The Wısdom from Above XIII

September 23, 2026 • 01:05:06
The Wısdom from Above XIII
Pastor Neema Tony Osborn
The Wısdom from Above XIII

Sep 23 2026 | 01:05:06

/

Show Notes

Chapters

View Full Transcript

Episode Transcript

[00:00:00] Speaker A: Shalom mpendo wa wabwana. This is Mama Piti na leo na kukaribisha tena kule isikeleza neno la mungu. Bible nasema maneno yangu ni roho na uzima. Neno hili ninawezoa kufufua tumaini na kuleta faraja moyoni. Wenda upo kwenye dhoruba au mawingu mazito, lakini kuna neno la mungu li lo hai li naloweza kutuliza mawimbi na kukuletea amani leo. Karibu. [00:00:24] Speaker B: Tunajifunza bado kwa bari ya Hekima. Hekima hii natoka ndani yetu. Hekima hii haitoki nje. Haitoki kwenye madaftari, haitoki chuwoni, haitoki kwa walimu, haitoki kwa wakufunzi. Hinaitua the wisdom from above. Hekima hitokayo juhu. Hekima ya Mungu mwenyewe. Kile kilicho mfanya mungu kile, haka umba mbingu na nchi. Mpaka leo bado vipo. Iwe kima iyo iyo na itaka. Ni tengeneze kwenye biyashara yangu. Ili dumu, ili dumu, iluwepo, na yendele kuwepo. Hekima ile ile inoyo simamisha na kuzingatia Mipaka ya Bahari Bahari ishia hapa, maji usizidi Ukienda uko, rudinyuma kidogu, ishia hapa Msitoke uku maji, mkaenda kuvamia watu Hekima ile ile inipate mimi, kwenye kazi yangu Kwenye ndoa yangu, kwenye mausiano yangu Niweze kuhimiliki Mipaka, nisivuke Mipaka Maali popote, ambapo sisa takiwa kuvuka Nisivuke kwa jina la yesu. Hallelujah. Mara amuisho nduguzangu tumejifunza kwa bari ya Rom Takatifu. Ndani yetu. Nandiyo hiko na thalia mbali mbali. [00:01:40] Speaker A: Yes. [00:01:41] Speaker B: Nandiyo ukweli wenyewu kwa mba Rom Takatifum. Rom Takatifua nafanya kazi. Juhu yetu. Tafundisha wakati mgingi. Kwa kati mbavu tunaendelea kwenda. Rom Takatifiu Kando, pembeni yetu. Rom Takatifu, ndani yetu. Kuli ngana na mazingira ya kazi, lakini kwa msimu hu, tunazungumza Rom Takatifu, ndani yetu. Kila alie mpokea. Yesu Christo, kama buwana na mukozi wa maisha yake, anayo bonus, anayo zawadi ya Rom Takatifu. Rom Takatifu ni nini? Rom Takatifu ni nani? Rom Takatifunimungu mwenyewe. Mungu mwinyo lakini anajifunua kwa namda nyingine alafu anakaa ndaniyako permanently. Anakua hatoki wala arudi. Anakua haondoki alafu badai akarudi. Anakuani moja kwa moja zawadi ambayo Mungu amekupa ndaniyako. muda wote yuko naniyaku, yuko na wewe ya subuhi, yuko na wemchana, yuko na wejioni, yuko na ukiwa down at your lowest, when you are sad, you are down, you are depressed, wakati unaisi watu wote hamna, watu wote wamekutenga, wamekuwacha, room takatifu yupo Ndiyo maana eh, Yesu Christo wakati ya naundoka na wagana na wanafunzi wake, haka wambia msi umie, msi jisikevi baya, msi wenatabu, msi rie kabisa miyo yenu isiiname kwa kuwa na walitia msaidizi. Hatakai kuwa pa moja na nyi, hatakai pa moja na nyi kila siku. Maandiku anasima siku zote hata ukamilifu wadahari, siku zote, hata kama we ujisiki yupo na we. Ni kama mme wako, kwa mfano umeolewa, unamume, unamuke, hata siku wambayo umemkuwaza, au amekukuwaza, bado anakuwa ni mume, upo nai. Kwa ni ndugu zangu. Let's say mimi, hapa mayi wangu wa yupo ni usiku sana. Maiwongo wapaa yupo. Lakini haimanish kwa mba mimi niko single. Siko single, hapana. Siko single. Hapa, hayupo, hapa. Lakini yupo pamoja na mimi. Wanaeswa sife sana. Kwa hii room takatifu, ni Mungu mwine. Jana tulisoma kitabu cha wafilipi, sura pili, msala wakumla tatu. Maandiko yanasema ni yeye huyo, ni yeye. Mungu. Atendai kazi shio nje henu, shio pembene henu, shio njuu henu. Nyeye mungu atendai kazi na njenu. Kutaka kwenu na kutenda kwenu. Katika kulitimiza lile kusuni lililo jema tusome. Wafilipi suraya pili. Mstari wakumi na tatu. Duguzangu tunazungumuza kwa bari ya Hikima. Maishi anamambo mingisana. Dugu yetu, muenze tu sikumoja Solomon. Akiwa na mali, akutosha. Akiwa na feather. Akiwa na mifugo. Ni wewe tu ambevu. Kila ukishiba, wali maragi. Wambiten. Yani wewe domani nabidi baba hakupige na nja. Kila siku wena wezo kuaffordi only one mili kwa sabi changa mawitua kondo hivyo ugeshibatu. Una tukana dini yo, mi sina dini. Iyo huti ni wazabu umeshiba Kwa hina bidi mungu wakupige na matukio Break up Mayu waku wakuwache Wazazi wakukimbie Kila mtu wakauwe mkia wake na wakaulewe na mtu mgini huku Unabakia pegi, aye duna shutuke, baba uko hapi Ndo unaanza kumitafuta mungu Ndi yomana siku moja mungu wakauambi wa tutuwaki Nyie wana wazairi Kusanyike ni apana jambu Naenda nchi Mkila mkishiba Mkiyo wa nakuolewa Mkijenga nyumbazi, chonde chonde, msije mkani sawa, waka mwambia master. Sisi, tu kusaha wewe, don't worry, woi. Azikupita sekunde tatu. Waka njichongea ndama wawo. Ndama mala mkono medundoka, mala umeludi. Waka mwambia Musa, come and see what the Lord has done. Njoo wane, minibwana hamefanya. Tuna mungu wetu wapa. Musa haka sema arawo, ni munguwe nui, haka sema undo munguwe, tutumejitengelesia, kuna kijindama hapa changoldi, tumekiweka hapa. Haya ni majambo. Kwa hiyo ni uewetu ambaye ukishiba, unatukana. Mi sina dini, mi nasali kanisa lolote. Mimi siyo lazima itindonjida ikomba donnasali huko kwa pitii sana. Unatukana, unatukataa sisi. Kuna mtu hapa ananikataa. Mama pitii ndo unahani, ule kwanza si muelewa. Jivu unaboni, unamimoni hata si kupelewa. Kwa hiyo si ota tizola ko peke ya kumina ote ya 2L1. Yote kwa sababu umeshiba. Matafuti mungu umeshiba. Dawana mifungo ni mizuri. Ukisikia msukumo nani ya moyo wako funga? Funga. Manake msukumo wano kua unakutaka umetafute mungu zahidi. Kuna shida kwenye kushiba. Yani mtuta ata mtuta kikupa ahadi wakati mnakula. Usi amini. Nita kuowa. Hapo mbele aki anariwali samaki. Don't believe that guy. Nita kubadilishia maisha. Ahadi zote zakuli anazokupa. Mtu wako. Hakikisha ananja. Kila kitu nocho kumibia mtu wakiuwa na nja, hana kumibia cha kweni kutoka mweni muaki. Haki shiba tuu na dangani, shiba inanamna ya kufanya mambo, ya siwe mambo. Wafilipi sura ya pili, misteru wa 13. Maandiku wa nasema kwa maana, Ndiye Mungu atenae kazi dani yenu. Hekima ya Mungu. Hekima itokayo juhu. The wisdom from above. Ni hekima tunayo ipata watu wa Mungu. Kwa kutokea dani yetu. Ina tokea dani