Episode Transcript
[00:00:00] Speaker A: Shalom mpendwa wabwana, this is Mama Piti na leo na kukaribisha tena kule isikeleza neno la mungu. Bible nasema ma neno yangu ni roho na uzima. Neno hili ye na wezo kufufua tumaini na kuleta faraja moyoni. Wenda upo kwenye doruba au mawingu mazito, lakini kuna neno la mungu li lo hai li naloweza kutuliza mawimbi na kukuletea amani leo. Karibu.
[00:00:23] Speaker B: Hallelujah. Fungua pa muja na mimi yesabu sura ya kumina tatu, tusome pale. Hallelujah. Kuuweza wakati ujiao, ni lazima tuwe na marifa sahihi juu ya wakati huo tunao uendea. Marifa ni nini? Marifa ni tarifa. Marifa ni habari.
Habari ulionayo juu ya wakati ulioko mbeli yako. Janani ikuwa na ungea na mamangu. Mamangu mzazi kabisa yuko mbali. Yanahishi mbali sana na mimi. Waka wame inipigia simu na unajua. Kama waliwia uaze wote wataifaili, wanapenda kujipanikisha. Kwa mamangu waka wame inipigia simu, hakanza kunieleza mambu katha wakatha, badai ya salami pali. Nikababa si mama sawa, mimi nipo kwenye majukumi ya kila siku na fritu ungei badai. Hapana. Kuna tarifa nataka nikupe, nikambia alright. Na kusikiriza bimbu kubo unasemali. Yani uku tumepata tarifa kutoka kwa mwenye kiti. Yani mwaka uku unanjia sana. Paka nikanza kucheka, mamu, unanjia wapi?
[00:01:30] Speaker C: Kwa hali nikambisa true story.
[00:01:32] Speaker B: Yana, yani yesterday. Yani nambia unanjia sana mwaka uku. Koja kufanya, mboni tumie. Nakasawa wewe alright, alright. Kuna makiba, nikambia alright. Swala dogo. Ungependa kuwa kama nashingavi. Haa, kani tajia joki wangu. Ni kama mama. Kwanyebo nyumbani mpu wangabi mtu wa mungu mimi kutundawa mwisho. Na kuwetu mama ngu kama anawajukuwengi ni wawili. Sasa kile kiwa wangu alicho nitajia. Na ana wasiwasi kuhulikuwa. Haaa, haaa, haaa, haaa, mama mchungajia. Haaa, haaa, haaa, mama mchungajia. Haaa, haaa, mchungajia. Haaa, haaa, mama mchungajia. Haaa, haaa, mama mchungajia. Haaa, haaa, mama mchungajia. Haaa, haaa, Lakini yetu hali huko makini. Na katika budget ya leo ni yandikia, nasema mama mchung ngipata ulahu magunia matano ya maindi na magunia saba ya mcheli. Pane nyumbani huko yee na kakazangu tuwa wili. Na kula tu, kabla ya mfungo, kula tu uwa ni changamoto. Yani uwa hawana moods za kula. Kini ngasema maono, kama lakini mama samali. Nani kakueleza kumba wakauko lolote, la macho? Hana. Yani hana kambisa, hanaona kira kitu wazuri. Yani yata ilazake pala nyumbani hana zion. Ziripo hanajua. Vitengevi yake mbabu wa vitumii. Fiyote hana ziona. Miwani ya nini? Hasomi, haendishule. Hallelujah. Lakini yaka niambia, no, rafiki yangu mama Lulu hanaambia. Ho ni muaka wanja. Kambia, okay, sawa. Mama yuko hapa. Kasama 18 hame kuja kutempelea. Ongi ana ni kazema, alright, nimefulani. Nimefriendi kama evi malu. Mwaka unimwaka wanja. Eh! Mwanyekiti kasema. Unimwaka wanja. Nigefra! Kwa hiyo mwanyekiti kaseka, kasema ni tuwe makini. Nyema usipinge, usipinge, najua tu. Utakunja, unamamboya kuhapa. Huyasho mamboya imani. Lazima tuende kuhali ya alis. Leti maguni ya matano. Na kisa mungu wangu. Nakuwae mamangu wali shajaa kwa sababu wali jua nitafanya mgoma. Of course, sitafanya mgoma lakini sita mpelegea wa sababu usiomoka wanjaa. Hallelujah. Kwa hiyo lakini katikati ya kuwaza bala ukata ile simu, nikasuma ujui mamangu anavamiwani. Halatatizo hote la macho. Hila kuna mtu kamuambia, kamishawishi, mpaka wakaenda kupima, mpaka wakaajua mtoto suyu wa jicho kajikunja. Yani magonjwa mbao mimi sikujiwa kama yapo. Yani sikujiwa kama jicho di na mtoto. Na huyo mtoto pia anaweza kajikunja. Kwa hili kumnyohosha, lazima uvuwe miwani, I never fought. Lakini pia kano nieleza juu ya anja. Kasa mwaka gani? Mwaka huko na anja akali sana.
Hoi, nikasema wao, kuweza wakati ujiao, inakuja pia kulingana na tarifa uli zonazo wakati huo, zinazo husu wakati unakuja. Kwa sababu huwezi kupahendia, nilisema diana, huwezi kupahendia mahali ambapa upajui. Lazima uwe unatarifa. Na ndiyo maa, naipu tusome sabu sura ya kumina tatu kwanzi ya mstari wakuanza. Mungu akawapa wana wa Israel inchi. Imagine, siyo mayu wako, siyo baba wako, Siyo mama ako, siyo shangazi ako, siyo mjomba ako. Mungu hamekupa kitu. Mungu wakawapa, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili nchi, wakawapa ili Hata kama awa kuambi, you come to, wako watu somewhere, wana kupereleza. They are always watching you, wana kuangalia wewe na vituvi yako. Haaa, nimelelewa ilo jambo munda sana. Kila wakati, I work with precautions. Kuna watu wana niangalia.
[00:05:14] Speaker C: Sinachakuasaidia, sinachakuapa, sinachakuadhuru, lakini wangependa kupata tarifasangu.
[00:05:20] Speaker B: Nakula aje? Nakula nini?
[00:05:22] Speaker C: Na vaa aje? Na vaa kutokia wapi? Nani ya na usika? Mtu, watu wangilo na shula kujizuhia, wanaandika.
[00:05:28] Speaker B: Hivi nani ya nambalisha mamamchunga? Hizi suti zaviyama, hamezitua wapi?
[00:05:32] Speaker C: Kuhiu people are after your things.
