The Wısdom from Above XIV

September 25, 2026 • 00:56:11
The Wısdom from Above XIV
Pastor Neema Tony Osborn
The Wısdom from Above XIV

Sep 25 2026 | 00:56:11

/

Show Notes

Chapters

View Full Transcript

Episode Transcript

[00:00:00] Speaker A: Shalom mpendo wa wabwana, this is Mama Piti na leo na kukaribisha tena kule isikeleza neno la mungu. Biblia inasema maneno yangu ni roho na uzima. Neno hili ni inawezwa kufufua tumaini na kuleta fara jamweoni. Wenda upo kwenye dhoruba au mawingu mazito, lakini kuna neno la mungu li lo hili na loweza kutuliza mawimbi na kukuletea amani leo. Karibu. [00:00:24] Speaker B: Tuguzangu tunajifunza kwa bari ya Hekima. Tumetoka mbali kwenye bari ya Hekima lakini pia tunalikea mbali. Mara ya mwisho tulizungumza kwa bari ya roho mtakatifu Kwa sababu kwa wengine wamekua wakifikiria kwa mbao kizungumza Kwa bari ya Hekima, lazima kwanza umli ue umeenda kidogu na kubaliana na weme Kwa sababupia mtuto wawezi ya kawa mzaliwa leo alafu wakanza kutufundisha bari ya Hekima kwa sababu Hekima kazi yaki ni kuhishi na watu Na katoto ndiyo kwanza kamefika, kalikua tumboni kanaishi na maji na chakula kwa ufadhili, kwa hisani ya watu wa goba. Wakawa wanaakarisha kwa hiyo, hatu hizu kasema kamezaliwa leo kana Hekima, yes. Lakini haimanishi kila alieishi muda mrefu anayo Hekima. Ya pokua anaweza akali Kawa na kitu kina hitu wa uzo efu. Experience. Ndirikuwa na ungea na pastor asubu ya kawa na nyembe. Unajua wakati mwingine mtu anaomba kwa sababu ya kukosa. Maandiko mingi anawiza kawa anaomba alafu anakot wahenga. Alafu aka jihisi. Yuko roho ni labda naongea nenu wa naomba naomba afo na sima buwana, kama ilivosi sema kunye nenu lako, Ndondondo si chururu buwana, Umoja ni nguvu Jehovah, Lakini utengano ni uzaifu babayangu, Kwanini na kuwa na tengana na mke wangu? Kwa iyo uzoefu? Experience. Hizu wabari za ndondondo si chururu. Hizu wabari za kusema umoja ni nguvu. Tengano ni uthaifu wakati kitabutia mithali na ungeku wabari ya... Wabari, eh. Mithali telasi ni narezea viyumbe pale wakiwa wako moja moja. Hawa na kiongozi. Bibli na wasifia inasema hawa ni watu, ni watu wenyi Hekima na adili kwa sababu wanauezo kuweka akiba za kuwasaidia wakati ujiao. Kwa hiyo Hekima ayusiani kabisa na uze. Hekima ayusiani kabisa na wahenga. Ndiyapo wahenga tu nao na tu natamba nao, wahenga tu nao na tu nambata na nao, lakini siyo kira mwenga anayikima. Ndiyapo, wana kitu kinaitwa experience, yani uzoefu, uzoefu manakidi kukamda mrefu. Kuna jambu fulani, kuhaymanishu unayikima katika iyo. Kwa nini nasimafu kwa sababu wako waze, wasela. Wako waze wanatumia vitu vinya inchakali Wako waze ambawo wanakunyo vinyoaji vinya inchakali Wako waze wanao tukana Wako waze wanao lawiti Wako waze wannao baka. Yuzu nikuwa nasikia kesi falani wuko yilinga. Bado watu wanabakwa. Kwenye misitu mtoto lukona toka nainda shule mzee kamuona asubuhi kajitualia. Kwa hiyo, wapu waze mbao bado wanalawiti, bado wanabaka, wako waze, waongo, eh unezo kuta mama mkwe wako, baba mkwe wako, msingi ziyagi. Kua na waze, tuna wapenda na tuna waishimu, lakini wako baathi yawasio na Hekima, na nikawamia nguzangu Hekima inatoka kwa room takatifu peke yaki. Yote anayo function, yote anayo fanya kazi, inji ya room takatifu, yaka onekana kwa mba anaweza, yaka kusaidia, hayo atuwezi kuya itaniekima, hiyo tunaita ni uzoefu kwampano. Ukiwa unavuka barabara, jama tunasema tazama mkono wakuwa kushoto, tazama mkono wakuwa kulia, bila hata room takatifu. Hiyo ni uzoefu, ni experience, ni knowledge ya kawaida. Lakini tukizungumza kwa bali ya utuwema, tukizungumuza kwa bali ya fathili, tukisema kwa jili ya amani, kwa jili ya furaa, kwa jili ya uvumilivu, kwa jili ya kiasi, tukizungumza kwa bali ya matunda ya roo, tunapata wagalatia tano, ishirini, ishinamuja, ishinambili pale. Hayo hapo ndiyo tunamuzungumzia hekima inyewe. Duguzangu, hatuwezi kumuacha mbali room takatifu. Tukiwa tunazungumuza Somoletu la Hekima. Buwanazife sana. Hekima ni kuajili ya kuhishi na watu. Watu ni watu. Wanayo mambo yao ya nayo mbatana na utuwawo. Kutokana na utofauti wa makuzi, utofauti wa mahali walipokulia, utofautii wa wazazi, utofautiu wa malezi, utofautii wa shule, na vio wali viosoma na mambo katha wa katha kwa hiyo watu wana tofautiana. Mapema sana utakavyo liyelewa jambo hilo, ya kwamba watu natofautiana. Ndivio mapema sana utakavyo ingia in the city, the beautiful city. cold rest. Mpema sana utaingia mdji. Unaitua mdji wa mapumziko. Unaishi na watu wa korofi, unaishi na watu wa ongo, unaishi na watu wa singiziyaji, unaishi na watu wa netabia katha wa katha. Zisizo fa. Lakini uewe bado upo kwenye kamjika koflani hivi, Kamdhika amani, kamdhika furaha, unaweza ukasalimiana nao bila kuwakimbia, unaweza ukawakumbatia, unaweza ukaongea nao, ukapiga nao story, bila yale walio yafanya ambayo wewe kwene macho yako, unayaona kama siyo sawa kukuafecti wewe. Ninaizungumzia sana affection ya mtu kwa sababu Kwenye kipengele cha kufumilia, watu wa mungu tulio koka, tuna degree. Masters, tuna njua kufumilia. Ndiyo mana mtu ya kikuangalia we na mayo wako na sima, mi ule nisinge muwezi, muwezi ako ndiwanai. Na wataenda mbali sana. Juice Deliver Angwa likuwa na niadithia. Anasama makuwa tubwana tulipangisha wapangaji falani wakabila falani. Singa penda kutajia kabila lako ilinuwe