Mfungo na maombi vinaenda sambamba , kazi ya mfungo ni kukusongeza karibu na ulimwengu wa roho, Ukifunga make sure unaomba, unasoma neno, na unamaanisha.Ili mfungo wako uwe na thawabu
Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give
Ni nguvu ya ndani inayompa mtu mwanga wa kuelewa mambo kwa kina na kwa usahihi.Humsaidia kufanya maamuzi yaliyo na msingi imara badala ya kuongozwa...
Maombi ni daraja la roho kuunganishwa na Mungu, si desturi ya kawaida bali ushirika wa upendo na imani.Kupitia maombi roho hupata nguvu, faraja na...