[00:05:35] Speaker B: Eitha unapenda au upendi. Wewe ni mtu wa shari au siyo mtu wa shari. Someone somewhere is in your life pekua ring pekua ring. Unakula unakula aji? Unaendesha gari gani? Umenua bajaji gani saisi? Saisi kiluka chako kinaendele aji? Biasharako ya chupi. Mutaji huko ule ule, au mepanda, au meshuka. Na unauza chupi zaina gani? Chupi za wanaume, chupi za wanawa, auza watoto. Haumeshe hacha sasa kuuza nguo zandani laba unajiuza wewe sasa. Umeleo. Kwa hiyo, people are always... Yani kuna mtu some way I have believed that so many... Yani muda mrefu sana. Kwa hiyo, kuna mtu kazi yake ye, yani maisha yangu ndio mission, hana kazi yapa mdini. Hajiajiri wa tigo wala voda. Ila hamejiajiri, hamejikita. Idara ya kunichunguza. Kwanikanyo, haukafiwa. Haa, haa, hajafiwa. Baba ke yupo, mama ke yupo, maiwa ke yupo, watura ke yupo. Kwa ni kanyoa, lakini kwa ni kaweka hile wei, ilikuwajia kanyoa, hivyo mtu rudi, alinyua mwizigani hasa. Kwa hiyo, wako watu wanayapeleleza maisha etu, usiku na mchana. Do you know why? Kwa sababu huwezi kukipiga kitu usichokijua. Kwa lazima ukisogele, lazima ukisogele kwa karibu, ukisome. That's why. Sio kumba uishi kwa kushitukia watu, lakini jitahid as much as you can, na kwa kadri ya mbabo romta katifu atakuongoza. Do not overexpose. Kwa nini? Kabla wemonye uja jiexpose, tayari watu amesha jitolea kukuchunguza. Kwa nini? Kila siku anavaha sanya usi. Hivi yele saa, hua nabadilisha, haundo yele yele. Kwaza inatembea, hua itembea. Kwaza ukute pala inesimama. Kwa nini? Kwa nini? Afu kwa nini nabadilisha makava? Polar School aliweka lanjano. So people are after details of your life, dot per dot, kona kwa kona, chakula kwa chakula. Why? Because they want to kukupiga you. Kwa nini? Kwa sababu wezi kupiga usia mjua until umemsogelea, umemjua weaknesses aki na strengths aki. Na ndiyo maana Mungu haka wapa wana wa Israel inchi. Lakini mtu wa Mungu do you know haku wapa inchi yambo haina watu.
Hali wapa inchi yambawe ina watu tayari. Isipoku watu, hali taka wale watu waondoke, watuto wake, wamiliki. Kwa hiyo, hika wapasa watuto watengeneze mazingira rafiki ya kupachunguza na kupangalia wanapo kuenda. Na ndio mana usiende future ambayo ujui. Soma kitabu, kuweza wakatu uja umdani, Kuna segments mbali mbali. Kuna kuweza wakati ujao kwenye uchumi. Kuna kuweza wakati ujao kwenye ndoa. Kuna kuweza wakati ujao kwenye kazi. Kuna kuweza wakati ujao kwenye malezi. Do you know, unapokuwa na kitoto kichanga kina mwezi moja, miezi miwili, miezi mitatu, na amna unavoki handle ni tofauti kabisa, tofauti kabisa, na unapokuwa na mtoto letusea na miaka mitano, mpaka tisa. Juuzi, nikamongali ya festibulo ongu, nikamuliza, amidogu yangu. Kwa hivyo? Kwa hivyo? Kwa hivyo? Kwa hivyo? Kwa hivyo? Kwa hivyo? Kwa hivyo? Kwa hivyo?
Yani unakaaje bila fimbo. Bia nasema usimnyime mtoto mapigo, ujinga, umefungwa kwenye moyo wa mtoto, lakini fimbo ya hathabu. Sio maelezo. Fimbo. Kuna mambo uwezi kumuwelezi ya mtoto wa kaelewa fimbo. Kwa hiyo, nimelala Nikiwa mama wavitoto viyangu vidogu, nimeamuka asubuhi nina mtoto teenager. Kwa hiyo siwezi tena kutumia fimbu. Kwa hili bidi yapa nyuma kidogo, niweze kujikwip enough how to raise a teenager na u. Na ungehaje na ae. Na wezaje kukomunicate na ae. Mana siwezi tena kumchapa. Tumii mtoto akisha fukisha 10 years, chapi tena. Stumii fimbu. Ah! Below that! Kama navopenda, maombi hivyo navopenda. Yani nikisafiri nikiruri, unakosa lazima ni kutandike. Fimbo mbili, ni nashumu tutakoma msumbu wa dada. Haiweze kani umeka dada hakukuazika. Nikisafiri one week. Nikirudi wote pale nyumbani wanapata fimbo mbili mbili. Kwaza kama intro, yani welcome home. Yani hatu mafanya ni ujafanya kitu. Nashu mtu takuome kosa ya kuna. Siku uliangalia tu katuni. Ikazidi. Mana katuni itakua iwe nusu saa kwa siku. Lazima wawo uwezi kuwa na dakika felatini. Lakini sasa nina mtuto teenager. Ambapo, siwezi tena kutumia fimbo. Lazima niwe ni na marifa, marifa. Kwa hiyo, wezi kukimbia wakatu ujao. Lazima niwe ni ya marifa. Now, how to raise a teenager now? Ndiyamani, mini kuwana kaaona kadogo kumeka na mtuto, mtuo wa mungu nimekualiza tangia juuzi. Sisi siya wadogo, umechelewa wakununua simu. Do you know, nguko umeesha nuhayo in Phoenix munda, nguko umeniuna mimi miaka mingi sana. Ndiyamani kumeka na mtuto teenager, mini kuwana najua saifia wani wanandoa wachanga. Mimi napiti siya wanandoa wachanga. Ni wanandua wakongwe sasa tunaelekea level ya kuwa ndugu. Kishia sikia jamani wameeza kufalana wamekua ndugu, unasawa unasawa, unamona kama bro, hallelujah. Kwa hiyo sasa kuweza wakatu juhu ni kuwa natarifa, hallelujah. Now, askari hafanyi mazoezi siku ya Vita. Tabia mbaya kabisa. Vita inakuja, wewe nduna, ehi misilazangu zikuwa? Haafu magwanda ngu niweka hapa, ah, nguja nifanya jogi nkidogu. Weo vita utapigwa kabla ujianza. Koi inatakiwa zamani wakati mtuto ngu wana miaka saba, wana miaka nani, nianze kujifunza how to raise a teenager. Na ukishafika muda kama utahari, amesha ukua teenager. nimesha kua equipped enough kuhusi tumii tena vitu wambevu ni natumia kwa adogu zaki ambao ni wadogu hallelujah na ndivu maisha na vuhotakiwa kuwa kwenye uchumi lazima kuna vitu uvidhue ahead kuliko na vuvidhua sasa kwenye ndoa kuna vitu takiwa kuna tarifa uwe nazo ili uwe puke shock manjua kuna watu yangine wanapata shock kwenye ndoa na mausianu katika vitu ambavu tu miina ona ni vitu via kawahida kwenye taji yaka na mbia mamasevi na mshikulu mungu ni namiakalbe na ambili kambia punguza umbe Kadi ziku zinafosidi kuenda unayikaribia ile Sabin Kwa hiyo Sabin indi o kipimo Asafina aluenda mbili mama na mshukuru mungu Fufla, looks good ya! Mingama tulia, unamikogo mingoza punguza umbea, punguza sukali, punguza chumvi, punguza kuzolola usiku, udeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Kuna vinyo wajina punguza Kwa sabu kuna level tumbo li kisha kuwa hakuna mazoezi tena ya kuli ondo wali na kata Haleluja Mwenye dani waa umeaza kutusema mama unyema tumbo Ipi shida nilini? Tumia mka usiku kwa hali? Hapana, yani kuna umli ukifika Hiyo, tumbo wali pungui Dani wali na mafuta lakini Umli tu, uli mijia upepu wali mijia stresi Oha li pungu laba sana Tupitishe kasi dano chupu Kwa hivyo kunaumbli, punguza chumbi, punguza umbea, punguza kufuatilia mambo ya watu. Kuna majira kwa mwaka FB 25, usiingie kabisa kwenye familia za wadu. Umbea umbea, kuchonganisha wanandoa, kuchonganisha ndugu, 2025 don't do that, kwa hivyo. Kila wakati njikuip, njitengeneze kuwa kupata marifa. Mama, marifa na ya pataji? Unapata kwenye kupata tarifa au habari. Lakini sasa changamoto ya tarifa na habari. Ndipo mali napotaka tuwelekele omtu wa mungu. Hallelujah. Changamoto ya tarifa au habari, zipo zainambili. Kuna tarifa ambazo ni sahihi na kuna tarifa ambazo siyo sahihi.
