Episode Transcript
[00:00:00] Speaker A: Shalom mpendwa wabwana, this is Mama PT na leo na kukaribisha tena kule isikeleza neno la mungu. Biblia inasema maneno yangu ni roho na uzima. Neno hili ninawezoa kufufua tumaini na kuleta faraja moyoni. Wenda upo kwenye doruba au mawingu mazito, lakini kuna neno la mungu li lo hai li naloweza kutuliza mawimbi na kukuletea amani leo. Karibu. Maandiko, ya nasema hivyi, malaika wale watatu, watu kama malaika, walipo kuenda Sodoma na Gomora kuenda kumchukua luto, hawa kumchukua luto peke yaki. Lengo ilikuwa ni kumuokua luto, lakini walipo fika pale, hawa kumchukua luto peke yaki. Wali mchukua luto na mke wake. Lutu na watutuwake. Kwa hiyo kama malaika, tukuwa sisi na familia zetu. Wana tutuwa sisi na biyashara zetu. Kwa hiyo kama tunafanya masyara kwenye maombi haya, manake tunahai. Yani, hai tuafekti sisi tu. Maombi ni kama matapishi. Ukianza kutapika, uwezi kusema hivi, nataka nitapiki ya patu? M-mm. Utayakuta ya meflow na same nyingine. Mpaka kwenye nguo, mpaka kwenye same zingine mbazo. Ukuamini wala kuwaza. Kwa hii ondogu zangu, tukisema tuombe, neno la mungu ni gumu wakati mungine kueleweka. Ndiyo mana neno la mungu inaitaji imani. So, neno la mungu, kama ilivyo kawida, kama ilivyo ada, wakati timalizu ngumza hapa na kuomba, kitu chakuanza kinachokua affected ni nafsi. Ndiyomana nikasema hii vitu na po wanza kwa maombi maandiku wanasema anenaye kwa luga, anayenga nafsya ki nyumba inayojengwa na nyumba ambayo ujenzi umesmama ni nyumba bili tofaut. Mtu ambayo anasikiliza neno la mungu, halafu hakuweka maandalizi ya maombi, lile neno lina bounce back. Ndiyomana hata kanisani pali, Millennium Tower, kabla ya ibado, utakuta mtumishu wa mungu yuko pali, anawongoza maombi, yetu takai mkutaskuyo. hanaungoza maumbi. Unajua niya ni nini? Ni kuwishawishi, ni kuwishawishi na kuilainisha nafsi. Ikae mkau mzuri wakupokea neno. Neno ni zito, neno ni kama tufani, ni kama tufe. Kwa hiyo angalaa umto napulina kwa luga, anayueka nafsi yake kwenye mazingira mazuri ya kulipokea neno. Na ndobana nika sema hithi maombi ya naathiri mutazamo. Kwa nini? Kwa sababu kadi mtu lafazili kuomba, nafsi na kuaffected. Mtu nafsi yake anayomba na mtu ambaye nafsi ya mtu ambaye haombi ni nafsi mbili tofauti. Hakubatishu wa kuingi mtu ambaye haombi. Ana guess. Mtu wake wandani yuko so slow kwene kupiku signos. Wiki hii tumekua tuna maombia kusema o Mungu utu inuliye watu na kabila za watu amba umewaweka kwa ajili ya maisha etu. Mungine roho ya Kenzito, yani nafsya Kenzito, ata kama ndio watu amba uMungu, hamewanda na kuainuwa kwa ajili yake. Hawaoni? Hawaoni, ata wakijia hawezi kujua kama ndiyo hawa. Mtu wandani, hametulia mtu wandani, hasikicho chote. Lakini mtu wamba yananena kwa luga, hanamuaktivate the inner man. Anakua so quick kwenye kupiku signals. So quick. Hakimwona tu mtu wanajua, hmm, hii ndio ila mbao mama likona sungumuzia wiki. Haa, uyu siyo. Kwa sababu mama pia alisema, siyo wote wapu kwa jili yetu. Jina natumejifunza juu ya watu wanaitua, watu wa siyo fa.
Biblia Kingereza mahali katha wakatha imewaita people who have nothing to lose. Wako atu ambao wapotu kama epitu wanawaita majaza dunia wapotu. Hawana mission, hawana goal yote ya kuatendi. Hila ikitokia uwaribifu wako, ndiyo wanausika. Tuli wa soma jana wafalme wa kwanza sura ishina moja onyatulikuwa tunazungumu za bari zandugu yetu na both miezeri pale. Maandiko, ya nasema hivi na both hakaachua urithi. Imagine familia inakuachua shamba manake.
That family hai ikuwa na biyashara, hai ikuwa na hera, hai ikuwa na thapa, unajua shamba. Sina kitu chocho toko ni maishi angu nachoki ya mini, mimi. Kama neno ambalu natoka kwenye kinyo changu. Kwa anamu na mbafo Mungu hameniweka na kwa umri mdougu mbafo onozo kafikiria ninao, ninayamini sana maumbi yangu. Juuzi kati yapa nimewambia. Mimi na Piti tu mewai sana kuchunga kanisa. Siku ya kwanza mimi na muona Piti na muona alikuwa mahali anahubiri nenu kanisani. Thereafter mambo ya fellowship na kanisa lika anza. Kwayo nimekamda mrefu sana kama tu mtu wa kuobserve shiuli za kanisani na mambo ya nagivenda miaka mingi sana. Nijuzikati tuko kwa sababu wakuna namna. Nimeyaza kufanya mambo, lakini maisha yangu mengi nimeyatumia kujifunza. Mengi sani, miakamingi sani. And I was so fine. Sitting down, watu wengine wakinifundisha. Ikawasa watu.
Nimeaona mimi katika umri wangu mdogo sana. Kwanini tunazungumza habari za watu wanaufa na watu wasiofa? Kwa sababu hawa watu wanaufa na wasiofa, kitu peke uwanacho tufanyia, wanatuzungumzia maneno. Na ndugu yangu, maneno usiapuuze. Usiapuuze. Nime toa yu introduction yangu waponyuma uweze kuwelewa. Kwa umri wangu mdogo niliona Wako baathi ya watu, kwenye maishayangu, niki wangalia hivi, najua kabisa huyu ni maneno yangu. As small as I am, niki angalia baathi ya circumstances, najua haya ni maumbi yangu. Huyu ni mimi. To sometimes, ninasema Mungu ni saidiye. Kwa sababu wakati na haya zungumza haya, na kuyaomba mbeli zako, sikuwa najua ya tamfanya huyu mtu kwa kiwanguhiki.