salama. Walikuwa wana pigana mke na mume. Anasema wana pigena sana kalibia kila siku usiku. Yani wakimaliza tukula. Kinacho vwata. Sijuu huo wanafanya tukiogani pali kuna poa. Kama sali moja na nuzu. Alafu baadae wanaibuka. Wana pigena sana. Kwae wali vukuwa wana pigena mimi na mamangu na dudangu. Tulikuwa tunasema hivi. Hawa. Hawa watachana tu. Haiweze kani yu mwanamuke hawezi kufumilia. Mama. Mpaka nafuhungara waivu, bado wapu, na bado ni wapangaji wetu, hawaje achana, haka niadithia, true story, nasema siku moja mwenye kiti yalisema lewa yuwezekani, na kuenda kuhamolia, waka muweka katikati mwenye kiti, waka mpiga, waka mchangia, mke na mume waka mpiga mwenye kitti, waka mtuwa njerafu wenye, waka indelea, waka piganya. Anasama huo enyo ni kama de storyyawo, mpaka ikalibia asfakiri kuminanusu, kato na malizia mkana mapitibi, kuminan moja kasolo, na unasawa kumetulia, wamelala. Anasama wapu mpaka leo, paka leo wanaishu. Kuyusu unawana, wea polipo unasawa Siwezi, mwenza ko yupo Tangihia wadogu mpaka wamekua yupo Kwa hiyo mambu wambayo wewe yanakushinda Mungine yanayawezi, hiyo nasambia, mimi mtu mfupi hapana No, sozi ni kawa na msalimia mkia wangu, hukuna mchungulia Mungine nasimaa hiyo na unapenda Duhadabu hiyo, mwanamkia wiza kawa menizidi Sozi ni kawa namambia mama wachotu wabali ya subunu Kwa hiyu mambu wambayo wewe yanakushinda Kwa muingine, nimepesi sana. [00:08:46] Speaker A: Sasa. [00:08:47] Speaker B: Nataka leo tuendele kumwangalia rawa mtakatifu. Kwa sababu hatuwezi kuwa na Hekima kama hatu na rawa mtakatifu. Hekima siyo kujitahidi, nimesema hapa. Watu wa Mungu tunajitahidi uvumilivu, tunavumilia. Ukisikia cases za wapendu, watashangaha mambo ambayo they are capable wakuyaholdi na kuyavumilia. Lakini, the problem is They are burning inside. Ndo ilo jambo ni nalutaka mimi na weleo tulishuliki ya kwamba. Tuweze kusamei wengine. Tuweze kuwaelewa wengine. Tuweze kuhishi na wengine. Lakini sisi tusiumie. Lakini sisi tusirie. Lakini sisi tusuio kwenye majuto. to see where people please us. Una toka uku nje, una wafuraisha watu, una wafuraisha mama mkwe wako, una wafuraisha baba mkwe wako, una wafuraisha mumeo, mkeo, watoto, ndugu, zote, marafikizako, wote, una wafureisha. Lakini ukirudi nyuma monye atuwa moja uka kaa, ni majonsi na maskitiko. Bitterness inahuwa ndugu zao. Bitterness inauwa kazi, bitterness inauwa biyashara, nikizungumzia bitterness na zingumzia uchungwa nani amba huwezi kumuwelezi ya mtu yoyote kuamba, unapitia katika unapitia hapo kwa sababu wame kuzoea, wewe nimpendwa Wewe ndo mlokole, wewe ndo muombaji wawo hapo, kwa iyo you are burning, una ukuwa ndani kwa ndani, lakini una shindo kuaambia wengine kua kigezo chokomba, una vumiliya. Hilo li taweze kana tu kama una vumiliya mwenyewe bila room takatifu. Ndiyo, umuimu wakua na room takatifu ndani. Wezi kusema una hekima. kama hauna room takatifu. Na taka tuangalie, room takatifu ana tusaidia nini? Na room takatifuna ana tusaidia ajini? Na taka tusome kitabu cha wafilipi ndugu zangu. Halafu turudi kwa story yetu ambao tu liyacha maaya musho. Maaya musho tu lisoma kitabu cha ruto. Tuka soma chapter number one tu kuanzia story wakonda nafikiri mpaka wanane watisa hatu kuena mbali sana. Wafilipi sura ya pili Mstari wakumi na tato. Baada ya sisi wuko kanduguzangu, hatu haami. Tunaishi hapa hapa dunyani, lakini tunao usaidizi kutoka kwa room takatifu. Nikafundisha, nikafundisha nikasema Tuna sema neema ya buwana wetu Yesu Christo, na upendo wa mungu baba, lakini na ushirika wa rao mtakatifu. Ni kawambia, nduguzangu, tuna mgawanya mungu wetu kwenye makundi matatuku lingara na utenda jikazi. Tukiwa tuna struggle, tuna pambana na kupendana sisi kwa sisi, au kuapenda wengine, tuna bezi zahidi na mungu wetukama mungu baba. Mungu, baba hamebezi kwenye upendo. Ndiyomona ukikose, onamombia tu Mungu, babayangu. Naumba unisamei. Ana kusamei. Tukianza kuzungumzia kwa bari ya nema, nema ya kufanya biyasharani, nema ya kuishko nyendo wane, nema ya kuzane, nema ya kulea. Tuna mkonsult Mungu, lakini Mungu, Yesu Christo. Now kwenye maisha ya kila siku, huyu hatu muitaji seasonally. Hallelujah. Huyu hatu muitaji kwa msimu, huyu hatumuitaji seasonally. Huyu hatumuitaji, sio kumba hatu muitaji juma 3, halafu tuta skip, tuta juma 4, halafu tuta skip, mbaka ijuma atena. Hapana, Mungu Rom takatifu. Utatu, utatu, utatu wa Mungu. Hatu muitaji kwa season, hatu muitaji tu mara moja moja, huyu tu nafanya nae kitu kinaitua ushirika, diyo mana unaitua na ushirika waroho mtakatifu. Kwanini ushirika? Kwa sababu huyu tu nashirikia na nae, unaposkia kitu ushirika. Manake tuna shirikia nanae. Tuna shirikia nanae kila siku. Huyu ni mtu wetu wakaribu kila siku. Huyu ni mpezi wetu. Tunae kila siku. Huyu ni rafiki yetu. Tuna kwanae kila siku, kila saa, kila wakati. Na tuna mkonsulti kwenye kila kitu. Kila maamuzi unae otaka kuyafanya. Kabla huja kurupuka, una muambia Rome takati rafiki yangu. Pezi wangu wakaribu, tumuandikia hii message au tumuache. Rom Takatifu, nisaidie. Naona hapa asira hii message, najiona kabisa. Naelekea kuaribu Rom Takatifu pakunishika nishikilie, pakunisaidia nisaidie, yani namna yote nisaidie nisikose apa. Rom Takatifu ni wakila siku. Ana tusaidia sisi kufanya maamuzi. Duguzangu, hekima inaitajika kwenye maamuzi yetu ya kila siku. Nani