yetu, si onje yetu. Hukunje kuna kitu kinaitwa experience, kuna kitu kinaitwa uzoefu. Hambao ufanyaji wake kazi ni 50-50. Kutimia kwake inaweza kutimia au isitimie. Unapo yiendesha ndoa yaku kwa mfano. Ndiyo mambo mnawaya penda. Kwa sabi unikitolea mfano kilimo cha hoho, utalala. Lakina unikitaja ndoa unamuka, eh mtu wangu. Kwa mfano ndoa yako dadayangu, kakayangu na intazama hapu. Ukiendesha kwa experience ya nje. Nilikuambia siku zilizopita, nilikuambia hivi, wahenga tuna wapenda. Lakini misamiati ya wahenga, siyo neno la mungu. Ndundo si chururu. Siyo neno la mungu. Siti ya ukasima, baba, imeandipo kwene jini, kwene neno la kubwana. Ya kwamba umoja ni nguvu Jehovah. A'a, a'a, umoja ni nguvu nje ya neno la mungu. Kwa hiyo wahenga, au watu walio ishi mdamrefu, kuhau tunachukua, tunachukua kitu kinaitua experience uzoefu. Ambapo uzoefu, unaweza ukafaa au usifai. Nilitua mfano, nikasema konfano. Wenzetu walio owa na kuhulewa miaka ya zamani ni tofauti sema za ukweli na miaka hii. Zamanu kiambiwa huyu ni baba mwenye nyumba, baba kuweli. Shababi wanasema, ameka vizuri na familia na yudumia, wachache sana mbao walikua wanaskipi majukumu yao kuhalikua kitua sauti kwa mkewe na watoto, inaskilizika Zamani watu walikua na mila na desturi zao, mama anakatu nyumbani, akilea familia, akilea watoto, na kuangalia saizi, mama anamuka asubuhi, anaondoka na wai kazini. Dada wakazi ndiyo anapambana. Kumuandaa mtoto, aende kwenye school bus, mama alishia wahi fuleni, anafanya kazi posa, anayishi salasala. Inabidi ya wahi, awezi kukamusha katoto kachekeche ya mapemo. Zamani wa mama walikua hawaendi makazini. Kwa hiyo ni vizuri na wanexperience wa henga wa huko. Lakini uwezu kaichukua experience, ukaileta, saizi, ndiyo mana saizi kuna mambo ukiya ungea, waweza kueleweka vibaya, ukaonekana either ni mwana harakati, au ni kiburi. Wote tumiamuka asubuhi, tumenda kazini, kwanini mimi niruri ni kufulia jini? Wa mama wazamani walikuwa wanafua, walikuwa wanafua andio kwa sababu, walikuwa nyumbani. Hawana kazi. Saahizi uwezi mwambia mkia wako nipeleke maji ya kuoga, weka iliki. Hapana, uwezi kueka iliki, ita basti. Saahizi unawasha, hita mzigo, unajichemisha. Baba mdiengo, kuna mali anabonyeza. Siyo unanielewa, unakukwaza. Anabonyeza mali maji ya moto ya sio na iliki. Kwa sabu sua mzigosi unokua direct kutokea dawasi. Umenyele uko wa tuwezi kweka iliki. Kwa uguwezi ukajia na semina. Yani squeeze mke wangu maji ya iliki. Hi Apple! Nitawe kajia iliki uko nyu. Kwa usiwezi. Kuna vitu haviwezekani. Zamani mtu muja kambia juzi. Yani ya mi mke wangua natenga tu chakula hapo. E hata anikalibishi. E hata apigi magoti. Mina mkumpuka mamangu. Alikuwa akiweka chakula. Ana muambia baba. Karibu baba. Kaributu kuhote KFC. Ni kukalibishe na tujefika Wanaakini inakuwa wakati mtu. Tuko ode gengsi. Saisi unakuta mister na mises wako mga wani, wana kata vyuku. Harafu wanataka mkalimishe. Sasa nakukalimishe jina ute tumerete wa panamodumi. Kwa yo experience, kuna maali inafa, kuna maali haifai. Zamanu unaenda shule na kidumu, na ufagio, studi za kazi na mkaa. Chitu kuna pia mbaka unga, haini mwanimu koso wanapika. Naunga, studi za kazi, mnafuma, mnashona. Saisi watuto wana IT. Chumba cha IT, mtutu wangu mdogo wanajua komputo kuliko mimi. Mama hapa, kontrol si, si gani ni kontrol, hacha si kaisi wezi kuikontrol. Tutu mdogo, Second morning, huko na sara 3, unabia mama, hapo unge control sii. Mona nasema saa, unta control basi unduka. Nipishi. Sii, wanaweza. Ila mimi, do you know, mimi mamapitia. Nasema ukweli kabisa. Mimi mamapitia, chena na mwaka nozali wanashua ni hizo soma. Siku ya kwanza nashika laptop. Inafanya kazi na iyona. Ilikuwa nikiwa chuo kiku mzumbe mwaka wa kwanza. Chuo kiku mzumbe ndungu yangu mwaka wa kwanza. Elf mbili na kumu na mbili kapa uja za riu. Doni ilikuwa mzumbe, mwaka wa kwanza. Ndiyo tumeingia kwenye somu. Mwalimotule mkari, ID. Ndiyo naona mpona wanzangu kama wana laptop. Hizi ninini? Ndiyo nimeyiona kwa mara kwanza, kwa watu, barei kabili ni maulizi seka ni mabu. Hizi nini wakaniyelekeza. Ndiyo sasa kabili ni muusisi ya mzazi wangu kwamba kuna kifaa huko mzumbe ambacho peke yangu dosina. Mimi nilikiona 2012, elfu mbili, kumina mbili. Chuo mwaka wa kwanza wakatuwa ueno uko tumbaonu kwa mamangu, ebu mbili na kumi na mbili, wazazi wako wa kumilu haja kutana, mimi nilikuwa chuo ndo mwaka wa kwanza. Now saizi mtuto wangu mdogo anasoma year 4, analaptop, wanasignment. Can you imagine shula anasoma mtuto wangu? Wanaassignments, true story, wanaassignments. Wanafanya kwenye, kwenye computer na wanasubmiti huko huko. Unaingia kwenye kitu kinaitua educational city. Unaingia educational city, anaingiza password yake na details yake. Yani monangu wanapassword. Simu melewa. Hanaingiza, hanafanya assignment online, halafu hana tuma na mualimu wake walane, unajuli kumbia ya phone, mualimu wake wadalasa walane, na e piya hana msaishia uko uko, hana tuma marks. Kama sijuri matumizi ya computer ni meliwa. Kwa sababu siwezi kujua kapata ngapi, wala kaishia wapi. Watoto shuludi kwa mwanangu, wanako soma, hanafanya projects. Research proposal. Juuzi walikuwa wanafanya project, wakambiwa hivi. Imagine kama utaenda kuhishi muezini. Unafikiri ni kitu gani? Utakipeleka kule kwenye space ambacho hakipo. Unataka ufanye mbradigani kule kwenye space. Kila mwanafuzi awaze peke yake, halafu atengeneze presentation, anaweza kupresenti mbele ya wazazi. In case dunia hii kifutua, tukatakiva tukaishi mwezini. Yaya kule mwezini atanishulisha nanini? Kwa hiyo mtoto waka yanda hile project consecutively two months. True story. Mwanangu hiko la nene, achala na hile mbae yuko year seven. Lani, haka tengeneza project, haka inda ku-present, and guess what? Hali sema hivyo. Na tengeneza project, ambayo ni in case dunia itafutwa, wote tutenda kule kwenye space muwezi ni kule, mimi I want to open a church. Kwa hiyo haka tengeneza kanisa. na mifumo ya kanisa itakavuweza kuwepo kule angani, tutakavuweza kukaa mi na wei bila kudondoke hana. Haka balance pale vipimo, haka tengeneza mifumo ya kanisa, capacity ya kanisa, vio shule za watoto, switche kechea, wazazi