Hallelujah. Kuna mtu anamaarifa, let's say, juu ya kazi, au anamaarifa juu ya biyashara. Na ndiyo mana kwa fano mtumishwa mungu wame tuandikia kitabu Christians in the business world. Christians in the business world. Sio kumba we ni Muslim, sio kumba we ni Buddha, sio kumba we ni... Uwe ni mkristo, lakini huya juu yali mambo ya pasayo mkristo kuyafanya. Kwa hiyo, ukikipata hiti kitabu, manayake ni kuamba, unajipatia maaarifa yanayo usiana na mbo. Hallelujah! Kwa hiyo, tarifa hizi zinatakiwa ziwe sahihi, suhali kubwa sana ambalo nataka tulilinalo leo ni kwamba hivi tarifa mama, najuaje? Najuaje sasa, tarifa inaweipata ni sahihi au tarifa hii siyo sahihi Ndiyo kuhusu? Ndiyo kuhusu? Ndiyo kuhusu? Ndiyo kuhusu? Ndiyo kuhusu? Nomarafikiza nguwa watatu plus mai wangu wako wane. Baba na mama wako utano sita. Mungu baba mwana na romto. Katifendi saiko yangu mimi inakumitu na apu wameisha mweka na mungu kabisa. Kwa hiyo, lakini mama, pamoja na hii saiko ya watu wangu kumi, bado nashauliwa vibaya. Bado nashauliwa vibaya. What's wrong? Kwa sababu nikuambia mtu wa mungu. Mtu akisha maliza kukushauli, bado na we unayonafasi ya kusikiliza sasa. Na kujua ye katikati ya haya lio ni shauri, lipi ni nakweli. Aa, tusome hesabu sura ya 13, tuanze mistari wa kwanza. Kisha buwana akanena na Musa, akamuambia. Tuma watu, hili waende, wakaipeleleze inchi ya kanani, ni wapayo wana wa Israel. Ni mesema unapenda, upendi, unapenda shali, upendi shali. Someone, somewhere is always after your things. Kuna mtu yuko hapo tu? Kazi yake ni kukipeleleza. Kwanini? Huesi kukipige wa usio kijua. Kuhu kuna tarifa na zitaka kutoka kuhako. Hili inapofika wakatu wakukupige, a kukupige vizuli. Waswali wanasema zimu linalo kujua. Hallelujah. Tuma watu hili waende wakaipeleleze inchi ya kanani ni wapayo wana wa Israel. Katika kabira zababa zao. Mtamtuma mtu mmoja kila mtu awe mkuu kati yao Kwa kabila za Israel itikuwa zipo kuminambili Kwa kanyofolewa pali mtu mmoja mmoja kunya kila kabila Iriwaende kuipeleleza nchi Hallelujah Basi Musa akawatuma kutoka nyika ya parani Kama alivo agizwa na buwana Wote walikua ni watu walio vichwa vya wana wa Israel. Iyo ni yesabu kumina tatu, mstari wa tatu. Tuluke hapo kwa sababu hayote ni majina na vichwa vya hau watu sasa. Tuende mstari wakumina saba, Musa aka wapeleka hau watu hapo juku. Kutoka mstari wane mpaka wakumina seta ni majina ya hivo vichwa vya hayo makabila. Mstari wakumina saba, Musa aka wapeleka ili waipeleleze uchi ya kanani, aka wambia pandeni sasa katika negebu Mpande milimani, Mstari wakuminanane. Mkaitazame inchi niyana mnagani na watu wanaokanda niyake. Ndiyo niwe kwambia hivi. People are always... Yani niyamini mimi mtu wa mungu. Hata mimi. Na uwakiga kabisa kila na popita na poenda nilipo. Someone somewhere is always after my things. Hata kama hivi msaidii. Bibliya hii nasema hivi, Mstari wakuminanane. Mkaitazame inchi.
Ni anamnagani wana kuchunguza sasa Na watu wanao kaa ndaniyake Kwamba ni hodi Aya Kwamba ni wachache au ni wengi Mstali 19 Na inchi wanao kaa Ya kwamba ni njema au mbaya Kwamba wana kaa katika matuo au katika ngome Mstali 20 Na eyo inchi ni anamnagani Kwamba ni inchi ya unono au Kwa mba inamsitu au sivyo, iweni namoyo mkuu mkayalete matunda ya nchi basi. Basi wakati ule ulikuwa wakati wakuiva za bibu za kwanza. Komusa hamewatuma wale makabila kuminambili waende kuipeleleza nchi ambayo Mungu hamewapa nchi gani? Nchia ahadi. Ukisikia nchia ahadi. Wale watu hawakuenda kwanza, kabla hawajaipereleza. Ili wapate kuwa natarifa, watakapo yendea. Waze kujua nchia inagani. Kwa nini? Kwa sababu sio kubanchi ilikuwa haina watu. Ilikuwa nchia yenye watu. Kwa hiyo ikabidi wajuwe wanapo kuenda. Hallelujah. Mstari waishirini na mmoja, basi wakapanda, wakaipeleleza nchi, toka jiangu walasini, hatarehobu, mbaka kuingia Hamathi. Shida mbili, wakapanda katika Ngebu, wakafika Hebron na Ahimani, na Sheshai na Talman, wana wa anaki walikuwa kuhuko. Nao, Hebroni ulijengwa miaka saba kabla Yaswani na Misri, 23. Wakafika bonde la eshkoli, huko wakakata tawi lenye kishada kimoje chazabibu. Wakachukua kwa mti kati ya watu wawili, wakaleta makomamanga pia Kwa hiyo wakaenda kwenye lenchu kwa sababu Musa liwagiza na by the way likuwa ni msimu wakuiva zabibu zabibu zilikuwa zimenona kiaskomba kichane cha zabibu wanabiba watu wawili mmoja huku na huku. Sio jambo hilo laleo lakini lao ni metato kwamba Tuwone ya kwamba walitakiwa, waende wakai chunguze kwanza nchiwale wapelelezi. Halafu walete feedback kwa wenzaa uwengi walio baki huku. Ili kuanda na kuatengenezia mazingira sai ya kwamba. Waende au wasiende kwa hiyo kwa kifupi zaidi. Waliwaletea, walienda kuchukua tarifa. Ndiyo hayo na yoyita mimi maarifa ya kwamba. Usiende maulu, usipopajua. Kuuweza wakati ujiao, kunaenda sambamba. Kuuweza wakati ujiao, kunaenda sambamba. Unakuwa na tarifa. Ama maarifa sai ya wakati huo kwenye kazi, kwenye biashara, kwenye ndoa, kwenye malezi, kwenye mausiano ya kawida. Kila unapoelekea atuwa moja mbele hakikisha unayo taarifa sai. Bata dakika moja tuu ni takujibu uswalilako. Ni najiwaje taarifa ipi ya kupik, ipi ni saii, au ipi yambayo siyo saii. Mistari waishina saba. Wakaanza kutuwa ripoti sasa. Halleluja.