Lai tini ngenyuo komba maneno yangu yata yafanya maisha ya mtu to this level wana yesu. Probably nisinge ongea mpaka hapa.
Alot of people. Watu wengi sana. Kila niki wangalia. Nani yangu wakati mgini napata guilts? Ndiya ni ndugu zangu lazima ni wambia. Napata hukumu. Nasema, kila uyu jama uyu ni manino yangu. Uyu mtu uyu, this is me. Siku moja ni kawambia, ni kambia, ndugu zangu, kila mtu anasijua silazaki. Kuna kidonda, ukikiona kwenye maisha ya mtu, unajua yule ni mimi.
Kuna maendeleo ukiaona kwenye kazi yako, unajua this is my prayer. Ha'a ya ni matokeo ya mimi kuamka saatisa usiku. That's why inakombia respect your prayers. Ya eshimu maumbi yako. Maumbi ni nini? Maumbi ni maneno. Ni kama maneno tu. Mwanzo sura ya 49, mtu moja kawaita watoto wake. Hakuambia ni waumbe. Mwanzo sura ya 49.
Usiadharau manenu ambaye unayahongea usikuhu. Usiahonge kinyonge. Usiahonge kwa chini. Usiahonge kama utaongea tena. Usiahonge kama unamuongelea mtu. Kama unaomba, omba kwa kumanisha. Kama unasema ameni, sema kwa kumanisha. Kama unavunja na kuaribu, vunja kwa kumanisha. Kama unawafuta wa yebusi, futa kwa kumanisha. Kwa maneno yako utaukumiwa, kwa maneno yako utaisabiwa haki. Kuomba ni nini? Kuomba ni maneno? Tunaungea maneno apa? Ni maneno tu?
Ndugu yangu, maisha ya mtu ni vita ya maneno tu. Wengi wetu sisi ni matokeo ya maneno. Tulio jitamkia sisi wenyewe au tulio tamkia na watu wengine wenye mamlaka na nguvu kuliko sisi. Muanzo sura ya 49. Mstari wa kwanza, Yaakob wakawaita wanawe, wakathema Kusanyikeni, hili ni wambie ya takayo wapata siku za musho. Yakobo hakuwambia watoto wake. Kwa mbahe, Yakobo alikuwa na watoto kumina mbidi. Hakuwambia hivi, watoto angu nakaribia kufa. Njoni ni wabariki au ni walani. Au njoni ni waombe. Maandiko nasima hivi, Yakobo haka waita watoto wake. Haka wambia hivi watoto angu njoni. Ni wambie mambo. Mambo ya takayo wapata. Siku zamisho! Mali penge mbibye miandika mambu ya takawi wapata, siku za usoni. Yalikuwa ni manenotu, baba naungia na watuto haki. Haka sima hivi, kusanyike ni msikie mseru wapiri, Enyi wana wa Yakobu, msikilize ni Israeli babayenu. Ruben, u mzali wa wangu wa kwanza mseru wa tatu. Nguvu zangu na marimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na kwa nguvu. Umeruka mpaka kama madi, basi usiwe na ukuu. Yalikuwa ni mazungu mzo.
Hiya likuwa ni mazungumuza ya kawaida kabisi. Kawaida! Hiya kuwa maombia kusema baba kari kajuna la esu na wafuta. Haaa haaa! Au baba kari kajuna la esu na waweka sembuse sisi. Ambawu kabisa tunaweka na baba kari kajuna la esu. Huyu jamaa, halikuwa tu wa mewaita watoto wake. Mazungumuza ya kawaida. Family meeting. Ni muhim sana, kila unapuenda kwenye family gatherings, family meetings, Sikiliza watu wano ya zungumza, sikiliza wazia wana chokisemi. Kwa hiyo maneno yetu nduguzangu, ya nafanya kazi. Mtu yoyote asiku dangani. Ya amini maneno nayo kwa ambia utasogia. Ya amini maneno yangu utapiga atuwa. Watu waki kutamkia maneno, hata kwa utani, ya nakua. Sembusa sisi yambo tunamka usiku.
Kwa hiyo Yashim maumbi yako. Manenu ambao unasema mbele za Mungu, Yashim maandiko, ya nasema kwenye ufunua sura, ya kumambi, ya nasema kukua kuna vita mbinguni.
Nao waka mshinda mstari uwa kumna moja, ufunuo, uwayoana kumna mbili, kumna moja. Nao waka mshinda. Kwa dami ya mwana kondo. Na! Kuligua kuna mzigo wapale mbele. Kwa neno la ushuda. Nenotu, nenotu. Nenotu. Kwa hiyo, watu owote wanao fikiria hiki ni kilinge cha watu waliochoka. Au waliokosa usingizi. Wana kusanyika saati sai kupoteza muda. Ndugu yangu, hatupotezi muda. Hapa, hapa kwenye maumbi haya. Kuna watu tunawafutu. Hapa kwenye maumbi haya, kuna watu tunajikusanyia. Maumbi haya, yanawezo kutuletia wa ume na wake. Maumbi haya, atunoi ya omba, yanawezo kutuletia mitaji. Maumbi haya, atunoi ya omba, yanatuletia connections. Waku watu wa mbao shuda, katha wa katha, ato wakati mgini inaposts. Na watu, mama, jambo hili minisaidia. Nipigia atu wa flani. Kwa hiyo nini? Manake haya, mama, atunoi ya fanya hapa. Ya, anafanya kazi. Usitharau. Jambo lolote linalo endelea, linalo usiana na manenu usili dharawu. Hallelujah. Buwanasifuwe sana. Tuki sema tunaomba, omba kama chizi. Wengine hatuna muda mungine, hindi yo saizi. Wengine tangia tumefuta watu wa siofa ajana. Mpaka lewa tujafuta mtu yote. Na nikuambia ndugu yangu.
Mambo haya kwa nini natakiwa tu graduate, tutoke kuwa kwenye program, tutoke kuwa nikipindi maalumu, ije kuwa maisha ya kawida. Kwa sababu ndugu zangu, wakati sisi tumenyamaza, wengine pia wanaongea kuhusu sisi. Kwa hiyo kwetu sisi hii, inakua siyo program.
inakua sio kikundi maalumi, tunakundi letu na mamapiti misi nakundi na wewe. Haya ni maisha, tunaishi kila siku. Haya ni maisha yetu ya kila siku. Nuguzangu, kusoma neno la Mungu, kusoma vitabu mtu mishi alivuandika, kuomba, kufunga, kutuasadaka, matendo mema ya haki ya fananau na hayo ni mambo ya kufanya kila siku. Esta sura ya tatu mstari wa saba. E buwana Yesu nisaidie.