wanyafito vichanga, haka yueka vizuri pale, haka present. Haka sema just in case dunia itafutua, tutalamia muezini, mimi kama maa na mtuto wa mchungaji, nitakuenda kutengeneza kanisa. Ni kamesa sababu muka na mapiti na vanyapa kasima kule muezini watu wa walali. Kwa hiyo itakulaba tutengeneze program Shinda na mamapiti. Lakini mimi kitu kinaitua research. Chuo ni muaka wa kwanza. Mwaka wapili, thena nikaanza kusubmitting, kila siku narudishwa. Title tu enye nilirudishwa, Kalibia Malasita. Wanasema title yangu, haikuwa imekaa vizuri, King Reza, Haki Kunyoka. Can you imagine? Nikiwa chuwoni, mwaka wapili naenda mwaka watatu. Degree ya kwanza ya uwalimu. Mbili na kuna bili. Kwa iyo, tukisema tunaitaka experience, nita kudanganya. Kuna vitu, hallelujah. Kuna vitu avita enda sawa, avita enda sawa kwa nini? Kwa sababu experience, sio wisdom. Hekima noiz ngu mziami misio iya darasani. Hekima noiz ngu mziami is the wisdom from above. Hekima ya Mungu mwenyewe. Mungu alie umba mbingu na nchi na vyote vili vyomo. Aka tuweka hapa dunyani. Now sasa tunaitaka hekima yake iyo itusaidie kuhishi na wenzetu hapa dunyani. Ukikosa hekima ya Mungu utakosea. Ukikosa hekima ya Mungu utakosea na ukikosea utaingia garama na kuna garama nyingine kama tulivyo zion, kipini kili chopit, garama nyingine uwezi kuzirudishi. Kuna mamba ukisha kosea, umekosea, umesha kula tunda ambalo ulitakiwa usile, umesha kula, nime muomba msa mamu, umemuomba na kakusamee lakini mathara ya ue kula tunda, tunayom paka leo. Ni wachekesha nililuambia hapa mezi 3-4 ili opita mtoto angu waliumua na nyoka shuleni na ili wapa story hapa. Na ninajua mnapenda story zangu. Atya ni wapa nyingine. Sasa wakati siku wanaumua na nyoka pade shuleni ilikuwa ni muda wa break na alikuwa anakula epo. Yani yame malisa kula, chakula thena kawa nakula matunda. Ntoju ya shule za Kizungu, ni wewe tu. Hama mpaka saibu tunakombia. Kathe, ukimalisa wali na maragi, kula matunda, sitaki unohona constipation iyo. Choha gitaki kutoka. Mzigo umebana. Kila uki mkuta mpona katuwa macho kaka watu. Constipation, kula, matunda, mdizi, mboga mboga, mchiche, mkabeji. Hei, basi yule nyoka alimuuma, akiwa alikuwa na epo. Kwa hizi ya siku hile. Mwanangu waataki maepo. Anasema, mum, Snacks loves maepos. Kujuzi nimempa epo, anasemano, we should be careful. This house, let's all be careful. Gafla kwenye nyumba utu kawe kwa chini ya ulinzi, haka sema tuwe makini kwa kiswa ili kisuri. Melewa, careful, careful manaki u makini. Jamani. Haka sema hembu tuwe makini watu yapa nyumbani. Dad, mum, please, all of us, let's be careful. There must be a snake around. Experience ni uzoefu wamutu wali opitia, wahenga na watu mbalimbali wali oishu uko nyuma. Tunaishimu na tunakubali mawazo yao, lakini yanaweza siwe applicable. Kwanini nyakati zinaenda zina tofautia na. Lakini neno la mungu bibe nasema mungu ni yule yule. Jana leo na hata milele. Hakikupa ekima yake mungu, utaweza kuhishi na watu wale wale kila siku bila kuathirika. Hallelujah. Wanaeswa sfiwe sana. Nataka leo tusome. A strange story but I love it. Hii story tatu saidiya kujua mathara ya misukumo ya nani. Misukumo ya nanyi, convictions. Very very powerful subject. Listen to me very carefully doguzangu. Kila mtu wanafanya mamuzi. Kila bala dakika moja unafanya mamuzi. Uwende chooni au usiende. Ukaye, uwoge, ulale. Hayo ni mamuzi. Mna mamuzi ya na matokeo. Nduguzangu, mimi ili tokea siku niliyamua kuwelewa na mchungaji. Niliyamua. Lai tininge ulewa na bilionea yote. Usiku, tini ngekua nime lala kuna jumba la The Hub. Lakini, haya matokeo ya kuwelewa na mchungaji, ni yuhaya sasa. Kwa hiyo unapuamuwa jambololoti, juhu ambeleni liitakupa madharatu, either mazuri au mabaya. Nambaya zaidi, hakuna mtu anayamuwa automatic. Sijui ni wekaje subjecti yangu yelewe. Hakuna mtu anayumuwa automatic, vipo vichocheo. Ziko spiritual creatures kuna viyumbe vyaroni usivo viyona vina vio chochea maamuzi yako. We hukurupuki tu kutukana. Hukurupuki! Wako watu viko vitu undani yako vina kukonvise vina kumbia it's okay mtukana uya mezoea. Mezoea usi muwache leo. Kata mtama uyo piga kichwa mezoea. Kabla mtu haja kupiga kichwa. Ndiko sawa? Kabla mtu haja kupiga, kichwa. Kuna kitu kime muambia moyoni huyu mpige kichwa. Kabla mtu haja kupa ela, something within you kime kuambia mpe. Kabla mtu hajamua kila hatua, mtu hapigi hatua kabla haja sike. Na unasikia kutokia andani. Unasikia kutokia andani. Kwa hiyo ukimboresha mtu wako andani, kwanamna nyingine unaboresha mifumo yako ya usikivu. Hii ote amba huminai tuna sumbuana kila siku Somaneno, somaneno, somaneno, mlishe mtu andani Feed your inner man, feed your inner man Na choki fanya pale, kwa luga nyingine na kuambia hivi Imarisha mifumo yako ya maamuzi Ukiwa karibu sana, mbibye na sema na ushirika wa Rom Takatifu Ukiwa karibu sana na Rom Takatifu We kuna vitu huta kujia kuamua, kabisa Kwa mfano, kujinyonga Rom Takatifu hawezi kumbia ujinyonge Kulawiti watoto wadogo na wakubwa zoezilolote laulawiti mifumo tofauti na mifumo mungwa aloika. Yote huwezi kufanya, huwezi, huwezi. Mkira nasimaa izi yamli ni ngumu, ni ngumu, ni ngumu, yes. Kila kitu ni kigumu kama room takatifu hayupo. Kila kitu ni kigumu kama rom takatifu hayupo na kila kitu ni chepesi kama rom takatifu yupo Usiitharao misukumo, misukumo yako ya nani? Una jisikia nani yako kufunga? Funga Una jisikia nani yako? Yani kila uki kaa una una mfungo tu, kila uki kaa una una tatu kavu Kila uki kaa unohona tatu kabu, push yourself, push yourself, utaona matokyo yake. Kila uki kaa ndaniyako, unasadaka inakusukuma. Unaela nyingi sana, lakini unakitenge mahali, unakiatu mahali, muoni muoko unasikia mpena huyu. Mpena huyu, uliviona hivyo ni vichache, lakini ndaniyako unasikia mpena huyu, mtiro, mtakatifu, fanya hivyo. Misukumu ya ndani. Misukumu ya ndani muhim sana. Tuliona kipiti cha mwisho, tukamuona kuna mtu alikaa, alisukumu wa undoke kwenye inchi yambayo, wenzake walibakia na wakufa. Kwa sababu ya njaa, njaa ilitokia kali. Njaa ilitokia kali, jamaa kasema na undoka. Na hali kua tajiri. Na nika wambia, nika wambia hakuna tajiri ya siya weka akiba. Matajiri