waambie marangapi bas? Ya komba muanadamu wanafanya maamuzi kila saa, kila saa, kila wakati, kila sekunde. Huu muda huu ikondani ya uwezo wako, ungeweza kulala. Ni maamuzi yako. Wewe ndo umeamuwa ku nitafuta mimi muwezi mzima. Mama piti siku honi. Mama piti siba naachala na mimi. I am in a relationship. I am in strong and... Yani nipo kwenye mausiano sabiti. Kiswaili ya kinifu. Yani nimekaa na mtu wangu. Mama piti hatu kuhoni usiku. Ni maamuziako. ya kunitafuta. Pia ungeweza kuniacha vile viole lakini hukuniacha. Huu siku leo tina tumiamuka kwa sababu humea mua Umeamua wewe kuamuka, umeamua. Na mina kumbia ndugu yangu, kila kitu unamua. Unamua kuwa maskini, unamua. Unamua kuwa tajiri, unamua Unamua kufanya kazi kwa bidi, unamua Wewe unataka kuwa muongo, utakua muongo pro max. Unataka kuwa mutakatif, mimi nasema alia mutakatif. Na azidi kunyitakasa. Umeamua kunyichafuwa konyethambi, zini kweli kweli. Hayo ni mamuzi yako. Ndie, ni mtukane mamamukwe au ni muache. Ndie, ni mpandishie, ni mshushie au ni muache, ni mnunulie baze, batiki ni mpe, au msimuuni zi mpe zawadi oyote. Ni mamuzi. Watoto wetu tu apeleke shulegani. Nduguzangu, mbele yetu ziku options nyingi, wewe nda umeamua. Mamuzi yako, yandani. Ndiyo ya mea mua. Aha, muanangu na mpeleka shule hii. Okay, kabla ya mtuoto mama kwanza sinamuenza. Yani mwendo unamua? Muenza angu nilienaye ni muanafunzi. Ni mtie mimba, saizi ni mwa surprise watu ni fungo miaka 30, au ni tulie ni msubiri ya marize kusoma. Ndiye, nioe shuli ya msingi, nioe sekundari, nioe vio, au ni muoe tu mtu ambaye yupo tu alishia marize masomo. Hamekana nisubili mimi. Niyo e kabila gani? We ndo unamua. Yotia ni mamuzi ndugu zangu. Niyolewe na nani? Mbele yangu wako wanaume wengi sana. Nipunguzi esi. Wako wanaume wengi sana je. Niyolewe na nani katika hawa? Hayo yote ni mamuzi. Hayo yote ni mamuzi. Okay. Nijenge nyumba au nipange. Ninunwe gari kwanza au bajaji, naenda kazini, nitembe kwa migu au nitrot, nikimbie au nisiende kabisa. Yote au nimamuzi. Japo unezo ukaona ni madogo au makubwa, yanafuraisha au yanauzunisha. Nomana hata tukienda kwa uza chipsi, wanakuuliza dada. Ni mamuzi yako. Unakula hapa hapa, au tu kufungi. Wendo unasema apana. Nyumbani na watotu wadogu ataniomba. Nakula hapa hapa. Au unasema apana. Niko na muenza wangu, funga weka mayonazi. Hayo ni mamuzi. Ni mamuzi. Unapo inge nyumbani, unamua. Ni pike au ni request watu wa delivery. Wanileteye vitu wa mbabi. Wanawake wenza wangu wamesha pike. Mindo nile. Ayote ni mamuzi, wafilipi mbili. Mstari wakumi na tatu atendae kazi, ndanienu, kutaka kuenu, na kutenda kuenu, na kulitimiza kusudi lake jema. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. You guys, you don't read Bible. Hamsomi Biblia zenu. Kila kitu na choki itaji kwenye maisha. kime yandi kwa umundani. Na tunapoli soma yandiko hili. Lisome kama lilivi. Wala usilisome kama kiingilisti. Wala uslisome kupata mtetemu wa kuaubili ya wengine. Lisome kama la kwako. Ndiyo mana mimi nambia nguzangu personalize. Maisha kwa yaroni ni ya kwako. Bibiye nasema hivi. Ndani yetu hukusisi kuna mtu. Ndaniyetu hukusisi kuna personality Ndaniyetu hukusisi kuna Mungu mwenyewe Usi jitharao Usi jiangalie kwa uchache Usi jiangalie kwa udogo, hallelujah Usi jichukulie vyo vyote Ndaniyako wewe kuna Mungu Usi tukane Usi gafilike kupitiliza Usi jipoteze, haa mi sujali Hekima, Hekima kitugea haki wanao mamapiti inatosha, njoni yapa ni wawu Uh uh, niluwe kuhadithia hapa, nilikuwambia mimi nimuwe kumkuta mtu pali. Ukonga kwa kesi yamba wanasema kweri mama. Haya maneno nilisema, lakini sikufanya nilisema nikiwa nimekasirika sana. Hali gombana na muenzie. Haka chukua simu, haka andika meseji kari, haka mambia nita kuhua, nifutu na tulijamali kufa kesho. Lakini haku muua. Haku mua. Hazama mimi sikuwa, lakini lipo tafutu wa simu ya Marehemu. Weka password raisi, tutakauweza kutresi. Moja, mbili, tatuni. Weka password raisi. Walipo chukua simu ya Marehemu. Kituocha polisi wangalie. Kwani ya liyo? Maremi mara ya mwisho ya liyo ongea na nani? Waka mkuta ya liyo ongeea na mtuwake. Wali chati na mtuwake ya kamuahidi kwa kile kitendo cha kutuwa. Cha kutuwa uwa minifu wao na kufanya matendo ya kinifu nje ya pensi lao. Haka muambia mimi. Ni itakuwa. Sita kuwacha aye. Yani mimi kweli. Siju nime kusumesha. Yon mambo na yowambia. Kila mtuwa sumesha na msa zuha. Nimekusomesha, nimekugaramia, nimekulipia sui nini. Kwa hili unakuwaku nifangia hivi? A true story. Aka muandike ule dad. haka momiya mimi nitakikisha we wishu utakupa tu hana sema mima mchungaji niliandika nikiwa na hasira niliandika nikiwa nimegafilika tu ila na kuelenza ukweli kabisa siku mungu kwanza misi jayikuwa mtu maisha yangu tu kuhata ungeambeta mtu wana kufaje kufaje ani nijo kama hui sando wamekupa misi njui kila misiba na aliko na nikifika panakuta alikusha osha alikusha oshwa na apenda duko apembe na muangali Bas, kuhusijua ata kitu kinachokufa au kilichokufa muanadamu wanafana naji. But ukweli mimi nime kusea, niliandika, kwanini umeandika, sasabu niligafilika. Hekima ikuwepo, hiyo ndiyo kazi ya rom takatifu. Usingidharawu. Mipili hai inasema hivi, kwa maana, ndiye mungu atendae kazi ndanienu. Shio mungu baba, shio mungu muana, bali ni mungu rom takatifu atendae kazi ndanienu. Kwa huo uelewa tu, uwezi tena kutembea