Speaker C: Vichu wa vetu kwa haibu. [00:54:09] Speaker A: Yes. [00:54:09] Speaker B: Hakuna jambo loloti. [00:54:11] Speaker C: Yes. [00:54:11] Speaker B: Litakao tu fanya. [00:54:12] Speaker C: Yes. Tuka inama. [00:54:13] Speaker A: Yes. [00:54:13] Speaker C: Tuka sema tu me shindwa. [00:54:15] Speaker A: Yes. [00:54:15] Speaker C: Tuka sema tu me pigwa. [00:54:16] Speaker A: Yes. [00:54:16] Speaker C: Tuka sema tu me tapeliwa. Yes. Tuka sema tu me ibiwa. Yes. Kati kajina laisho. Amen. Hekima yetu. Yes. Uliero mtakatifu. [00:54:23] Speaker B: Amen. Uta zungumza na nyetu. [00:54:25] Speaker A: Amen. [00:54:25] Speaker C: Watakapo taka kutapeli. Yes. Uta tuambia usingie. [00:54:28] Speaker A: Amen. [00:54:29] Speaker C: Watakapo taka Uta tuambia tusifanya. Uta tuwelekeza. [00:54:34] Speaker B: Uta kuwa ni sauti nyuma yetu. Iki tuambia. [00:54:37] Speaker C: Njia ni hii yeleke. [00:54:38] Speaker B: Hekima ya mungu. [00:54:40] Speaker C: Nani yetu? [00:54:41] Speaker B: Ita tusaidia. Kumdibu mkubwa na kumdibu mdogo. [00:54:45] Speaker C: Katika jina la yesu. Hatuta shindua. [00:54:47] Speaker B: Kwenye jambo lolote. [00:54:49] Speaker C: Hatua shindua kazi. Hatua shindua biyashara. Hatua shindua malezi. [00:54:53] Speaker B: Hatua shindua mausiano. [00:54:54] Speaker C: Hatua shindua ndoa. Hatuta shindua. Katika jina la yesu. Hekima ya Mungu, hita tutangulia. [00:55:02] Speaker B: Tuna kataa ayiu. [00:55:04] Speaker C: Tuna kataa kufanya maamuzi leo. [00:55:06] Speaker B: Yetekeo geuka madeni kesho. [00:55:08] Speaker C: Tuna kataa kufanya maamuzi leo. Yetekeo geuka madeni kesho. [00:55:13] Speaker B: Tuna kataa kufanya maamuzi leo. Yetekeo geuka ahibu kesho. Tuna kataa kufanye maamuzi leo, yatakeoge uka fedhea kesho. [00:55:21] Speaker C: Baba karika jina la yesu. Shikilia vinyo vetu. Kila tutakapa taka kutamuka. [00:55:28] Speaker B: Meno la kukosea. [00:55:30] Speaker C: Baba tu silitamuke. Kwa jina la yesu, uka ungoze. Maneno yetu. Kila tukiongea, watu wakaseme ya kika. Hekima ya mungu, ikona watu hawa. Tunaipokea hekima kama rawa. Kwa jina la yesu, tunavae hekima kama vazi. Kwa jina la yesu, hatuta shindua na ajambolo lote. Baba kadika jina la yesu, kila silaha, nitakaufanika juhu yetu. Landa ramasota, henda ramasaika, hendo robosata, kenda rabasata, hende rebosaka, henda ramasota, hindu ramasaka, mando rabasaka, hende rebosaka, yata ramasota, Kwa kwa kwa kwa kwa kwa Kwa jina la yesu, kila siraha, kwa lende lemo sakata, siraha kwa jina laki, siraha kwa nguvu yake sila kwa uweza waki, sila kwa hina yako, kila sila haa, itakayo fanika jurietu, haitapalikiwa, haitapalikiwa, haitapalikiwa, haitapalikiwa, haitapalikiwa, haitapalikiwa, henda mashomba, henda rabasata sila haza kunenewa, sila haza kutipua, sila haza maangamizo, sila haza wakatiwotamaa, sila haza umasikini, sila haza aibu, sila haza fedea, sila haza madeni. Kwa china la yesu, kila sila haza inayofanika, iliofanika, na itakayofanika julietu, haitafanikiwa. Kwa china la yesu, na kila ulima, maari popoto, ora masakata, henda rabasata. Kwa jina la yesu. Kwa jina la yesu. Tuliaraskia, tumaraskia, nambaosdiaskia, ya yota mkwadirietu. Tumeafuta, na tumeafuta sasa. Kwa jina raisi, sisi ni washimu. Tume shinda, na zaidi ya kushimu. Hekima ya mungu, inakaa ndani yetu. Halelujah. [00:58:31] Speaker B: Na kila ulimi, mahali popote. Tumesikia, hatuja usikia. Baati mbaya, au makusudi. Wa mtu tunayemjua, wa mtu tusiyemjua. Kila ulimi, unatutamkia mabaya. Wa kushindwa wale. Wa madeni wale. Wa kuuguwa wale. Wa kufiwa wale. Wa kulazo hospitalini wale. Undo enye madeni. [00:58:54] Speaker C: Katika jinalesu. [00:58:56] Speaker B: Maneno yote mabaya. Yanayota mkwa. Zidi yetu sisi. [00:59:00] Speaker C: Katika jina laishu. [00:59:01] Speaker B: Tuna ukumu limiu. Ya komba umekosea. Mabaya kwa jina laki. [00:59:07] Speaker C: Haa yata tupata sisi. Haa yata tupata sisi. Haa yata tupata sisi. Haa yata tupata sisi. [00:59:12] Speaker B: Mambo