uwengi wanaugopa kua maskini. Kwa sabu maskini ni mbaya. Ndiyomana, matajiri hawalali. Yani ukikuta mtu waminala ili mpaka wakubeba kabisa we Rachel, Rachel, Rachel Afu wakiamuka nauliza hapa wapi, yani huyo njua tu yukombali, yani matajiri hawalali Na wakiamuka chakwanza, shup, anangalia saa, saa ngapi? Hili nikafanye kazi. Wanaugopa kurudi kwenye umasikini. Ndiyana nikawambia, nikawambia kipindi kilichopitia. Nikawambia niraisi sana mtu kusurvive, kutokea chini kuenda juhu. Haa, huyu wanakawa vizuri. Lakini kutoka juhu kishanguka chini, jambo ni gumu. Kwa hiyo, matajiri wengi wanastrive kulinda mali zao. Hili wasi rudi kwenye umasikini. Now, Eli Meleki, Kitabu Charuto. Elimeleki hakaondoka Biblia inasema. Rutu sura ya kwanza pale kwanza ya msari wa kwanza kwa wale ambao probably hawa kukipata kipindi kilichopita. Hakaondoka Elimeleki kutoka nchi ya Kenzuri kabisa inaitua Bethlehem ya Yuda. Nchi ya Mikati hakaondoka. Haka kimbiria muwabu. Kwanini? Kwa sababu kulikuwa kuna njaa. Kwa kitambu kidogo tu, haka amuwa kuhondoka. Haka sumasuwez kukaa. Unajua iliku waji? Haka hondoka yehe na mke wake na watoto waki waki ume, wabeba jina laki, wabeba uzawa waki. Haka hondoka. Mpaka mwabu. Maandiku wa nasema wali wofika mwabu, hakafa ilimeleki. Na Biblia hayelezi. Alikufa liumwa, alikufa nanjia, alikufa lifanyaje, haaa alikufa mwabu inchi inayokula watu. Wafalme wapili sura yatano Sura ya tano tutaanza mstari wakwanza, wafalmi wapili sura ya tano kuanzia mstari wakwanza. Kipata muda ndugu yangu, kiwa umekaa tu ofisini, umekaa wapi, unafanya shuizako, upo dadasani, unasoma, uko nyumbani, na mke wako na me wako, muda ote usiache kuomba maombi haya. Muambiye Mungu nisaidie, nisaidie nisikose, nisaidie nisikose Nisaidie, Nisaidie katikati ya shida, nyingi matatizo na changamoto nilizonazo Nisikose kimaamuzi, Mungu nisaidie kukontrol pressure within me, financial pressure Na sikia mtikisiku waki uchumi kwenye akiri yangu siyokua kawida Lakini bapa kani kajina la yesu nisaidia kukontrol, pressure Rom takatifu nisaidie, rafiki yangu wakaribu nisaidie Na jisikia msukumu wakukopa Lakini nisidia nikaingia kwenye madeni, nikaingiza familia kwenye utumwa Rom takatifunishikilie nisaidie kila wakati Usijiamini, usijiamini, useme aaa usijiamini maandiko yanasima mtumaini buwana Kwa moe wako wote, mtumaini buwana. Pane Mungu alikuwa naungia na wasomi, alikuwa naungia na wasio wasomi, alikua naungia na wenye kazi, iyo ni mithali 3 kwanza mithali 5 kwa wakatu wako utasoma. Anaungia na wasomi, wasio kuwa wasomi, anaungia na wenye kazi, anaungia na wasio kuwa na kazi, anaungia na wajane, anaungiana wagane, anaungiana masingo, anaungina meridi, anaungina wale wakatikati singo meridi, anaungia na watu wote, anasima mtumainibuwana Hata kama nimesoma, mtumaini buwana, kama nina connection, mtumaini buwana, kama ngwe upe, mtumaining buwana, kama mrembo, mtumaini buwana, kama mfupi, au kama mimi nina shingo ya trigger, umbo namba nani, mgu wabiya, nyuzi mtu moja kasama mbabiya, sahibi zibadilika. Ziko wabiya nyingi. Hata kama unavitu gani, bibi nasima mtumaini buwana Kwa moe wako wate, moe wako wate Wala usizifuatize akiri zako mwenyewe Katika njia zako zote mkiri yee Nae atayanyosha mapito yake Mungu anawezo wakunyosha mapito yako wewe yote Kama ukimtumaini, tusome ndugu zangu Basi na amani, tunasoma wafami wapili Surah 5 Mistari wa Kwanza Basi na Amani, Jemadari wa jeshi la ufalme wa Shamu alikuwa mtu mkubwa mbele ya buwanawake na mwenye kueshimiwa Kwa sababu kwa mukono wake, buwana alikuwa amewapa washami kushinda, tena alikuwa mtu hodari wa vita, lakini alikuwa ni mwenye ukoma. Mimi nafundisha loo kwa bali ya misukumo ya ndani, na mna kumisikia room takatifu, maishi ambawe ya naendana na kuungozo kwa roho. Maandikuwa nasimabasi, nasema enendeni kwa roho wala kamu ya mta zifuatata maaza mwili. Nasungumzia convictions, misukumu ya ndani, ambayo ikiwa very very positive. Rum takatifu kama nakuongoza unakua salama. Rum takatifiu hawezi kukuongoza semi yote ambao hawezi kukutunza. Rum takatifyu hawezi kukuongoza kwenye ndo wa yote itakayo kushinda. Rome takatifu hawezi kukuongoza kwenye biyashala yoyote, itakayo kuingiza kwenye asara Rome takatifu hawezi kukuongoza ukakope, maada amda uji opate madeni, aibu na fethia Rome takatifuu hawezi kukuongoza malipopote rongu Rome takatifuwezu kuambia tukana watu Rome Takatifu huzu kuambia jibu watu vibaya. Kwa hiyo maungozo ya Rome Takatifu ni salama. Kuliko maungozo ya certificate yako na degree hulizo nazo. Hallelujah. Tunasuma wafalmi wapili sura 5, mstari wapili. Na washami walikua wame toka vikosi. Waka chukua mfungwa mmoja kijana. Mwana mke kutoka inchia Israel na haya kama odhumia mkewe na Amani. Mstari wa tatu, haka muambia bibi yake. Laiti bwana wangu angekuwa pamoja na yule nabi alioko Samaria, maana angemponya uko mawake. Shortly, dada huyu hamechukuliwa kama msitia na wakazi kutoka Israel, hameletua kufanya kazi hapo, kutoka Samaria, hamekuja kufanya kazi hapo Sham, nyumbani kwa na Amani. Lakini baba mwenye nyumba anaukoma, housegirl ya metokia mbali, nijasema iringa. Mini mesema iringa. Nimesema hame tokea mbali. Nimesema Dodom, sasa nini? Nimesema house girl yuyu hame toka Samaria. Samaria Nairinga ni sawa? Nini kwa nini mnanigombanisha na wakweza? Kwa hiyo yule msitena lipokuwa pale, kila siku kwenye kufanya zake kazi, anamuangalia bosi wake, anaukoma. Lakini hame toka Samaria, kamu wacha nabihelisha pale. Hanasema haya mambo ni madogo sana. Kwa nabihuangulaitu yu buwana angejua. Angenyenda kule. Mistari wane, mtu mmoja aka ingia. Kuyo wakati ule mistyana wakazi, anaungia na mama mwenye nyumba, mtu mmoja aka over head. Umbea wama indele uvu. Haka sikia habari hizo. Mstari wane, mtu mmoja haka ingia haka muambia buwanawake. Haka sema, yule kijana muwanamuke haliye toka inchia Israel. Haka sema hivi na hivi. Mfalume wa shamu haka furai sana. Haka sema, haya, basi, mimi nita mpelekia mfalume wa Israel waraka Basi, hakaenda zake. Haka chukua mikononi mwake talanta kumiza feather na vipande vya the hub wealth sitter na mavazi kumi. Haka mpelekea mfalme wa Israel wa