Wamesha henda, wamesha pereleza, wamepata sampo ya kujanayu. Sasa wanatowariporti. Wakamuambia, wakasema, tulifika nchi ila uliotutuma na hakika yake ni inchi enye wingi wa maziwa na asali na haya ndiyo matunda yake. Riporta uwa kwanza kasema sante kiongozi wetu Musa Kuhani, umetutuma, tumenda sasa. Riporti ya kwanza, ninchi nzuri.
Ndiyojea maziwa na asali na tumekuja na sample saas. Matunda haya hapa. Ni makubwa, kichane cha zabibu kina bebu. Bigi hapa, bigi kule. Wanabeba zabibu tu. Hallelujah. Mstari waishirini na nane. Lakini. Muliluna neno lakini hapa? Yes. Esabu 13 mstari waishina nani, lakini, watu wanaokaa katika inchi ile ni hodari, na migi yao inamaboma, na ayo ni makubwa sana, na pamoja na hayo tuli waona wana wa anaki huko. 29. Amaleki anakaa katika nchi ya Ngebu, Mhiti, Myebusi, Mwamuri, wanakaa katika milima ya Mkanani na Mkanani kalibu na Bahari kando ya Ukingo wa Yoldan. Wakatuwa report, wakasambwana Kuna maziwa, kuna sari, na matunda kama haya, tumekuja naayo moja Lakini pia inchi, kuna watu wanakaa, ukiangalia haya makabila, yanayotajwa ni tata, wamaleki Mbibye nasema Mungu kasima wamaleki, hawapendi Mbibye nasema, yani anafanya na uvita kizazi baada ya kizazi Kwa hiyo, wakambe jamani, pamoja na kuamba Tunamazi wa nasari, tunamatunda mazuri, lakini inchi yoyo ina wahiti maaduiza ho, wayebusi, ina wanaki, na amaleki pia. Kwa hiyo, wamelea tarifa ambili, kwamba ini inchi nzuri, lakini pia ina ho maaduizetu. Kono tunatokacho weza kufanya. Mistari wa 30.
Kwa sababu unajua tarifa inapokuja ikiwa mbaya, au ikiwa inataharuki, inawaweka watu kwenye tension. Mstali, wathirathi inibibia inasema hivi, Kalebu wakawatuliza watu. Kalebu wakawatuliza watu mbele ya Musa. Hawezi kuwatuliza watu kama watu wawana wasiwasi. Kuna tarifa ukizipata, tayari unahanza kuwa kwenye tension. Kuna tarifa ukiwanazo, yani hujafika nchi ya hadi bado, uyo miebusu hujamuona, Uwe mwana wana kujamuna, lakini kwa tarifa uli zonazo, unagopa. Do you know kuna mtu hajaolewa leo lakini anapo yajua matisho ya kwenye ndoa? Anajitisha. Kuyo umitu probability ya kuolewa, probability ya kuolewa, ikondogo sana au hamna kabisa. Kwa sababu utayari anamafunuo, anamaelezo, anatarifa. Jui ya ndoa, hajaikuolewa.
Haja wakuwa, lakini tayari kuna kichochake kuna ma-image, kuna matarifa mba wa mayapata kuhusu ndo wa yanamtisha. Kwa hata uki mwambia hivi amna, haipo hivi walasima amna, utakuwa unafumili atu. Hakuna mambo amna mamchu kaji ungekua usha nenepa, unafumili atu. Mbibasi haya, 30. Karebu wakawatuliza watu. Watu mpaka wanatulizwa manake hapo njiu kuna tarifa waliopewa wakawekwa na fasi ya kutaruke. Ndivyo alivyo maishayatu kila siku. Kuna watu tunapaniki. Kwa tarifa, tunimeku papa mfano. Mamangu menembia unimuoka wanja. Mtuwa mungu, unimuoka wanja. Katuliza kwa hali, kwa sababu tarifa hapo njiu nasimaa kuna wamaleki. Kuna wahiti, kuna wayebu, sitari, wale watu wakansa kuogopa. Hallelujah. Waka waletea wana wa Israel habali mbaya na musali wa 13. Karembu wakawatuliza watu mbele ya Musa, wakasema, na tupande jamani, tukaita malaki, maana, tupande. Tuwaweza kushinda bila shaka. Huyo angalawu anatutia monu. Sali huku wa 13 moja. Bari wale watu waliopanda pamoja na hii. Waka sema hivi, hatuwezi kupanda. Tupigane na watu hawa kwa mana wananguvu kuliko sisi. Ha! Nani kakuambia? Hamdia wai kupigana nao. Mmeinda tu kuipeleleza nchi, mmewaona tu. Kwanini wao napeleleza kitu? Unasema hivyo ya mimi mecha yona hii biashara yuweze kani. Mini shayona wanaapana ndoa ningumu. Aa, yani ya wanaumia wasingida. Nasikia ni wana piga. Wa meku piga? Hapana, hani mitu nimeskia. Yani ya wapendagi wa siya. Aa, alafu nakuta mtu ni masaya na lungu kabisa. Kuli mama, bado sijifanya chiyote, anatembea na lungu. Kuli inakua ni ushala nzuri? Hapana, ni ushala mbaya kaa pegeyako. Hesabu sura ya 13 wa 32 wakawaletea wana wa Israel habari mbaya. Nani yameona huu mstali? Hesabu sura ya 13 wa 32 wakawaletea wana wa Israel habari mbaya ya ile nchi walio ipeleleza mungu wa mekupa kila kutuwa kuliko kwema. Kuna toka kwa mungu. Baba wamianga. Kwa ke uko, kuna vitu vizuri tu wala hakuna kivuri, chakugeuka kageuka. Lakini hapa, bibi ya nasema hivi, ya sabu sura 13, msali wa 32, wakawaletia wana wa Israeli habali mbaya, habali mbaya. Ya ile inchi walio ipeleleza. Waka sema, ile inchi tulio pita katiyake, ilikuipeleleza. Ni inchi inayo tawala, inchi inayo wala watu wanao kaa. Habari mbae, mambo ya habari mbae, imagine. Na unojuu kuu unapiuwa habari mbae, inapunguza your reasoning capacity. Yanasema hithi? Hile nchi tulio pita, tati yake, hili kuipeleleza ni nchi inayo wala watu. Inawala watu. Nyie mme wakuta huko wanaaki, hawajaliwa. Mme kuta huko wahiti, hawajaliwa. Mme kuta huko waperizi, hawajaliwa. Wayebusi, hawajaliwa. Na nyie onyiwe mme chunguza, hawajaliwa. Mpaka mme beba chana za zabibu mme leta, hawajaliwa. Uwame mla nani? Ko you must know, watu anau kuletea tarifa mbaya, 90% sio tarifa za kweli.
Hallelujah. Kuna atuwa nyingi sana za maendeleo ungekua mekwisha kuzichukua. Kama ungekua unatarifa sahi, kama ungekua unamarifa sahi.
[00:27:03] Speaker C: Tumalize wa mstari.
[00:27:05] Speaker B: Meinchi inayohala watu wanao ikaa. Na watu watu tulio waona dhani yake ni watu wa reform no.
Mstari wa mwisho. Kisha huko, tuli waona wanefili, wana wanaki, walio toka kuhau wanefili. Tuka jiyona nafsisetu kuwa kama mapanzi. Sikuma ni bibili yangu ino meandika hivyo wata yaku.