kinyonge, uwezi kuruopoka chochote, uwezi kuongea chochote, kila wakati njikumbusha, mimi ni meokoka. Ndani yangu mimi, ndani? Ndani? Ndibi ya nasema siyo nyungje, ndani? Anasema hivi? Ndiye mungu atendae kazi na nienu. Manake naniyako wewe kuna mungu asira inatoka wapi. Naniyako wewe kuna munggu gathabu inatoka wapi. Kujibu huko watu na kuajibu kuna toka wapi. Manake huyu, siyo kama yupo. Una tarifa kama yupo. Ndiyo nakuambia sasa. The moment umeu koka, Umempokea yesu kuwa buwana na mokozo umaisha ako Ndaniyako wewe kuna mungu room takatifu Bibii nasimaa hivyi, niieye mungu atendae kazi Ndaniyenu, Ndaniyeno, Ndaniyenu, hii ni underline neno, Ndaniyenu Kwa wali wanauliza, nitaju waji kama hii jambo room takatifu wanataka Nitaju waji kama hii ndionjia ambao room takatifunataka nipite Nitaju waji kama diyo hui muenza Ro, mtakatifu wanae mtakamia nesime viniyeye mungu atendae kazi naniyenu Kwa hiyo ndaniyako wewe kuna majibu ya kila kitu Ndaniyako wewe kuna majibo ni muohe nani, niolewe na nani, niifanye kazi gani, niishi wapi, viyote unavisikia kutokea kwa kondani Kila wakati ukienza kutafuta msaada nje, unajisajili kwenye darasa la watu wanao shindwa, nje yakuna msaada. Nje kuna uzoefu, uzoefu wa wahenga, uzoefu wa waze, sasa uzoefu wa utunapenda, utunakubali, utunaweshimu. Lakini wakati mgingi hau irrelevant. Siyo kwa sasa wahenga walikua wanawake submissive, wakezao walikua ni watiifu, wau namdiwa girlfriend waku, wau namdiwa mkiwaku wanaagi, mpaka na babaki, no, no, no daddy, no. Wahenga hata wakezao ki ingeleza walikua waongei, mwanamu walikua kisema shamba, neenda, wewe yapo ulipu waporecho, nani ya kupeleke shamba? Umambie ndiyo. Juuzi mtu muja kaneambia, hapana, unamutisemikea sana pasta, hee, unamuita baba. Mimi siwezi ni kasema mungu wangu, mungu wangu. See? Kwa kipindi hiko ilikuwa inawezekana. Msimu mtu nasema, hapana mama na isu wa Joji, untamuita Joji. Chris, nita muita Chris. Mimi siwezi kumuita wanaume baba ambaye. Sio babangu mzazi. Watu wana misi mamo. Wanawake wa sasa ni wana diplomasia. Watu wa demokrasia. They can argue. Kwa hukitumia mambo ya wahenga kuenda nao, wata kunyosha. Una mkuta tu wanaume yanalia. Amini, nini yame ambiwa afuwe. Piga pasi, watu tulienda kazini. Kwanini watu tulienda kazini alafu turuni, usama mimi ni kupikio. Saahizi women can argue. Anawezo kwete argument. Unaowa mwanamuke, wana sharia. Sharia meweka hapa. Huuu, hana kupatu ibaraya, ibaraya, ibaraya. Wao, hulizuma bakala tatu. Ukaacha shule. Ukaanza kuungalisha malafundi saa, malafundi nyundo, malafundimadishi. Saizu umejipachika mahali wamekueka ufunge kwenye minara, radio huko. Ndiyo mahali angalawu unapata kai. Umenda kuwa mwanashiria. No, no, no. Tulikuwa kautini. We kautini upa njui. Nilikuwa ni nasoma sujuu kitu gani. Ujui? Kuhulewi ayo mambo. Kwa huwezu kutumia experience ya mhenga, lazima uongozi wa mtu yoyote. Mwanamuke au mwanaume ianzie kutokea ndani within. Then ya na hindulia. Anasema kwa maana ndiye Mungu atendae kazi ndani yenu, sawa, kutaka kuenu. Soma hivyo hivyo kiswa ili. Soma ibobo kiswaili. Kesho nda kusumia ndiko ili kingareta. Utazimia. Kutaka kuenu na kutenda kuenu. Kutaka kuenu na kutenda kuenu. Kuko ndani. Kuko ndani. Kwa hiyo take care, muangalie sana mtuwa kwa ndani. Mtuze mtuwa kua ndani kwa hivu mkubwa. Ala kusaidia kufanya kitu kinaitua maamuzi. Mama mimi niko hivi. Ni muoe nani? Ni mtuwa ndani? Yali maswalia kusama mama ninawezaje kumisikia room takatifu. Malambili zamwisho nili wambia kumisikia room takatifu ni rahisi sana. Wala siyo kitu kigumu. Usitake kwanza kumisikiya kabla hujatengeneza ushirika. Ningumu mtu kukuungelesha baathi ya mambo. Kama hamjafikia stage filani ya urafiki. Ningumu sana. Ningumu sana Ningum sana kuongelesha na baathi ya mambo kama hambia fikia level fulani ya urafiki. Kuna urafiki ya mbao unasalimiana tu. Shalom, shalom. Mpaka atina mutakapuwe unanai badani. Siku ina uvwata. Kuna mwingine. Wakithiga kanisani wanavutana, wanachukwana. Badala waingie nyumbani mabwana kwasali, wanachukuwana, wanaenda pembeni kwenye kona. Kulingana na levo ya ushosti wawo, wanaanza kuadithiana mambo ya siyo wasaidia. Lakini unaona wanacheka, wanafurai, wanagonga. Levo ya mausiano. Kuna wengine ukikutua kuna nyumba zaibada, hameka hapa na hapa, hawaongei. Hawo njuani, urafiki siyo changa mfu Mpaka mchungaji ya seme, mpejirani yako mkono Kuhu kila mtu anawaza, anza wewe, anza wewe Sikupi mkono mwewe, awo mchali, yani hawa ongei Na kuna wengine, kabla hata mchungaja haja sema mpejirani yako mkono, tayari walisha peyana mkono muda, muda hote inaenderea, wameshikana mkono, inetege miena na ushosti. Kuna vitu wanaambia, na usioni mtu wanaumpa mtu wigi, kwa fikiri nini? Ni mtu wake, anamini anahiza akalivuwa kitu toto kichuani, akaumpa naia, akavaa. Ni wewe tukimi siwezi kushare anguwa, we mzako wanapeana, wana share anguwa. I say, mambo ya kutisha na mna ganga. Hana share leo, ni deputa tukazangulaba, auti na krisis, tunendaziu wapi, wanapeana anguwa. We unasema anguwa yangu ni kupe, umpiku lingana na level ya mausia no enu. Bibiye nasuma niyeye Mungu atendae kazi ndanienu, wakati anaitenda ile kazi atakupa kutaka atakupa kutenda, atakupa kutaka atakupa kutenda, atakupa kutaka atakupa kutenda, now kuwa makini unataka nini na unatenda nini, hapo ndipo kuna hekima Ndiyomana