alaka ule. Kusema, wa alaka huu utakapo kuhasilia, tazama nimetuma mtu mishuangu na amani kuhako. Ili upate kumponya, ukoma, bati mbaa barua hikaenda kwa mtu ambaye sio na bii. Hikaenda kwa kiongozi wanchi. Kiongozi wanchi akararuluwa mavazi wake. Mstari wa saba, ikawa mfame wa ezele alipo usoma ule uaraka, aliraruluwa mavazi yake yaka sema, ye mimi ni mungu ni ue au kuhuisha hata mtu huyu anipelekea mtu ni mponyo ukoma wake faamuni basi na kusi mwone ya kuwa mtu huyu anataka kugumbana na mimi. Mstari wanane, ikawa Elisha. Yule mtu wa mungu alipo sikia kuamba, mfalme wa Israel, amearaluwa mavazi yaki. Ndipo akatuma mtu kwa mfalme yaki sema, mbona umearaluwa mavazi yako na ajie kuangu sasa na aya tajua ya kuwa yuko nabii katika Israel. Pasi Elisha kaaunai siwe chida, kambia mfalme, najua izo siyo mambo zako, najua izo siyo kazi zako, tanielewa kuna mstali naenda, utanielewa. Haka mambia mfalme, siyo mambo yako, siyo mambo yako kabisa hayo. Wewe mfalme, don't worry, huyo mtu mlete kwangu, mambia aje yapa. Mimi Elisha, nita mponya. Hallelujah. Mstari uatisa basi na Amani ya kaja na farasi wake na magari ake. Haka simama mlangoni pa nyumba ya Elisha na Elisha haka mpelekea mjumbe haki sema. Enenda ukaoge katika Yoldan marasaba na nyama ya mwili wako itakurudia na ue utakua safi. Nabi Elisha haka mpa mashariti mepesi tuu. Haka mambia na Amani, ilo ni suala nakuoga. Ukurutu, uchafuo, madoa yote, mapeli, malingelingi. Sugua, tuwakama mbecha kufaja ni nda kaaoge, lakini uchafuo ni wamuda jemedali wavita. Tukumbuke na Amani jemedali. Umekua ukipigana vita safaris hapa na pali unakosa mda wakuoga. Hembu kaaoge marasaba. Aa! Na Amani yaka sima uso ustarabu. Mini nijuu utaweka mkonu. Koja ni kusome. Mstaru wa kumina moja, lakini naamani akakasirika, duguzangu wenye asira, unaukoma vado unasira. Lakini naamani akakasirika, akaondoka, akasema, tazama, nalithania bila shaka. Atatoka kwangu na kusimama, na kuomba kwa jina Labwana, anajipangia uponyaji, mungu wake, na kupitisha mkono wake mahali pene ugonjwa na kuniponya mimi mwenye ukoma. Na amani nasimaa, haa, minilijua atachukua mkono wake, aweke kwenye Maine, Ohio, mwenye ukoma. Harafu nipoke uponyaji, iya bali ya koga imekaa aji? Marafiki zake, watu wake wakaribu, watu mishu wake, wakamuambia. Kwanzaa kaindili haka sima hivi, kwani hapana mito mstari wakuminambiri. Jai, habana na falpari, na falpari mito hii, mito ya dameski. Sibora kuliko majiyote ya Israel, jai, siwezi kujiosha wajuwaji. Dhani yake na kuwasafi, haka geuka, haka ondoka kwa hasira. Mstari wakuminatatu, watumishi wake wakamkaribia. wakamuambia wakasema babayangu kama yule nabiyanga likuambia kutenda jambo kubwa, usingali litenda jai, si zaidi basi akikuambia jiyosho uwe safo, wakamumbia namani, shida nini? mona amekuambia nina udogo tu kama kuhoga, angi kuambia utoye sadak ya kujiambatanisha na uponya jiwaku Ungefanyaji mbona kama mekwambia jambo dogo bass Asirake ni kwa sio kali kama yako Kwa hiyo kaeli wa kasema aina shida Ngoja nikaoge Aka murudia yule mtu, mistari wa kuminane Ndipu wakashuka, aka jichovia mara saba Katika Jordan, sawasawa na nenolake yule mtu wa mungu na yo nyama ya mwili wake ika rudi. Ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga akawasafi. Kuna mali naerekea nivumilia. haka mrudia yule mtu wa mungu, yeye na mwafuatano yake yote, kwa hiyo kutoke hapa kuenda mere nisikirize punguza duveti, sogesa duveti pembeni na ungea point ya msingi, leo tunaomba sala baba etu tu, tunainda nyumbani, tuna lala, amen haka mrudia yule mtu mstari wakuminane ndipo haka shuka haka jichovia mara saba katika yoldan sawasawa na nenulake yule mtu wa mungu na yo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga haka wasafi Kuminatano, haka mrudia yule mtu wa mungu, yeye na mafuatano yake yote, haka aja. Haka simama mbele yake, haka sema. Sasa, tazama najua ya kwamba hakuna mungu duniani mote ila katika Israel. Basi na kuomba, upoke mbaraka kwa mtu mua wako. Baada ya kuponyua, na amani kaona jambo ni mekua jepesi, kumbuka na amani siyo masikini. Nyemedari wajeshi washama huko ambaye hame pigana vita vingi na kuletea ushindi kia skwamba ugonjwa wake ulimata kwa mfalme wake Kwa hiyo ni mtu mwenye wadhifa, ni mtu mwenye nyadhifa Ni mtu mwenye hela, kwa hiyo unaweza uka predict, uka assume sadaka alionayo bahada ya kuponywa. Nduguzangu, lazima tukubaliani. Unapo kuwa mtu mwenye na fasi kubwa kama huyu na amani, kabla ya kutafuta option ya kuombewa, ni amini mimi alishenda hospitali. Wengi wetu sisi mungu, sio kipa umbele. na nitabia mbaya kweli. Mungu kwe tuwengi sisi tu mefanya kama spare tyre. Una muweka just in case mume wangu asipo nitexti, nita kucheki godi. Just in case asipo nipigia SIM, nita kupigia. Just in case kazi zangu zisipo enda vizuri, mungu ndo nitakesha. Ndiyo mana kuna watu unakimuona kwenye mkesha, wanyuza, eh, anshida gata. Kwa hii ona kubaliana na mimi, amen? Na kubaliana na mini? Kabla na amani hajia enda kwa bari ya kuombewa au kutibiwa na nabihilisha Taali alisha katisha mita mingi kama kwa waganga, waguzi, wachawi, wasomanyota Na wakamumbia vitu mbali mbali na kama hospitali zilikuepo alienda Kwayo you can imagine hicho kitita chakujia kumuona mtumishi baada ya kupona ukoma Sio UTI Siya UTI, kwa wakati wako ndugu yangu, embu Google, angalia ugonjwa wa ukoma ulishi. Nilimuuliza piti baada ya kusumaiso, nikama miyeleze ukoma unaku wajaka. Kasima kwanza ukoma ni ugonjwa walana. Ukimuona mtuote anaukoma, amelaniwa. Moja pili, viungo vinapotea unatarifa. Yani mwili unaoza, unatarifa. Na vinaanza kwenye miguu na mikono. Ili ushundo kutembea na ushundo kufanya kazi. Kwa hiyo, kwa mfano, vidoleviyako au mikono yako inaliwa anaukoma. Unakua huko sawa tu. Unaungia na watuoko na mafikuza ko. Ukija kuangalia viko vine. Ili kimoja kiko hapi? Kimeliwa mpaka kikadondoka. Nakote huku mkono huu nakuwa unaganzi, kwa yu mtu mwine ukoma anawezo kueka mkono kwenye moto na asisikie maumivu yoyote. Baada eto, aaa, kuma kunaunguwe? Na kikishali wakidole kinakatika tushenye kinapotea. Kwa huna kajama vimebaki vitatu saa. Vimepotea, uo ndio ukoma. Kwa huu you can imagine. Ugonjwa