Hesabu sura 13, mstari wa 33. Kisha huko, tuli waona wanefili, wana wanaki, walio toka kwa hao wanefili. Tuka jiona nafsisetu kuwa kama mapanzi. Tuka jiona. Tuka jiona. Wau wenyewe. Tuka jiona nafsisetu. Kuwa kama mapanzi, nandivyo walivyo tuona sisi. Tuka jiona nafsisetu. Nika sema jana, mtu ni mwili, mtu ni roho, mtu ni nafsi. Na nafsi sasa ite dangerous part. Kwa sababu, nafsi ina almost kila kitu chamsingi. Mwili huu ni mwili sawa unatusaidia kumuvu. Hila unamuvu kulingana na maelezo either ya naotoka roho ni au ya naotoka kwenye nafsi. Now, watu hau wameenda wakaluni na ripoti. Hallelujah! Waka sema hivii, kule buwana kuna watu muja vili tatu. Yani hile nchi inakula watu. Kiaskomba nafsi zetu, zimekua affected. Kila tarifa onoi ipata, ambayo ni tarifa ambayo. Unajue na cho kifanya, ina-affect nafsi yako. Na konya nafsi niwesema several times, nafsi ndo inakila kitu. Nafsi ndo inamawazo. Nafsi ndo inaniya. Nafsi inautashi. Nafsi inahisiya. Kisirani, kicheko, raha, burudani, vyoto viko kwenye nafsi. Kuna nafsi yako ikiwa corrupted, inalibu mindi yako. Pia inaifanya ata muliwako unakua affected. Do you know, kuna tarifa ukiipata, saizi, maranyingi piti yana tufundisha ujuye mambo haya. Ulikua mzima, ulikua sawa. Ukasima mkuja niende ospitali, nikachecki. Wame niambia nina goita. Goita halipo. Ndiyo ni kana, ukiangalia shingo yako hivyo vizori, lakini mahali tuu daktari ya mekombia kuna kitu kimevimba kwa ndani. Kina kutengenezia mazingira, usha anza kutengeneza illusions.
[00:29:23] Speaker C: Haaa, nitaenda konechumba cha hospitali, watanifanya hivi, watanipasua hivi, nitaugua miaka hii, nitaugua miyezi hii. Bada yapo, siu nitapona, siu nitakufa, hivi jeneza langu utakuwali. Unatengeneza maillusions, kutokea konyetarifa, kwa hiyo, watu.
[00:29:37] Speaker B: Wangu wanaangamizwa, Kwa kukosa maarifa, maarifa manaki ni tarifa, lakini tarifa hizi lazima ujue ni tarifa sahihi au siyo sahi. Lakini mamchungaji sasa tusaidie mwisho ni mwakipindiki tunakomaliza. Ni tajuwaje? Ni tajuwaje sasa mama? Je, ni kai bila kupeleleza nji? Hapana, lazima upeleleze, lazima upeleleze. Mausianu huli onayo, ndoa huli ono, lazima upeleleze, kesho yangu itakuwaji, kesho ya tutuangu itakuwaji, biyashara angu itakuwaji, maali nilipofanya uwekezaji itakuwaji, lakini katikati ya kukusanya maarifa na hizi tarifa, hakikisha unabez, unatulia, na unakaa kwenye maali yambapo ni maarifa sahii, hallelujah. Sijuu kama unanielewa mtu wa mungu. Unakaa kwenye kupata tarifa, lakini saa ni taju waje. Kwa sababu mimi sikuenda, mimi sikuenda nchi ahadi. Tuli watuma vichwa, hawa lio enda kupereleza nchi. Sio last bonds, sio kwenye usingizi. Mungu ndio alio sema wachaguliwe vichwa, kwa iyo tunamini. The smart guys ndio alio enda, ndio leaders, ndio viongozi wetu sasa mama. Wa mekuja, ndio wa metuwa tarifa. Kwa mba hile nchi siyo, hile nchi inakula watu, ninawezaje kutoka hapa na kuenda kueka weke zaaji kwenye biyashara ambao na ambiwa inakulaga watu. Ninawezaje mimi kuingea kwenye mausiano, kwenye ndoa, kwenye hili jambo, wakati najua kabisa huku watu waga wanariwa, lakini nimepewa tarifa na mtu ambayi ni kiongozi ni mtu mkubwa, bibi ni nasema Mungu wa kamambia Musa, chagua vichwa, mama nakatahaji, hallelujah. Ndipo inapokuja sasa, kitabu kingini ambacho Mtumishu wa Mungu wa metuandikia Nguvu nyuma ya kufunga na kuomba. Kwanini tunafunga? Mana mtu mgini hana tarifa kabisa. Why are we fasting? We are fasting kwa sababu kutugiachia tarifa Tunazo ziipata kutokea nje, na ndiyo mana Kalebu, mstari uwaishina TSAB, yana sima hivi, haka watuliza watu, haka sima buwana, pamoje na hayo yote. Bado tunaweza kuhipandia ila nchi. Kwanini mmoja katikati yao, haweze kuhonekana kama hamelewa vizuri kuliko wengine. Do you know why? Kwa sababu ya weke zaaji wa mtu wako wandani. Hallelujah! Ukisha maliza kusikiliza tarifa ya bali. Ukisha maliza kumisikiliza mwinekitu. Ukisha maliza kusha uriwa. Ukisha maliza kumisikiliza mchungaji. Ukisha maliza kumisikiliza nani. Ukisha maliza kusuma huku vitabu. Nini kinakuepe kwenye mwio wako? Nini unasikia? Nini usiki? Kwa hiyo, nipo tunapoingia sasa kwenye kufunga na kuomba. Kwa nini tunafunga? Kwa nini tunaomba? Why should we read this book? Kwa sababu, nimesema mwanzo ni kabisa. Hallelujah! Nimesema mtu wanje na mtu wandani wanafanana kima itaji ya msingi. Basic needs. FOOD, SHELTER, CLOTHING Ni wapandia ya watu. Nitawapiga, Mungu lambe tulia. Sainzi yao usi wapandia. Halikuwa hamuulizi mtu mgini watu. Bia nazima hivi. Halikuwa anamuuliza buwana. Nipigane vitai au nispigane. Kuo tukisha maliza kukuletia tarifa. Tukisha maliza kukuletia abari. Lazima tuikute roho yako imeshiba. Na ili roho iweze kushiba. Kuna vitu inaveitaji, kama ambavyo mtu wanje anaitaji, kama ambavyo unakula chayo, buwabwa, marage, siju vitu gani. Ndivyo ambavyo mtu wako andani pia anatakiu akula, hallelujah. Mtu andani anakula neno.