Esta sura ya tatu, mstari wa saba. Mpaka mtu anagraduate, kutoka kuwa mwanafunzi, angalawu wapati ata degree ya kwanza, anze kazi, walimu wa shule ya sekundari, ukiwa na degree ya kwanza tu. Nini miajiriwa nikuwa na degree moja tu. Uyumtu alakiwa we, amisoma, shule, ndugu zangu. Si umara moja moja, Mimi mwalimu wanafunzi ya naifanya vizuri, ni mwanafunzi ya nakujia shuleni kila siku. Ndiyo mwana shuleni uwa tunazile nini? Class Attendance. Tena tunaita majina. Nili? Nipo? Kwa nini? Tunacheck. Tunacheck. Kato histu kufundisha watu amba wa tuacheck. Upo kila siku na mtu anasoma kila siku. Mpaka anagraduate, anasoma kila siku, siyo mara moja moja.
Hakuna mtu anaenda shule maramoja kwa wiki, akao mwanafuzi boraka faulu mitiani. Kwanini we unaisi? Ya kwamba utafaulu mitiani ya maisha na changamoto kwa kujia ibadani maramoja moja sangu. Wengine sisi, nature of our works, nature ya kazizetu, tunaenda ibadani jumapili tu. Hata wali ambao tunasema tuko online, mungina po yuko online, ametua nyonyo, anampa mtotu. Nduru wanataka nyonyo. Na baba mtu na e, kuna kitu wanasubiliya. Na mama efanya alaka uje. Kuna mtuto umingine kule. Kwa hiyo... Concentration ya ibada za online, Mungu utuwa natusaidia. Hallelujah! Kwa hiyo kama mwanafunzi ambaye anasoma tu elimi ya kawaida, elimi dunyatu, inamlazimu kuenda shule kila siku, kumskiliza mualimu kila siku, kufanya mambo yale yale kila siku, mimi na wewe, mitiani ya maisha, ndugusangu, itatulazimu kuomba kila siku.
Kuuongea maneno yale yale kila siku. Kila siku, kila siku maneno yale yale. Wengine tumewafuta watu wa siofaa djana. Mpaka leo hatunaki ingine ambachi tumekifanya. Manake kwa hiyo kutokea djana, mpaka leo kama kuna mtu mingine ya siofaa, tayari tumesha ingia kwenye mtegu.
Tayari, tumesha ingia kwenye kunasa. Kwa hiyo mambo ya roho ni nduguzangu, ni kila siku. Kila siku. Unajisikia, ujisikii. Kila siku unaomba. Una modi, au huna modi, unafanya. Hi, nduguzangu. Kwanye wakati unaenda shule sekundari, kila siku unamodi? Kwanza kama wewe, kila siku unakunamodi. Kila siku unataki kusuma. Kila siku, wewe, ujisikitu. Yani kila mali unasinzia, lakini uko unaenda shuleni. Kwanini? Unajinsi.
Ndivyo na vitakiwa kwa mambo yetu wa hatu na jinsi, hatu na mali pa kuponia. Tusipa omba tumefutua. Mimi na we vita ya mwilini hatu wezi. Hatu wezi, hatu na hizo connections. Hatu na hizo nguvu. So wazuri ki hivo, hatu na chochote. Yani mimi na wewe tuna dami ya mwana kondo. Na neno la ushuda. Bas. Esta sura ya tatu.
Mstari wa saba. Basi, muwezi wa kwanza, ndiyo muwezi wa nisan. Tunasoma kitabuchi ya Esther. Sura ya tatu mstari wa saba. Basi, muwezi wa kwanza, ndiyo muwezi wa nisan. Muaka wa kuminambili wa mfalme ya aswero, wakapiga puri, yani kura, Mbele ya kehamani, siku kwa siku, muwezi kwa muwezi, hata muwezi wa kuminambili ndiyo muwezi wa dari. Kwa wale ambawa wajai kusuma kitabu cha Esther, wayaudi wakaponzwa na modekai. Kwa sababu modekai siyota maduni yao, siyota maduni ya wayaudi kuabudu watu. Kwa sababu amblia kwanza tu inasema hivi mimi ni buwa na mungu wako. Usiwe na miungu mingine ira mimi. Usivisujudie wala kubitumikia vitu, yovyote. Kwa hii wa yaudi wamezoea, kwa ho ni kitu chakawahida, kutuabudu kitu kingine chuchote. So ukatokia utalatibu pali, hamani, anapo pita, watu natakia kuhinama na kuhinuka kumisujudia hamani. Mwende kaya kasimua usia utalatibu, sisi atufanyi kwetu hivu. Haa, watu wakamambia Amani kuna mtu na kabila laki hapa, hawa kusujudi. Amani yaka sema haina shida, hawa nitawafuta. Maandiko yanatuambia hivi, Amani yaka tengeneza mchakato kwa wakatu wakasuma Kitabucha Esther. Amani yaka tengeneza mchakato wakuangamiza wayahudi. Nime kusumea nini? Kwenye kuangamiza wayahudi, wakaanza kutafuta siku ya kuangamizo, mtu wangamizu kila siku. mwizi haji ila haibe kuchinja na kuaribu, hakuna mtu wanaibiwa kila siku ila ipo siku ambayo kwa iyo utaibiwa kwa iyo kama fila mbabo mtu hapati ajali kila siku, mtu hafili siki kila siku, mtu haibibiwa kila siku, mtu hapati divorce kila siku ila ipo this specific day set maandiko ya nasema hivi ili kuangamiza wa yaudi ilibidi wapigekura, wapigepuri mambo ya uganga yo. Siku kwa siku, tusome tena. Esther Suratatu Mstaluwa Saba basi muwezi wakuanza wakaanza kupiga rambli, wakaanza kucheki tare, tare ipinafa, kuangamiza wa watu, wasio taka kuhabudu, sawanasisi. Basi mwezi wa kwanza, ndiyo mwezi wa misani. Mwaka wa kuminambili, mfalme ya swelo, mandiko ya nasima hivyo. Wakapiga puri, yani kura, mbele ya amani, siku kwa siku. Ibaada ya kuhangamiza wa yaudi, kwene kuichekecha tutare, ya kumbalini tuhangamize, walikua wana piga rambli siku kwa siku. Anyways, unahomba mlamoja moja. Kila jumapili, kila alamis, na pia uki fika kanisani, una mambo mengi. Una tembea, tembea, unaenda washroom mala tatumani, ndawaneno usikilizi, unasinzia. Maandiko yanasema hivi, awa watu, hili kuangamiza wayaudi. Wakao, wanafanya kazi ya kuchekecha, siku ya kuangamiza, siku kwa siku. Mwezi kwa mwezi, wiki kwa wiki, wakati sisi mambo ya msingia tunafanya mara moja moja sana. Na hata tukija kwenye ibada hapa, sunajishurisha na vituvingi sana. Hata atutuli, attention seekers, komentiki, komentiki, mbali tukuleta itirafu. Yani we kwenye akili yako unamini hii bichangamshagenge usiku ya watu wa liyokosa usingizi. Wakati maduizako, wanaitafuta kazi yako, mdua yako, biyashara yako, kuawivu mkubwa, siku kwa siku. Na nikuambie, wa Yahudi siku ya kuangamizwa ilikuwa ni mwezi wa kuminambili.