mboni complicated kama uo. Mtu wakipona. Sa daka yake itakuwanye. Wewe utuiba ukipona tui UTI. Kwenye kibahasha unavuweka. Jamana, mshukuru Mungu. Nilikuwa ninagonjwa la kuzua Taruki. Lakin, siwezi kulita jambele za watu kwa sabi ya nilikolitoa. Lakin, hallelujah. Vipi maviyangu hivi yapa. Nilikuwa HIV negative. Jamani, mbibi na mabwana. Magelegele na makofi. HIV. Sasa muenze tuyu yalikuwa na ukoma. Hakapona. Mstari wa kuminatano. haka mrudia yule mtu wa mungu, yeye na mafuatano yake yote, hali kua na protokali, jemedaru yote mba ipeke yake, mi uhewe, tu uhewe na boda, basi. Una hata utuwa kubebea pochia, tasa mama pochi yeye inalipa. Hata beba nimu. Sijana nikamuona deda mmoja hame kujia, tukatuna kazi na ye nyumbani, hame beba ka pochi kadogo kama ngumi hivi. Kakaweka hapa. Sasa the way nimezoea kuwa, sahibi nina briefcase indogu zangu, pochi ya zitoshi mzigo nilionaye. Mavitabu na mavitu mengi. Nikamuulisa ifuwe zaidi. Kwenye kikiludu umeka, nikasama makuna mtandio na lip balm. [00:41:53] Speaker A: Bas! [00:41:54] Speaker B: Bas! Haka mrudia yule mtu wa mungu, na yae na mafuatano ya ke yote. Hakaja, hakasimama mbele hake, hakasema, sasa, tazama. Najua ya kwamba hakuna mungu duniani mote ila katika Israel. Basi na kuomba, upoke mbaraka kwa mtu muako hame mletia sadaka. Lakini hakasema, kama buwana ishivyo, ambaye nimesimama mbele hake, sipoke kitu. Kajisikia tu. Elisha, hakujisikia kupokea sanaka. Misukumo ya dhani. Hujisikitu. Mtu wana kutuwa lunch na ukabisha chakula. Hujisikitu kula. Sipokei kitu. Haka mshurutisha poke, haka mbeleza sana. Mind you minna wakika. Inge kua ni feather, ni feather nyingi sana. Maa milioni. Bibiye nasima aka mshurutisha lakini kakatamu, 47. Na Amani aka sima kama Sivyo lakini mtumu wa wako na apewe mzigo wa udongo wa bagala wa wili kwa mana mtumu wa wako hata toa tena Sadaka ya kuteketezo. Wala thabiu, kwa miungu mingine ila kwa buwana. Kumina nane. Jambo ili, buwana amuachilie mtu mua wako. Buwana wangu waki ingia nyumbani muarimoni. Ili ya abudu humo. Na aya kitegemea mukononi muangu. Na amini kijiinama nyumbani muarimoni. Hapo nitakapo jiinama nyumbani muarimoni, buwana amuachilie mtumua wako jambo ili. Haka muambia, neenda kwa amani. E neenda kwa amani. Kambe nime kusikiliza, Mariza kena lamika, nasima pokea, ni sijo ni kashawishika kutuwa sadaka mahali pengine toyo, haka mskiza kambe sikiliza. Hivyo vituviyako vyote, nendanavyo kwa amani. Uwe na amani kabisa. Mimi si pokea yu sadaka, na hata usiwe na wasuas kwa kula unakoenda, uwe endelea kutuwa, lakini hapa uwe na amani, nenda kwa amani Mstari Waishirini, yani nime kutuwa moja, ili uelewe nilikuwa nataka nikuulete Mstari Waishirini, misukumo ya dhani. Mmoja anasikia kutuipokea sadaka, muingine anasikia kuichukua. Haya tumuone Gehazi. Gehazi, protok wake msaidizi wanabi, assistant. Lakini Gehazi mtumishu wailisha mtu wa mungu. Haka sema, tazama buwana wangu, hame muachilia uyo naamani mshami, hasi vipoke vitu mikono ni muake vile vitu wa hivyo vileta. Kama buwana haishivyo, mimi ni tamfua tambio nipoke kitu kwa ke. Sasa wakati yao mambo yote ya naendelea. Kwa sababu unatakiwa utengeneze, ushirika wa wewe na rom takatifu, kiaskwamba mnakua ni kitu kimoja. Aki kwa mbiya atcha, unasikia, unacha. Bila kuanza kuhuliza, huliza kwa wengine nje. Haki kwambia this is the right way tuende, nenda. Bila kuanza kuuliza uliza ukunje, hakuna mtu ambaye ali msikia mungu kwenye neno la mungu. Hakaanza kuuliza uliza wanadamu wakapenya. Ila inabidi ue na ushirika kweli kweli. Ili ya kiyongea ndani yako unamsia kwa sababu mpaka hapa, hakukuoneshwa maali popote ambapo genyazi aliyomba. Elisha aliyomba kasima, buwana, nipukei saraka au nispukei, nichukueu au nistukue, roo ya ketundani ikasikia mchefuko. Hakupokea. Na ndivyo hivyo ambavyo room takatifu baada ya kufanyanai ushirika vya kutosha anavyo function danyetu. Nyeye mungu atendae kazi danyenu. Kutaka kwenu. Hallelujah. Ndivyo roo wa mungu wanafofanya mambo. Kutokia ndaniyako, hujisikitu kutengeneza urafiki na wio dada. Dada anakupenda, dada anakufurahia, anakuletea zawadi, anakuletea perfume, mawigi mapia. Kila ukimuona wewe, roo yako inachifuka tu na huna sababu. Mskirize room takatifu. Ndivyo roo wa mungu wanavi ongea, roo wa mungu wanaongea dhani yetu, si onje yetu Lakini ukitengeneza na e, mausiano na e ya kutosha, yani unamsikia kabisa 24x7 unamsikia kabisa, akikataza juu ya jamba unasikia, unasikia kabisa Mba zaidi ya mba me shiba, ue mblishe rom ta katifu Mblishe, mblishe, ata kuhonesha mtiani unatoka hapa, soma hapa, ata kuhonesha uyu ni mwanamuke wako, muwe uyu, ata kuhonesha, kazi yako ni hii, apply yapa Everything will be so clear, so clear, so clear Nyeye mungu atendae kazi nani yenu, yani nani yake tuwelisha na sema hii sadaka hapa wala hakunda mani pupote, ro mtaka tifu, ro mtaka tifu, ni chukua au nisukue, ni sisemi usiombe, no, lakini kwa kuanzia waweza komba lakini along the way, ya nakua ni maisha, kusabu si mna ushirika, mna ushirika, mkisha kuwa na ushirika, luga unayelewa, ni kama mimi yambavo ni wapa mfano nduguzangu, ni meishi na mtsuwangu, mayu wangu, bebi wangu, miaka mingi, to the level saizi, mimi nikimuangalia etu piti usona, njua leo ya heri leo hapa na lamba bingo, leo na jiku sania mapene inje inje, mshiko inje inje bomba, leo na pata ila. Kwa jinse mafo ni weishinai muda mrefu, sula ya ila ya piti iyo siku iyo, na ijua, na siku ya ukame. Naijua, najua leo hapa, ata nikimba ni sipati kitu Kwa iyo kuna maswali si muulizi, so izi kukumuuliza sana leo ni kupikia nini Najua, ingoma, leo hii hapa, ili niweze kujitufwari ya kitu fulani Pika pulao, pika pulao. Lakini hii siku imekaa ya Shirley Kwa jinzi ya mbavo ni meishi nae, mda mrefu Kwa jinzi ya mbavo ni meishi nae, hata mtu wa kinionesha msgi, piti ya meniandikia hivi, nikiangalia na sema ndio Iye nyewe, lakini kiyangani nasima siyo, hii hafanyagi hivi, hata nikiwa na watenda kazi na ungeana unapana, baba hii hataki, hata kama hajia nituma hajia niambia, neenda kawambie watenda kazi, hii sipendi, no, kwa jinzi yambavi unakufahamu, kwa kuwa nimeishi na Mdamref, ndivu alivu oro