Unaposoma neno. Ndiyo mwana nasema ustake kulelewa, mamchuka jimisi, usielewe. Usielewe kabisa. Kwa sababu neno sio kwa ajili ya mtu wanje. Mtu wanje hajaumbwa kulelewa neno. Mtu wanje hameumbwa kuangalia na kuenda kulingana na anachokiona. Lakini mtu wandani anashiba neno. Unapo soma neno. Unapo soma neno. Lina ingia kwa mtu wandani. Nitafudisha juma nena ukujia. Inakaa mahali panahitua subconscious mind. Neno linaenda linaakaa apali. Ni kama store. Linaenda linaakaa apali. Linaatulia. Lina subili situation filani. Halafu linajitoa hivi kama mtu anatapika. We ujewai kuona. Unapitea situation. Uko juu ya bajaji. Gafla. Deliver. Anasikia usingizia. Kifunya. Ndiyo wakiludi hivi, unaseba, haa, sita kufantaishi. Kwa nini? Kwa sababu ulishawai kulisoma ilo neno, ukalitua kwenye kitabu, ukaliingiza kwa mtu wandani, mtu wandani akalipokea, akaliweka kwenye mahali panahitua subconscious mind. Kwa hiyo pakikaa, ilikikaa apali, ikitokea situation, haendi tena kusoma, haendi tena kusoma, haendi tena kusoma leno nje. Anatoa neno li nalotokea ndani, diyomana kuna muda nilifundisha several weeks ago, nika sema neno li nalofanya kazi ni neno wambalu umelitua kwenye Biblia, umeliamini, limepitia kwenye mchakato wa imani, limeingia ndani, ndo li nalofanya kazi. Kwa hiyo ukifunga, unamdhofisha mtu wa nje, unampanguvu mtu wa ndani. Ruhu yako inasikia vizuri zahidi. Ko ni vizuri kufunga, ni lazima kufunga. Kuna mawali biblia yame sima vina mna hii haitoki. Iyamini biblia mtu wa mungu. Biblia ni kitabu chakweli. Iki kuambia kitu biblia, iyamini. Mimi nikikuambia kitu, ambacho kinatoka na maybe na kiliza ngu, experience yangu, nimesoma mpaka wapi, nimeolewa na nani, unaweza kuni doubt. Lakini ukikuta neno la mungu limeandiko mahali, neno la mungu ni rakuaminiwa Kwa hiyo liyamini kama lirivyo, hallelujah Kwa hiyo ukifunga, kufunga mana yake ni kuachakula na kunywa Kwa mda fulani ilikuipa nafasi roho yako kujudge vitu sawasawa. Tarifa zinakuja nyingi. Washauri tuna uwingi. Wengine tuna baba anatushauri, mama anatushauri, mama mchungaja anatushauri, baba mchungaja anatushauri, huyu anatushauri, marafikizetu ofisini anatushauri, marafikizetu kuna nyumba zaibada. Wanatushauli. Yani ukijiangalia wewe vizuri, utagundoa umezungukuwa na washauli wengi sana. Kwa hiyo, wakati mgingine you can't even pick, nichukua washauli wa huyu, au nichukua wa huyu, au nifanja. Lakini, unapofunga. Kwanini tunafunga? Tunafunga tunauthofisha mwili. Mwili unakuwa haunanguvu. Na nikuambia mtu wa mungu, mwili ukiwa haunanguvu, ruo yako inakuwa active. Ruo yako ikiwa active inakua rahisi sana, rahisi sana, rahisi sana kudizend, yani kudizend, kujudge sawasawa, kutambua. Siku moja tulienda na pastor, tulienda na piti, I won't forget this day, tulienda na piti Tembelea the late babayitu wakiroho, tukende tuko tembelea siku zake za mwisho, akiwa nyumbani kuhakia siku moja, na kama kawaida hitu tuko inda na Sadaka, tuko mpelekea mtumishu wa mungu ule Sadaka, haka iangalia kwa medipu feelingi, haka wanaiangalia, haka sima, you guys, what do you want? Always you are coming to see me, na Sadaka kama hizi, what do you want?
Piti ya kasema, no, baba leo, leo tuombe chochoote. Baba aliongea kitu very powerful. It was maybe three or maybe four years back, three and a half. Hila mpaka leo, baba ya katoombea, mpaka leo bado kimekua, jambolile ni alam. Alam kwene moja wangu sana. Kusabu mtumishwa mungu, ali tuombea, ya kasema hivi. Na kapa jatuombea, ya katofundisha, ya kasema, Mungu awajaliye muweze kupata disenment spirit. Yani royal tambuzi. Kuyatambua mema na mabaya, watu ema na mabaya. Sala ikaishia hapa. Kwa nini? Kwa sababu, kwa kadi siku zivokuwazi na zidi kuena mpaka leo, divyo na vuzidi kumuhelewa mze wangu. Kwa nini? Kwa sababu maisha yamejia mambo mengi. Yamejia watu wengi. Huyu anashauri hiyo, hiyo anashauri hiki, huyu anasema ndoa nzuri, hui wa nasima ndoa ni mbaya, hui wa nasima anainjoy na maiwake, hui wa nasima anapiku wa jamani msiolewe mkaisengo, mgini wa nasima hapana kabisa, ni mbola upate wakufanana na wewe. Yani jinsia ya wewe tuipo hivyo, anajua maitaji yako. Mgini wa nasima aha mbola upate kazi ya kuajiriwa, mgini wa nasima hapana kuajiriwa ni utumwa, mbola ujiajiri. Mgina nasema, ah, ni giyajiri, sinamta. Yani ni kama vile kuna mfurugano hivi, malumu sana, waku wachanganya, wapendwa kila wakati. Koyo tuna pofunga, hallelujah. Tuna pofunga na kuomba. Tuna idhofisha milietu ya nje. Hala funa mpana fasi mtu wandani kujudge na nikuambie mtu wandani hakosei. Hallelujah. Vitu vingi kwene maisha etu, hata mimi, hata mali ambapo, nimekosea. Sisemi siye kusea, oh my friend na alikuwa kijana na sasa ni kijana zaidi, nime kusea vitu vingi sana. Lakini kila wakati nilipokosea jambu, kuna kitu nilipuuza mtu wa ndani. Lazima tu kuna mahali yalimbe, no, no, no, no, don't do that, don't do that, don't say that. Uwe usumwambie, uwe usumwambie, hata nilipo mwambia mtu kitu. Haka sema, ndani yangu wakati nakiongea, romta katifa walikona sema, don't, don't. Don't, lakini kuwa ni meshiba, na tatizo la kushiba ni kumba unamthofisha mtu wandani, ana kua hajaji vizuri, kufunga, kuomba, kusoma neno, kutoa sadaka, kuna muimpawa mtu wandani. Kuna mpa mtu wandani nguvu na ndio, ana tusaidia sasa mtu wandani kuwaza vizuri. Kwa nini tuwaze vizuri? Kwa sababu umatendo yetu ya naenda sambamba, na mawazo yetu. Mawazo ya natoka wapi? Ya natoka kwenye tarifa tunazopokea. Inatakiwa hivi tarifazetu zote tuzipate kwa room takatifu. Huu ni mwaka wanjia, lazima room takatifu watuambi. Huu ni mwaka wanini, room takatifu watuambi.
[00:39:32] Speaker C: Siwa abayi tuzipate somewhere else.
[00:39:34] Speaker B: Kama unakitabu uchako uchakufunga na kuomba, ukifungua ukurasa wa 40 na 7. Hallelujah!
