Latest Episodes
Utayari wa Kumtegemea Mungu
Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give
Thamani ya Maarifa kwa Mtu wa Ndani
Maarifa ya kiroho humfungulia mtu nuru ya kuelewa mapenzi ya Mungu.Humjenga muumini kutembea kwa ujasiri, hekima na utambuzi wa kimungu.Yanampa nguvu ya kushinda vita...
Kiumbe Kipya Ndani ya Kristo
Hata mtu akimkubali Kristo, anafanywa kiumbe kipya kwa neema yake.Maisha ya kale yanaondolewa na kuletwa mwanga mpya wa Mungu.Ndani ya Kristo, utambulisho na hatima...
Pasaka na Ukombozi
Kuzaliwa kwa Yesu kulitupa tumaini, lakini kifo na kufufuka Kwake ndiko kulituletea ukombozi halisi.Kama asingekufa msalabani, dhambi zetu zisingesamehewa wala tusingepata uzima wa milele.Ndiyo...
Umuhimu Wa Maarifa kwa Mtu wa Ndani
Maarifa ya kiroho humfungulia mtu nuru ya kuelewa mapenzi ya Mungu.Humjenga muumini kutembea kwa ujasiri, hekima na utambuzi wa kimungu.Yanampa nguvu ya kushinda vita...
Strenghthening your Innerman XII
Mfungo na maombi vinaenda sambamba , kazi ya mfungo ni kukusongeza karibu na ulimwengu wa roho, Ukifunga make sure unaomba, unasoma neno, na unamaanisha.Ili...