Hila mchekecho hulianza siku. Basi muwezi wa kwanza, S3, S7. Basi muwezi wa kwanza.
Ndiyo mwezi wa Nisan, mwaka wa kuminambili, wa mfalme ya sweli, wakapiga puri, yani kura, mbele ya mani, siku kwa siku, mwezi kwa mwezi, hata mwezi wa kuminambili. Wao! Wameanza bali ya siku kwa siku, toka Januari.
Wakamaliza zoezi muwezi wa kuminambili. Maandiko ya danganyi walikua anafanya siku kwa siku. Ni wewe tu. Ni wewe tu amba unasimaa. Ithi yamuka na mapitilo, ipo. Awamna. Awamna lewe juma. Awo mungu mkubwa. Mungu wanasikia maumbi. Tulale sasa tutupumzike. Wakati wewe unapumzika, maandiko unasimaa ipo. Walipo lala. It is as if our enemies wanatusubiriya tulale tu.
Ili wajie wapande magugundugu yangu, haya ni mambu ambayo tunayafanya siku kwa siku, wiki kwa wiki, muwezi kwa muwezi, mpaka Christo atakapo kujia.
Hallelujah Kwa hiyo kazi ya kuafuta watu wa siofa, ndugu yangu, ni kazi ya kila siku Kwa nini? Kwa sababu kila siku tunamadui wapya Kila siku tunajambo nyipi Kila siku tunabiashura mpya tunataka tufanya Kila siku, by the way, utupeleo risiko kitu ya kila siku Malaki kila siku kunajambo nyipi tunatakiwa tunifanya Linalo itaji nguvu yetu ya kila siku ya kwenye maombi Hallelujah Kama ambavyo maisha yanawatu wa msingi, maisha pia yana mambo ya msingi. Maombi ni mambo ya msingi.
Maombi ni mambo ya msingi. Maombi ya naimarisha kazi zetu. Maombi ya naimarisha biyashara zetu. Maombi ya naimarisha ndo wa zetu. Maombi ya naimarisha, lakini zaidia yote, maombi ya na tuimarisha sisi. Mtu anae omba na mtu asia omba ni watu wawili tofauti. Hallelujah. Hallelujah. Wafalme wapili. Wafalme wapili, sura ya 13.
Tuanziye hapo, leo, hallelujah. Actually tuendele kutoke hapo. Nimeona ni vizuri sana tukizungumza jambo hili ndugu zangu ili uweke uzito na usirious kwenye mambo haya tunawafanya usikuhu. Lakini siyotu mambo haya mahali, popote, tuakapu kuwa tunaibada mkuyuni. Muda wawote, utamona mtumishwa Mungu akiwa anafundisha na kuongoza maumbi tulia. Unapukea nino lako, unapukea mkati wako wa kila siku zaidi ya yote, unapukea nguvu, maombi ya natabia kumpa mtu nguvu. Kwa hiyo usipuze wala usione kama haa, hivitu ni vitu vya kawida, maombi siyo jambo la kawida. Mtu anayomba na mtu asiyomba ni watu wawili tofauti. Wafalme wapili sura ya 13, tunaanza mstari wakwanza. Nailekia mstari wakumna saba, lakini nataka tuanze mstari wakwanza. Usiwe na uvivu wala usichoke. Hallelujah. Tuna po omba na tuna po soma neno muda kama humdugu yangu kwa niyaba ya watu wengi sana. Watu wengi sana wanatuangalia sisi kwa njicho la matumaimi. Mama ako anasema angala humu tutaungu wa meokoka. Baba ako anasema angala humu tutaungu wa meokoka. Jambu yote likuwa linaendelea akili ya baba yako, akili ya mama yako, akili ya ndugu yako, akili ya ndugu zako, akili ya muenza wako hapo nyumbani, nasima hivi, angala hume wangu ni mwombaji. Angalawu mkio wangu ni mwumbaji. Lugu yangu, tunaangariwa na watu enji. Kwa hiyo, tutulie na tuwekeze kwenye mambo ya msingi. Hallelujah. Wafalme wapili sura ya 13. Katika mwaka waishirini na 3, wayoashi mwana wahazia. Wafalme wayuda yeho ahazi. Mwana wayeho wakanza kutawala. Juya Israel katika Samaria, akatawala miaka 17, sari wapili. Hakafanya lio maofu machoni pabwana. Haka yafuwata makosa ya Yerobuwa mwana wanebati. Ambayo kwa hayo ali wakosesha Israeli wala hawakuyatia. Sariwatatu. Hasira ya buwana ikawaka juu ya Israel. Hakawatia mkononi mua Hazairi Mfalno Ashami na mkononi mua Ben Hadadi mwana wa Hazairi Siku zote. Sariwatatu. Naae yeo hazi ya kamsi buwana. Kaomba, buwana kamsikiliza kwa kuwa aliaona mateswa izahiri jinzi mfano wa shamu alivi wa tesa, mstari wa tanu.