mtakatifu Kwa akari yambavo unaindenea kuhishinaye na kutengeneza na ushirika moda mrefu, kuna vitu ona kumbia automatic to wala hutu minguvu. Hile hile sadaka mbao Elisha haja ipokea. Gyazi ya kaiangalia. Na e pia kapata msukumo. Kama we unapopata msukumo kuenda kanisani. Kama unapopata msukumo kufunga na kuomba. Kama unapopata msukumu kunena kwa luga saazima. Kama unapata msukumo kutuwa sadaka, muingine napata msukumo akuibie. Muingine anasukumo amkwapwe maiwaku. Ndo luga unohielewa. henye na msukumwa tu. Kila hakienda haki rudi, yuko around vituviako. Kila unafa mfukuza la kumitua, anasukumwa kukusogezea uwaribifu. Mstali waishirini na moja, basi, geazi, haka mfuata na Amani. Nae na Amani halipona, mtu hapigae mbiwa, anakuja nyuma yake. Hali shuka garini, I am lucky. Haka sema, jee ni Amani, Haka sema, amani, buwanawangu amenituma, haka anza kudangani. Buwanawangu amenituma, yani Elisha. Buwanawango amenituma kusema, tazama, sasa hivi wamenijia kutoka milimani mua A-frame, vijana wawili, wawana wamanabiye, uape na kuomba, talanta ya feather, na mavazi, mawili, gyazi, msaidizi wakuhani, msaidizi wanabi, muongo wana dangani. Alipo viangalia vile vitu mtumishwa mungu, alipo viacha. Haka sema, alright, no problem, nita vifuata, nita vipata. Kamkimbilia na amani. Haka mambia na amani, tumepata ugeni wa gafa, samaan lake, samaan. Sio kama nimependa kunja kuomba, inaulivotoka tu, tumepata ugeni wa watu wawo, Kwaza nipate feather, pili nipate na mavazi yao. Na Amani aka sema, ue rathi. Don't worry. Ue rathi. Ukatuwae talantambili, haka mshurutisha, yani haka haka fanya jitiada mazubuti za kumusababisha anapata kama leave of return. Haka funga talantambili za feather, dhani ya mifuko miwili na mavazi mawili, haka tuika watu mishu wake wa wili na waka chukua mbele hake, shina nene. Na hali pofika kilimani, hali vitua mikononi muawo, haka vyweka nyumbani, haka waacha wale watu kuondoka Nao wakainda za wali. Huli kua na watu geyazi wa kumsaidia kubeba. Mavazi ya zamani siyo kama ilo vazilako moja ato kukua kwenye pochi mtandia unakaa. Vazi vazi kweli. Na uyue ya huli kua ya metengwa kama za wali. Ya kumpa na biko. Ya huli kua makubwa. Mawili, makubwa na ela. Ya kamshida geyazi kubeba. Huli kua na vijanawake kame mbebeni. Wali meenda umbali kukalibia nyumba na kasima jaman safali meishi apa. Yacheni yapani yafichi. Misukumo yandani. Una sukumo kuiba. Una sukumo kuiba nyumbani mwabwana. Una sukuma kuiba. Sisi tunasema kanisani nyosha mikono yako juhushika sadaka yako. We unachosikia shika pochi ya mwenzio kimbia nai. Una shangaa. Wezi wanatokia wapi nyumbani mwabwana? Wanaibiana watu kanisani. Haya, naiya alipofika kilimani, alivitua mikono nimuawo, akaviweka nyumbani, akawaacha wale watu kuondoka, nao wakaenda zao wale watu walio msaidia. Akafuta vizuli mdomu wake kama mtutu wale utoka kuiba chips. Kafuta vizuli mikono, kajisafisha vizuli ni kama wewe. Ukitoka kuu mambo mengi, umesaliti moziyo, unaoga vizuli kabisa uko, unaudu umechumekea. vile vile kama wakati unaenda kazi ni mpeji raniyako mkono ala fusi mwambia kitu, mwachamu. Kwa unaenda, unarudi nyumbani vile vile. Kana kwamba ujatoka kupiga Tukyo, unawajua watu nduguyawo. Kaa kupiga Tukyo ili anarudi very innocent kachomekea mkanda nje. Na nakikisha amenioka. Na odhida sikuizu omechangamu kajamani. Anakikisha anamululisha kwa mkewe vizuri kama hivomtuwa asoboni. Hana mambia pausile sana. Nita kuja na iyo madasi kunyikune. Saa hivi nabati wonge na geyazi. Hana mmbia usile, hili ukifika kulo kwa babatoto, kula kama ukwebu. Kwa hiyo wei unategimea hivi. Hakijen tajua tu. Kama hali kua kwa muantumu, untajua. Huwezi kujua riyoga, kava, kachomekea. Hau ni watu wa mfumo. Hakifika tu, naundoka na simi yaki. Baby, hata mimi nkikupa hii simi yangu. Hii, umewena hii? Utakesha na hii. Kuna mashine uzioni, ama mchungaji umeficha, nimeficha Christo. Kuna vitu nimeviweka ume, hata nikikupa wajidayo ya IT wakimataifa. Ukuti, usalama wawatu ume na uwasiana nao, 100%. Kwa hiyo, kama we unategemea, Ma-systemi yako ya zamani ya upekuzi haji hapa ni kwa puo simi yake niangalie. Hivi unawazajie. Unawazajie na unajuu kabisa. Umeolewa, umeoa, mtu ni msomi wachokiku. Mtu wanafanya kazi kwenye makampu ni ya simu. Uta msachi umpate. Mtu ni ya skali, polisi, mpelelezi. Uta umpata wapi. Mtu yupo media team. Harafu, ndiyo mwenza wako. Una kua umejitaftia vitu vigum sana. Kwanini? Kule media wanajua mambo mengi. Vanish mode. Yani kuna message uki kwa pua tuko pepe. Imejifuta. In a sense. Kwa iyo, kama wewe unategemea, unasima kwa mba. Ata kapa urudi. Ndipo ni takuja kuona umekuama. Kuna kitu he, kuna kitu kinaitua lock, una lock chat. Nakupa mifumoi, nakupa mifumoi usiaibike. Usipo mtegemea Mungu, utamuacha Mungu, ukamitafite Mungu. Kwa sababu watarudi maiwako Kila kitu hamesha futa kwenye simu Kaoga vizuli kapendeza Utapiga magoti kumshukuru Mungu kwa maumbia mbala ya hapa Baba asante kwa kuntunzia Ivan Hajatunzwa Ira Ivan ni content creator Waze wa editing Hamechezesha Hamechezesha Na hamesema huyu Huyu anamsevu mtuwake wafalmi wapili Utampata wapi? Utampata wapi? Mtegime mungu. Ukisima ngoja halali, nikaguwe simi yake. Hata mimi, naajua vya kufuta, naajua vya kukuachia. In case inikilala. Yuzuri, elevangu mmoja kasema, mama, nikifanzi kwena simi yangu. Kutowaliza wafiwa. Katika vitu, nitaka voviacha mke wangu msimipe simi yangu. Kwa ni ya msiba wangu, jitahidi mamangu, chomeka simi yangu pali, niye ndenayo. Kuliko niwalize wafiwa, wafiwa analia, wakisoma ila simi, unamganda kufu. Kama unategemea, diyo manamia bali zamulini spend, mi spend vita zamulini. Ndiyo, na ku, I don't like. Sio mambo zangu. Yani vita zamulini. Yani siwezi na sizipendi, zina drain. Alafu wazina matokeo ni za wongo. Imagine ili uweze kumdiaji mke wako, au mume wako, utegemei macho ya ndani, we unategemea si mui. Mambo mangapi ya meficho, wewe unafanya kazi goba. Wate mnaishi salasala. Wau nafanya kazi goba, ye nafanya kazi posta. Usiku ndo mnakutana sara-sara kula atina wali samaki. Kwa hiyo kwanzi ya subuhi, mpaka usiku wapa, hafuti chocho tala kusubiri ya wewe, uji wangalio mgombeze. Yani wana moona