Pata iti kitabu mtu wa mungu. Ukifungua Ukurasa wa 40 na saba. Chekia nimesongte mbaka nimemeza. Ukurasa wa 40 na saba. Have this book. Sura ya 46 inakombia hivi maombi ya kufunga. Maombi ya kufunga ni maombi ya inagani? Yameleza apa chenu. Imagine. Ipo ndani ya kitabu? Mami, tumgea na sema hapana. Sio lazima kufunga. Nishi sikuongea na mungu tu. Nishi nikuongea na mungu. Tuombe. Agini kuombe mtu wa mungu, leo tunaomba ombi simple sana na jepesi the grace to fast. Hallelujah, kwa sababu kufunga sio kazi raisi, miili mezo ya kula, Biblia inyetu inasema hivi, tumbo ni kwa chakula, nitaftia andika hilo, tumbo ni kwa chakula na chakula ni kwa tumbo, kwanini mama mchungaji, kwanini mpaka nifunge Ndiyo niweze kuwa attended vizuri na ulimongu waro, you are very correct. Biblia nasema ivi tumbo ni kwa jili ya chakula, na chakula ni kwa jili ya tumbo. Kwa hiyo hata vihumbe konyo ulimongu waro, na mungu mwenyewe anajua ivi muanadamu anatakiwa kula, na ndiyo maana kuna maali Yesu, haka mjibu ibisa, haka mambia ivi mtu hato ishi kwa mkate tu. Hile sentesi manake hivi ndiyo najua mkate unayuzesha kuhishi means I need physical food. Mtu hato ishi kwa mkate tu, lakini bali katika pia kila neno lunalotoka kone kinyo chabua na manake mtu alikuwa na manusha pali, mtu anaishi kwa chakula, chakiroo lakini pia na katika kila neno manake na chakula, chakimwili na chakiroo. Kwa hiyo, ukiniulisa hivi kwa nini mamamchukaji lazima nifunge kwanza Kwa sababu hii yapa. Tumbo ni kwa chakula. Na chakula ni kwa tumbo. Kwa yu mungu mwenye anajuu unatakiwa kula. Kula kabisa. Kwa hiyo, in case... Na toka wapi? Wakorintu wa kwanza, sura ya sita. Wakorintu wa kwanza? Sura ya sita, msalabu mbinataka. Aye, tu some. Vyakula ni kwa tumbo. Vyakula ni kwa tumbo. Wakorintu wa kwanza?
[00:41:48] Speaker C: Sura ya sita.
[00:41:49] Speaker B: Sura ya sita, andika po mtu wa mungu. Andikola kukufariji, tukimaliza kwa rezima. Hile siku ya kwanza, unalipata pali. Unatupige nalo status. Sawa? Tukimaliza kwa rezima. Tupia andikola kutupingia status. Wakorintu wakuanza sura ya sita, mstari wakuminatatu wanasema aji mtume? Viakula ni kwa tumbo na tumbo ni kwa viakula. Tuli hapa, na tumbo ni kwa viakula. Kwa hiyo msosu umeko kwa jiri ya tumbo lako, nakina hichu pia kitambu unachokiona, siya ule mambu na chenyewe ni kwa jiri ya kula. Kwa hiyo, kwa hiyo tunafunga na kuomba. Kama mungu wamekuambia hivi, viakula ni kwa tumbo. Kuna mtu wanakula kuku, moja peke kia na mtoto. Kuna mtu na jamaa moja, ni sike peda kumtaja. Kwa sababu hata hapa ni kimuangalia, hata jiisi ni hii. Hanafika pali lumumba, hanawezo.
Atare, pale kari ya kohu kuna mahali panajua lumumba mtu wa mgunta kuwelekeza kwa rezi maikisha. Kuna view kuhaina balimbali. Kuna seke, kuna sekela, ala kuna sekelaa inategemea. Sasa anawezwa kumla yule sekelaa. Yani sekelaa unahungeza, aa kule mwisho. hanaweza kumpiga yule kuku peke yake. Haki ya mumtu wa mungu, minapenda akula ila kuku simalizi. Lakini hii anakaa. Na ni mtu mzima, usifukei chizi, ni mtu mzima na kuna mtu anamini ye ni baba wa watoto wake. Yani kuna dada mahali ya mekaa, hii, anaminu yu ya mtu. Kosa siwe dokomi baina kani kusapu bajeti yao, itakuwa wakipika pali nyumbani wapiga kuku wawili. Yani wali na kuku, Msufuri ya kuku mkubwa kwa sababu baba peke ake anawezwa kumaliza kuku mmoja. Kwa hanafika pala ilu mumba, pala yanambia watu wa mungu, msinipe chipsi? Hallelujah! Siku na pala yu soli, nikasema alright.
Alright, mimi siwezi. Kuku vipanda zaidi ya viweli siwezi kumaiza, lakini yuko mwana wa mungu. Anasema eka umuwa kwa sula na mfano wa mungu. Na anaili ya Andiko. Anasema tumbo ni kwa chakula, mama. Na chakula ni kwa tumbo. Kuyo unajua, Andiko limetusaidia sisi. Kula lakini unajuu andiko ni nauwa na andiko ni nawisha Kwa hiyo kwa kuwa andiko lipola kutusupporti sisi kula hallelujah Sikiliza mtu wa mungu wakati tunamalizia hapo Sijokomba ni mekukumu hata kama unapenda maboga Unapenda laba chinesi kula tumu Kwa hiyo mastu kase aaa kuna anasemaje kuhusu sasa kula Kula Bibliai mekupa andiko vyakula ni kwa tumbo na tumbo ni kwa chakula Lakini ikitokea sasa Mbingu, kila ikichungulia huku duniani, inakuta tumbolako liko empty.
Unadraw attention. Hiyo ndiyo mantik ya kufunga. Kufunga kuna sababisha unadraw attention ya mbingu. Mpona tumembruusu? Mpona tumemuambia? Tumbo ni kwa chakula na chakula ni kwa tumbo. Kwanini hali sala kwanza? Kwanini hali sala pili? Kwanini hali sala ya tatu? Mwisho malaika wanazidi kukusogelea. Mbingu wanazidi kukusogelea. Kwani unashida gani? Kwani unaishu gani? Mbono ulitakiwa kula? Kwa nini huli? Ndiyo maana na ndiyo essence ya kufunga. Kwa hukisoma, hiki kitabu utapata kuulia huku nani, kwa nini tunatakiuwa kufunga. Na usianze mifungo mbali mbali, awa mifungo ya maji, tatu za lizi, hakuna kitu kama icho. Bibi ya inasema kufunga, manake ni kuabstain from food and water. Kwa mda fulani, hili kuweza kupata spiritual support. Basi, usianze kutangeneza hivi, haaminakuna yui sinyepesi, sinyepesi, hakuna yui sinyepesi. Usile kabisa. Tunahaza fungo yetu saa 12 ya subuhi mpaka saa moja usiku. Kama saa yote bila kula, unadraw attention ya mbingu. Kuhumbingu inakuatendi kitofauti. Lakini ya subuhi ya leo mtu wa mungu nataka tulitia jina labwana tuombe the grace to fast. Naema ya kufunga. Sio kila mtu wanaweza. Sio kila mtu wanaweza. Ungini tunafanya kazi kwenye mahoteli. Ungini tunawatoto wadogo. Na pika ule uji nikiutia blue band. Nasukari, lazima nionje kidogu. Lakini kumuita dada nionje, ninaema pia tofauti. Halleluja. Unge tunafanya kazi kwenye mahoteli, lazima nachukipika angalawu ni kiyoni. Kwa hiyo kufunga njenyeo ni grace. Sio kila mtu anaweza. Lakini kila mtu anayamua kweza, anaweza. Kuna mambo kwenye maisha yako. Haya weze kani. Mpaka weze kufunga, unakuomba. Na kufunga faida yake, unadraw attention. Unadraw attention, mbingui inasoguea kukusaidia. Mbingui inakusogelea. Mbingui kikusogelea, inakupa tarifa sahihi. Na tarifa ukiwanao sahii, inakusaidia kumake decisions ambazo zipo sahihi. Baba katika jina la Yesu Christo, Mwana wa Mungwa liye hayi. Leo ni siku yetu ya pili, ya maombi.