Bwana haka wapa Israel Mwokozi nao wakatoka Mikononi Mwao Shami, wana wa Israel wakakaa hemani mwao kama zamani za kwanza, msali wa sita. Lakini hawa kuyahacha makosa ya nyumba ya Yeroboam, ambayo kwa hayo ali wakosesha Israel, lakini wakaendelea katika hayo, nayo ile ya shera ikakaa vivo hivyo katika Samaria. Msali wa saba, kuwakua hakumuachia yeho wazi watu, ila wapandao farasini hamsini na magari kumi na askari elfu kumi waendao kwa miguu. Kwa kuwa mfalme uasham aliharibu, haka waponda mfano uamavumbi ya liyo kanyagu wa mstari wanani. Bas, mambo yote ya Ehoazi ya lio Salia na yote ya lio yafanya na ushudia awa kijie, haya kuhandiku katika kitabu Chiatarecha wa wafalme wa Israel. Mstari wa tisa, Ehoazi akalala na babazi, wakamzika katika Samaria na Ehoashi Mwanawi akatawala mahali pake. Mstari wa kumi, katika mwaka wa thilathini. Hallelujah. Tuko pa moja, ndugu zangu.
Katika mwaka wa 30 na saba, Yohashi Mfawme wa Yuda, eh, Yohashi mwana wa Ihoazi, alianza kutawala juu ya Israel katika Samaria. Akatawala miaka kumina sita, msalo wa kumina moja. Akafanya hirio maovu machoni pabwana. Hakuiaacha makosa ya Yerobuwa mwana wa Nibati, ambayo, kuhayo aliwakosesha Israel, lakini akaendelea katika ayo, msalo wa kumina mbiri. Basi, mambo yote ya Yohashi ya lio saria na yote ya lio yafanya na ushujia awake, a lio pigana na amazia mfalme wa Yuda. Je, haya kuhandika katika kitabu Chetarecha wa falme wa Israel kuminatatu. Yohashi akalala na babaze na Yerobo amu akakaa.
Katika kiti cha kecha enzi, nae yowashi akazikwa huko Samaria pamoja na wafalme wa Israel. Mstari wakuminane basi. Elisha, nabi, alikuwa hameshikuwa na ugonjwa wake uliomua. Nae yowashi, wafalme wa Israel, akatelemka hamtazame. Kenda kumtazama nabi wake. So, tumishwa mungu, Elisha, kawa naumua.
Anaumua ugonjwa mbao, mandiko nasimaa ugonjwa wake, uliyo muua. Manakia ugonjwa uliyo mpelekia kwenye kufa. Then, mwanae akaona kuhamba, babangwa anaumua. Koja nikamtembele mi, sari wakuminane tunasoma. Nae yowashi, mfalme wa Israel, baada kusikia Jamani. Nabiya anaumua. Akaumua kuenda kumtembele. Aka mtelemkia, amtazame. Alimo muona anaumua. Kuna ugonjwa mbo uki muona mtu, unajua kabisa hii, ni yagieni au huyu atapona. Na eyo ashi alipona iyo wali, akamliria mbele yaki, akasema, baba yangu, baba yangu. Gari la Israel na wapanda farasi waki. Elisha akamombia, achena na abaliza kuria. Mbele yako kuna vita, hallelujah. Sikilize kwa makini. Elisha akamombia, tua uta, Na mishale. Naya katua uta na mishale. Kumambia chana mambo ya kulia. Mimi nabihi. Najua nini kime nipata, najua wapi naelekea, hata nikifa sasa, najua nitaka puelekea. Lakini mimi nitaka poondoka, nitaku wachia hapa kuna jambu li nakuja la vita. Kuyo tuwachia ni kwanza na hii dara ya machozi na kulia tufocus kwenye vita. Sio hiliyo sahizi, au muda huu. Tufocus kidogu kwenye vita iliombele. Ndugu yangu, mape mazaidi. Utakavyo kubali na kuagree na kubalina pamuja na mimi. Kuwamba, life is a series of battles. Ndivyo utakavyo kuwa kwenye moment ya kurest, kupumzika. Shia kupumzika kama kupumzika. Kupumzika ukijua hivi. Kila wakati na po engea kwenye vita, satakiu kushutuka. Stakiu kuwa kama mtu ambaye, niko surprised. Hii, limeni pata tena. Life ipo kwenye series of battles. Kila unapomaliza vita moja, unajiyunga, unajitengenezia mazingira, unajiuweka kwenye nafasi nzuri ya kupigana vita nyingine. Vita moja, unapoishinda na kukonka na kuwasawa inakusairia wewe kunoa silazaku kwa njiri ya vita nyingine. Hallelujah! Bwana Yeshu asufuwe sana. Mstari wakuminatamu. Elisha akamuambia. Tua Uta na Mishale. Nae akatua Uta na Mishale. Mstari wakuminasita. Akamuambia mfalme wa Israel. Weka mkono wako katika Uta. Nae akaweka mkono wake.
Nyuu yake. Elisha akaweka mikono yake, nyuu ya mikono ya mfalme, mstari wakumina saba. Haka sema. Lifungue dirisha, linalo elekea mashariki, haka lifungua. Basi, Elisha haka sema piga, haka piga, haka sema mshale wabwana na mshale wakushinda shamu kwa maana utawapige washami katika afeki hata utakapo wangamiza. Tusikili zana indugu zangu. Inaizikana tumesoma chapter nzima na usialoeni ni tunachozungumzia. Maombi ni suala la kira siku.
Hata kama kuna vita ambaye umeishinda, jana na juzi. Hai kufanyi ue usiombe tena, au ya kukueka ue kwenye mahali papu mziko. Kila wakati unapopata na fasi ya kuomba, ndugu yangu maanisha. Kwa sababu mishale unayolusha, inakuenda mbali na itakushindia vitazako ingi sana. Kuna mambo wambao tuna yaomba hapa leo, ndiyo mana nikatangulia kwa kusema hivi, kuna baathi ya mambo, kuma, kuna baathi ya watu, niki waangalia na uokuwa na wakika kabisa. This is me and this is my prayer point. Kuna baathi ya mambo, sasa hivi, lakini ni mambo wambao ni liomba muda na miaka mingi liopita. Ndivyo mbavyo wewe leo, tunaomba hapa leo, lakini baada wiki wiki mbili muwezi, kuna mambo utayangali, utasema hivyi. Afya hii njema ni maumbi yangu, biyashara hii ni maumbi yangu, mabalili kunaona kwa mwenza angu ni maumbi yangu, biyashara angu navu endelea this is, haya ni maumbi yangu, hiya aliasatisa hei, ndiyo haya sasa. Haka hinda kumuona Elisha kiwa naumwa. Elisha hivyo muangali ato wa kasa, mbele yako kuna vita. Yawashami, utapigana na yawashami soon, mdapa. Sasa fanya hivi, tufanye Signs and Token. Tufanye apa vitendo vya ishara, venye kuzalisha matokeo. Signs and Token, haka mambia fungua dirisha hii. Weka upindewako vizuri na mshali huu. Then tufanye kitendo wapaa cha imani. Kwa sababu minakufa, sita kuhepo. Lakini kuna mambu wamba utukiafanya leo ya takubeba ata kama sita kuhepo.