ni muhim sana kutake care vile vitu tuna vieta. Niniwambia malamusho kiswa ili chake bado na kitafuta lakini sasa nimekipata convictions. Misukumoe andani kuwa makini sana. Nini kinakusukuma kutokia andani? Nini kinahongia na wewe kila siku? wengine kwene miyoyo yetu tangia januari imeanza tangia mwaka jana unahambiwa tu siku tatu za kufunga na kuomba sasa minambili ze mamapiti waifawi usikivi zuri waifawi waifawi usikivi zuri, yani usikivi waifawi unakaza mama mchungaji, nita msikia jero wa mungu na unawusikia nani msukumo duguzangu kumsikia roo mitakatifu ni raisi kwani inakuajia mtu mzima unakua mekatu vizuri gafo unamkuta analichupa kamaili Bila kuambiwa na mtu oyote, anafungua. Anakunywa. Aki maliza kunywa, anatupa helikopter, anachukua jingine, anakunywa nusu. Ndani yake ameskia kiu, na ile kiu imenda moja kwa moja yame mwambia unaitaji maji, maliza kichupa kimoja chanusu liter, ongeza na kingine from within. Mbona hasemi ukunje, hey hey hey, unakunywa maji liter moje, umesikia wapi? Kwa nini unapoenda kwenye mga hawa? Hutaki sauti ya nje. Hata uki muuliza muulumu, mna nini, nna nini. Sema ukweli unawuliza tu. Ila pale unajua exactly likili cho kupeleka. Unauliza usionekane mroho. Kwa mbai sijika unekana nimefika hapa ki mkakati, nikuwa lataka kisambu. Huu sasa ni uroko. Unafika pala unajifanya, ulikuwa kila anae toka nyumbani, anakuenda kwenye mgahawa, kwenye hoteli, anajua kabisa, anachoenda kula, anakijua. Unafika tumatuehe, dada bali sale, I am sorry. Kuna nini, nanini? Muongo. Mwongo, ue unakijua, unachutaka kula, roo yako na nafisi yako ndani inakuwa inakuwambia mbuzio, foil yu. Foil yu, usifunge mbuzio, uyo uyo ni mbuzio. Na leo, kula na miyogo. Unajua, kwanini? Ni kwa sababu ya ushirika, ulia ufanya mwili wako na chakula to the level mwili unamua. Leo miyogo, kesho njegere. Kesho kutuwa mbaazi. Unajua kabisa. Kuna mtu mgini unii usiku, unansikiza usiku, ila kesho anajua. Asubu ui ofisi ni nita kunyua. Chupu chapati mbili, mchana, nitakula wali na maragi maifan. Usiku nitakula bamia siyuma bilingani. Yani chakula anacho kichuan tayari. Ni wape umfano marangapi kwa wali za taaza barabanai Kwa yo room takatifu yuko so clear. Yani ndugu zangu. Una msikia kabisa. Nyeye mungu. Sio alie lala. Nyeye mungu atendae kazi. Danienu, danienu. Kutaka kuenu na kutenda kuenu. Dania koe kuna msukumo. Ndiyo mana unamona mtu alikuwa hamekatu, gafla kukatokea njaa kwene nchi, haka sukuwa Haka sukumwa kuhondoka, dugu zangu be careful, unapu usikia msukuma wandani, wachochote Kwa mba hata wibosi wangu leo, wakifika leo si muwachi, si muwachi na mjibu, nakika moja, speaking tongues Nde na kwa luga mambiye reo mtakatifu, ni wewe au kuingine kwa sababu, hakuna uanja wakati kati It's either msukuma inatoka kwa mungu, au msukuma inatoka kwa shetan, period Tume maliza. Wezu kasuna mimi ni chotara. Mamchungaji mimi chotara wakiro. Half caste. Mimi ni half caste. Nusu shetani, nusu malaika. No. Mimi kuna sawa na msuke mungu, hafu kuna sawa na msuke shetani. No. Una chagua upande. Na nikuambia ndugu zangu. Kila wakati ambao hau nja uchagua upande wa mungu. Kila wakati ambao haau nja uchagua upande wa mungu. Automatic. Umechagua upande wa shetani. Bila kumuambia. Tena ni kwambie, tukiwa tunawokoka, ndiyo tunasema hivi na kupokea wewe Yesu Christo, uwe buwana na mwokozi wamaishangu. Hila shetani, shetani umpokei. Shetani yupo tu alikuisha jireta kuhako muda wati. Shetani wala, yani yeli, yani yuko, yuko hapo muda wati. Siyo mtu wakujamani, nani ya miwai kuongozwa? Hasa itakuwa ni sala atoba, unisala anini. Atakuwa miwai kuongozwa sala ya kumpokea shetani. Yeti kumba shetani uewe na kupokea, ingia ndani yangu. No! Yani muamba yuko there. Available. Una wajua wale watu wale. Wavunja nyumba za watu. Una mambia tu bebi wako. Rachel, I am here. I am available. In case of anything. Kuti. Kuti anything. Una kuta mtu na mambia mai wako. Hey. Heidi, I'm here. What are you doing here? I'm available. Available kufanya anini? I'm available. Na kingeleza kikifo gizuli. Kingeleza bala kinavutia pweli kwa njima usiani. Nduma uki mwambia mtu nakupenda, nakuona kama mwuaji. Nakuona kama me mwuaji, lakini ukiambu I love you, unauna I never hate him, paka anapokaa long time. Ndiyo mana biblia hii, tunaisoma kwa kiswaili hatu pati msisi mko Kwa maana jinzi hii, Mungu aliupenda ulimuengo Mpaka hapo ulitakiu waona sisi, hata akamtuwa muanaye wapeke Ilikila muamini ya sipote, bali yau inauzima wa mlele, ilitakiu waona sima Oh my God, aliupenda ulimuengo Kuna miya li nipenda na mkuthi wangu, you see? Lakini wala hii kutetemeshi, yani utemeka psa umeka tu, tu na kwa mbiya kwa mana jinsi unaitikea, tu ahamina? Wala hii, hali upenda ulimuengu, sawa. Lakini si imagine Jojo ya kipo ambia. I love you, Rachel. Wote, sisi, unatonda ni wadogo zaku, wote. Unasema love is a beautiful thing. Misukumo, misukumo yandani nduguzangu diyo inafanya mamuzi. Take care of your convictions. Nini kina kukonvict? Muonimu wako unasikia nini? Unasikia kulialia tu, unasikia kukatatamaa, muingine unasikia kukimbia tu. Yani yame ulewa, yupo kwenye ndoha ke, muda usinapanga mguo kwenye mabegi. Mwenye mwaki ya nafukuzwa, anatolewa upo kwenye kampuni, unafanya kazi, misukumu ya koyandani. Kila siku wewe kazi yako ni kumbugo. How to resign? How to resign? Chati