mabaya. [00:59:13] Speaker C: Yata wakuta wengine. Mkono yetu wakushoto. Na mkono yetu wakulia. [00:59:18] Speaker B: Haa yata kuja karibu na sisi. [00:59:20] Speaker C: Katika jina laishu. [00:59:21] Speaker B: Hakuna mabaya. [00:59:22] Speaker C: Yata kayo tupata. [00:59:24] Speaker B: Wale uaribifu. Hauta tukaribia. [00:59:27] Speaker C: Wale tauni. Binavu haribu, binavu haribu ndoa za watu, [00:59:32] Speaker B: binavu haribu kati za watu, binavu haribu [00:59:35] Speaker C: mausia no ya watu, havita kula kwa yebu ustani zetu. Kati kajina laeshi, kati kajina laeshi, kati kajina laeshi. Tu mefanikiwa, tu meendelea, tu mekuwa wakuu, tu mefanikiwa, tu meshinda, na usaidia kushinda. Kila tunatoka kishika, kinageuka, kina kuafaida Kila tunatoka kishika, kwa hekima ya Mungu Ndani yetu, kinageuka kuafaida Kati kajina Raisu, hatu na kazi zaasara Hatu na bieshala zaasara, hatu na mausiano yaasara Hatu na bieshala zaasara, hatu na afya mbae Kati kajina Raisu, kila sila kuajina Raisu sila za muilini, sila za roho, sila tunazo zijua, sila tusizo zijua, sila kubwa na sila andogu, sila zanyemajine, sila isizo kuwa namajini, kila sila itakayo fanyika, chuhu yetu sisi, kuanzia leo, paka yesu atakabe kujia. Huy! Hazita fanikiwa. Sila ya magonjwa, sila ya umaskini, sila ya kukata tamani, sila ya kushindu, sila ya kuchoka, sila ya kuuguwa, sila ya kukataliwa, sila ya kukosa kibali. Kwa chino la yesu, hazita fanikiwa. [01:00:44] Speaker B: Na kila ulimi. [01:00:45] Speaker C: Mahali popoti Unapo tunenea Mambo mabali Tunaageuza mabali hali Kuwa fedha na mali Kuwa kibali na afya njena Kuwa utele na ujazi Tutajia, tutafurika Kwa kipimo cha kujia, cha kusukuasukwa Na hata kumuagika Hatuta pungukiwa Na chochote kichokwa chema Katika jina laisi, tumelindua Tumetunzwa, tumeifathiwa Katika jina laisi, tukitoka tumebarikiwa Tuki ingia tumebarikiwa Katika Jinala Eskimo. Hallelujah. [01:01:19] Speaker B: Mungu zangu, mungu wa wabariki sana. Siku nyingiri tuna mshukuru mungu kwa neema yake. Yangu matumaini mambo haya ya nafanyika kama stamp, kama alama ya kudumu kwenye maisha yako. Upitapo kwenye maji mengi, haya ta kugarikishi. Katika jina la yesu, utavuka yio baria shamu, kama nchikavu, utatembea kwenye izo changamoto, ukiwa na raha, ukiwa na amani, ukiwa na pumziku, hekima ya mungu itakutunza, hekima ya mungu itakusaidia, kila unapuamuka asubuhi, kabla ujendela mambo mengine Mwambiye Mungu na yiomba [01:01:54] Speaker C: ekima yako Kwanzia kwenye kichwa changu, kwenye [01:01:57] Speaker B: maazo yangu, kwenye mdomo huangu Katika jina la yesu, baba katika jina la yesu, wabariki nduguzangu awa, watuze na waifathi Katika jina la yesu, amen Duguzangu, kila mwene moyo wakupenda na mtole buwana. Numbers etu za salaka ni kama unazoziona hapo kwenye screen Pamuja na 0753, 08, 57, 789, na 0659, 708, 705 Mungu hulitumaneno Huwaponya na kuwatowa kwenye maangamizo yao. Maneno ya atu yufundushana leo ya kutoye kwenye maangamizo yao. In case unaitaji kitabu, unaitaji kumtolea muhu, unaitaji kansen, unaitaji maumbi, namba ndio hizo hizo. 0753 0857 79 0659 68 75 69 Shalom watu wa mungu. Mungu wabariki sana. See you tomorrow. Muda na wakati kama uu. Bye bye. [01:03:20] Speaker A: Asante kukua pamoja na mimi kuanzia muanzo mpaka mwisho ibadahii. Usiache kuuomba, usiache kumtafta mungu. Na kama umebarikia na manenohaya, unaweza kutuwa sadaka yako kupitia nambazifatazo 0659 68 75 69 au 0753 08 57 89. Shalom.

Other Episodes

Episode

October 17, 2025 01:43:48
Episode Cover

Kushinda Vita Kwa Njia ya Maombi

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

Listen

Episode

September 12, 2025 00:55:55
Episode Cover

Kuuweza Wakati Ujao II

Trusting in His plan allows us to face the unknown with confidence, knowing that every step leads to a purposeful and fruitful life. Be...

Listen

Episode

November 17, 2025 01:31:01
Episode Cover

Strenghthening your Inner Man IV

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

Listen