Kwa hiyo, mimi kama nabi wako tufanye jambo kabla si Jaffa. Fungua dilisha. Waka fungua dilisha. Najalibu kukuelezea kama story ujayeleo. Walipa fungua, jamaa kama ambia haya, weka upindewako vizuri, tupige. Haka seti mitambo yake ya vita vizuri sana. Nabi yalicho kifanya, haka weka mkono tu pali kwenye hile mitambo. Haka sema haya piga sasa. Mstari wakuminasaba, haka sema, Ulifunguwe dirisha, linalo Elekea Mashariki, haka lifungua. Basi Elisha haka sema, piga. Tena wakati wakupiga, hakuwa anapiga kimia. Ndiyomana nasema maombi ni nini? Maombi ni manenotu. Unakua kama unaongea tu, lakini uongei. Ndiyomana usiwe na moments nyingi za masyara. Kwanini? Kwa sababu ni wewe tu ndo unajua. Saizi natania, saizi isimanishi. Ulimwengu wa ro, haujui ni saangapi unatania, saangapi unamanisha, saangapi unamanishi. Kwa maneno yako, utaisabi wa haki. Kwa maneno yako, utaukumio. Kwa hiyo, utaukumio. Kiyo unatania, utaukumiwa ukiwa utanii, unasema mimi nilisema tu lakini haikuwa hivo, chocho uta unacho kisema, kina maana, hallelujah. Maombi ni nini? Maombi ni maneno, maombi ni maneno tu, kwani tu nafanyaji? Hata kama ganga, kwani anafanyaji? Isipokuwa tu locations natofautiana na setting ya mazingira, lakini ni maneno tu, maneno tu na yananguvu, hallelujah. Mbwana sifuye sana. Haka sema lifungu Elisha linawelekea mashariki. Haka lifungua. Basi Elisha haka sema piga. Haka piga. Haka sema. Wakati hana piga, hakuwa hana piga kimia. Na niyo manatukiwa tunaomba. Omba pamoja nasisi. Usiniamazi. Usiseme tu. Mina type. Amen. Amen. Amen. Iwe kwa ngu. Ivo ivo. Kama na vo sema mama. No, wakati sisi tuna ungea huku. Na weo huku ndugu yangu. Seti mambo yako vizuri. Hallelujah. Basi Yelisha haka sema. Pige, haka pige. Haka sema. Mshale wabwana wakushinda nam. Mshale wakushinda sham. Kwa maana utawapiga washami katika afeki, hata utakapo wangamiza. Mstari wakuminanane, haka sema, ituwae mishare, haka tuwae, haka muambia mfame waizo li piga chini, haka piga inchi maratatu, haka hacha. Mstari wakuminatisa, yule mtu wa mungu haka mkasirikia.
Haka sema, ingali kupasa kupiga mara tano au mara sita. Ndiyo hali yambo nime mambia tumesuma kutabu chahisi takule. Wenzetu wanafanya mambo kama haya haya ambayo sisi tunafanya continuously. We ukiomba sati sai bas. Maneno yote unayo yaungia kutokia saa 12, mpaka saatisa nyingine unajua we monyewe. Huyu anamambia habari za kupiga mshare. Nyamaa kapiga mshare ile chini maratatu mandiko yanasema hivyi hakaacha. What if walikua hamechoka? Mamchungaji susukumba kila siku, minachoka. Kwa sababu mimi na yo wote atujui nini kilifanya jamaa haache Kwa sababu wakuambi wa haache Maandiko yanasema hivyi mstari wakumna nani Haka sema hituwa Mishari, haka hituwa Haka wambia Mfalme wa Israel Piga chini, haka piga inchi mara tatu Haka hacha, haka hacha mwenye, siokomba hali ambiwa haache Haka hacha mwenyewe Yule mtu wa mungu haka mkasirikia Haka sema ingali kupasa kupiga mara tano Au mara sita, yani mara nyingi zaidi kadri uwezavyo. Mara tano au mara sita, ndipo ungali ipiga sham, hata kuyangamiza. Bali, sasa, utaipiga sham mara tatutu. Kwa hiyo, kuna kuipiga sham, kuna kuapiga maduizako, na kuna kuangamiza. Ni vitu viri tofauti.
Ndiyo mana kuna baathe ya vitu, kuna baathe ya mambo, unayafanya, lakini tena na tena unayaona yanarudia, yanajiruria kwenye maisha kuno. Lakini ni jambu mbuna nime liombea wikiliopita. Kuna kupiga, alafu kuna kuangamiza, ni mambo mawiri tofauti. Aduhi uki mpiga uka muaacha, ni tofauti na uki mpiga na uka muaangamiza moja uka moja. Kwa nini? Kwa sababu uki mpiga uka muaacha, Kuna atari nili wambia jiana kwanini kuna baathi ya mataifa ilibidi Mungu wa yafute kabisa, yani kufutu manake wakati wanauliwa na kutolewa, hakubaki hata mama mzito, hata mtoto mchanga. Asiji haka develop interest baadae, kwa sabu mbegu haifi, hallelujah, hallelujah. Kuna baathi ya mambo nduguzangu, tukiwa tunaomba, tunaomba, na kuyangamiza kabisa. Ili asiji haka njirudia. Kwa sabu kiyapiga, ukayacha, utayakuta, Ndiyo ina nikuwa na wambia jana, haduhi unampiga, unamuacha. Ukimuacha, kuna hatare katikati ya kujitafuta, haka pata anguvu, haka kupiga atena. Ndiyo mana tulisoma juzi, wamuzi. Baraka, mandiko yanasema hivi, haka mkimbiza yule jamaa. Haka mkimbiza, haka mkimbiza. Kwanza halikua kwenye gari.
na vifaru vyake, na vitu vyake vyavita. Haka mkimbitha, yule jamaa haka shuka kwenye gari, haka kimbia, haka mkimbia yule mama ya eri, haka mwambia hivyi, naomba unifathi, naomba maji ya kunywa. Mama haka mpa maziwa, haka lala. Bada ya kulala, mandikop ya nasimafi yule mama haka ona, m-m-m, uyu, uyu ni yadui.