jipiti. How can I resign from my work without my boss being mad? Upo kwenye kampuni, lakini kila saa unajisikia kutoka. Misukumo, misukumo very very powerful. Nduguzangu, misukumo hii ni ya msingi sana. Kwanini mtu anakaa, anausikia msukumo, dani ya moe waki mpaka anajinyonga. Yani kuna vitu vinaprocessa, ilo kosa ni kubwa sana. Mungu wawezi kukusamemi, mke wako wawezi kusamemi, mumi wako wawezi kusamemi. Hei, wakisikia kijini kono umebaka, wakisikia ndo umilawitikibu pajeoji lakini. Conversations zinaendelea, mazungumzo, yandani kuandani ya mtu, matters a lot. Yule mtu mpaka anainuka, anaenda. Anachukua kamba, anajinyonga. Mtu moja iliwai kujilusha pale Millennium Towers. Gorofa ya 14, 19. Watu wakashangaa. Inawezeka naje. Inawezeka nje mtu moja kasema nijinyonge na kuna watu. Ndiyamaa halienda kujilushia gorofa ya 19 kule, niyamini mimi, kabla hajafika 19 huko, halianza gorofa ya kwanza, naungeleshwa kitu kile kile, gorofa ya 2, naungeleshwa kitu kile kile, gorofa ya 3, naungeleshua kitu kile kile, Ndani yake kuna vitu vina muongelesha vina muongelesha lakini tunakubaliana hui alikuwa na muongelesha siyoro mtakatif. Mpaka haka fika kule na haka sima sasa eh, yani sauti inakupeleka mpaka inakuambia imetosha. Hapo hapo, sasa jiruse na unajiruse. Misukuma yandani, convictions. Una kua umetulia tu. Kitu kina kumbia, hapana. Mwezi usipito, ujachangamu cha muli. Mpigiye George, mpigiye George. Haka tag uyo, hana pina viabure. Mpigiye until you fornicate. Kitu kinaprocess within you. Ndiivo ilivyo nduguzangu. Kwani unafikiri watu zamani walikuwa, wanasikiaji? Kila ukisikia mtu, Nuhu akajenga safina, rare cases, kwanza Mungu alikuwa na kata baliza kuhunana na watu, sasa unguona husuangufe, convictions, Nuhu anakaa anayona safina, yani anayona, anayona, anayona, mpaka anayikubali. Elimeleki, Kitabu Charuto, sura kwanza, misukumo, misukumo. Theo tunaomba nini mabiti? Tunaomba Mungu, na mambiha rao mtakatifu, ee usiniachi, usiniachi. Katikati ya mapungufu yangu, katikati ya madhaifu yangu, nisaidie kuamuwa yurivu sahiya. Nisaidie misukumo yangu. Kwanini? Kusabi bie na sema, niye Mungu atendae kazi nanienu kama hayupo. Manake kuna kitu kingine kinatenda kazi ndaniyako. Jiuulize ni uyangudakika moje kabla atupia msuma ilimereki yapa. Nini kinakufanya unachapa mtoto the way unachapa yufu? Kitu ndaniyako kina kumbia piga uyo. Iyo fimbu waijamkolea. Bado atarudia. Nini kinakufanya ue? Married man, married woman, unatoka. Na akili zako unatengenenza kambi kengine kwa pembeni. Trust me. convictions, kuna vitu ndaniyako minakombia it's okay, it's fine, wana kubiria, ndaniyako slowly but sure, slowly but sure, kuna vitu unavisikia moe ni mogwa sapana, ya ni najisikia mimi ni hameda, ni amie iringa, nini unakisikia msukumo wanani? Biblia inasema kitabu ucha root, root suraya, kwanza alafu tutaruka, tutaenda sura ya pili. Tunaangalia watu wawili kuna kitabu kimoja. Mmoja akapata misukumo. Mina izungumisia misukumo ambayo. Highly conviction kiaskwamba. Huna ushauri wanje. Huna ushauri wanje kabisa. Na nikupa tu kama small assignment. Kasome kitabu Charuto. Kina chapter 2. Yani lisali moja 2 hours kama unasoma 3 tibu kama mtuwa la saa kwanza. Udogomi maliza. Bibi ni nasema by the way kama ulikuwa ujui. Eli meleki. Hali toka kwenye familia bora, hali meleki hakuwa muanawume masikini. Hali kuwa ni miongo ni muamatajiri wale kina buwazi. Buwazi hali kuwa ndio jamaa yake hali meleki kwa wakati wako soma kitabu chaluratu. Hali kuwa ni familia bora. Miongo ni mwa matajiri wa hapo Bethlehem, wali kuwe po na ye ni moja wapo Kwa hiyo na uwa kika, kwa kuwa ni moja kati ya Richmond there, hata Akiba hali kuanayo Ketu kikubwa wali tonacho watu wenye nafasi, watu wenye utajiri, wenye mali idea yawe ya kwanza in our role kwenye akilizawu muda ote ni kweka akiba mimi itakwambia leo ni nzuri sana kutoka chini kwenye umasikini kupanda yu taratibu mpaka kwenja juhu nzuri sana lakini it is very frustrating kutoka kwenye utajiri kushuka chini kwenye umasikini you will never recover kwa hiyo ndio mana matajiri wanafanya kazi zaidi kuliko umasikini wawu jai kujiulizi Usiku huu unaweza ukakuta 90% ya watu walio macho ni watu wenye nathifa, wenye kazi zao za kueleka, wenye fedha, wenye mali. Masikini wote wamelala. Tajiri anawogopa umasikini. Anasema kuna mchezo nikikosia kidogo tu, nitarudi kule nilikotoka. Ndiyomana unasamu Tangia hamekua kiongozi, hamebadilika, hajebadilika Madalaka ni matamu, ni mazuli, hata we uki pata, umea tu, utatubloku Upata tu, wakuambia kuanzia leo, Rachel endio mwenye kiti, wanyumba hizi kumi, nyumbe washina, wana commissions zao Kwa hiyo, unakuta matajiri wengi usiku hawalali. Ni amini mimi nachokuambia. Kwanza usingizi hawana, muda ote nangalia mali za kevi. Anawaza hiyo, zini nikalala mtu wakanipindu wapa. Zini nikalala nika, what? Wako machu. Kwa hiyo, katika kitu wa machu nina uwa kikanachu, elimeleki ya likuwa na akiba. Ni kama vile ushe kuna mtu, hata wei neze kai inakutokea. Unaela na unakopa. Huna shida yote. Huna shida yote ila umezoea kukopa kopa, kuomba homba. Mimi na wajua watu, anaera na anaomba. Mama samali, si unabuku wapo? Anaeo. Una muagiza inda mahali fali, sina nauri. Anaeo. Kwa iyo, matajiri wengi, mentality yao, ni kubaki pali pali on top muda ote. Kwa iyo, matajiri ya wakosi ya