[00:46:31] Speaker D: Ya kufunga na kuomba, nisi muuwa kwa resma ambao mtufa meleete, pata kati kajina la yesu. Unisaidie, unisaidie, unisaidie buwana. Kwa sababu, pasiporela, unisiwezi jambu ayote. Unisaidie, niema iya kwa resma, nisiye kani pita. Siku ya kwanza yime pita, nimeshido kufunga.
[00:46:50] Speaker C: Unisaidie buwana.
[00:46:52] Speaker D: Siku ya piri hii, muweze kufunga. Kati kajina la yesu. Kati kajina la yesu. Lakini mbele angu, Kuna siku zingine kula 38, baba uka nisaidie, uka nisaidie baba, uka nisaidie kufunga, uka nisaidie kufunga Katika jina mahesu, kila hali inaunifanye, nisiweze kufunga, kila hali inaunifanye, nikifuta katikati, inapura, kila hali inaunitokea, nikifuta katikati, nashindo kuendelea Kwa hivyo.
Kwa hivyo.
[00:48:27] Speaker B: Kwa hiyo.
[00:49:20] Speaker D: Raka saya mandala wa saya Rewo sheke tete Raka saya mandala wa saya Rewo sheke tete Kwanzaa.
Haliluia.
[00:50:43] Speaker B: Hallelujah. Kila unapopata na fasi ya kuomba, manake unamuaktivate. Unafanya mtu wako wandani, unakua very active. Easy to pick signals. Pick signals. Mtu wakikualesa jambo, wakiku dangania, hata kama uwezi kumambia, unandangania. Hila maonimu wako, bie nasema rozetu, natabia kushudia pamuja na roo wa mungu. Ya kumba sisi ni wana wa mungu. Manake kila jambo unapokuwa, unaindelea. Roonimu wako unajua, unadangani. Mungu. Hata kama uwezi kumwambia, maybe kulingana na position yake, na nyeshima yake. Unaweza usimuambia, lakini deep down in your heart, unajua, no, no, no, no. Hii sio kweli, hii yapana. Dili ina chukua, dili isi siki. Si chukui, habali inasikiliza, habali isi siki. Unajua aje mtu wa mungu? Unajua kulingana, Na Rom Takatifu anavyo kuambia Ndani Rom Takatifu anafanyaje kazi Anafanya kazi vizori sana wakati utuwetu wa nje unapokuwa umelegea Utuwetu wa nje unapokuwa hauna nguvu Mtu wa nje anapokuwa hayupo active sana Mtu wa Ndani anakua active Hallelujah Maisha hamejia mambu mengi, tarifa ni nyingi. Kila wakati, kila siku, tarifa ya bali hii impia, tarifa hii impia. Kuhusu kazi, watu wana tarifa fulani. Kuhusu kuwajiriwa, wana tarifa fulani. Mausiana unandoa, ndiyo kabisa. Kila mtu ni mualimu. Kuhusu ipokuwa makini, unaweza ukachukua maelezo ya jambo jingine na ukayaweka kwenye mambu ya maisha yako amba usiwa ya kuli. Tumejifunza leo hesabu sura ya 13. Imagine inini. Unchi yoyo ina maziwa, unchi yoyo ina asali, lakini unchi yoyo pia ina vitu na watu wakutisha. Kwa hiyo, watu bibe na sema wakaleta habali mbaya. Habali mbaya zinatabia kuifanya nafsi inasinya. Nafsi ikisinya inakosa na mna ya kuweza kuaktivate mwili kufanya vitu vya msingi, hallelujah. Let me pray for you. Ocha nikuombe, dugu yangu, mpenzi wangu ambaye, umeni amini. Mana kuwamuka usikuku nisikiliza, e kwa sabatu umeyamini. Somewhere, somehow, mamchungaji ya naweza kaaongea kitu, kita nifa baba katika jina la yesu. Ninakushukuru mungu wangu na baba yangu, nasema sante kwa jiri ya nduguzangu hawa wakike na wakiume baba. Ambao, kwa unyenye kevu kabisa, wameipa miili ya utiisho, nakua macho, ramuda uote na kunisikiliza. baba katika jina la yesu. Katika tiao, kuna watu ambo hawaja waji kufunga kabisa. Na neno lako li metuambia wazi, kuna mambo haya takuja kuwezekana mpaka tumeweza kufunga na kuomba.
[00:53:19] Speaker C: Ninawambea asubuhi ya leo mfalmo wamani. Ukawape neema ya kufunga katika jina la yesu. Katika jina la yesu. Ukawape neema ya kufunga katika jina la yesu. Ukaipe miria uwezo wakustayimili kiu, uwezo wakustayimili njaa kwa masaa haya machache na kueza kukusikia. Baba, wengini wanafanya kazi kwenye maaya mbapo viakula vinapikuwa. Kati kajina laesu. Wengine ni wazazi kwenye nyumba zao wanawapikia waume wao na watoto wao. Baba kari kajina laesu. Ukawape neema ya usta imilivu na kufunga. Kwa sababu pasipo yewe sisi atuwezi jambololote. Ukatusaidia subui, ukatusaidia mchana, ukatusaidia jionu, ukatusaidia watoto wako wawo. wakike na wakiume kueza kuomba, kueza kufunga, katika jina la yesu, neema yako ya kufunga, the grace to fast, nina waombea katika jina la yesu, wakaweze kumishinda yule ya dui, wasiweze kula, wasiweze kunyo, kama ulivu msaidia Esther, siku tatu, usiku na mchana.
[00:54:20] Speaker B: Hakula wala hakunywa na halikuwa sawatu. Kama hulifu msaidia yona kwenye tumbo la samaki, siku tatu, mchana na usiku, bila kula, bila kunywa, na akawa sawatu. Kama hulifu mtia ngubu Yesu, siku wa rubaini, akafunga, akaomba, na akawa sawatu. Ukawasaidia ndugu zangu hawa, wakike na wakiume, kati kajina la Yesu. Wameweka niya, wameweka niya kukuomba, siku izi ya 40 buwana, na leo ni siku ya pili. Tuna yaweza mambo yote, tuna yaweza mambo yote, tuna yaweza mambo yote, tuna yaweza mambo yote, katika weu na itutianguvu, katika jina la yeso. Ukawatiye watoto wako nguvu. Ukawatiye watoto wako nguvu. Wakiwa kwenye biyashara, ukawatiye nguvu. Wakiwa kwenye kazi, ukawatiye nguvu. Wakiwa mashuleni, ukawatiye nguvu. Wakiwa anafanya uduma mbali mbali, ukawatiye nguvu. Kati kajina la eso. Mtembeo uwaromu takatifu. Amba umetupa sisi watoto wako. Ndani haizi siku wa urbaini. Usimpite kila mtu amba umempa neema ya kusikiliza maneno haya. Kati kajina la eso. Neema yako ikawatiwa. Yema yako ika waifadhi, baka tutakapo onana tena. Katika jina la yesu. Amen.
[00:55:32] Speaker A: Asante kukua pamoja na mimi kuanzia muanzo mpaka mwisho ibadahe. Usiache kuhomba, usiache kumtafta mungu. Na kama umebarikiwa na manenohaya, unaweza kutuwa sadaka yako kupitia nambazifatazo 0659 68 75 69 au 0753 08 57 89. Shalom.