Na hamekusha kimbia, hamekimbili hapa. Nikimuatia, hatapata nguvu wa sidi ya kanza na mima. Ndiko nasema haka chukua kigingi cha mti. Haka mpigiri ya ule jama kwenye paji la uso, hakafa. Manake, kama henge muatia, hata kama hame muatia peke yake, majeshi yote hame kufa na kila kitu. Badai, vita hile ngelu idugu zangu, tutaendelea kupiga na sisi. Na shida, na tabu, na umaskini, na changamoto, katha wakatha. Kama kila wakati tunapigia kidogo, tunachoka, tunahacha.
Yule mtu wamungu haka mkasirikia, haka sema. Ingali kupasa kupige maratano au marasita, ndipo ungali pige shamu hata kuyangamiza. Bali, sasa, utaipige shamu maratatutu. Elisha Akafa, ukisoma ndugu zangu, story inavoyishia mwisho. Wa shamu wali pigwa kidogo tu kama jama alicho kifanyi. Kama jama alicho kifanyi. Hallelujah. Baba katika jina la yesu.
Mambo tunayo yafanya usikuhubaba, ukatusaidie kwa nema yako. Nguvu zako zikawe nyingi sana kwenye maisha yetu. Kila tutakapuombababa, usaidie miolo yetu, usaidia akili zetu, usaidia miili yetu. Isichoke, isichoke kwenye kupigana, isichoke kwenye kupigana. Nisi choko kwenye kupigani Kati kajina la yesu Nisine nikasema hivi, nime pigana jana tu, leo si pigani tena Kati kajina.
[00:39:04] Speaker B: La yesu Baba nisaidie, baba nisaidie, baba.
[00:39:07] Speaker A: Nisaidie Hallelujah, hallelujah Tunaomba nini? Bwana Yesu utusaidie. Jiana, kuna watu tumewafuta. Jiana, tumedili na watu asiofaa. Unisaidie. Nisidia nikapiga maramodya tu, nikaacha. Nisidia nikapiga marambiri tu, nikaacha. Nisaidie. Nizoe mambuhaya. Niyone kwamba kuomba, kufunga, kuamika satisa, ndiyo maisiangu. Kama vile nidivyo na mkono, kama vile nidivyo na mguu, kama vile nidivyo na kichwa. Bwana Yesu, nijaze ngufu zako. Nisichoke kwenye kupigana. Hallelujah, baba katika jina la yesu. Haa vita ya mwili ni atuwezi. Maana, ingawa tunainenda katika mwili, lakini atufanyi vita vietu kwa jinzi ya mwili. Maana, silaza vita vietu zinawezo katika mungu, hata kuangushangongo. Baba katika jina la yesu, tusaidia, tusaidia, tusaidia, tusaidia, katika jina la yesu.
[00:40:03] Speaker B: Erebo shata, manda raba sata. Kwa.
[00:40:27] Speaker A: Neno rako, kwa nguvu zako, tusaidie.
[00:40:32] Speaker B: Katika generalize, tusichoke kupijani, tusichoke kupijani Kwa Kwa hivyo.
[00:41:02] Speaker A: Chino la esu.
[00:41:03] Speaker B: Kwa chino la esu. Kwa chino la esu.
[00:41:05] Speaker A: Kwa chino la esu. Kwa chino esu.
[00:41:07] Speaker B: Kwa chino la esu. Kwa chino la esu. Kwa chino la esu. Kwa chino la esu. Kwa chino la esu.
[00:41:12] Speaker A: Kwa chino la esu.
[00:41:12] Speaker B: Esu. Kwa chino la esu. Kwa chino la esu. Kwa chino la esu. Kwa chino la esu. Kwa chino la esu. Kwa chino la esu. Kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa Kwa chila la isi. Kwa chila la isi. Sita choka. Sita choka. Sita choka. Kwa chila la isi. Kwa chila la Sita choka. choka. Kwa chila la isi. Sita choka. choka. Kwa chila la isi. Sita choka. Sita choka.
[00:42:01] Speaker A: Choka.
[00:42:01] Speaker B: Sita choka. Sita choka. Sita choka. choka. Sita choka. choka. Sita choka. Sita choka. Sita choka. Sita choka. Sita choka. Sita choka. Sita choka. Sita choka. Sita choka. Sita choka. Sita choka. S Kwa kina la yesu Kwa kwa kwa kwa Kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa Kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa Ingawa hivyo kwa hivyo.
[00:43:52] Speaker A: Tunaenenda katika mwili. Hatuwezi kudenai faktia kwa mba tuna mwili. Haiwezi kani. Tunafanya kazi katika mwili. Ndibana andiko inaposema Ingawa tunaenenda katika mwili.
Hatufanyi vitavietu kwa namna ya mwili. Kwa kuwa silaza vitavietu zinawezo katika mungu hata kuwangusha ngome. Halleluja. Kwa hingawa tunafanya mamboyetu yote katika mwili. Hatuwezi kuignoki pengele charoni. Kwa nini silaza vitavietu zinawezo katika mungu. Kwa hiyo kumbe kuna vita.
Yes, kuna vita. Unajua, vita ipo. Ujui, vita ipo. Unajisikia, vita ipo. Ujisikii, vita ipo. Nguja ni kusume, watua siofa aflani, tuendele kuomba. Wamuzi sura ya nane. Nguwa pa monja na mimi kitabucha Wamuzi sura ya nane. Tashanga Wamuzi sura ya nane.
Mstari wa... tutuasoma mstari wa 30, wamuzi sura ya 8 mstari wa 30, alafu tutuasoma atena wamuzi sura ya 9 mstari, wakwanza wapili na watatu. Kusuma wamuzi sura ya 7 na sura ya 8, unakutana na abali za Gideon. Ninakombia kitu gani? Nachusema hapa ni kuamba normalize praying. Normalize. Usiwe na sababu yoyote ya kukufanya wewe usiombe. Hallelujah. Lakini kama itoshi. Usiseme hivi, nimefanya djana. Haa, watu wasi ofaawa, tumesha watuwa djana. Hili wiki lishaku wajepesi. Kila unapopata na faasi. Clearly aewa. Amen.