kiba. Bass. Kukawa zamani. Kukawa zamani za wamuzi, walipu wamua. Kulikuwa na njaa katika nchi. Kwayo hii njaa ilikuwa sio ya nyumba moja. Njaa ilikuwa ni anchi nzima. Tatizo ilikuwa ni lanchi nzima. Kwanini uriakti pekeyaku? Hanasema ikawa zamani za wamuzi, walipu wa mua kulikuwa nanjia katikanchi, hakaondoka mtu mmoja, mmoja tu, mmoja tu. Mmoja tu. Ili ukawenu mzima utekete, hawitaji watu wengi. Mwanga ui, mmoja, hakaondoka mtu mmoja. Wa Bethlehem ya Yuda hakaenda kukaa katikanchi ya muavu. Bethlehem ya Yuda ndi yonchi yambo elimeleki ya likuwa nakaa na mkewe naomi na watotohake wawili Maloni na Kilioni. Then nchi ya jirani Mwabu, pembeni kidogu. Kulikuwa ukuangalau kujiamamu moja na ituwa Bawazi. Tajiri, Naomi ana mkonecti Ruth kwa boazi, anamombia Ruth usikiliza. Kuna jamaa huko likuwenda leo kuhokota, yuma vitu likuwenda kuhokota ni kwa boazi. Yule na mfambu, jamaa hetu, shemeji yangu. Niliolewa kwao. Tajiri. Hatari. Bwana sfiwe sana. Wacha tu somo. Ika wa zamani za wamuzi, walipu wa mua, kulikuwa nanjia katika nchi. Akaondoka mtu mmoja wa Bethlehem ya Yula. Akaenda kukaa katika nchi ya muabu. Yeye na mkewe na wanawe wa wili. Najina lamtuuyo aliitua Elimeleki, Najina lamkewe Naomi, na majina ya wanawe wawili Maloni na Kilioni, wa Efrati wa Bethlehem ya Yuda. Waka fika inchi ya Mwabu, waka kaa huko. Akafa Elimeleki. Mumewe Naomi na yule mwanamuke ya kasalia na wanawe wawili. Nao wakaoa wake katika wanawake wa Mwabu Najina la mmoja alitua Orpa, Najina la wapili Ruto. Wakakawa huko ya pata miaka kumi, wakafa na maloni na kilioni wote wawili na huyo mwanamuki akawa hamefiwa na wanawe wawili na mwemewe pia. Lakini Elimeleki ya liondoka Bethlehem ya Yuda kwa sababu kulikuwa nanjia. Sini kama wewe, unavona yio kampuni, yio organization, hai kutendei haki. Kana kwamba wepo ni mfanya kazi peke yaku. Mpa wengi tu wapo lakini mwenye msukumo. Convictions. Mwenye msukumu wa kuondoka ni wewe. Then kwa kiburi unaondoka. Mikwala na mikogo mingi unaondoka, only to find yourself 2 to 3 months jobless at home. Unachakufanya. Unawaza. Nina kipawa. Nina vitu vyote na equipments. Lakini niko nyumbani. Hamna kazi. By the way, juzi, nikawambia, Bethlehem manaki unajua nini? Ti the city. Sit of bread, mngi wa mikate, mngi wa chakula, una po kuwa hauna chakula, ni sula la season, tuwevu umilia, chakula kita kujia. So long as ni mngi wa chakula, you don't have kukimbia. See, elimeleki ya katoka. Ha kumuomba mtu yote ushauri, ona atalia convictions Ha kumuomba mtu yote ushauri, ha kumuuliza ndugu yake boazi Mbaa zaidi, ha kikwepo ta kikawa li choka na mkewe Mama watoto, tuende au tusiende Baba kaamuka, baba wanyumba, kaamua jeshura mtu mmoja Hataki ushauri wa mademu, wanahume ni kichwa Juuzi mtu wakarambia bendela chuma, mbringoti chuma, kasa eh, tuturu jana Nisamiyati yawo. Anakombia bendela yenye nyachuma, mlingotu yenye nyachuma. Yanisi peperushu. Mimi ni kichwa, nikasema wawu. Kichwa sasa. Kichwa kimefunga zavali, ili kikafe. Bibi inasema akafa. Eli meleki akafa. Akafia moambu. Wakati kuawo kuna mikate. Woga wasiwasi mamuzi mangapi unayavanya. Out of wasiwasi na woga unenda kufuya mbele. Bibye inasima vikana kwamba itoshi. Haka bakiza vijana wawili na mama yao Nao vijana wakawa, baada hamda vijana wakafa Yaninchi haina maelezo, yani mwabu kama inakula watu Inakula, waeblani haina maelezo Haileki wamekufa na nja, haileki wamefungwa Mzigo inasema tu wakafa, wakafa je, wakafa je, wakafa Kwa iyo mama anarudi Kwa mamuzi ya mumewe Nikivunja vunja, kwa convictions za mumewe Kwa misukumo ya andani ya mumewe ya lio kwa nayo, mama analudi kama sasutu muitaje. Maana ni mjane pro, maana hana mume, hana watoto, anawakwe tu. Na wako wenyewe na kusumia pasabi, mbaleni tukidogo kwa mbaja mani, miu zazi ni mifika mwishu. Kila mtu waduka mamaki. Kwa hiyo anarudi mwanamuke peke aki. Kuhoni kisima kwa bali ya Mungu, tunaomba leo tujaliye, tusaidie kwa ruwa kwa mutakatifu. Tu si kose endugu zangu. Garama ya kukosea ni kubwa. Mtu anakosea tu hivi kidogo, yani kukosea kwa ilimeleki kulikuwa ni asiko as de. Yake yeye na watuto haki Kuyo ukikosea tu kuwawa ukuwalewani kuna ngini hapa tuna muangalia mume, una muangalia mukewa, unasema asha kumu Nilikutua wapi, moyoni Kwa nji ukuna shindo kumuambia utaonekana mchawi Hila ukimuangalia mama watoto, unasema walahi, awabilahi Nilikutua wapi uu dada Lakini mwenzo ni misukumu ya mtanda ni wewe uli yuko unatunga mashayiri. Ni wewe. Una mwambia dada ni na ice cream hapa ni meiweka mdomoni. Ninaweza ni kaswim na ii ice cream. From one point of the river adiki, up to another point just to bring you an ice cream. Hiyo ndiyo sound. Ndiyo kuwa unamuambia uyo marikia wa sheba, lakini saivisi unamuona, unasema yezebeli yezebeli, yezebeli alisha kufaila, huyo uliyo bakina yapo ni mdogo wake. Misukumo, nini kili kusukuma? Kuamini kama this is the right school for my kid. Hii ndiyo shule sahihi ya mtuto wangu. Lakin idogo alivoludi unapomuangalia. Mwana ume si mwana ume? Mwana mke si mwana mke? Ni mwana ume lakin ividole ivo? Ni mwana mke lakini kama shababi? Una kuhuliu hii shule imefanya nini mwanangu? Mamuzi, mamuzi, mamuzi. Imagine mwenzetu binadamu mwenzetu. Haliandika msg moja tu akiwa hamegafilika. Na hai kua villains. Hai kua vanish mode. Mamo mengini acha ya vanish. Vanishisha hizo msg uwe salam. Haka