je mungi. Yani mimi niyone kapisa kuna vetu watalishi. Vibia kutigombalisha na mtu wa doto zangu. Halafu nivyate, hata ngekuwa mimi, na msefu feva, na msefu strange feva, nakupa being with you, kawawe vizuri. Na msefu, eh munga na sema pa, na msevu Osborne Store, we unamuandika kabisa, my love. Na unajua siyo my love wako onaye yapo. Siju pay pay, pipi pay, no. Sweet pie eh? Ni sweet pie eh? Eh, hameweka pa vizuri kijana. Anasema ni sweet alapu ni pie. Kitu unahelewa. Unaharakisha zoezila ukamatuwa nji. Unafikotu waona akimtu anamsevu miracle, waking God. Uwezi kumisuspecti miracle, waking God Una save KFC Mlimani City. Binu hizo, chukua binu hizo. Chukua desa. Sina mda. Sina mda. Nige kuhelekeza. Save. Mama mdogo chiku. Andika. Lakini uewe. Una andika kabisa. Siju the heartbeat. My partner. Una kama tuwa kiraisi. Tumia macho ya ndani, ya nje ya ta kuponza. We unasubili ya rudi, asinziye ndo wanzi, ehe, Latifa ndo nani. Umechelewa. Kabla ya Latifa kubo kuna muajuma, kuna muantumi, kuna nani. Wote alishapiga uko ndo wa merudi. Tumia mtu wa ndani vizuri. Kwanini umetumia mtu wa ndani? Wakati gehazi, anamkimbilia na amani. Elisha alikuwa nyumbani ya mekaa. Haku mfwatilia, haku ujua Kwa wale wenzangu na mimi wali Kufa miwani, una mfwatilia mumeo kwenye boda Kuja kudunduka Una boda wako binafsi Una vaa ninja Una panda kwenye boda Yani wadeda mna mianga hiko na waskiza minaflai Ana vaa ni cub Na siyo waimani hiyo Ana kaa kwenye boda Ana mfwatilia fatiliya gali ya mmeo ngu Yile pala, kaingia wape Mange shorodu Kima ya Mungu haipo, you will die young. You will die young. Hiya unafanya ni mazoezi. We jiunge je keti ukosuma. Tuna tafuta watafiti, wachunguzi, wavitu mbali mbali. Jiunge na nyeshi kule. Kitengo cha upelelezi. Ufai, uwebu kwenye ndo. Jiungge na upelelezi, evi tuna watafuta watu. Walosumabisha gulungu zanchi. Tuna tafuta watafuta wapelelezi. Njiunge huko kato saidiya kupata tarifu. Panda kunyiboda, pigwa na upepo, unapishena na masemitrela. Maisha yako unaweka rehani. Vita ya mulini, wakati gehazi, anamkimbilia na amani ni muasome andugusangu. Elisha alikuwa nyumbani. Na nikuambia kapewa yale mavazi. haka pia wazirela, haka panda mpaka kwenye kilima biblia nasema, haka viyacha pala, haka wambia wajakazi wa viyache ni hapa. Walipu ondoka, haka njipangusa vizuri, haka paka mafuta vizuri kama bibi wako anavofanya haki itaoka kusi. Haka paka mafuta vizuri, haka kajia. Mstari waishirinatano, lakini yai haka ingia Haka simama mbele ya buwanawake. Elisha haka muambia, watoka wapige hazi? Haka nena, mtu mua wako hakuenda mbali. Nilikuwa tu wapo. Haya, haka muambia, ye, mayo wangu. Tufunga kipindi, tulale kidungu. Elisha hana mwambia jee, moyo wangu hau kwenda na wewe hapo alipo geuka yule mtu katika gari hili ya kulaki Mwana hana mwambia wee mimi nimeanza kutabili gezi ujezali wa mdogo angu Mimi nimekaa hapa, moyo wangu na wezo wa kutoka Uka kufuatilia, siyo boda? Hembu nisome mpaka mwishu, taba alipanda boda Haka muambia, jee, moyo wangu hau kuenda na wewe. Hapo alipo geuka yule mtu katika gari ili ya kulaki. Jee, hundi yo wakati wakupokea feather. Mwamba alishamuona kwa mbageyazi ya meibahela. Haka muambia jee, huu ndiyo wakati wa kupokea feather, na kupokea mavazi, na mashamba mzaituni, na mzabibu, na kondo, na ngombe, na watumo na wajakazi. Hana muambia dogo, moe wangu lienda pamoja na wewe, na vijua vitu livo uchukua jee ni sawa. Ndiye ni wakati uli takiwa kuchukua hivi vitu. Convictions ako na mtu wako wadani. Ili kuwaje kuwaje, aka kuongoza kuenda kuchukua vitu kwa naamani. Haka mliza, haka mambia basi, mstari, uwaishina saba. Basi, ukoma wa naamani, utakushika wewe. Na wazao, mimi bona kinachoni umaga mambo ya Mungu ni hapa. Watoto kupandikizwa mambo ya baba zao. Sometimes tunaweza kutamani kuawambea, kuawaongo, kuawezi, kufanya vitu visivo faa. Lakini every time tukikumbuka nyuya uzahuwetu na room takatifu atusaidie. Ukiwa umegafilika, Ukiwa unatukana, unatukana mitandaoni, unatukana wazazi wako, unatukana suinani, Usi nisaulishe, yote unayo yafanya. Livyo watoto wako, walivyo, hivyo hivyo. Anasema basi ukoma wanaamani, utakushika wewe na wanao wako hata milele. Na aya katoka usoni pake mwenye ukoma kama theluji. Nikawambia ukoma, unakamiguni, unakamikononi. Cheki ukoma wageyazi, mzigo ulika usoni. Kwa hivyo manake bada mda jicho li nadunduka, pua ipo, mambo ya ipo, lakini kili nini kili mfanya kimbilie na amani aka chukwe vile vitu ni msukumo ya ndani? Na nini kili nifanya Geazi, nini kili nifanya Elisha ayikataa hile sadaka ni msukumo ya ndani? Kama roo wa mungu hakuongozi, kuna roo mungine hakuongoza. Kama roo wa mungu hakuongozi, Kiko kitu kingine kinakuongoza ambaye siyo roo wa mungu yatake sana maungozo ya room takatifu. Yani bibye inasema kama ayala, kama ayala nafuona kiu na shauku ya maji, wanandivu na fisiangu, inavyo kutamani, usikose. Musione kama mambo wanafanya ni madogo madogo tu. Hii, hii, hii. Ile malamodia, minapiga yule deme basne. No! Wezi kusama unapiga tu deme unatimbia. No, no, no, no. Imagine hapa na nikuambie. Gehazi zile hila hakutumia. Yale mavazi hakuvaa. Ali ya pokea tu kapeleka package ya ukoma. Nyumbani. Mungu wa kuepushe katika jina laisi. Na mamuzi mabaya. [01:04:14] Speaker A: Asante kukua pamoja na mimi kuanzia muanzo mpaka mwisho ibadahe. Usiache kuhomba, usiache kumjafta mungu. Na kama umebarikia na maneno haya, unaweza kutuwa sadaka yako kupitia namba zaidi.

Other Episodes

Episode

July 27, 2026 • 01:29:59
Episode Cover

Hekıma yakukupa Kujua nını Chakufanya

Kila hatua ya maisha huhitaji uongozi wa Mungu ili kufanya maamuzi sahihi.Jifunze jinsi ya kutambua sauti ya Mungu na kutembea katika mapenzi yake kila...

Listen

Episode

September 16, 2026 • 01:39:45
Episode Cover

The Wısdom from Above XII

Hekima ya kweli huanzia kwa Mungu na hutengeneza mwelekeo wa maisha yetu.Hutupa ufahamu wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.Hutufundisha kutembea kwa unyenyekevu, amani...

Listen

Episode

November 15, 2025 • 01:33:59
Episode Cover

Strenghthening your Inner Man III

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

Listen