Wamuzi sura ya saba nane zinazungumuza abali ya Gideoni kwa wakati wako soma tena kwa nafasi yako. And then ukisoma Wamuzi sura ya nane misali wa 30, maandiku wa nasimaa hivi Gideoni alikuwa na wana sabini walio zaliwa na mwili wake. Kwa maana alikuwa na wake wengi. Gideoni alikuwa na watuto wengi sana. Wengi sana. Then, Wakati anafariki, alikuwa na mtoto wake mmoja ambaye alizana suria, eh, concubine, kama kimada chapembeni, anaitua Abimeleki. Then, ukiwajumlisha watoto wote wa Gideoni, wanafika watoto Sabini. Gideoni ule ule shujaa. Yule yule nyama etu Waimani, yule yule, alikuwa na watoto Sabine, wawu na wawili tu wawo, muzako alikuwa na Sabine. Maandiko, ya nasema kwenye mstari wa tatu, tusisome sana vitu vingi, mstari wa tatu wawamuzi sura ya tisa. Haa ondugu, anyway tuanzi mstari wa kwanza, Abimeleki ambaye hali kua ni mtoto wagidio na ambaye hali zana mamamu ingine uko pembeni, dada moja kutoka Shekem. Abimeleki mwana wa Yerubali, hakaenda Shekem kuandugu za mama yake. Haka nina nao na wote walio kuwa wanyumba ya baba ya mamayaki ya kisema. Haya, nineni tafadhali masikioni mwa wanaume wote washikemu. Mkaulize jeni ripi lililojema kwenu? Kwa mba hau wana wa Yerubali wote ambao ni watu Sabini watawale juhuyenu au kwa mba mtu mmoja atawale juhuyenu. Kwa sababu utalatibu ilikuwa jama hakifa, mtu hakifa yule kiongozi, tutuwake anarithi. Then jama habaada ya kuona baba ke hamefariki, hakaenda kule kwa nduguzaki, hakaambia sasa, sikele dukwa makini utanielewa.
Mchagwe. Nje, aungoze mtu mmoje, awa wenzangwa, lakini kwa Yuma na Tuko wengi, Tuko Sabini. Mstari watatu. Hao ndugu za mama yaki wakanena.
Habari zake masikioni mwahao watu wote wa shekem, maneno hayo yote. Na mioyo yao ikaelekea kumuandama Abimeleki. Huwakua wali sema, huyu ni ndugu yetu, mstari wane. So, wakamjibu, wakamombio kambano, hatuzi kuongozwa na watu wote. Sisi, tunauna tukuchague wewe, ndo tuongoze. Huwakua gidiwene mifariki baba, tunaomba tuachane naae, then tukuchague wewe, awa wengine achana naao. Mstari wane wakampa vipande vya fetha Sabini, zilithi otoka katika nyumba ya berathi, balberithi, na kwa fetha hizo, Abimareki Sikiliza kwa makini Na kwa fetha hizo, Abimareki akajiri watu wapuuzi Mabarathuri wafuatane nae Kamaitoshi, kisha hakaenda nyumbani kwa babae huko Ofra, haka wawuwa nduguze, hao wana wayerubali, watu sabini, haka wawuwa njuu ya jiwe moja. Kwa hiyo, watu wa si ofaa, watu wa puuzi, people who have nothing to lose, wapo kila wakati. Wazi kusema hivi, haaa mimi niliomba jana tu, loshi wazi kuombate na no. Kila wakati, wakufutua nafutua. ya kufutu wa yanafutu wa wakuondolewa, wanaondolewa kwa sababu maisha ni kila siku hatuwezi kusema hivi, haaa, haaa, haaa, tuwasio fatulisha na ni jiana, dugu yangu, kila upata ponafasi, unaklia hali ya hewa. Tunahomba nini lo mamapiti lo, tunahomba Mungu atupe nguvu, yako mba tusaidie, tusichoke, kufanya jambo lile lile, kila siku, mpaka tuyaoni matokeo. Ndiyo mana ni katoa mfano ni kasema hivi, we unayenda shule malamoja moja? Mbona unayenda shule ile ile? Mwalimi yule yule, somo lile lile, paka mwaka unaisha. Na kama itoshi, hata mwaka unakisha, baada unafanya mtiani tena. Kwanini unataka tu kuomba wewe jambo, siku moja afu na sema, haa, ilo tulisha liyombea jani. Lakini pia ndugu yangu, inakuitaji mungu wa kutia ngufu kweli za rohoni na za muhelini, kuombea jambo lile lile, baka uwone matokeo. Na tumeyamua hatuta choka.
Imagine hui jamaa akapewa wongozi na nduguzake. Then haka sima hivi ni nao wenzangu kama Sabini. Na hii na fasi yambayo nimepewa leo ya wongozi ni nao wenzangu Sabini kule. Wanaiangalia na fasi hihi na chutakia waniifanye hii ni wawue. Nduguzake, walio chenayo baba. Lakini haka waza pia, haka sima siwezi kuwawue peke yangu. Kwa hiyo ninafanya haji? Maandiku wanasema hivi, haka ajiri watu wengine, watu wapuuzi. Imagine, mpaka Biblia inakuandikia watu wapuuzi, manake ya watu walikua ni wapuuzi kweli. Haka ajiri watu wapuuzi, ni wale wale, watu wasiofa. Wajiri gani? Unajua, kisuma tafsiri ya Neno, anakuambia hivi, watu wapuuzi, ili wafuatane nae kwenekaziza kwa wawatu ndio, walio msaidia kuwaua wenzake Sabine. Imagine.
Ni wewe tuambe unasema, haa mimi ilifanya ilo jambo jana Baba kari kajina laesu, unitie nguvu zaku Zarohoni na muirini, kati kajina laesu, nisi choke kwenye kufanya jambo hili Nisi choke kwenye maombi, kati kajina laesu Kwa jambo lile lile, mbalo nime liombea jana, nguvu zaku ziwe nyingi Erebo.
[00:51:50] Speaker B: Sanda Harabashota, Lakarabazete, Landaribosika, Handarabasata, Kereboshata, Landarabasete, Landaribosika, Korabashata, Mekerebosanda, Kerebozita, Harabashanda, Harabasete, Karabasete, Landarabasete, Karabasete Ha ha ha.
Kwanzaa.
Kwa hivyo kwa hivyo kwa hivyo I love you.
Kwa hivyo kwa hivyo Kwa hiyo.
Na na na na.
Kwa kwa kwa kwa Kwa Kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa kwa kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa hivyo, kwa Kwa kwa kwa kwa Zinawezo katika wewe. Zinawezo katika Kwa kwa kwa kwa.
Asante.
[00:58:28] Speaker A: Kukua pamoja na mimi kuanzia muanzo mpaka mwisho ibadahe. Usiache kuhomba, usiache kumtafta Mungu. Na kama umebarikiwa na manenohaya, unaweza kutuwa sadaka yako kupitia nambazifatazo 0659 68 75 69 au 0753 08 57 89 Shalom.