muandikia, haka mambia ni takua we utoboi. Kesho dada watu wakafa from nowhere. polisi waka sema ni uewe utendaye kadi na niyaku ni uewe njoo muamba yuko pale ukonga kama utani ila nasema mama mimi si kuwa alie muwa yule binti yanamiuwa lakini mimi kweli na kili mbele za mungu nili muandikia tu ujumbe nini kili kufanya uka muandikia ujumbe mtu ukiwa na asira Tunafanya mamuzi mangapitukiwanasira Tunazungumza maninu mangapitukiwanasira Tunawekam Vyapo vingapi, tukiwa nasira, tukiwa disappointed, hiyo ndiyo kazi ya hekima, na hiyo ndiyo hekima enyewe Maandiku wa nasima niyeye mungu, niyeye mungu atendae kazi ndani enwe, kutaka kuenu, na kutenda kuenu Elimeleki wakati anataka kutoka Bethlehemu, nini kilikuwa kinatenda kazi dani yaki? wakati anatenda, 10 dolar kutembea kutoka Bethlehem kuenda mwabu, nini kilikuwa kinafanya kazi? danyake, take care of your convictions nini kinaendelea danya moyo wako? usipuze, usipuze wala usione ni kitu chakawaida, kila saa we unajisikia kukimbia kimbiatu kila saa unajisikia kukimbia familia, kuacha mume na watoto, kuacha mke na watoto kila saa, unasa mama minasikia wito, minasikia wito kila saa unajisikia kuwacha chuo, kila saa unajisikie kukimbia Kila saa, nini kinaendelea kwenye muiwako? Mpaka unayingiza mkono, unayiba kitu mahali. Nini kinaendeleea kwenye muiwa? Convictions, misukumo. Ndiyo mana, hekima za kawalida za kibiradamu zinakuambia hithi, unapotaka kufuka barabara, pause. Useme hithi, mina haraka, mina haraka, na wai, pause. Then, angalia kulia. Then, angalia kushoto. Fuka barabara. Manake, consult the Holy Ghost. Kabla uja fuka barabara consult the Holy Ghost, kabla uja fuka barabara consult the Holy Ghost. Muambia Rom Takatifu, hame ni kwaza baba Jojo, ya ni kanifikisha hapa. Lakini baba nisaidie. Nisijie nikamuongelea maneno. Kesho na kesho kutuwa, nikaiaona matokeo ya maneno yangu mwenye. Buwana sfiye sana. Yuzu nikuwana mambia piti. We are just talking. Nihambia do you know? Mambo ya nayo wanakuta wanandewa kila mmoja mmoja na muenziye. Ni matokeo ya maneno ya muenziye alio ya zungumza wakati muenziye asiki. Kama utani, what is going on in your heart? Nini kinaendelea? Maa nikuwa nasimamuyoni muangu Mimi ni meriweka neno Neno haliwezi kukupelekia kwenye kuzini Neno haliwezi kukupelekia kwenye kuiba Neno haliwezi kukupelekia kwenye kukimbia Neno ndiyo wana kumbia matunda ya roho Ro'u mtakatipu wakiuwepo na niyako ata zaatu Ata zaatu, ata zaatu Yani ata zaatu Na hau takosea kwa jinala Yesu Haya, tumuone mtu mgingine. Conviction. Kwa umpaka hapo meziona. Conviction isa ilimeleki peke yake. Kafa mwenyewe na na ujasiru wa kusema. Kauwa na watoto kwa kile mwenye alicho njisikia bila kutumwa na mtu kukifanye. Mstari wa sita. Ndipo alipo ondoka, okay, turudi tano tuhelewe. Wakafa maloni na kilioni wote wawili, na huyo mwanamuke akawa hamefiwa na wanawe wawili na mumewe pia. Ndipo alipo ondoka, yeye na wakweze, yani wale wake wa watuto waki waki ume, wale waliofariki. Ili kurudi, Nchi ya mwabu. Ili kurudi kutoka nchi ya mwabu. Maana huko katika nchi ya mwabu, hamesikia ya kuamba buwana hamewajiri ya watu wake na kuwapa chakula. Unaondoka, mwanamuke uyo ni mjuwaji, mwanamuke uyo ni maskidi, mwanamuke uyo ni sui ni ini, kwa sababu zako unaondoka baada ya siku mbili tatu. Anajipata. Unaanza, unasumao, lisha yikuwa na mama. Atu uja waikuwa minarecho chute. Siniunganish, nyani ue mamapiti, niliku ee. Nyani saisi nyani watu wakijipata na nji. Kama ulinikimbia, kimbia forever, kimbia. Shia unanikimbia, badai chila, kama unenikimbia, nenda. Man, diko nasuma yule mama, hamefiwa na mume. Hakafiwa na watoto. Ehe. Bahada ya hapo, bibiye nasema hivyi. Hakaona sasa, nirudi tu kwenye nchiyangu. Mana nikuwa ugenini na nikuwa mwinyemi. Hila naanza atuwa ya kwanza, haka sikia, by the way, huko onakorudi. Bwana hamewajiri ya watuwake, hamewapa chakula. Mana kia wajafa. Awajafa, hembu tuombe. Mungu nisaidie. Nipe uvumilivu warom takatifu. Nipe kuvumilia nyakatizangu ngumu. Meanwhile sinachakula. Lakini baba nisaidie, nisaidie kutulia. Nisije nika toka apa Bethlehem, nikaenda Mwabu, nikafakule, alafu Mungu wakawajilia watu waki, wakawapa chakula na mimi sipo, baba unisaidie, nisije nika kosea, nisije nika kosea, Nisije nikakimbia kazi, nisije nikakimbia kibarua, miaka miwili, miaka mitatu mbele, imekua nikampuni kubwa, nikatamani ningendelea kuhendua pale, baba nipe uvumilivu, na iyo ndiyo kazi ya Rome Takatifa. [00:55:20] Speaker A: Asante kukua pamoja na mimi kuanzia muanzo mpaka mwisho ibadahe. Usiache kuhomba, usiache kumjafta mungu. Na kama umebarikia na maneno haya, unaweza kutuwa sadaka yako kupitia namba zaidi.

Other Episodes

Episode

September 08, 2025 • 01:15:30
Episode Cover

Strengthening Your Inner Man I

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

Listen

Episode

April 29, 2026 • 01:05:46
Episode Cover

Prayers Are Spiritual Activities

Ni tendo la kiroho linalounganisha moyo wa mwanadamu na Mungu.Hufungua milango ya neema, mwongozo, na ulinzi wa kiungu.Huimarisha roho, hujenga imani, na huleta utulivu...

Listen

Episode

January 05, 2026 • 00:51:13
Episode Cover

Kumtegemea Mungu I

Kumtegemea Mungu ni kuweka tumaini letu lote kwake bila hofu wala mashaka. Ni kukubali kwamba nguvu, hekima, na mwelekeo wa maisha yetu vinatoka kwake,...

Listen